MBWADUKE: HATUA KWA HATUA POINTI ZINAVYOPATIKANA CAF/ NI RAHISI KUELEWA HAIHITAJI D2/SIMBA/ YANGA...

  Рет қаралды 35,215

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio Ай бұрын
The best football Analyist ever in Tz
@SamwelDanielNyambega
@SamwelDanielNyambega Ай бұрын
Asante kwa kutufafanulia Maan Kuna watu walikua wametupigia kelele mno
@binwasiumbanga9256
@binwasiumbanga9256 Ай бұрын
Ahsante sana teacher
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Ай бұрын
Kazi nzuri, uwezo mzuri, maelezo mazuri, uchambuzi umetukuka Be bliessed brother Mbwaduke
@DamianMagulu-il9dp
@DamianMagulu-il9dp Ай бұрын
Safi sana mzee bwanduke Mungu akulinde sana na akupe uhai mrefu ili tuendee kujifunza kupitia elimu yako. i like it
@fahilashukuru1476
@fahilashukuru1476 Ай бұрын
Uko vizuri sana mbwaduke uchambuzi wako ni bora sana
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Ай бұрын
Mbwaduke unatoa shule si kwa watazamajii wako tu bali hata kwa wachambuzi wengi was kibongo wanapata madini haya kupitia kwako - big up Mbwanduke wewe ni mchambuzi na ni mwalimu.
@peterstewart9935
@peterstewart9935 Ай бұрын
Umeeleweka mtaalamu,kazi yako ni njema..Hongera sana.
@charleswagunda
@charleswagunda Ай бұрын
Hongera sana kaka kwa ufafanuzi mzuri sana Mzee wa data
@theddenis2730
@theddenis2730 Ай бұрын
Mkuuu me na wewe adi kieleweke. Kazi nzuri
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 Ай бұрын
Asante sana kka
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 Ай бұрын
You are the best football analyst in Africa Keep up the good work
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 Ай бұрын
Kwa mantiki hii Yanga akiingia ROBO FAINALI atakuwa na 24 + (3x5) = POINTI 39; na Simba akiingia ROBO FAINALI atakuwa na 28 + (2x5) = POINTI 38. KWA HIYO HAPO KICHAKA KINAKUWA KIMEFYEKWA😜😜😜 Anyway thanks Teacher Mbwaduke for this knowledge. May God bless you.
@EmmanuelMrimi-v1r
@EmmanuelMrimi-v1r Ай бұрын
Yanga bingwa
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 Ай бұрын
Ramadhan Mbwaduke Fungua Chuo Usomeshe Wachambuzi Wa Kibongo, Maana Wanachosha Kuwasikiliza. Mbwaduke Pokea Maua Yako🎉🎉🎉.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Shukrani sana. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@MichaelMwalusi
@MichaelMwalusi Ай бұрын
Hakika mtu kuwa MSOMI si kuingia chuo kikuu pekee. Bro Mbwaduke, wewe ni msomi. Usichoke kutupa elimu. You really deserve a credit.
@enockmwaseba8380
@enockmwaseba8380 Ай бұрын
Uyu ndugu anajua
@edisondiokeresy2306
@edisondiokeresy2306 Ай бұрын
Unajua sana
@Tee-King
@Tee-King Ай бұрын
Izo point za yanga n za misimu miwili tu dah basi yanga anaenda kuishusha simba 😢 very soon .
@mnankagibore
@mnankagibore Ай бұрын
Boss
@JumaKitumbo-t4x
@JumaKitumbo-t4x Ай бұрын
Upo vizur kaka nimeelewa naiombe m/mungu.atujalie time yangu yanga iongeze poit hao wengine lolote wasiongeze wa simple hapo hapo tunakuja
@djparasite2556
@djparasite2556 Ай бұрын
Mungu azidi kukujaalia afya njema. 🔥🔥🔥🔥🔥
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Aaamyin!
@johnmanase2874
@johnmanase2874 Ай бұрын
Umetisha faza.
@InspirationalHardHat-cy2bz
@InspirationalHardHat-cy2bz Ай бұрын
Pamoja boss
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Mwaduke ndio mchambuzi bora wa muda wote wa mpira Tz achana na zile takataka kina Hans rafael
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Utopwenga pyeeeee Simba Oyeeeèe❤❤❤❤
@meddyblack6353
@meddyblack6353 Ай бұрын
Oyeeeeee
@Chidy-w2e
@Chidy-w2e Ай бұрын
Dah kichaka kinaenda kufekwa😂
@Almas120
@Almas120 Ай бұрын
Kazi nzuri sana
@imanimwankenjaxhonyela6910
@imanimwankenjaxhonyela6910 Ай бұрын
Your the best
@BashiruShemangae
@BashiruShemangae Ай бұрын
Nimekuelewa mzee wa data
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Kweli fungua chuo uwafndishe hawa wachambuzi uchwara
@godfreywilly639
@godfreywilly639 Ай бұрын
Kuna wachambuzi hajui kabisaaa! Hongera mbwaduke
@salimkadenge3231
@salimkadenge3231 Ай бұрын
Safi Sana mzee wa Data
@JohnsonMichael-c2x
@JohnsonMichael-c2x Ай бұрын
Uyu mbwaduke mmoja uwezowake nisawa na wachambuzi watano wa wasafi
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Duh!
