MBUNGE DKT. MABULA YAMKUTA KAMA YA MPINA, ATAKIWA KUPELEKA USHAHIDI KWA SPIKA, "WAZIRI NI MUONGO"

  Рет қаралды 26,746

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu Ай бұрын
Hata huo ushahidi ukiletwa sijui kama utafanyiwa kazi. Mwisho wa siku Mh. Dkt Angelina atageuziwa kibao kuwa ameongea uongo.
@geey7893
@geey7893 2 ай бұрын
Mbona ukiletewa ushahidi unawafukuza bungeni mpumbav
@billgussy6099
@billgussy6099 2 ай бұрын
Hivi spika kwanini anaibeba serikali hajui yeye ninmuhimili? Hivi mbona standards za bunge zimeshuka kiasi hiki?
@HaulSidney
@HaulSidney 2 ай бұрын
Huyu tulia yuko kulinda maslahi ya mafisadi wa hii awamu ya sita
@JMMM686
@JMMM686 2 ай бұрын
Hongera Mhe.Mbunge
@DanielKipindo
@DanielKipindo 2 ай бұрын
Hongera kwa kipi?
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu Ай бұрын
Kwa kusema ukweli​@@DanielKipindo
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
kama ndicyo tuweke utarativu watu wasiongezeke.lakini Mungu aliagiza e nendeni mkaongezeke mijaze nchi Sasa mbona mnakiuka maagizo ya Mungu?
@KulwaZephania-lm5fk
@KulwaZephania-lm5fk 2 ай бұрын
Haki gan unatetea mawazir wawakilishu husikii waingereza ludin mtutawake
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm 2 ай бұрын
Napenda haki jamanii
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 2 ай бұрын
Wewe,watu wachache wahodhi ardhi kisingizio ni uwekezaji,wakati wengine hawana hata mita moja ya mraba
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 ай бұрын
Hao wazee walikuwa wapi miaka yooote hiyo mpaka wakose aridhi!!
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
​@@williammbuzimai5744sidhani kama umefikiri kabla ya kuandika
@apwplumbing8998
@apwplumbing8998 2 ай бұрын
Mh: spika tuma tume ifanye uchunguzi wa haraka
@KulwaZephania-lm5fk
@KulwaZephania-lm5fk 2 ай бұрын
Hii ndo Tanzania naogopa kutekwa mie
@HajiMgwami
@HajiMgwami 2 ай бұрын
Inashangaza sana wakatiwa kufanya siasa ni huu, Mabula ni mbunge tena wa muda mrefu sanaaaaaa, anasema wagonjwa wa kiume na kike na watoto wanalala wodi moja baada ya ujenzi ulionza toka mwaka 2019 kuto kukamika, Swali, Mabula ana pokea Tsh M15 TO M18 Kwa mwezi, inamaana kweli ameshindwa kujenga bweni moja tu la kuwatenganisha wanaume wasilale pamoja, ujenzi ambayo haughalimu hata Tsh M5. LKN ANAKUJA LEO SABABU NI WAKATI WA UCHAGUZI KUONEKANA ANATETEA WANANCHI, MAMBO HAYA YANAFIKILISHA SANAAA
@SanziNzige
@SanziNzige Ай бұрын
Mavibaraka ya ikulu hovyo hovyo tu
@OmaryAlly-x1j
@OmaryAlly-x1j 2 ай бұрын
Asante
@CharlesElias-zh5hz
@CharlesElias-zh5hz 2 ай бұрын
We majivuno ya Nini SI tunataka kazi sio majivuno. Miaka kumi ya ardhi inanuka rushwa tu. Hunalolote. Mama haya maguruguja unayarudisha ya Nini. Wasom wako weng huon wengine.
@DavidGasper-q6w
@DavidGasper-q6w 2 ай бұрын
Acha ulevi wa madaraka ,maisha yana leo na kesho
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 ай бұрын
Spika ni wA mchongo,
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 ай бұрын
Spika anabisha nini? Huyu spika ana mtetea nani? Mtu wa ajabu sana,
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 2 ай бұрын
Kwn kubadilisha vyumba hivyo kuwa wodi inachukua muda gan? Anachosema mbunge kwa asilimia kubwa unaweza kuwa ukweli.. hizo kanuni kwenye mambo mengine siyo rafiki
@stanleysanga7758
@stanleysanga7758 2 ай бұрын
Kama munajua Hilo Kwa Nini munongeza mapoli tengefu
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 2 ай бұрын
Nadhani Mbunge kama analeta taarifa bungeni akiwa na nafasi Serekalini isichukuliwe kama ni taarifa ya Mbunge ili Wabunge wapate nafasi ya kushauri na kukosoa Serikali. Hapo nadhani Bunge lingepewa tena nafasi ya kufuatilia kwa kina kuona kama Serikali kupitia Naibu Waziri wanasema ukweli badala ya kua na maneno yanaowatisha Wabunge wanaokosoa utendaji wa Serikali.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Kwa uelewa wangu nchi hii haijawahi kuwa na bunge kwasababu kila siku wabunge wakileta hoja za zinazohusu uovu wa serikali spika anakuwa wa kwanza kuikingia kifua serikali
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 2 ай бұрын
Tanzania kama watoto yaani kila jaribio la kutetea mtanzania spika anaruka ruka dah
@MalandoJilala
@MalandoJilala 2 ай бұрын
MUNGU anawaona!
