Kutana na Rojas Mathayo Msuya mkazi wa Kawe Dar es Salaam, abuni mtambo wa kuzalisha umeme ndani ya siku 9, waanza kufanya kazi ndani ya nyumba yake.
Пікірлер: 993
@sadickrichard78493 жыл бұрын
alomuona bwana injinia kafanana na senga gonga like
@hoseasteven62413 жыл бұрын
hhhhhhhhhaaaaahhhha umetisha bro niyeye kabisaa
@efkavi773 жыл бұрын
ni ajabu sana kwamba katika video yote ndo umeona hilo bro
@zuhurazuh5163 жыл бұрын
Yaan mm kila Nikimuangalia Nasema mbn Huyu Mzee na Mfananisha na Msaniii daah Kumbe ndio Sengaaa Uwiiii Nimeelewa
@patrickrobison70913 жыл бұрын
Huyu Jamaa kaka yake Senga nini?
@mtuisofa32593 жыл бұрын
Sanaaaa
@wasmebahati12243 жыл бұрын
Mafundi wote 🤝.Twende pamoja , 🇹🇿 AFRICA UNITED TO THE WORLD
@upendowakwelinaamani10603 жыл бұрын
Serikali yetu Tz tunaomba huyu baba kwa uwezo aliokua nao apewe nafasi ktk vyuo vya VETA ili hii elimu alio kua nayo akawafundishe wanafunzi kweli huyu baba ana madini hata km hakusoma elimu ya darasan lkn anauwezo wa hali ya juu tusiiache hii hazina ipotee bure tunaomba watoto wetu wakajifunze ufundi alionao kupitia yeyw huko veta na ukizingatia tuko katk kipindi cha serikali ya viwanda atatufaa sana.
@comicvisual86613 жыл бұрын
Uko sahihi Kabisa mkuu
@georgematahimba52423 жыл бұрын
Tupe contact zako
@gracekapinga43563 жыл бұрын
Naomba no ya Mr Msuya nahitaji anitenhenezee huo umeme
@chiefmjukuutm6666 Жыл бұрын
Kabisa
@stephenking3602 Жыл бұрын
Wee ndg yangu, tatizo viongozi wetu bado wana mfumo wa magharibi, yaan kujipatia pesa kwa kutumia matatizo ya wanyonge, sasa wawafundishe tena!? Maana wanajua ujinga Ndio utakaowafanikisha wao yako wapi!!!!?
@tronadc73 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 tunavipaji vingi tumpe support mzee wetu
@paskalmasake33423 жыл бұрын
Mjitahidi kubuni kabla hamjazeeka muwe hazina
@japharynduko61393 жыл бұрын
Yani kama ingewezekana mitaala ya elimu ikatolewa kwa mfumo wa self reliance yan elim ya kujitegemea maendeleo ya Tanzania yangekua kwa kasi sana izo ndio elimu tunazotakiwa tupewe darasan
@mussamati52163 жыл бұрын
Kweli ndugu ila wanatupa ujinga tunamaliza hatuna lolote
@msamgunda76843 жыл бұрын
Ww unataka upewe elimu gan.masomo unavyosomeshwa ndio hayo hayo wanayoyasoma wao. Shida hufundishwi kujifunza na kutatua changamoto zinazoikabil jamii yako. Unafundishwa kufaulu mitian yako.
@christianemma95563 жыл бұрын
Hii Elimu inatolewa darasani , secondary Form 3
@efkavi773 жыл бұрын
@@msamgunda7684 msikilize jamaa hapo, angesoma hadi chuo kikuu hangeweza kufanya hata nusu ya anayofanya. hapo anakuambia kasoma hadi sekondari kidogo tuu
@hassansalumu2103 жыл бұрын
@@msamgunda7684 ndio maana mdau kashauli mitaala ya elimu ibadilishwe kwa sababu uliyoitoa wewe
@newbornhaule16353 жыл бұрын
Sasa Huyu anatakiwa aitwe professor Sasa kwanini tusimtumie Huyu msomi
@starlightofficial52143 жыл бұрын
Yes Professor
@credosajila80083 жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu
@dedanowino78523 жыл бұрын
Ako juu ya ma engineer wote africa mashariki walio timu kwa taalaumu ya umeme.
Wakoloni wangemkata mikono hawa wa sasa wanakukata mikono kwa kukupotezea
@africanmandetraveler28473 жыл бұрын
TRA msitumie task force kumnyanyasa mzee ,asikilizwe si kila kitu tuagize China mafundi wenye vipaji vya kuzaliwa navyo wapo Africa .Big up faza kwa kipaji chako.
@JosephKapanga4 күн бұрын
Hongera sana Mzee unastahili kupewatuzo Kwa ugunduzi huu.viongozi wa serikali wa tz acheni wivu mnatazama TU nakuondoka.Hafu hiyo elikopta usingepeleka uingereza wazungu ni wezi TU.
@masundelwa3 жыл бұрын
Mfumo wa ELIMU hizi za kikoloni ndio zinarudisha nyuma maendeleo ya taifa letu.... Gonga like twende Sawa.
@nicodemmabala19043 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mbunifu sana na ana skills kubwa sana kwa kweli serikali imuwezeshe na ikiwezekana apewe mtaji wa kujenga chuo ili aanze kufundisha vijana hii taaluma ili tuwe na hazina kubwa ya vijana wenye utaalamu kama huu.
@kimwilliard89333 жыл бұрын
shida inakuja serikali imeisha spend trillions of money kwenye mega projects za umeme. sasa wakimsupport huyu inamaana hayo mabillion ni kama wametupa kwenye shimo. cha maana nibkumchukua huyu jamaa na kumfadhili awaonyeshe utaalamu wake waingie nae mkataba ambao jaamaa atafaidika kwa taaluma yake. then wapange mipango ya baadae jinsi gani watatumia huo utaalamu kuzalisha umeme in huge scale.
@emmanuelbonifase11143 жыл бұрын
Afrika fitina atupeani sapoti angekua mzungu apo angetangazwa sanaaa
@whatisthetruth.87933 жыл бұрын
Kwa wazungu huyu ni akina Bill Gates , akini kwetu hatumjali wala hapati msaada wowote ili kumuendeleza kwa manufaa makubwa ya taifa
@whatisthetruth.87933 жыл бұрын
Halafu tunalia ajira , ni watu kama hawa wazungu huwapa mitaji na sehemu za kufanya utafiti , matokeo kunzisha viwanda vya kutengeneza vitu kama hivi , na kuajiri maelfu ya watu . Huyu atakufa tutashindwa kumtumia kwa maslahi mapana ya taifa .
@victormushi66413 жыл бұрын
NGOZI NYEUSI NA ROHO NI NYEUSI HIVYO HIVYO
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
Ni kweli lakini hilo linachangiwa na mengi sana ndugu. Huyu bwana binafsi namtafuta nikimpata ndani ya isiyozidi miaka miwili niulize hapa ama utasikia japo kwa ufupi kupitia vyombo vya habari.
@Kijana-wa-Tanzania3 жыл бұрын
@@victormushi6641 Tusijifikirie hivyo mkuu. Bado tunaweza licha ya kupotezewa mwelekeo na watu weupe waliokuja kama marafiki kwa mababu zetu kumbe ndio maadui wakubwa!
@jmytz9833 жыл бұрын
For sure he is blessed and is more talent.we just support him now is time to believe in our self African we can.
@tanzaniafxlab3 жыл бұрын
Asante Ayo TV kwa kuibua hiki kipaji, kwa kusema kweli kampuni ya Tesla ingeona hiyo teknolonolojia, huyo Bwana wangemnunua, Kwa sababu wazungu wanastruggle kupata umeme wa magari, lakin huyu jamaa amekuja na namna ya kuleta hiyo nishati bila external source Hii ni tunu, wahusika wajitahidi kuzingatia
@nrwawanndeny73943 жыл бұрын
Jamani shule(elimu ya magharibi ndiyo inayotulemaza akili zetu)
@samuelkima21353 жыл бұрын
Joo unitengenezee
@justinebahati47043 жыл бұрын
kama huitumii vizuri utabaki kulaumu hivohivo lakini huyu mzee hajafanya kitu kipya na hata kwa hapa nchi COSTECH wanaweza kutusaidia tatizo hatuna data base ko mtu akifanya jambo anaweza kuhisi yeye ndo wakwanza asipopata mtu wa kumpa changamoto
@onesmojustice23483 жыл бұрын
@@justinebahati4704 Fanya yako moja tuone
@justinebahati47043 жыл бұрын
@@onesmojustice2348 U kno wat sometimes proving yourself is an insult
@bwokemwa22993 жыл бұрын
O lord, protect this man. I'm coming to find you, I need this for me❤️.
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
I can also make this electrical equipment but I can't afford to buy it
@ivaniavianarodrigo72013 жыл бұрын
taifa la tz limijaaliwa, vitu vingi ila viongozi ndo tatizo
@simonlurai70333 жыл бұрын
haswa vingozi wakiwawezesha tutaiyona Tanzania mpya
@seventcentlothy1053 жыл бұрын
Hongera sana mzee wangu natamani nifike kwako nami nijifunze kitu
@Chapesatv3 жыл бұрын
Dahhh sasa Tanzania ya viwanda sihawa watu wenye vipaji vyao wa kuajiriwa dahhh God bless you more.
@wicklif1 Жыл бұрын
I lack words to tell this innovator. Keep it up, you will go far. Naomba number ya huyu Mzee
@wilfredkuyonza6753 жыл бұрын
Tunaomba mawasiliano yake tafadhali maana tunaishiaga kuona hv vipaji kwenye mitandao lakini namna ya kuwapata hawa watu ili tuwasapoti kwakutumia kazi zao inakua ngumu
@nrwawanndeny73943 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mkali kuliko hata Isack Newton.
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
Kabisa kabisa, ndugu yangu.
@abdlhaleem83803 жыл бұрын
Yaan isack Newton, Galileo, pascal.. Wote wakasome kwa huyu jamaa...
@isaachassan433 жыл бұрын
Ni kweli
@gregorynjama64933 ай бұрын
Mimi nakukubali Bwana Rojars ila naomba namba yake ya simu
@katyetyegosper2183 жыл бұрын
Tesla alikua mvumbuzi walimzingua Mzee una kipaji sana Nahitaji Namba yako Nataka nahitaji Mtambo wa 2 million. Nilikua naangalia Uvumbuz wa prof mmoja kuhusu Magnetic river ambayo inafanya kitu kizunguke chenyewe na ni rahis kupata umeme lakini wewe mzee umetumia nguvu ya kukwepana Kwa sumaku ukavuna umeme You have done awesome work 👏👏👏
@dennismenace51743 жыл бұрын
Ukipata nipe pia
@francismhoja81512 жыл бұрын
Naomba namba yake huyo mzee
@andrewmabeba5826 Жыл бұрын
Mzee namba ndio amesahau kutaja
@afreyghp343 жыл бұрын
Hongera Sana mzee upo vizuri Sana,. Siyokwamba wameshindwa kuku support, nkwamba wanaogopa kuuwa sokolao la umeme wa luku,. That why wanakaa kimya.
@stefanogizzler3 жыл бұрын
Free energy I think, si atuonyeshe vile ameweka hizo magnets, atupee contact!! Watching from the UK Midlands
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
I can make this electricity, but give me financial strength so that I can do better, but he is not there
@innocentmafuwe46863 жыл бұрын
Mzee chunga hhi tanzania bhna ina mambo mengi ao viongozi co kwamba hawajui umuhim wa huu mtambo ila ni kwamba wanalimda maslai ya tanesco
@peterlyaruu74643 жыл бұрын
Mzee yuko vizuri! Naomba namba yake tafadhali! Asante!
@shahayamrema4812 жыл бұрын
Ulipata no yake
@simons96933 жыл бұрын
This are the ideas we are looking for in 21st centuary. I believe you can do great things. Kuddos Matayo
@MosesNyota3 жыл бұрын
Great talent... Love from Nairobi.
@fredchaki67123 жыл бұрын
Namba ya engineer tunaomba muhimu
@samsonistephano33273 жыл бұрын
Mshikaji kichwa sana serikali imuunge mkono anaweza kuifanya tz kuwa ya mfano
@harmonize97663 жыл бұрын
Tafathali milard ayo naomba kuwasiliana na mzee huyu 🙏🙏nipo tayari kulipa gharama yoyote .......BRAVO FROM KENYA.....
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
I can also make this electrical equipment but I can't afford to buy it let's get together let's do it in kenya maybe it can be beneficial for you Tanzania doesn't care about innovation
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
Nitafutie mdhamini nije kwa huko kenya tuuvumbue Tz huku unapotezwa kama vile wanaona utatajirika kuwazidi wao
@lucasalphonce88048 ай бұрын
@@renaldbusanya361weka mawasiliano yako
@yasinrasheed57433 жыл бұрын
This man could solve energy crisis and make us supper power in Africa and world ,this is brilliant mind.
@mannabu93333 жыл бұрын
Ungetenza mwing tu uwaazie watu maaana Tanesco wanazingua sana kukata kata umeme kila siku bila sababu
@KINYASI2 жыл бұрын
Daa, watu wetu wanaangamia na marifa. Tanzania tunakua tegemezi na huku wataalamu wa asili na ni kipawa. Jamani huyu mtu yuko wapi ???
@kajolo12883 жыл бұрын
Jamani😰 watu wanavipaji vyao, kwann bado tunateseka na umeme sasa. Robo ya gharama za mitaji mikubwa na ukazalisha umeme mkubwa zaidi. Clean energy tena na hakuna hata kelele
@mrmago48703 жыл бұрын
Huyu mzee awezeshwe afungue kiwanda kwaajili ya uzalishaji na mafunzo... nafikiria tu kama mashine zitafungwa mitambo ya umeme kama hiii... basi biashara ya mafuta itakufa!
@alfanm.82213 жыл бұрын
Pengine atengeneze iwe kama generator lkini kiwanda hapo nayo utakuwa umejidanganya maana serikali itokubali ama kuumpa kibali.
@mrmago48703 жыл бұрын
@@alfanm.8221 ndiyo manake... atengeneze iwe kama backup.... hata hivi ilivyo, serikali ikimpa kibali awe anaengeneza kwa oda; najuwa watu watahitaji kwaajili ya backup kwenye nyumba zao pale tanesco inapokata!
@dralhajijbmatatala45802 жыл бұрын
Kweli Kabisa. NTAPARAJE NO YAKE?
@sindayiheburacesar67332 жыл бұрын
Please can we get the contact for this technician. If there is possibility please I need it. He deserves support.
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
I can make this electricity, but give me financial strength so that I can do better, but he is not there
@mishaelmusiba3053 жыл бұрын
Hawa ni watu wamuhimu saaaana, Tanzania tuwatumie ili tuwe huru kiteknolojia.
@nansal552 жыл бұрын
Labda kama kuna kitu anaficha..... ila Hicho anachokieleza sio kweli. Hiyo sumaku ya kati haiwezi ku-move kama hizo sumaku za pembeni ni PERMANENT magnets.. ita move tu kama hizo magnets zitakuwa ELECTROMAGNETS na si vinginevyo
@israelmkaka28072 күн бұрын
Kasome Vizuri Physics
@salimbilali51743 жыл бұрын
Huyu mzee ako na kipaji sana laiti serikal ingefaham wangemuwezesha kuzidi kupanua icho kifani chake ili kifahamike hadi nchi zingine afrika tuko sawa bigup Kenya bigup tz
@godloveelikana42413 жыл бұрын
Hawa vindoki nchi nyingine wanakumbatiwa kama kifaranga.Kama itakuwa ni kweli baada ya kuhakikiwa basi huyu tunaiomba Serekali imtazame kwa jicho la kipekee sana.Tuache mazoea ya kujidharau kuwa watu weusi hatuwezi.Mtambo kwa sasa unaonekana umefunikwa hatujaona ndani bado. Huyu mbunifu si wa kumpuuza hata kidogo.Wagunduzi wa umeme/nishati kwa vyanzo mbalimbali hapa duniani hawajafikia bado hatua hii.Elimu na maarifa hayapatikani darasani tu na elimu za makaratasi wakati kiuhalisia unakuta wengine hawashabihiani hata kidogo na kile kinachoonekana kwenye vyeti japo sidharau elimu naomba nisinukuliwe vibaya.Kuna baadhi ya watu duniani huzaliwa na vipaji na uwezo wa ziada kuliko wengine na hiyo ni tunu waliyopewa na Mungu muweza wa yote.Hakika huu ugunduzi ukifanikiwa utakuwa ni rafiki kwa mazingira sana na nafuu sana.Endelea kutupa yanayojiri Ayo Tv.
@vedastokeya33443 жыл бұрын
Huyu ndie anatakiwa kuitwa profesa haswaa tz huyu tayari bilionea ni mda tu
@ernestniyo84753 жыл бұрын
Mimi sio mtanzania ila huu jamaa namkubali sana kama fundi wa halii ya juu kabisa yani watanzania mumusapoti kwa hali zot atatufaa africa nzima big up mzee
@donga30943 жыл бұрын
African genius. Hongera kwake. Fanya hima atafutiwe ufadhili kwanza apate hati timilifu ili asaidike.
@someaafrika.33793 жыл бұрын
1:56 alipotamka tu "Jua kali Nairobi" aise mzee huyu ni zaidi ya msomi.
@jacksonmodaha15903 жыл бұрын
Naomba tupeni namba ya Mawasiliano ya huyo mzee Wa Umeme
@derrikdesertman45643 жыл бұрын
Ooiii hapo Jua kali kuna nini mpaka uone ni msomi?
@claudekeverenge44043 жыл бұрын
Jua kali Kenya Wana wa akituma kinyama daily kusaka unga kutumia vifaa kadhaa kama vyuma bovu. Kaza njoo nipo Nairobi
@georgeikinya27793 жыл бұрын
A senior official from the ministry of energy visited him and witnessed his capabilities and everything stopped there. This why Africa take off to industrialization stagnates. No willingness and deliberate efforts to tap and nurture our talents that die out before our very eyes as we scamper for and glorifies cheap Chinese products.
@kitundaemmanuel68113 жыл бұрын
Serikali yetu ikipitisha mfumo wa mtaala ya kujifunza kwa kufanya, watanzania tungeepuka kutegemea bidhaa na huduma nyingi kutoka nje. Hakika serikali inahitaji kodi kujenga uchumi wa nchi yetu lakini umeme usio wa kulipia ungesaidia sana kuendeleza uchumi wa viwanda na kupitia shughuli mbalibali za umeme kununua mara moja uchumi wa watanzania ungekuwa kwa kasi sana. Naipenda Tanzania, ahsante mwenyezi MUNGU kwa vipaji hivi.
@greggmarshall48692 жыл бұрын
Ndugu huyu Amebarikiwa, Mungu mulinde sanaa na pia fungua milango aweze kuwa mchango mkubwa kwa watanzania wote,, kwa raia wenye uchumi mdogo tayari watakuwa wamesaidiwa na hata uchumi wao utaongezeka na nchi itazidi kujitangaza si kwa utalii tu bali na kwa ubunifu huu Alindwe na Maombi yake yote yasikilizwe na sikuminywa tukuweee
@paulalphonce58483 жыл бұрын
@Millardayo, naomba kuunganishwa na jamaa kwa ajili ya kununua mtambo kwa matumizi ya ofisi.
@martinredisony46942 жыл бұрын
Vp umepata mawacliano ya huyu mzee nahitaji mtambo
@simonmwandu22143 жыл бұрын
Oyaaa boss mie nakushauli nenda machimbon kwenye migod ya zahabu wachimbaji wadogo ukafunge huo mambo wako harfu unawasambazia umeme utapiga pesa sana mzeee
@MichaelCNtaho3 жыл бұрын
Ni wazo zuri ila nahisi tanesco hawata muacha salama...
@hosenimwelekwa53672 жыл бұрын
Duh!! We have talent in our country, government must support him
@johnkona15813 жыл бұрын
Safii Sana ndugu naamini kwa serikali hii utaitangaza tz kimataifa hongera sana
@paulhhari88613 жыл бұрын
Kwa serikali ipi? Wewe huoni wanajifanya hawamwoni maana wanajua wakimruhusu tu kutengeneza mitambo ya kuzalisha umeme Tanesco itakufa, maana watakosa mapato yatokanayo na LUKU🤣🤣🤣🤣
@johnyty4983 жыл бұрын
Huyu mzee ni shida, 5000W inatosha sana kwa matumizi ya nyumbani ila bado cjaelewa anatumia motor inayota izo 233V au anatumia motor ya low voltage eg. 12V halafu ana invert to 233V? All in all akinitafuta mm huo umeme tungeufanya uwe level nyingine kabisa
@alexanderkapinga7003 жыл бұрын
Sasa we kwanini usimtafute sasa unasema angekutafuta unalengo au unatuzingua tu kwa maneno matupu?
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
Mimi pia huu umeme naweza utengeneza tena na nilishajaribu kutengeneza mpango wa kubuni pikipiki ya umeme ambao haushi na kwa hali ilivyo sasa ya mafuta bei juu ni pesa ya nje nje boda boda wengi wangepeta huu mpango wangu lakin vifaa sasa navyovihitaji 😔😔 ndo gharama ningepata mdhamini mbona ni moto💥💥
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Nimependa sana
@kakawamashariki89783 жыл бұрын
Ukuu wa Mwafrika utadumu enzi hata enzi haijalishi mbinu za mabeberu chini ya baadhi ya vibaraka wazawa kuuangamiza.🗻🇹🇿
@jeanmariendikuriyo41743 жыл бұрын
Hongera saaana mzee mngu akulinde
@emmanueltesha67373 жыл бұрын
Naiyomba serikali,,isaport,,aweze kuwa na kiwanda cha kutengeneza mashine hzo zakutosha,,watu Kama hawa ni azina ya nchi
@whatisthetruth.87933 жыл бұрын
Wati kama ndio wanao watumia wenzetu wazungu, kupewa mitaji , na sehemu kubwa kufanya ufafiti wao na kuanzisha vitu kama simu ya mkononi , washing machine etc . Matokeo huanzisha maelfu ya ajira
@philipsijenyi88413 жыл бұрын
Plz I ineed mawasiliano ya huyu jamaa
@whatisthetruth.87933 жыл бұрын
@@philipsijenyi8841 sikiliza uzuri katika hiyo video nafiri kuna sehemu anasema vp unaweza wasilina nao
@olaycereuben4193 жыл бұрын
So amegundua free energy machine
@nikky47573 жыл бұрын
Hakuna kitu kama hicho jamaaa ni mdadisi mzuri ila kitaalamu hiyo mashine itarun kwa muda fulani then itazima so ni mwendo wa kuwasha .uwezi create energy hata siku moja ila unaweza change one form of energy to another
@ramexkhamis76823 жыл бұрын
@@nikky4757 naomba unipe fact kama itazma na itazma kwann
@nikky47573 жыл бұрын
@@ramexkhamis7682 huwezi create energy also kama anatumia dynamo kama sijamsikia vizuri means ni papertual mashine ukiweka factor kama frictional force means efficiency itakuwa inashuka kadri muda unavyozidi kwenda Also.huoni kama haingii akilini kwamba ana mtambo wa kufua free anergy lakini anakwambia anautumia pale umeme unapokatika why utumie umeme wa kulipia na unaweza fua wa bure,sikatishi tamaa hata mm enzi nipo diploma last year nilipropose project ya mechanism kama hiyo madoctor walikataa nilikuwa mbishi pia ila wakanielewesha na mm nilipofuatilia kwa karibu kwa kusoma nikaona ningefeli .niliishia kufanya nyingine ya kutengeneza umeme kwa kutumia radio wave ambayo mwisho wa siku ilinifanya nijutie coz nayo nilikurupuka kufuata utundu ila chuo unatakiwa uwe na explanation ya theory uliyotumia kwa maelezo na mahesabu
@ramexkhamis76823 жыл бұрын
@@nikky4757 Nimekuelewa mzee iyo kweli ni perpetual machine. Na perpetual machine ni really theoretical tu kama walivyoeleza kwenye kitabu cha "Physics for entertainment" by Y.E Perelman 1913, na apo itakua inawaka kwa mda na kuzima haiwezi kuwaka milele. Maana ikiwaka milele itakua imeviolet law of thermodynamics
@awesafariАй бұрын
Na appreciate sana kazi ya huyo mzee naomba namba yake nataka hyo system pia please
@mohamedsung48912 жыл бұрын
Safi sana mjomba Usiseme sjasoma kipaji ulicho nacho ni zaidi ya elimu Ulichokosa wewe ni cheti tu ila elimu unayo Watanzania tujifunze kupenda,kuthamini na kujali vya kwetu, huyu mjomba akipewa saport atafika mbali sana
@fredyfile6233 жыл бұрын
Safiiiii sanaaa tatizo la nchi yetu watu waliona wakikuvumbua mifereji yao ya hela itakatika
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Umesema kweli,ni ubinafsi na roho mbaya.Kuna wakati marehemu Magufuli aliligusia hili kwamba hapa Tanzania mtu akiwa inventor badala ya kumpa support wanampiga vita.
@chifupromise95753 жыл бұрын
lazima wakuzime wanaogopa utauwa biashara zao. lakin usikate tamaa ipo siku watakubali tu
@54plus412 жыл бұрын
To Ayo tv, Tafadhali nipee namba ama email ya msuya.naona nikwa mda lakini ningetaka kununua mtambo.
@paulaluba83723 жыл бұрын
Tutumiye namba sisitukokijijini mashambani tunasumbuka na tatizo la umeme natunaweza kugalamiya garama zote za vifaa vyaufundi pamoja na malipoyote ya ufundi kamaalivyotaja apo tafazali tunaomba mtutumiye nambazake iliatusaidie asante sana
@kaimbe3 жыл бұрын
The First Law of Thermodynamics (Conservation) states that energy is always conserved, it cannot be created or destroyed. In essence, energy can be converted from one form into another.
@simbawakwale23473 жыл бұрын
tafsiri kwa kiswahili hahahah
@geraldboto26453 жыл бұрын
Ina maana hiyo umeme haiwezi dumu zaidi ya maisha ya smaku. Kila wakati umeme ikiwaka smaku inapoteza mvuto. Kwa hiyo ukihepa kulipa stima bado Utanunua smaku ya kiasi cha ghalama ya stima ambaya angelipia.
@mercynnko48353 жыл бұрын
@@geraldboto2645 Jamaa uko vizuri sana, kwako Physics iko sawasawa kabisa. Ninakuelewa sana. Big big up!
@Ndu-wa.uroony22 жыл бұрын
@@geraldboto2645 acha upumbavu
@geraldboto26452 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 nimeacha
@tanzaniafxlab3 жыл бұрын
Jamani, wazungu wanahangaika kuhifadhi umeme kwenye betry, huyu jamaa kaizidi hata kampuni ya Tesla, selikali ione namna ya kuunda kikosi kazi cha kushirikiana na huyo Bwana kuja na product zitakazoleta independence Tanzania Na kuserve hata majirani wengine Pia huyo jamaa asiseme namna hiyo engine inavyofanya kazi maana wajanja wengi, ili teknolojia yake iendelezwe
@IbrahimMohamed-yy2il3 жыл бұрын
Alindwa haswa huyu jamaa na TANESCO waangalie wapi pa kupatia Kodi from this technology maana Tena UTUMIZI WA KUFUA UMEME KWA MAJI NDO MWISHO HUU TUKIWA SERIOUS. HAPA UCHUMI UTAKUWA HADI RAISI MAGUFULI ATASHANGAA IMAGINE TRENI YA UMEME HUU, VIWANDA, MATUMIZI MAJUMBANI. TENA HAUIISHI.
@danielavelin21613 жыл бұрын
Huyu mzee ni shida asee bravoo
@ernestmbwana62823 жыл бұрын
Mzee Msuya Hongera sana ambiere.. kwalugha yetu mzima evava Shida hapo mijitu ya Ewura,Tpdc na Tanesco inakuangalia huku ikisema whata fwqk hatutaiba hela tena .binafsi natarajia kununua kwako mtambo huo Wa 2million
@dralhajijbmatatala45802 жыл бұрын
ULipata Namba yake??? Namhitaji huyu mzee
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
Huu ndio utajiri wakutupwa na umaskini wa kunuka vinavyopatikana Africa kwetu.jama angekua China saa hizi angekuwa ni bonge la tajiri
@matwenyalila2773 жыл бұрын
Naomba no ninunue mtambo Ayo
@user-bn6dq5ov9v5 ай бұрын
BABA TOA NAMBAWADAUTUPOOOOOOO
@twiserchaki60292 ай бұрын
Bravo...put this invention writing for the future use..
@johnrongu19833 жыл бұрын
Heko kwa huyu mzee much love from #kenya
@zachariamduma34113 жыл бұрын
Wazungu wanakua matajiri kwasababu ya technology,lkn sis tntaka madini na yanaisha
@nrwawanndeny73943 жыл бұрын
Jamani huyu jamaa alindwe wazungu wasimuue
@jeremiahzacharia76553 жыл бұрын
Hawawez kumuua ila watamchukua
@justinebahati47043 жыл бұрын
hawana huo muda wao walishatoka huko kitambo kzbin.info/www/bejne/sInHp5Jql6mGqas
@huseinaly51633 жыл бұрын
Wewee kelele bhana...cc tunawajali watu wenye vipaji Kama piere likwidi...ana kipaji Cha kulewa Hadi kulia jovyo?...Hadi bungeni tunawaita
@ommietrendz71753 жыл бұрын
Mwisho wa siku wampe kesi ya uhujumu uchumi maana hii serikali 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@andreamndeme15393 жыл бұрын
Mbona kuna adinani lisu aliyempgia kelele kipindi alipowekwa gerezani alishawahi tengeneza helcopta
@mcgoodluckeventz21753 жыл бұрын
Naiomba namba yake
@kenethraphael36043 жыл бұрын
Hakika
@zizuzidu9803 Жыл бұрын
Huyu jamaa hypomania (overtaking, flight of ideas which is organized), hiyo state ya hypomania ndo chimbuko la ubunifu na genius. Ukiwasoma wakina Newton, Albert Einstein walikua na hiyo hypomania state... From Psychology Doctor. Serikali iweke wizara ambayo itakua ina support watu kama hawa wabunifu waje wafanye mageuzi ya technology Tanzania
@zenassylvester1253 жыл бұрын
Tuna vipaji na mainjinia tatizo viongozi wanaangalia vyeti kuliko wabunifu...
@zefamange72813 жыл бұрын
UZA KAMA JENERETA WEWE MZEE? UTAKUFA BILA KUFAIDI KAZ YAKO
@mbokachawe96573 жыл бұрын
Yaaniiii
@mbokachawe96573 жыл бұрын
Anifundishe mimi
@novakauki55603 жыл бұрын
Nilijua no senga
@kibeginiblue71883 жыл бұрын
Scientist ♥️♥️♥️🙏🙏🙏 Serikali aichelewi kupiga marufuku
@farismkwayu18283 жыл бұрын
Huyu jamaa ni tajiri baba tengeneza mitambo mingi tusaidiane maisha
@leonardleonard61643 жыл бұрын
Mawasiliano yake kama inawezekana,yote kwa yote hongera sana ndugu
@jonickmbwilo3404 Жыл бұрын
Hongera sana mzee, naomba mawasiliano yake nimpe pongezi zaidi
@vincentauxerbius75543 жыл бұрын
Mzee una kitu kizuri sana kichwan kwako 😂😂😂😂😂😂😂 bonge la idea nakusapot