MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.

  Рет қаралды 220,126

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@CostaLuwingo
@CostaLuwingo 6 күн бұрын
Mwaga sarakasi mpaka kwa spika ili wajue kua tumekutuma utupiganie wananchi wako baba.😅😅😅😅😅😅❤❤😅😅😅
@Nyoni_Tv
@Nyoni_Tv 2 жыл бұрын
Nataman awe mbunge wetu 🙌🙌
@NeymantBoy
@NeymantBoy 4 ай бұрын
du kwa kweli umenichekesha sana unafaa kuwa comedian sip mbunge🎉🎉🎉🎉
@YusuphHamisi-y6j
@YusuphHamisi-y6j 4 ай бұрын
Hyu kiongoz mzr anamazoex
@jasminhamisi-u8r
@jasminhamisi-u8r Ай бұрын
Sema Baba wakuelewe😂😂🥰🥰
@NaaalsGroup-us8bq
@NaaalsGroup-us8bq Жыл бұрын
Asante mungu akupe umri sana kwakweli yani raaa anachangamsha bunge yy na halima wako mbele 😂😂😂😂😂😂
@siliviamashaka4326
@siliviamashaka4326 2 жыл бұрын
Hongera unatumia Kura yawanainch wako vizuri
@MagrethJames-j5s
@MagrethJames-j5s 24 күн бұрын
Mbunge wetu ni noma😅😅
@hoseajoseph
@hoseajoseph 2 жыл бұрын
Nakupongeza Sana mheshimiwa natamani nikuone nikupe heshima yako
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
Hongera Sana watakuelewa tu
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 6 ай бұрын
Wasipotimiza Piga misarakasi bunge zima , mpk Kwa Spika
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 4 ай бұрын
Hahahahahaha
@PhilipoPetro-d2e
@PhilipoPetro-d2e 3 ай бұрын
Kweli hii njia ni mbaya sanaaaa
@gaspermolell5776
@gaspermolell5776 2 жыл бұрын
2ngekuwa na viongozi kama haw kama20 tz 2ngepiga hatua sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 жыл бұрын
Sawa,maana anaonesha msisitizo na kukumbusha serikali kuwa wananchi anaowawakilisha wanahitaji vitendo sio ahadi.
@kubwadrray403
@kubwadrray403 2 жыл бұрын
Uhakika nakubali unaweza
@AliyAmbangile
@AliyAmbangile 3 ай бұрын
Duh hii komedi ila inasaidia san😂😂😂
@rastalukumai
@rastalukumai 2 жыл бұрын
Mwanaumeeeeee
@GivenSengo
@GivenSengo 15 сағат бұрын
Safiii
@RashidMavula
@RashidMavula 2 ай бұрын
Bunge ni tamu sanaa
@limbukitulanhawa4109
@limbukitulanhawa4109 2 жыл бұрын
Naona bunge haliko sawa jamani tofauti na mwaka 2017,,
@AntoniaMpepo
@AntoniaMpepo 18 күн бұрын
Sawa baba
@rajabushilingi4272
@rajabushilingi4272 2 жыл бұрын
Ewaaaaaa safii sana
@SaidiJumunneSaidi
@SaidiJumunneSaidi 5 ай бұрын
Ana akil mno mtajuaje😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jacquelinelekule426
@jacquelinelekule426 2 жыл бұрын
Nimempenda bure muheshimiwa
@fkirumba1463
@fkirumba1463 2 жыл бұрын
Huyu anaelewa anachokifanya Waliomchagua hawajakosea
@ClaudManyanda
@ClaudManyanda 2 ай бұрын
Pigasarakasi spika aone
@KelvinMgunga
@KelvinMgunga 4 ай бұрын
Sisi huku mbunge wetu ni mzee, sasa ataweza kweli kupiga sarakasi?
@rastalukumai
@rastalukumai 2 жыл бұрын
Wewenimwanaume ongea baba tukusikie nawengine waige kutoka kwako
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
inabidi watu waonyeshane kua sasa watu hawana mchezo sio mizaha ambayo haina tija kabisa ,🤣🤣
@KabuluFlano
@KabuluFlano Ай бұрын
Pambana MH upate kura.
@KumbushoIsmail
@KumbushoIsmail 4 ай бұрын
Nakubali
@BASSOHAYSHIb4q
@BASSOHAYSHIb4q 3 ай бұрын
Duhhhh wa manyara kweli mwendo ni huo huo
@glorympuwa9599
@glorympuwa9599 2 жыл бұрын
Mbunge ni kwamba unahasira!!!!!!! Au
@gozbeelaurenty7812
@gozbeelaurenty7812 2 жыл бұрын
Kweli huyo ni kiongozi wa. Wananchi anafatilia majukumu yake. Ongera sana
@tazamamaajabuyaulimwengu2786
@tazamamaajabuyaulimwengu2786 2 жыл бұрын
Wangepaswa kumuwajibisha amelikosea Sana bunge
@limbukitulanhawa4109
@limbukitulanhawa4109 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa mmbuge wetu,,
@mohamedially5330
@mohamedially5330 2 жыл бұрын
Kweli mkuu
@johnmichael4535
@johnmichael4535 2 жыл бұрын
Hahahahah umetshaa wataelewa2
@PauloMassawe-n3w
@PauloMassawe-n3w 3 ай бұрын
Sawa kabisa
@Jemsiisaya-x6h
@Jemsiisaya-x6h 4 ай бұрын
Atuewi
@lusajooden5185
@lusajooden5185 2 жыл бұрын
Kweli sana inaburudisha,inaelimisha na pia inatumika kukosoa,,da mh mbunge umenifulaisha sana kwa kutumia sanaa kufikisha ujumbe na pia umeniburudisha kisawa sawa yani nimecheka adi machozi yamenitoka,yani umenichekesha kuliko ata masanja joti na mpoki walivyokuwa wakinichekesha,,asante sana kwa kunipunguzia mastress,auna baya.Nakuunga mkono kwa harakati zako za kuwapigania wananchi wako
@hamisikisuju8223
@hamisikisuju8223 2 жыл бұрын
Daah! Mbunge kaongea point tupu na kutuburudisha
@CostaLuwingo
@CostaLuwingo 6 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@CostaLuwingo
@CostaLuwingo 6 күн бұрын
Hahahahaaaaaa, mwaga sarakasi mpaka kwa spika ili wajue kua tumekutuma utupiganie wananchi wako baba
@JosephButika
@JosephButika 2 ай бұрын
Nyumb ya nandi
@josepharmandus7639
@josepharmandus7639 2 ай бұрын
duuu
@NoelMiyenda
@NoelMiyenda 4 ай бұрын
Axa mbona hili balaa
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 2 жыл бұрын
inauma kwa kweli, watu wana shida, ilibidi asisitize ki hivyo
@MaryBura-e3u
@MaryBura-e3u Ай бұрын
Haaah Kwa kwel anaweza miaka 10 tena
@charlesmsembele3769
@charlesmsembele3769 3 ай бұрын
Em nchek tena
@rithaurassa
@rithaurassa 4 ай бұрын
Mtajua hamjui. Mpaka apewe haki zake.mnaona kila mtu hapo bungen ni mafara
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Safi sana
@elineemamchomemchome9992
@elineemamchomemchome9992 2 жыл бұрын
Jamani limekuwa mbunge ganihilo
@pskiseya
@pskiseya 2 жыл бұрын
hahahhahhaa hii nchii bhnaaa daaah
@Victor-w9b4u
@Victor-w9b4u 2 ай бұрын
Vionhoz kama hawa wangekuwepo weng Tanzania tungekuwa mbal
@AnentBuhangwi
@AnentBuhangwi 4 ай бұрын
Jmn kina maty muonen mbung wen
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 3 ай бұрын
Anahoja ijibiwe kwa ufasaha.
