No video

MFAHAMU PAUL MAKONDA: UMRI MDOGO KAZI KUBWA - ALIAMINIWA na MAGUFULI - RAIS SAMIA HADI WANANCHI...

  Рет қаралды 33,711

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MFAHAMU PAUL MAKONDA: UMRI MDOGO KAZI KUBWA - ALIAMINIWA na MAGUFULI - RAIS SAMIA HADI WANANCHI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 81
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 2 ай бұрын
Mungu amlinde! Jamani wasije kuumuwa ana roho nzuri
@piusmaduka
@piusmaduka 2 ай бұрын
Ila mitandao mlishajua namba ya kupata fedha, Kwa tz ya Leo ukimtaja makonda au Jerry slaa utapiga MB za watu nyingi sana maana Hawa watu wanakubalika kwa watu wengi mno
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 2 ай бұрын
Makonda Yuko vizuri
@MamaBambala
@MamaBambala 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ampatie afya njema na kuilinda roho yake oooh Makonda.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Mashallah Tabaraq Rahman ❤❤❤ Piga kazi Mh Makonda Mungu akulinde akusimamie jembe jeshi la mtu mmoja nguvu 💪💪
@BMDESIGNZ
@BMDESIGNZ 2 ай бұрын
Makonda = The new Magufuli
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 2 ай бұрын
MBONA ALIMFUKUZA
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 2 ай бұрын
@@user-oh6pc7zd4s Hakufukuzwa alienda akagombea Ubunge Jimbo la Kigamboni, bahati mbaya akakosa Ubunge.
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 ай бұрын
Nakupenda sana makonda❤❤❤❤❤🌹🌹💋🌷kamanijamani makonda ni roho yangu mm mchapa kazi wangu mtoto wa magufuli piga kazi kaka yangu mungu akupe umli mrefu ututumikie sisi wanyonge🌷🌹🌷🌹👌♥️♥️♥️♥️❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹
@touchonesavemany
@touchonesavemany 2 ай бұрын
BigUp to PCM
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 2 ай бұрын
Makonda na slaa waigwe na viongozi wote wanapiga kazi kwelkwel
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 2 ай бұрын
Asante Sana lais wetu kipenzi kumuweka makonda kwenye sistim atakusaidia Sana Hiro harina ubishi
@user-mj5wo5hb3u
@user-mj5wo5hb3u 2 ай бұрын
Mwenye mungu akupe afya na umuri
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 ай бұрын
Mh Makonda Anafaa sana Awe Waziri Wa Ulinzi Na Usalama
@BMDESIGNZ
@BMDESIGNZ 2 ай бұрын
John pombe = Paul Makonda
@mussaabdurabi2739
@mussaabdurabi2739 2 ай бұрын
Mungu amlinde sana.he is A leader.
@COMPASSIONMEDIA
@COMPASSIONMEDIA 2 ай бұрын
President Makonda. President Makonda. 🎉🎉🎉
@user-hb4oy3en1f
@user-hb4oy3en1f 2 ай бұрын
Amina
@broka_genius3615
@broka_genius3615 2 ай бұрын
Inshort jama anajua na ananyota
@mrmisosiliuma9366
@mrmisosiliuma9366 2 ай бұрын
My next president... makonda I really like him
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 ай бұрын
Na bado hamjasema. Makonda ni jiwe walilolikataa waashi ila likafaa
@denisyohana8104
@denisyohana8104 2 ай бұрын
inabidi tumpatie nchi
@user-ch5fo2gl3v
@user-ch5fo2gl3v 2 ай бұрын
Piga Kaz ,kazi iendelee
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 2 ай бұрын
Makonda mimi ni mkenya lakini natamani angekua wetu kenya makonda pekeake
@mercyzakariah
@mercyzakariah 2 ай бұрын
Makonda no 2 ya magufuli, wewe nijembe lakazi Kweli, Kweli,, Samia oeee😊
@user-ve9sb4lz3u
@user-ve9sb4lz3u 2 ай бұрын
Mungu pekee ndiye mlinzi wa kweli na hakika. Mungu amlinde na kumuinua zaidi kaka yangu Paul Makonda.
@eliasnjoolay6454
@eliasnjoolay6454 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤vzr Sana mwandishi umedadafua vzr Sana!!!!!!
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 ай бұрын
Jpm ni amerudi kupitia makonda
@alimzee
@alimzee 2 ай бұрын
Yes yes ata mm namukubali makonda ila mm ni mkenya
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
Kila la kher makonda❤❤
@COMPASSIONMEDIA
@COMPASSIONMEDIA 2 ай бұрын
Kwa sasa Makonda sii tu mkuu wa mkoa wa Arusha,,,,Bali ni mkuu wa mikoa yote kwa jinsi anavyofuatiliwa na kupendwa kwa utendakazi wake. Kuna kazi zinafanywa mikoa mingine kupitia mfano wa Makonda Arusha.😅
@MarioMwambasa
@MarioMwambasa 2 ай бұрын
Hakika tunamkubali sana.
@MOPEBLETv657
@MOPEBLETv657 2 ай бұрын
Huyu tumpe kula zetu tu za urais jamani, he deserves it, narudia, he deserves it, this is Magufuli junior..❤
@Leonardmpemba-xj1wy
@Leonardmpemba-xj1wy 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@jojomario916
@jojomario916 2 ай бұрын
Mungu akubaliki Makonda mtumishi wa haki
@johnboscontirandekura6010
@johnboscontirandekura6010 2 ай бұрын
Paul makonda atauja kuwa Raisi wa inchi ya Tanania mungu amulinde
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 2 ай бұрын
Mashalla mungu alinde makonda
@user-vh1st4fk3j
@user-vh1st4fk3j 2 ай бұрын
Inshallah 🙏
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 2 ай бұрын
Makonda piga kazi
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 2 ай бұрын
Nyota haiwezi kung'aa bila kupambambana anajipambanua na mungu atamlinda maana mke wake naye awe na moyo huo alionao maana wakashindwa wataka hata mke awe aduwi iliwapate paingilia tuwaombee kwa mungu kweli
@katondostudio652
@katondostudio652 2 ай бұрын
Yn naomba kila mala ili uweke Jina 2025
@mussaMagaji-ey1tu
@mussaMagaji-ey1tu 2 ай бұрын
mchapa Kaz
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
amebaki Sabaya. huyu akirudi duuh Mungu wangu...Tanzania yetu twakushukuru eh Mungu Mkuu. Mungu mkumbuke Sabaya ni kijana mzuri sana
@emmanuelkubambala1998
@emmanuelkubambala1998 2 ай бұрын
Maadui wa PCM wanahofia sana kuenea kwa jina hili nchini kuelekea 2030, watajiinua juu yake na hawatashinda. Big up Makonda
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 2 ай бұрын
Naomba Mheshimiwa Makonda aangalie Filamu ya "Safari ya Gwalu (ru)" ...ya Muigizaji wa Kitanzania (Gabo). Mimi nilisoma Fasihi..... Simama Mheshimiwa Makonda.
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 2 ай бұрын
Anafaaaa kabisa kuwa rais
@ThomasIkerrs
@ThomasIkerrs 2 ай бұрын
Kila la heri Makonda,nakuona mapema sana ukiwa Rais wa Tanzania.
@felixsanga
@felixsanga 2 ай бұрын
Iko roho ya Mungu ndani ya mtu siyo umri!!Ila ajihadhari na wanaomtumia!
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 ай бұрын
❤❤❤
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Mama umecheza kama Pele kumumrudisha Makonda tena mchapa kazi kweli umeifufua Ccm ilikuwa inaondoka wananchi walikuwa wanataka Kiongozi anaetetea Wanyonge maskini walalahoi wazee wamachinga wanaomba utashindq kwa kishindo kwa nguvu zote
@ThomasIkerrs
@ThomasIkerrs 2 ай бұрын
Alitakiwa kuchapa kazi yeye kama Makonda,wengine wote wangeiga,sasa yeye anapiga usingizi tu,wengine nao si watalala.
@jumannesaid4873
@jumannesaid4873 2 ай бұрын
next presid...
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 ай бұрын
Makonda nakutabiria mkubwa siku za uson utatuongoza naomba nam utanipa kaz nataman kupeperusha bendela ya TANZANIA
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 2 ай бұрын
Anazaliwa
@MichaelKazungu-sw5xy
@MichaelKazungu-sw5xy 2 ай бұрын
Wasifu wa Makonda
@kingbkmusic
@kingbkmusic 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 ай бұрын
Aruxha tumepata mtu🎉
@ThobiasAlexander
@ThobiasAlexander 2 ай бұрын
Wenye kutamka tamka vingereza Ili tujue kuwa ni wasomi,hao ndio bure kabisa hamna kitu.Walienda shule kusomea lugha si vinginevyo.Makonda hanaga utumwa utumwa huo.
@uziasinkamba7380
@uziasinkamba7380 2 ай бұрын
Mungu aturehemu tu ukweli makonda umekuwa faraja kwetu wengi sana hapa Tz tunaona matunda ya kazi yako.hatakama unapigwa kwa siri ama kwa wazi laki Mungu anajambo kubwa juu yako bro kazana kupiga goti tuko pamoja usiogope wewe ni mali ya Mungu .Nakushukuru kwakua unajuwa kwamba Mungu ndiye amekupa kibari mbele ya wakuu ili wakuone.heshima kwake ndipo wafuate hao.Sara dua maombi mkuu ndiokilakitu mkuu achana na matunguli yao , Uliye naye nikilakitu
@MissMadamoman
@MissMadamoman Ай бұрын
Huyu mbona wanatoa sitori yake jamani mh kuna mawili hapo jamani kuna namna
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 2 ай бұрын
Makondaaaaa🎉
@mercyzakariah
@mercyzakariah 2 ай бұрын
Makonda no 1 kwa uthubutu wa kusikiliza wanyonge wa tz baada ya kuondokewa na magufuli. Viongizi wote walikaa kimya mnoo... Nakonda alivyo ingia2 ndo wakwnza kutatua kero za w tz no 1 makonda,,
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 2 ай бұрын
Ndugu mwandishi,,Tanzania haijapata uhuru,,Iliyopata uhuru ni marehemu Tanganyika
@AsumaniMAtanga
@AsumaniMAtanga 2 ай бұрын
Vana Vakanaka
@FahmiNassor
@FahmiNassor 2 ай бұрын
2030 makonda RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA JERRY SLAA MAKAMU WA RAIS WALLAH TANZANIA ITAKUWA NCHI BORA KATIKA BARA LA AFRICA mawaziri ambao ni wadogo na wakuu wa mikoa na wilaya igeni mifano ya MAKONDA NA JERRY SLAA tufanyieni kazi nchi iwe bora natamani sana MAMA SAMIA ampe viti malumu MAKONDA ampe wizara na AFYA hakuna wa kuimudu zaidi ya MAKONDA
@MakoyeBq
@MakoyeBq 2 ай бұрын
Raisi ajae
@Lucas-xx2lb
@Lucas-xx2lb 2 ай бұрын
Baba wa taifa Magufuli makonda viongozi hawa wanapaswa kuigwa
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 ай бұрын
Huyo Mungu ambae mna hofu naye,mmefanya nini?
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 2 ай бұрын
MBONA MAGU ALIMFUKUZA KAMA ALIMWAMINI
@Profshab_Company
@Profshab_Company 2 ай бұрын
Hakumfukuza Bali alijiuzuru mwenyewe
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Hakufukuzwa alijiuzulu akaenda kugombea Jimbo la Kigamboni bahati mabaya alishindwa kura za maoni.
@e11said23
@e11said23 2 ай бұрын
Wauwaji wote wanasifiwa kafanya nini nyerere mzalendo magu
@josephpeter8511
@josephpeter8511 2 ай бұрын
JPM=PCM
@josephpeter8511
@josephpeter8511 2 ай бұрын
JPM =PCM. Let Jesus continue to give you wisdom from above.
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 2 ай бұрын
Wasukuma wameumbwa kufanya kazi kwa nguvu zote. Popote alipo ni mtu wakunitegemea Kila siku kwa kazi ni balaa
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 2 ай бұрын
kweli kabisa vibaka wamepungua asaivi sasa wanaanza kurudi maan ya viongozi waliopo
@BMDESIGNZ
@BMDESIGNZ 2 ай бұрын
Makonda = The new Magufuli
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 ай бұрын
Jpm ni amerudi kupitia makonda
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 2 ай бұрын
Kijana alie aminiwa na kikwete kwanza na kupewa ukuu wa wilaya
HAILE SELASSIE: Mfalme  Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!
16:02
Global TV Online
Рет қаралды 902 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 4,1 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 12 МЛН
Kamala Harris's full speech to the Democratic National Convention
37:39
CBC News: The National
Рет қаралды 339 М.
The Destruction of Madinah and The Greater Israel | Ustadh Wahaj Tarin
51:59
OnePath Network
Рет қаралды 1,3 МЛН
FULL SPEECH: Barack Obama’s full speech at the DNC
36:08
ABC News
Рет қаралды 3,5 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 4,1 МЛН