Mbunge ahoji masharti ya nafasi za kazi kwa kigezo cha JKT kuwa yanaumiza vijana

  Рет қаралды 3,529

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa ameishauri Serikali kuwapa nafasi vijana wa Kitanzania kupata nafasi ya mafunzo jeshini kwani kila wanapoomba kazi wanakataliwa kwa vigezo kuwa hawajapita Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
“Kambi zetu tulizonazo za kuhifadhi watoto wetu JKT hazitoshi lakini inashangaza wakiomba kazi serikalini wanaambiwa wawe navigezo vya kutoka JKT inaumiza kwa kweli,” amesema.

Пікірлер: 6
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 7 ай бұрын
Kigezo Cha jkt,ni changamoto kubwa sana,watoto wamesoma lakini wanakosa ajira,sifa wanazo lakini wanakwamishwa na kigezo Cha jkt,serikali iangalie swala hili upya,
@JosephKimaro-f9t
@JosephKimaro-f9t 7 ай бұрын
Yaan mweshimiwa ameongea pointi sana hii keki ya wote kila mtu aonje ili apate kuishi pamoja na family yake hata mtoto wa maskini ni kwel kbs tunaitaji wabunge kama hawa wenye kujali utu wa wanchini wasiojiweza na hata hivyo vigazo vya jkt na jku vifutwe atleast pia mgambo nalo ni jeshi kwann lisiwekwe kwenye mfumo wa ajira
@bilid4128
@bilid4128 Жыл бұрын
Sawa sawa ,,,mzee wa chima chuma ,,,Misri wanachumba chima
@zuenahamza9589
@zuenahamza9589 7 ай бұрын
Iwe hivyo mana kijana wangu miaka 2 kila akienda anapita imefika steji ya mwisho eti kakosa,kule wanbebana
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Жыл бұрын
Mbunge ana akili nyingi sana huyu namjua vzr
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Kongole mkuu
MAKAMO WA RAISI AMUONYA PASCHAL WIMBO WAKE MPYA KUTAJA MAJINA. AMGOMEA
21:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 251 М.
Msako mwanafunzi aliyepotea kuhamia mtaani, wenzake waeleza alivyotoweka
3:02
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 115 МЛН
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 100 МЛН
Bunge: Kupita JKT isiwe kigezo kupata ajira Serikalini
12:17
Nukta TV
Рет қаралды 4,4 М.
Is peace possible with Netanyahu in Israel and Hamas in Gaza?
17:17
Channel 4 News
Рет қаралды 253 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН