MBUNIFU WA MASHINE ZA KUZALISHA UMEME WA MAJI NA UPEPO

  Рет қаралды 13,071

COSTECH Tanzania

COSTECH Tanzania

5 жыл бұрын

George Ulaya ni Mbunifu kutoka Sumbawanga Mkoani Rukwa anaye tengeneza mashine za kuzalisha umeme wa Maji na Upepo pamoja na vifaa vingine

Пікірлер: 10
@benedictbuberwa3943
@benedictbuberwa3943 5 ай бұрын
Hongera sana kwake
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Noma sana
@Ibrah287
@Ibrah287 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hadhina ya nchi, Naona ana utaalamu sana wa maswala ya Umeme wa H.E.P
@kizazichajpm9653
@kizazichajpm9653 3 жыл бұрын
Safi sana engineer
@huxleylian8853
@huxleylian8853 2 жыл бұрын
you prolly dont care but does anybody know of a trick to log back into an instagram account?? I was dumb lost the login password. I love any assistance you can give me.
@simbaonetv4096
@simbaonetv4096 5 жыл бұрын
naomba namba za huyo mtaram
@ananiamkongosa5438
@ananiamkongosa5438 5 жыл бұрын
nahitaji hyo huduma kwenye mto wa kijijini kwetu 0782535044/0654293641 tuwasiliana kwa ajili ya gharama
@cyprianmallya4670
@cyprianmallya4670 4 жыл бұрын
Naomba mawasiliano ya huyu jamaaa naitaji akanifungie umeme kama huwo. Mawasiliano yangu ni 0683 25 00 45 0654 84 40 40
@costechTANZANIA
@costechTANZANIA 4 жыл бұрын
@Cyprian Mallya Asante kwa kutembelea account yetu namba ya mbunifu ni 0755802948
@cyprianmallya4670
@cyprianmallya4670 4 жыл бұрын
@@costechTANZANIA Nashukuru Ngoja nimcheki. Nawashukuruni sana nimempata uyu bwana. Asante sana
Mini Hydroelectricity With 4 Extremely Powerful Water Outlets
13:58
Construction General
Рет қаралды 78 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
‘Mwanakijiji’ abuni umeme Njombe, asambazia kaya 70
2:48
Kampuni kuzalisha bajaji za umeme Tanzania
4:37
VOA Swahili
Рет қаралды 426
MAAJABU YA MBUNIFU KUTOKA SUMBAWANGA!
8:50
African Press
Рет қаралды 2,2 М.
SALUM WA SUMBAWANGA(BIASHARA YA MISUKULE)_Part 1
43:41
PROMOVER TV
Рет қаралды 2,1 М.
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН