MBUNGE AKERWA NA ZIARA ZA MAKONDA | MAKONDA ATIKISA BUNGE BALAA | ANAFANYA MAJUKUMU YASIO YAKE

  Рет қаралды 86,887

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 501
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw 10 ай бұрын
Yote Kwa yote makonda anafanya kazi nzuri sana mungu ambariki sana
@fundimitambo4158
@fundimitambo4158 10 ай бұрын
ila nilichojifunza hapa Watanzia wengi ni wanafiki sana aisee
@LagalaligalaHamisi
@LagalaligalaHamisi 10 ай бұрын
Safi
@hamiduchingi2672
@hamiduchingi2672 10 ай бұрын
Unafikili nikwanini yesu alikimbia naakawachia neo nitafufuka au nitaludi aligunduwa awa niviumbe shaifu nawanafki wanaangalia fulaha yaotu,MIMI nafikili sasa ndiowakati wanyie munao ogopeka,kwauchawi,kwaugnga,namengineyo,Wekeninguvu kumlinda uyo muheshimiwa kwasababu bado tunamuitaji Sana,sio munatusumbua majumbani usiku NK,tumieni izo nguvuzenu kumlinda Mh,wetu makondo,kwasababu hivita sio yawachawi Wala waganga Nivita yawaujumu uchumi Yawatumishi wazembe,Yawatumishi matapeli,Yawatumishi wanao jilimbikizia mali,NK,tunawaomba nyie waganga na wachawi Mumlinde Mh, makonda Natumaini sasaivi wenyepesa namali zao wanawasumbua Sana,kwaajili ya msimamo Wa Mh,makonda,
@EmanuelyEliya
@EmanuelyEliya 10 ай бұрын
❤❤❤
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 10 ай бұрын
Mimi ni mganga lakin mtu akinijia anatala kumuroga makonda nakula pesaro nitampatia dawa ya kufanya ampende zaidi makonda😅😅😅😅😅
@JustinMelanie
@JustinMelanie 10 ай бұрын
Mupongezeni Makonda kwa kazi nzuri anayofanya
@OscarMlewa
@OscarMlewa 10 ай бұрын
Sasa amfanyi majukimu yenu mlitaka makonda afanyeje muwe na haibu uwo uchonganishi makonda ubarikiwe kwa kaziyako na namgu akufikishe mbali Sana na pia uwe na moyo huwo huwo🎉
@oliverqueenkileo9745
@oliverqueenkileo9745 10 ай бұрын
Makonda anafanya halali kama kiongoz bora
@AishaMlowe
@AishaMlowe 10 ай бұрын
Acheni kukaa ofsi fanyekazi wananchi wanateka munasaidiwa kuwa kazi ndio hivyouwaina fanya makonda ❤❤❤❤❤❤
@tinkybellah6634
@tinkybellah6634 10 ай бұрын
Kumbe kunawabunge kichwani hamna kitu akilini Dawa inawaingiaa vizuriiii aisee
@shaaban179
@shaaban179 10 ай бұрын
Yaani una ongea wew aibu naskia mimi😅
@MusaPeter-ie6td
@MusaPeter-ie6td 10 ай бұрын
Sura mbayaaa na roho yko mbayaaa shetan kbsaaa
@bouzartbc5641
@bouzartbc5641 10 ай бұрын
Ntumieni namba za Paul Makonda nimtumie ela yangu ya akiba,
@IbrahNdengo
@IbrahNdengo 10 ай бұрын
Binafsi mh mwenezi Paul makonda piga kazi mbinguni tutatoa hesabu
@samwelngao3201
@samwelngao3201 10 ай бұрын
Huyu Mbunge ni takataka sana yaan ni mwanamke asie kuwa na akili Fala huyuuu ko ulitaka makonda afike asifie ujinga wakati wananchi wanateseka
@ildephoncekalemera7758
@ildephoncekalemera7758 10 ай бұрын
Asante sana makonda❤
@chriskimbe525
@chriskimbe525 10 ай бұрын