@meddyblack6353
@meddyblack6353 Ай бұрын
Nilitak nimsahau na Salma ngare
@elirehemaringo8677
@elirehemaringo8677 Ай бұрын
simba na alama 39 yanga 31 imekuqje zikawa 28 kwa 29
@johnurio9151
@johnurio9151 Ай бұрын
Tunataka uwe rais wa TFF utuondlee waamuzi wenye mahaba na team,we ni mwanamichezo wa ukweli.teacher, nimekuwa nikijifunza mengi Sana kwako mwamba
@MathiasNicolaus-ff1hy
@MathiasNicolaus-ff1hy Ай бұрын
Kongole mwamba Sana we, umechinja 🎉
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 Ай бұрын
Mungu akujalie
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Aamyin!
@MUSAMAYEMBA
@MUSAMAYEMBA Ай бұрын
damn jenious
@ZaydShafii
@ZaydShafii Ай бұрын
Nakupata kaka
@mwilemela9133
@mwilemela9133 Ай бұрын
Moja ya wachambuzi bora tz naamnn wewe ni professor
@MahegaMarco
@MahegaMarco Ай бұрын
Safi sana
@User92.invisible
@User92.invisible Ай бұрын
Safi sana kichaka cha makolo kinaenda kufyekwa.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Duuh!!
@elishanziku8725
@elishanziku8725 Ай бұрын
MWADUKE niamini Mimi Rais SAMIA amekusikiliza kwa makini Sana. Soon UTEUZI UNAKUHUSU
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Aaamyin!
@IsayaNdunguru-l1q
@IsayaNdunguru-l1q Ай бұрын
Ww jamaa ulibidi uwe mwalimu wa mase
@AnthonyPilla-i8e
@AnthonyPilla-i8e Ай бұрын
Ww ni mwambaa
@SALIMMWAKALEJA-ny9fn
@SALIMMWAKALEJA-ny9fn Ай бұрын
MWAMBA haswa mbwanduke. Huyuuu ndooo mchambuzi.
@prospermbilinyi6145
@prospermbilinyi6145 Ай бұрын
Exellent
@MsafiriFeruze
@MsafiriFeruze Ай бұрын
Kaka nikiingia makundi mm yanga Na kuwa Na pointi ngap???
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Pointi 29...ila inaweza kuongeza zaidi pointi zake kulingana na hatua itakayofikia. Sikiliza hapo kwa utuo ili uelewe na matokeo yake kuepuka kupotioshwa. Ni rahisi sana kuelewa...fuatilia vyema!
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio Ай бұрын
Respect ​@@MbwadukeStats
@Adam-l4t6w
@Adam-l4t6w Ай бұрын
Yanga akiingua makundi atakuwa na point 29
@saimonjmai801
@saimonjmai801 Ай бұрын
Hapa umemaliza kaka yangu chambuzi langu, hata vichwa maji wataelewa tu, saf kabisa.
@jackoboabunuasi-hb4qc
@jackoboabunuasi-hb4qc Ай бұрын
Yani apa hasta mwaduke ueleze mara 10000 bado simba hawatokuelewa
@Kabaikonline
@Kabaikonline Ай бұрын
😂😂😂
@sairshelly
@sairshelly Ай бұрын
Ndiyo upeo wako uliåoishia hapo. Inaelekea umejuwa leo haya mambo
@EnockKambona
@EnockKambona Ай бұрын
wew ni tishiyo apa TZ
@bonifacealphonce490
@bonifacealphonce490 Ай бұрын
Kichaka kipi bn?mbona utopolo kilichokupa point ni hukohuko shirikisho?
@MussaMlowe-w5g
@MussaMlowe-w5g Ай бұрын
Nataka kujua yanga si amekusanya point31 kwa misimu miwili imekuwaje zimeshuka mpaka 24 @mwaduke❤❤❤
@MussaMlowe-w5g
@MussaMlowe-w5g Ай бұрын
Ahaaa nimeshasikiliza vizuriii na nimeeleww❤❤❤
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
​@@MussaMlowe-w5gCongrats!!
@elyleonard5122
@elyleonard5122 Ай бұрын
Mzee sauti inakata
@PeterAssenga-r1d
@PeterAssenga-r1d Ай бұрын
Hiki kichwa ni atar Mathe imelala hapo
@fatumasaid558
@fatumasaid558 Ай бұрын
Hapa nimekuelewa kuliko wale wenqine
@fredyelifuraha2553
@fredyelifuraha2553 Ай бұрын
Mikia hawawezi kuelewa hii dozi 😂😂😂
@sairshelly
@sairshelly Ай бұрын
Inaelekea ndiyo leo umeyajuwa haya mkuu😂😂😂
@meddyblack6353
@meddyblack6353 Ай бұрын
Wachambuzi kama nyie hapa bongo wamepotea kabisaaa yani kabakia mwamnyanyi na wewe pamoja na kocha tigana kidogo na George Ambangile
@saumu702
@saumu702 Ай бұрын
Ukovizuri
@theddenis2730
@theddenis2730 Ай бұрын
Kaka naomba utuangalizie adi sasa rangk imesimama wapi kwa team zote kiujumla
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Timu zote zipi? Kama ni Simba na Yanga sikiliza vizuri...inaeleweka kirahisi sana. Na kwa zile top 5 pia zimeelezewa vyema. ila kwa zote zilizomo kwenye orodha ya viwango vya uborea barani Afrika basi tutafanya hivyo baada ya mechi zote za klabu za CAF wikiendi hii... na tutaweka mkeka wote kwa kina ya kwanza mpaka ya mwisho. Be prepared!
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 Ай бұрын
@@MbwadukeStatsna hapa ndiyo tunaweza kupata uhakika sisi Yanga kama tutakutana na Mamelod Group stage.
@chrissbigo5555
@chrissbigo5555 Ай бұрын
Anzisha shule ya wachambuzi mkuu
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Wazo zuri. Tutaangalia namnaya kulifanyia kazi!
@Adam-l4t6w
@Adam-l4t6w Ай бұрын
Cjawah ona mchambuz tz anaejua kuchambua mpira km mwbwaduke Ramadan nikitaka kujua kitu kuhusu soka huwa nakuja hapa napata kitu kw mwalimu wa walimu huyu sio mtabili huyu ni mchambuz wa mpira
@stevenhassan269
@stevenhassan269 Ай бұрын
Itabidi niidownlod hii video ili hawa vyura wasinisumbue
@ShameNgeza
@ShameNgeza Ай бұрын
Kaka mbwaduke kama ni Mwalimu darasni hafeli mtu
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Haa ha ha haaaa😅
@chrissbigo5555
@chrissbigo5555 Ай бұрын
SWALI: Inakuwaje Club inashuka point lakini inapanda viwango vya ubora??
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Tenga muda usikilize hii na majibu ya maswlai yako yote utayapata humu.
@Maalim_Seif_-_Zanzibar
@Maalim_Seif_-_Zanzibar Ай бұрын
Wasemaji wengine ni waongo hawasemi kama wewe wao huleta maneno ya kuzidhalilisha timu za taifa letu, mbwaduke Nina mengi ya kuongea ila nafurahi kupata channel hii KZbin na kama upo sehem nyingine badala Hii nambie nije nikufollow nipate taarifa Zaidi Kwa wakati❤
@RobertMato-cs8uc
@RobertMato-cs8uc Ай бұрын
Sas mbona naona kama point haztasogea jaman
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Duuh😂
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f Ай бұрын
Yanga ikishinda inachukua nafasi ya ngapo africa
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Swali zuri. Vuta subira mpaka tujue timu zote zitakazofuzu hatua ya makundi kwenye michuano yote miwili, yaani CAF CL na CAF CC...baada ya mechi zote za wikiendi hii kwa timu zote tutajua na tutafafanua kwa kina na kuweka mkeka wote kuonyesha klabu ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mujibu wa CAF msimu huu wa 2024/2025.
@Adam-l4t6w
@Adam-l4t6w Ай бұрын
Itategemea na timu za juu yake kw Sasa ila akichukua kombe atakuwa na point 64
@charlesmlowe6093
@charlesmlowe6093 Ай бұрын
Mbona wengine wanasema simba point 39 na yanga 31 wewe 28 kwa 24
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Tenga muda. Similiza hii presentation huenda utaelewa vizuri sana tu. Maana maelezo yamenyooka na maswali yako yote yatakwisha. Naamini next time na wewe utakuwa ukitoa ufafanuzi huu kwa wengine.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Sorry: Sikiliza...siyo Similiza kama ilivyoandikwa hapo juu.
@Adam-l4t6w
@Adam-l4t6w Ай бұрын
Point zimepungua kutokana na msimu husika misimu ya chini ukatwa pale unapoongezeka msimu unaofuata
@thadeimatenga4397
@thadeimatenga4397 Ай бұрын
Du! Ina maana hapo Ulikuwa humsikilizi au Ulikuwa unawaza tu kwa nini pt za kolo zimepungua.
@SemeniJohn-x7k
@SemeniJohn-x7k Ай бұрын
Hakika wewe ndo mchambuzi wangu bora kuliko wachambuzi wote hapa tz huwa nakuelewa kuliko mwalimu dalasani balikiwa sana mzee wa data
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 143 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 97 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 61 МЛН
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:52:00
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 143 МЛН