@Abuushaymaatz
@Abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Safi
@CastoryMlelwa-p3z
@CastoryMlelwa-p3z 2 ай бұрын
Mze uko saw
@SimonFaida
@SimonFaida Ай бұрын
Shigongo
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Nikwli kabisa🔥🔥💞
@BabaNasritz
@BabaNasritz 3 ай бұрын
@DabimAlly
@DabimAlly 3 ай бұрын
Mhh😂
@SamSamweli-y8n
@SamSamweli-y8n Ай бұрын
😂❤❤😂😂😂😂😂
@SafaryChiduo
@SafaryChiduo Ай бұрын
Kocha wa yang 2:18
@pasichalmartin9386
@pasichalmartin9386 2 жыл бұрын
Clauds fm
@ThomasNkimbily-z6n
@ThomasNkimbily-z6n 2 ай бұрын
Mbunge huyu anatisha
@ShaabanChowo
@ShaabanChowo 2 ай бұрын
Ametisha huyo
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 6 ай бұрын
Daaa so sad
@janemfinanga8258
@janemfinanga8258 2 жыл бұрын
Angekuwa na uwezo angemchapa makofi mtu hapo
@ModyChiboko11
@ModyChiboko11 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DagrasProtas
@DagrasProtas 3 ай бұрын
Atar
@hamadiabdallah3906
@hamadiabdallah3906 2 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@mariamally1244
@mariamally1244 2 жыл бұрын
Haaaaa kuna myeleka
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏🤗🤗👌👌Good
@salumuabusalumu
@salumuabusalumu 3 ай бұрын
😅😅😅
@SadkiKuyava
@SadkiKuyava Ай бұрын
Malawimziki
@yuliknyomolelo
@yuliknyomolelo Ай бұрын
😅
@feisal6592
@feisal6592 2 жыл бұрын
Ukiona hivyoo hamnaachakulaa upoo
@ZukraHussein
@ZukraHussein 11 ай бұрын
😮😮😢😢😢😂😂😂😂
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 ай бұрын
Stady of discuss so many challenges facing tanzania people outcome this are type of mp we have in palament hit table celebration everything gavment give them lnstruction whale ather country palament stand for peaple give gavment lnstruction Sasa ndio Hawa wabunge waruka sarakasi
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@HajraHalidi
@HajraHalidi 3 ай бұрын
Huyu anafaa san sisi uk hanna maji wala shule
@oscarsakilu2494
@oscarsakilu2494 2 жыл бұрын
Hakuna lolote hapo unafki tu analeta masiara kwenye Amna watu wanateseka we unapiga sarakasi mi namjua vzur huyu mtu
@MagutaNtina
@MagutaNtina 4 ай бұрын
😂😂
@mewasemanuel8413
@mewasemanuel8413 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@NachingweaLocation
@NachingweaLocation 3 ай бұрын
K Mmmm
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mamuguda1704
@mamuguda1704 2 жыл бұрын
Hahahaha
@dalilaally6118
@dalilaally6118 2 жыл бұрын
Hahahahahaa
@lanlady2504
@lanlady2504 2 жыл бұрын
Wanasiasa wengi ni sanguine personalities, yaani wanapokuwa mbele ya umati wa watu wanaweza kufanya chochote. Hata kama ni baba/mama yako, wewe ndio utabaki unaona aibu. Rejea wabunge waliowahi kulia hadharani, kutishia kuvua nguo, kupiga magoti, kugalagala chini nk. Yaani ni haiba zao; na wala hawajutii au kuona aibu. 😄😄😛
@ayshabirali5335
@ayshabirali5335 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@magotikamese7951
@magotikamese7951 2 жыл бұрын
Wabunge kama hawa wanashusha hadhi ya Bunge!
@HamadiSamli
@HamadiSamli 23 күн бұрын
🫡🫡
@DorothyBundi
@DorothyBundi 3 ай бұрын
Akuje kenya aruke kwa kichwa ya kimani ichugwa ndio aache unjinga
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 2 жыл бұрын
Huuuuwiiiiii kzbin.info/www/bejne/ml6WnISFiLxghKs&feature=share
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
Huyu alitakiwa kufukuzwa mle mjebgoni saaa ileile lakini kwa kuwa zizi ndio zizi kazi na iendelee kwani iko nini?
@SimonySimonymaicko
@SimonySimonymaicko 2 ай бұрын
@masterngao5538
@masterngao5538 2 жыл бұрын
Safi
@VeronicaMgoto
@VeronicaMgoto Ай бұрын
😂😂😂😂😂
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!!
10:02
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 582 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН