MBWADUKE: Fadlu tactical genius? Jinsi Mnyama Simba alivyotinga kibabe Robo Fainali CAF...

  Рет қаралды 35,169

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 89
@PaulJohn-w6j
@PaulJohn-w6j 13 күн бұрын
Mm nasema mbwanduke uko vizur sasa
@mwanawagurti4959
@mwanawagurti4959 14 күн бұрын
Uchambuzi bora wa muda wote hongera mzee wa data
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 14 күн бұрын
Mchambuzi wangu pekee ninayekuamini.....unajua sana kaka...🌹🌹
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 14 күн бұрын
Chemalone sijui anashida gani daah sijui shida nn apelekwe kwenye maombi tyuuuu maana siyo poa mzee wa data ❤❤❤❤❤❤
@adamkulwa7194
@adamkulwa7194 14 күн бұрын
Hongera sana kwa kugusa na madhaifu yao na kutoa maoni yako kipi kifanyike. Hongera sana
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 14 күн бұрын
well analyzed,nakupongeza sana mbwaduke
@ElikanaKimayi
@ElikanaKimayi 13 күн бұрын
Mwamba mchambuzi wangu wa kila mda mzee wa data 🎉🎉🎉🎉🎉
@jascinthakameleki104
@jascinthakameleki104 14 күн бұрын
Hakika kaka Mbwaduke,wewe NI mwalimu🙏
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 14 күн бұрын
Hongera sanaa Mzee WA data and facts 🎉🎉😂
@TriciaSambo
@TriciaSambo 14 күн бұрын
mi nashukulu tumevuka hatua hii hivyo tunashukulu mungu kutuwezesha maana haikuwa rahisi nilidushe tu sifa na utukufu kwa mungu bila kuwa mchoyo wa fadhira asante mungu
@NyangussiKimiti
@NyangussiKimiti 14 күн бұрын
Nawakumbu🎉sha mshitueni malon Nikama hiii xax ni mara ya 3 akichoma
@mwalaboy2572
@mwalaboy2572 14 күн бұрын
Fadru ni kocha ile sub ya chasambi ilikua ni ya ku switch tu ili kapombe atembee aloo hatar I love u simbaaaaaaaa
@YaaquobFonga
@YaaquobFonga 14 күн бұрын
Hongela baba kazi nzuri
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya 14 күн бұрын
Safi kaka, keep up 👏👏👏
@AbelMganga-j1o
@AbelMganga-j1o 14 күн бұрын
Hakika ww ni mchambuzi wa kiwango Cha juu
@EstaTito-b6h
@EstaTito-b6h 14 күн бұрын
Huyu kaka mchambuzi yuko vizuri sana huwezi jua ni shabiki wa tim gan hongera
@AjidaYahya
@AjidaYahya 14 күн бұрын
Ukosawa Mzee wadata
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 14 күн бұрын
Che Fondoh Malone ukuta wa Yeriko bado ni beki bora sana nahisi saikolojia yake haiko sawa anahitaji asaidiwe na mashabiki tutulie tumuache kocha afanye kazi yake
@wazuachanel3928
@wazuachanel3928 14 күн бұрын
Naungana na wew mwalimu anahitaji kuongea naye vizur ajifanyie mazoez kisaikolojia
@SalimuSalimu-qv5qt
@SalimuSalimu-qv5qt 14 күн бұрын
Kweli kabisa apo
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya 14 күн бұрын
Kabxa, maana n bek mzuri, tena anakaba xana, ila tu hakuna binadam asiye na kasoro, 2mwachie kaz mwalim amfanyie kazi
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 14 күн бұрын
@@Lazarokidulanya mm nahisi kuna kitu tyuuu kinamsumbua wanatakiwa wakae naye atakuwa tyuuu sawa anajua kucheza bc tyuuu
@filbertmahay32
@filbertmahay32 14 күн бұрын
Umechambua vema sana, Malone kweli anahitaji ashauriwe kibusara.
@OthmanMohamed-t9m
@OthmanMohamed-t9m 14 күн бұрын
Mchambuzi wangu bora.......
@MbarakaKusega
@MbarakaKusega 14 күн бұрын
Vizur sana
@RayaAmour-b8c
@RayaAmour-b8c 14 күн бұрын
Wew unajua❤❤❤Simba nguvu moja
@nelsontemba-zc4zt
@nelsontemba-zc4zt 14 күн бұрын
Umetisha nakufatilia mbaduke
@JuliusMwasenga-x3d
@JuliusMwasenga-x3d 14 күн бұрын
She maloni Fondo asikae na mpira nyuma tatizo Hilo litaondoa hofu kwa simmba
@mohamedkuyonga9515
@mohamedkuyonga9515 14 күн бұрын
Big up mchambuzi
@AmosChacha-q3h
@AmosChacha-q3h 14 күн бұрын
Unajua sna
@ElikanaKimayi
@ElikanaKimayi 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@RehemaSarija
@RehemaSarija 14 күн бұрын
We ni mchambuzi bora❤❤❤❤❤
@DanielChaula
@DanielChaula 14 күн бұрын
God is good
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 14 күн бұрын
Simba iingie sokoni kutafuta kitasa huyu mkameruun mambo mengi
@JaliaKharid-w5c
@JaliaKharid-w5c 14 күн бұрын
Huna baya
@bogitsamhenda5767
@bogitsamhenda5767 14 күн бұрын
Je Simba imefuzu Robo finally
@NYOSHI-n3l
@NYOSHI-n3l 14 күн бұрын
Ndiyo
@MnambengaJr
@MnambengaJr 14 күн бұрын
Uko vizur kaka
@dilludillu2747
@dilludillu2747 14 күн бұрын
Fondoh ni Manguire mtupu
@nyahingathadeo826
@nyahingathadeo826 14 күн бұрын
Unajua
@KevinMwadende
@KevinMwadende 14 күн бұрын
Tupo pamoja kaka
@hamadabdullah9702
@hamadabdullah9702 14 күн бұрын
Chemalone apumzishe kwnz km mech tan iv snawez akajirelebish makos yk
@SaudaFuko
@SaudaFuko 13 күн бұрын
Chamaron mbona unatufanyia kusudi au umerubuniwa na yanga unafanya kusudi ili tukuache wakuchukuwe! SEMA tuu maana makosa yanjirudia maana ukuta WA ertco umeuza
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 14 күн бұрын
Kocha anajitahidi ila kinachotukost ni makosa ya mabeki wetu. Ilitakiwa tupate point 3 kabisa😢
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 14 күн бұрын
Wewe ni mwalimu wa Caf
@isayamlala3075
@isayamlala3075 14 күн бұрын
Che Malone anashida ya kupiga pass fupi fupi
@simonjoshua1233
@simonjoshua1233 14 күн бұрын
🎉
@dr.elimikatv1919
@dr.elimikatv1919 14 күн бұрын
Simba inaishia robo
@frayy5595
@frayy5595 14 күн бұрын
Ushindwe na bchwa lakoo
@rahimsiraju9880
@rahimsiraju9880 14 күн бұрын
Simba nguvu moja
@bogitsamhenda5767
@bogitsamhenda5767 14 күн бұрын
Je ikitokea Simba ikafungwa Mechi ya mwisho na CS Constantine na Bravo's ikishinda kwa magoli zaidi ya 6
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya 14 күн бұрын
Simba kashafuzu hata kama bravo atashinda goli 100, haiwez kwenda robo, hii n kw sababu CAF huwa wanaangalia head to head, na kama unakumbuka bravo tulimfunga kwetu moja bila, na kwake 2mepata sare, hivyo simba kashatoboa kwenda robo fainal
@AndrewMwalenga
@AndrewMwalenga 14 күн бұрын
Ata ashinde mia,,apindui mana tulipokutana tulimfunga,,,icho tu ndo kina muangusha
@djchid2417
@djchid2417 14 күн бұрын
Nguvu moja
@hamisndoroba8355
@hamisndoroba8355 14 күн бұрын
Uchapuzi yakinifu
@AndrewMwalenga
@AndrewMwalenga 14 күн бұрын
Labda Kuna watu wameanza kumtumia kuihujumu timu yetu? Mungu amsaidie mana akigundulika amekwisha,,,ubaya ubwela
@RamsoMnete
@RamsoMnete 14 күн бұрын
Malone huwa anakuwa bora mda wote lakini anpokuja kufanya makosa bx yanakuwa makosa kwel ajiulize wap anakosea maan one against one
@johanessalvatory-ke6ss
@johanessalvatory-ke6ss 14 күн бұрын
Uyo atafutiwe mpinzan ili asugue bench kwanza ndo atakuwa na adabu umuon ngoma navyo parfom saivi
@KabweMakoa-y8x
@KabweMakoa-y8x 14 күн бұрын
Umeongea point ndugu
@lissochacha5218
@lissochacha5218 14 күн бұрын
Che Malone anatuangusa sana ni Bora auzwe tu tajiri alete beki mwingine
@networkeryuzzo09
@networkeryuzzo09 14 күн бұрын
Mgoja tuone matokea ys SIMBA VS CS CONSTANTINE tujue team gani tutakutana nazo na zipi hatutakutana nazo
@mohamedkuyonga9515
@mohamedkuyonga9515 14 күн бұрын
@SaudaFuko
@SaudaFuko 13 күн бұрын
Nina waswas chamaron umekula mlungula upande WA pili ndy maana unatufanyia kusudi IL tukuache wakusajili funguka cyo utufanyie kusudi kosa hilihiko
@AshmilyJafary
@AshmilyJafary 14 күн бұрын
Simba ata ongoz kundi
@franccoz94
@franccoz94 14 күн бұрын
Malone wamuuze tuu,tutafute beki mwingine
@nassormussa
@nassormussa 14 күн бұрын
Hapana nimchezaji mzuri upepo wa kibinadamu avumiliwe
@AndrewMwalenga
@AndrewMwalenga 14 күн бұрын
Sawa kabisa yawezekana anatuhujumu maksudi
@Jastus100
@Jastus100 14 күн бұрын
We ni mkamilifu huna mapungufu?
@MeshackBenjamin-f8k
@MeshackBenjamin-f8k 14 күн бұрын
Kupata beki mzuri unadhan ni kazi ndogo hapana sema tu kuna namna inatakiwa apunguze uzembe na kuongeza umakini tu ila aendelee kubaki tu
@luhende04
@luhende04 14 күн бұрын
Simba nguvu moja
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.