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 2 ай бұрын
Supika unamatatizo huyo ni Mbunge wa Huko Sasa unabisha Nini Hizo Sheria aya mfukuze na Mbunge wetu kama ulivyomfanyia Mpinam
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
Huyu spika kuna time anahisi nchi hii anaweza kufikiri kuliko wote na yeye ndiye mwenye kipimo cha ukweli na uongo
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Kama watu wanaongezeka na ardhi ni ile ile, basi tunao wajibu wa kujenga kwa mpangilio ikiwemo kuelekea juu (vertical), pia kupunguza kuzaliana ovyo (mtu hana mme/mke lakini anajizalia kama mchezo na kuterekeza mtoto hata mama/baba) though hili litakuwa na upinzani mkubwa
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Tunga sheliya siyo ngojela
@davidyongolo8102
@davidyongolo8102 2 ай бұрын
Spika ukoje wewe?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Nangau😢😢😢😢
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 ай бұрын
Hii nchi kila kitu sisa tu, sasa mbunge na wazir nani anakuwa site.
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 2 ай бұрын
UMEFIKA WAKATI KWA SERIKALI KUACHA KUTWAA MAENEO YA SERIKALI KWA AJILI YA UFUGAJI WA KIENYEJI NA UJENZI WA MAKAAZI.HADI SASA TANZANIA HATUNA TATIZO LA ARDHI KABISA BALI NI VURUGU TU ZA BAADHI YA WAHAMAJI WALIOACHA MAENEO YAO MIKOANI NA KUKIMBILIA MIKOA MINGINE KULETA VURUGU.
@mossessimon2493
@mossessimon2493 2 ай бұрын
Huyu kiazi sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Spika wewe kinachotakiwa uheshimu kile anachosema mbunge maana hata kama ni kujenga hawawezi kukamilisha ujenzi sehemu za taasisi kwa siku saba
@BeatusNgereza
@BeatusNgereza 2 ай бұрын
Spika unendesha bunge kibabe, na unabagua watu wa Kanda ya ziwa
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 2 ай бұрын
Anatoa maelezo bubu anatetea ujinga ,,,,,,
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y 2 ай бұрын
Nyie gawaneni mishahala kodi zetu mtaani maisha magumu hospital za masikini watoto wenu hawatibiwi humo
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 ай бұрын
Si inchi ipimwe?
@abelabba7809
@abelabba7809 2 ай бұрын
Stop kuwatisha wabunge. Nonsense
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 ай бұрын
Tangu lini
@GeophreyMsomba
@GeophreyMsomba 2 ай бұрын
😅😅😅ccma m😅😅😅😅kwakupoteza mada😂
@danielmanko9164
@danielmanko9164 2 ай бұрын
Yale yaleee!
@CyprianoKikoti
@CyprianoKikoti 2 ай бұрын
Mbona humsikilizi mbunge muwakilishi wa wananchi
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Ushauri wangu mambo ya wodi za wanawake na wanaume tuwaachie Uongozi wa hospitali. Na tuwaongezee madaraka manispaa waahughulike na huduma kwa WanaNchi wao Bunge liachwe liangalie mambo ya Kitaifa zaidi.
@josephudoba5563
@josephudoba5563 2 ай бұрын
Mbona unamkandamiza mbunge
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 2 ай бұрын
Lazima wagune 😢
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
Unampa kibogoyo nyama atafune? 😆
@christophermboya7676
@christophermboya7676 2 ай бұрын
Huyu spika ni ziro brain
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 2 ай бұрын
Haya sasa
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 2 ай бұрын
Mgeni aje mwenyeji apone barabara njia nane kupita ngorongoro
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Mfukuzeni na huyo
@ngussam.buyamba8367
@ngussam.buyamba8367 2 ай бұрын
Tutaelewana tu ni suala la muda
EKSKLUZIVE: Fredi Beleri në Zone e Lire
57:40
Zone e Lire
Рет қаралды 21 М.
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 28 МЛН
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 28 МЛН