Up makonda Mungu niweke niishi miaka mingi nikaribu kumuona makonda mwaka 2030 utajikita wapi ngoja ninyamaze
@williumteete2626
@williumteete2626 10 ай бұрын
Makonda piga mlemle👉💪
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 10 ай бұрын
hao wanao pinga ndo mafisadi hasa kama hawamalizi kwa kuwa mafisad makonda piga humo humo
@monicachacha455
@monicachacha455 10 ай бұрын
makonda chapa kazi❤❤❤❤❤❤
@TatuHaji-k8s
@TatuHaji-k8s 7 ай бұрын
Mfukuze kazi mchague unayemtaka wew munashindwa kuwasaidia wananchi na ndiy mna shida zetu tunampa makonda tunamuona kma mungu mtu tunampenda wananchi natupo tyr hata kumpa uhai wetu nyiny endeleeni kupika majungu
@KhalphanSalumu
@KhalphanSalumu 10 ай бұрын
Mzungumzaji, nywele zinamchanganya Mh Makonda anamchanganya
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 10 ай бұрын
Mwandishi wa habari huna Akili kabisa. Kwanini Usingeandika kuwa " MBUNGE AMSIFIA MAKONDA KWA ZIARA zake? Waandishi kama ninyi ni kufutiwa Leseni tu. Kwanini Unapotosha habari badala kuandika kweli. Hongera sana Mbunge kwa kuziona juhudi za Makonda
@Rai_online_tv
@Rai_online_tv 10 ай бұрын
Ahhh kumbe kamsifia ehh sawa mwandishi wa habari mzuri
@MohamedRule
@MohamedRule 10 ай бұрын
Wewe mbunge ni mnafiki sana makonda piga kazi
@RujaSeleman
@RujaSeleman 10 ай бұрын
Tunashukuru kwa kumpongeza kaka yetu kwa kaz mzuri anayoifanya
@isackrange2989
@isackrange2989 10 ай бұрын
Dada huelewi unachokiongea huo ni wivu tu😂😂😂😂
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 5 ай бұрын
Msema kweli.
@MohamedMjenga-i1w
@MohamedMjenga-i1w 10 ай бұрын
Uyo mbunge wananchi walomchagua wamefeli
@tollosomangiza3715
@tollosomangiza3715 10 ай бұрын
Makonda oyeeeeee na mtaelewa tuu .Piga kazi mwenezi
@HawaMohamed-sk7sp
@HawaMohamed-sk7sp 10 ай бұрын
Anachofanya makonda ndo mlitakiwa kufanya nyie akili huna we dada hovyo sana😂😂😂
@SurprisedBeach-kb2jy
@SurprisedBeach-kb2jy 5 ай бұрын
Makondaa apongezwee kwaa kifanyaa kazi nzur
@shikuhata
@shikuhata 10 ай бұрын
Nashukuru kwa mchangiaji
@Thejordanministry
@Thejordanministry 10 ай бұрын
Msomi mzima kaongea kupinga anacho fanya Makonda kisha anamuunga Mkono Makonda na anamsifia dah ajatulia kabisa uyu Mbunge sio.
@DavidMrisho-km2iz
@DavidMrisho-km2iz 10 ай бұрын
Makonda aendelee na kazi yake wapo waotatuliwa kero zao kwahiyo sis tunamunga mkono
@PetroThomasMwandu
@PetroThomasMwandu 10 ай бұрын
Hivi mnauwakika huyu dada ni mbunge???
@JOHNKKULULINDA-pc6gy
@JOHNKKULULINDA-pc6gy 10 ай бұрын
WEWE MAMA YANGU AU BINTI YANGU. ELEWA ZIARA YA MAKONDA SI YA MAKONDA NI MKUU, HIVYO UNAMKOSOA MKUU. TAFAKARI MAMA.
@IsayaBugoro-zj8nu
@IsayaBugoro-zj8nu 10 ай бұрын
Nywele za marehemu wahindi
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 5 ай бұрын
Kumbe umeziona na ww
@sarasteven4070
@sarasteven4070 10 ай бұрын
Makonda oyeeeee!! Piga kazi Mtumishi wa BWANA.
@KibibiShetui
@KibibiShetui 10 ай бұрын
Walikuwapi wasiwasaidie wananchi hadi Makonda afike ndo wananchi wasaidiwe. Ina maana walikuwa hao wakurugezi na wakuu wa mikoa na wawilaya hawajui wajibu wao. Acha kijana afanye kazi
@yunuskizundu4707
@yunuskizundu4707 10 ай бұрын
Muacheni makonda jmn bila mungu kumuongoza makonda mtoto ambae alikua anauza ndizi asinge jengewa nyumba na kuendelea na masomo wabunge fanyeni kazi zenu achaneni kabisa na makonda
@DianaMafuru
@DianaMafuru 10 ай бұрын
Makonda fanya kazi usiogope mungu yupo sisi tuko nyuma yako kwa maombi
@TegeteMwalonde
@TegeteMwalonde 3 ай бұрын
Daaaa makonda maisha malefu kwako kaka
@moyogems
@moyogems 10 ай бұрын
Yamaza mh hLi ni mbaya sana tena sana mwacheni makonda ni kioo chenu arudia tena hali ni mbaya zinapigwa kila kona we we watu sio wazalendo kabisa waziri mkuu amezunguka ameona haya namshu,uru mh rais na ccm kumuweka makonda mpongezeni namsimkatishe tzmaa
@naturelle1097
@naturelle1097 10 ай бұрын
Ndo mchukue mfano toka kwake sio kuka ofsini
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 10 ай бұрын
Ndyo
@TashwillKaroolse
@TashwillKaroolse 10 ай бұрын
Makonda anafanya kazi nzuri sana, sana yani Huyu m'bunge hafai kuchaguliwa tena na wananchi wake Ni m'bunge wa ovyo sana
@PartySekemi
@PartySekemi 10 ай бұрын
Mungu akubariki na akupe maisha marefu
@oswaldsambaya4422
@oswaldsambaya4422 10 ай бұрын
Umesema ukweli Mhe. Mbunge. Komrade Makonda ametutendea haki, Mwenyezi Mungu azidi kumlinda.
@abellutonja4589
@abellutonja4589 10 ай бұрын
Huyu dada anapenda huko chini kwani kunanini😂😂😂😂😂
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 10 ай бұрын
Makonda oyeeeee!
@HawaMohamed-sk7sp
@HawaMohamed-sk7sp 10 ай бұрын
Daaah nasikitika sana, hivi huyu mbunge mzima kweli, amefikiria anachokiongea kweli, hivi haoni makonda kafufua mabaya mangapi toka kaanza kutembea. Kweli aibu naona Mimi
@rosesilio9008
@rosesilio9008 6 ай бұрын
Hili lishetani vipi jamani we mama ni mshenzi na minywele yako
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 10 ай бұрын
Uyu mbunge mbona haeleweki anachangia nini
@samwelngao3201
@samwelngao3201 10 ай бұрын
Hilo ni tatizo ana kichwa kichafu huyuu
@PeterJanuary-b1f
@PeterJanuary-b1f 4 ай бұрын
Acha kuweka mambo yawe magumu unanzingua sisi tuna mweshim rc wetuu doct samia suluu asanii
@FerikoMpwage-c8y
@FerikoMpwage-c8y 10 ай бұрын
Hahahaha mwacheni makondaaaaa afanyeeee kaziiii
@swelehemkumba5007
@swelehemkumba5007 10 ай бұрын
Mama nimekuelewa vizuri.
@NuruBene
@NuruBene 10 ай бұрын
Kwnza Nampa ongera sana mhe rais wetu mpwendwa dkt Samia suluhu Hassan kw kumteua mhe mwnyz makonda anafanga kzi nzur sana
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 10 ай бұрын
Makonda oyeeeeeee
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 10 ай бұрын
Sijaelewa, anasema ameenda kutatua kero badala
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 10 ай бұрын
Mmmmmmmh comment nyingi zinaonyesha hatuna uelewa" huyu mbunge yupo sahihi kwa wanaoelewa mfumo wa serikali.
@JoyceSarufu
@JoyceSarufu 10 ай бұрын
Amna bhana wabunge hawajuw wajib waoooo
@mtpafrica
@mtpafrica 10 ай бұрын
Daaah afadhari ww umeelewa wengi wetu wanampinga kumbe yupu sahihi
@EmmanuelMwanja-i3y
@EmmanuelMwanja-i3y 10 ай бұрын
wewe ndo huelewi
@TashwillKaroolse
@TashwillKaroolse 10 ай бұрын
Una akili? Nauliza hivi: una akili timamu ww?
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 10 ай бұрын
@@JoyceSarufu hapo alikuwa anakazia kwamba makonda kayakuta madudu mengi sana yasiyotatuliwa na watumishi
@happypiusi3801
@happypiusi3801 10 ай бұрын
Makonda oyeeeeeeeeeee🎉❤
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 10 ай бұрын
Msameheni huyu dada angalieni hata anavotamka maneno eti Halakahalaka,mh Laisi😂😂
@HusseinKasambwa-gq6zf
@HusseinKasambwa-gq6zf 10 ай бұрын
Ukweli makonda yuko vizuri sana,watumishi wanajiona miungu MTU,wanazurumuwananchi bila kujali.anaemuongea makonda vibaya huyo fisadi.muache makonda afanye kazi
@MasterCappodhano
@MasterCappodhano 6 ай бұрын
Makonda anafanya kazi nzuri sana hapo huyo mama anapinga mdomo bure tu
@yohanavenance1977
@yohanavenance1977 10 ай бұрын
Mmmh darasa la ngapi?
@marianmartin7483
@marianmartin7483 7 ай бұрын
Huyu mbunge simueleei kabisa. Sasa hawo waliopewa dhamana wameshindwa. Makonda yuko sawa kwa kazi anayoifanya.
@KADALAtv255
@KADALAtv255 10 ай бұрын
Mtuteue sisi wa wajibikaji jamani
@hawamackono4546
@hawamackono4546 10 ай бұрын
Mie cna imani na mbunge yyte,nyie kuleni tu lkn kesho zitawatoeka puani mbele ya Allah
@joycemwinuka3685
@joycemwinuka3685 10 ай бұрын
Uyu ni chama Gani mama amemuamini makonda makonda piga kazi weka na Sala mungu yupo pamoja nawe
@MekitildaKitambi
@MekitildaKitambi 10 ай бұрын
Mmmmmmm!!!!!!!! Umeona vibaya ss kusaidiwa? MUNGU anakuona na
@ramadhanitumbo1802
@ramadhanitumbo1802 10 ай бұрын
Amefikaje apa uyu dd
@JacqueM4600
@JacqueM4600 10 ай бұрын
Eti huyu nae ni mbunge 😳😳sijui anajisikiliza huyu mama anachokiongea💔.Makonda piga kazi baba💯.madam pokea taarifa ya kuonekana kumpongeza Makonda💃💃
@priscairene4605
@priscairene4605 10 ай бұрын
Uyo.mbunge.msenge.makonda.anatusaidia.wananchii
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Dada yng si upookeee taarifaa jmn... Pokea tarifa ikiwa mwenezi ni mtangazaji wa aloyafanya Mama Samia anapita uko hamna lilofanywa Makonda kosa lake nini apo kulizia lile Mama alilo haidi na hajitekelezwa si awaweke Kati tu awo unaowasema walopewa majukumuu alafu hawatekeleza Mh makonda apewe pongezi.. tungelimuona wapi kijanaa wa miaka 10 anauza ndizi kuhudumia family eeeeeh km si Makonda kwa hiyo tujue km walopewa dhamana na Mama ni wabadhilifu kwa maana wapo tu wamekaa lkn mitaani hawapiti wakajua vijana na wanama wanaishi vp na wababa nao vipi watejeleza family zao Mungu mbariki Mh Mama Samia Mungu mbariki Mh Makonda 🙏
@PAULOWILLIAMJOSEPH
@PAULOWILLIAMJOSEPH 10 ай бұрын
Makonda fanya kazi bro
@LagalaligalaHamisi
@LagalaligalaHamisi 10 ай бұрын
Aumpendi makonda tu
@LagalaligalaHamisi
@LagalaligalaHamisi 10 ай бұрын
Saf saf
@edwardmagige3187
@edwardmagige3187 10 ай бұрын
Hiyo rasta sh ngapi
@abdaljuma-wk4dg
@abdaljuma-wk4dg 10 ай бұрын
Malaya2 ww umetumwa
@abdaljuma-wk4dg
@abdaljuma-wk4dg 10 ай бұрын
Mengine yanapinga makofi
@barikisichone8574
@barikisichone8574 10 ай бұрын
Uo mtego tunaelekeya uchaguzi alikuwa wp lakini at ivyo kwamda aliyo pewa mdg amefanya kazi nzuri Ila wamemcherewesha kazin
@gatuna6
@gatuna6 10 ай бұрын
Ukiona mbunge mbuke anali na makonda polisi wakamkague au taka kuru. Mamegeuza kazi ya ubunge kama kazi yake. Hawa ndiyo walio unga mkono bandari I uzee.
@mrimaniyamtu
@mrimaniyamtu 10 ай бұрын
Angalia macho unajua nn anaogea mm nimemuelewa sana
@lewissvictor8930
@lewissvictor8930 10 ай бұрын
Ko wewe ulitaka asitatue katatizo ya wananchi we umekosa hoja makonda ooooyyyyyyeeeee
@swahibually8349
@swahibually8349 10 ай бұрын
Mnamchongea makonda,Majasusi wapo mbioni kumtathmini KAZI na mwendo wake, AKHERA ni karibu mnooo,si Mmeona wazee wa mbambamba walivyokata Moto mfululizo,namaanisha enzi za Mwendazake
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 10 ай бұрын
Makonda nimwanaum E anayefanya vizuri kwa watu huyo mbunge ni fisadi mafisadi hawawezi kufurahia kazi ya makonda
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 10 ай бұрын
Nyosha mapito ya bwana
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 10 ай бұрын
Mkuu, hizo hela zinafika sehemu husika ??
@waliisamma7370
@waliisamma7370 10 ай бұрын
Ninyi mna madudu yenu mnaogopa yasifichuke bs 😂😂😂
@jackrinedugange2888
@jackrinedugange2888 10 ай бұрын
Kweli kabisa anakwepa wembe😂
@stafordfelician3050
@stafordfelician3050 10 ай бұрын
Je kama hawafanyi kaz na makonda ataeleza nn kwenye machafuko? Nan atamsikiliza?
@jumambarale699
@jumambarale699 10 ай бұрын
Mpuuzi mmoja huwaga anataka upuuzi wake uonekane mwema Piga kazi makonda ....simamia kucha..,...
@AllyMohd-fs7pn
@AllyMohd-fs7pn 9 ай бұрын
Hapo ndo unapogundua kwamba kwenye kundi la mamba na kenge wamo. Yan vyote ivyo mheshimiwa makonda anavofanya kazi kumsaidia mheshimiwa raisi kuna baadhi ya viongoz hawaoni juhud izi. Mheshimiwa piga kazi tunakukubali wananchi. Kuna dhulma zinafanyika kwa sbu ya rushwa. Piga kazi makonda mi naamin mama kakukutuma. Songa mbele piga kazi unafanya kazi vzr. Ata sisi makapupu tunakuona unafanya kazi vizur.
@AdamDanniel-x6b
@AdamDanniel-x6b 10 ай бұрын
Jaman kwan makokonda kakosea nn nakama mpigaji utamchukia nakip kinakuuzi
@hamissomary6869
@hamissomary6869 10 ай бұрын
Safi dada anguuuu wape ma cccm hyooo
@NsobiLema-wq9vh
@NsobiLema-wq9vh 10 ай бұрын
Nashangaaa san selikali yetu mtu anasema ukweli wanampinga nivip dada uko sahihii yani ccm akili amna iyo makonda nikero ngapi anatatua watu tunashid kibao ususani kijijini
@HalfaKing
@HalfaKing 10 ай бұрын
Ni mjinga huyu mbunge achana na making wewe.
@zainabumsafir1182
@zainabumsafir1182 10 ай бұрын
Kama awafanyi kaz lazima yy afanye ww ongea kuhusu Jimbo lako ss tumeona katatua kero big up makonda Fanya kaz mung akusimamie
@HappyNaboti
@HappyNaboti 5 ай бұрын
Ndio safi weulitaka iweje
@chubwadeogratius1239
@chubwadeogratius1239 10 ай бұрын
Makonda ni mtetezi wa wanyonge kweri baadhi ya watumishi hawajitambui..
@AlvinMakenzi
@AlvinMakenzi 10 ай бұрын
Duhuuu
@joycemwinuka3685
@joycemwinuka3685 10 ай бұрын
Wivu sio mzuri
@joshuasitta293
@joshuasitta293 10 ай бұрын
Mungu awasaidie Tu bunge letu
@Bongovillagex
@Bongovillagex 10 ай бұрын
Kazi zenu kwenye majimbo mnasaidiwa na makonda ,,,piga kazi
@peacemwesiga
@peacemwesiga 7 ай бұрын
Makonda❤❤❤❤❤
@shedrackmabanda8585
@shedrackmabanda8585 10 ай бұрын
Sijui nitukanee😢😢
@elick5161
@elick5161 10 ай бұрын
Ww huna Hoka bola usenge changia tuu
@archiefransis7172
@archiefransis7172 10 ай бұрын
Huyu dada anang'ata na kupuliza ukiwa unaitazama hii video mwanzo utajikuta unamchukia akifika katikati unampenda akimaliza unamchukia hoja yake ni nzur ila hataki kutoa hukumu kwa wazembe wala pongezi kwa watenda kazi vizur nilitegemea mwishoni angesema ule usemi usemao mnyonge mnyongeni haki yake mpeni na sifa kuu angemwagia Makonda
@JOHNKKULULINDA-pc6gy
@JOHNKKULULINDA-pc6gy 10 ай бұрын
BABU, KWELI NI MWANADIPLOMASIA, WACHACHE WANAOFUATLIA MAMBO YA MSINGI KAMA HAYO. NI KWELI KABISA HOJA YAKE KAMILI UNASHINDWA KUDAKA. HIVYO NI HOJA YA KUTUMWA SI YA KICHWANI MWAKE AMETUMWA.
@abdultandala6576
@abdultandala6576 10 ай бұрын
Kazi kumsifu tu Mh rais eti kamwaga hela nyingi jmn 😅😅😅😅😅😅
@AishaAlly-ob7vd
@AishaAlly-ob7vd 6 ай бұрын
Wewe mama tena kuwa na adabu kabisa unajua unakiongea kweli😊
@MaryShekifu
@MaryShekifu 10 ай бұрын
Kama ndio wasimsmiz mbn wananchi wanaonewa hamtatui mwachen makonda apige kazii
@YoabuChengula
@YoabuChengula 10 ай бұрын
Dada sijakuelewa au hupendezwi na mheshimiwa makonda tunampongeza makonda
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 10 ай бұрын
Nakweli haujanuelewa cjui utaelewa nini
@EmmanuelMsangi-kb3vv
@EmmanuelMsangi-kb3vv 10 ай бұрын
Hongera dada inatakiwa haki itendeke co waziache alafu wangojee wakat wa kura ndio wajidai wanatatua
@weremalimbe7903
@weremalimbe7903 10 ай бұрын
Uongozi ni wito na ndomaana Makonda Paul ni mtetezi na mtatuzi wa changamoto zinazo zikabili wananchi kwani wengine ni njaa na porojo ila Mungu ni wa wote na ukweli ni kwamba Makonda ni kiongozi real!
@najmamgallah8154
@najmamgallah8154 10 ай бұрын
Ww dada una maisha mazur sanaa lkn mbn km umesuk nywele za wajawazito, n ww unaban bajet, kwhy makonda anavosaidia watu unaumia, alf ujuwe hizo her ni kodi zetu wanainch, wakun mnakolima hizo heraa, tuliaaa
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Tsinghua, le MIT chinois : Ils visent l'excellence absolue
20:44
Immersion ▸ reportages et documentaires
Рет қаралды 143 М.
What do Russians want in 2025? | BBC News
7:58
BBC News
Рет қаралды 869 М.
Кому ты в больнице нужен? | 9 серия | Скорая
28:13
Полыхание №2
18:58
Metal Family Xydownik
Рет қаралды 908 М.
Ангел против Демона кто победит 😱
0:49
Мен анамды іздеймін, 28 жылдық құпия / Мені туған кім? / KOREMIZ
48:00
«KOREMIZ» ток-шоуы / Көреміз
Рет қаралды 346 М.
Kuruluş Osman 99. Bölüm @atv
2:15:39
Kuruluş Osman
Рет қаралды 6 МЛН