MBWADUKE: TOBAAH! YANGA KWA KASI HII DHIDI YA VIGOGO BUNDESLIGA HUKO CAF KAZI WANAYO/MAXI, ABUYA...

  Рет қаралды 131,989

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...
KUMRADHI
MAXI KAFUNGA MABAO 11 + ASSISTS 2
Kuna mahala Mzee wa Data ameteleza kwa kusema Maxi kafunga mabao 9. Usahihi ni kwamba Maxi kafunga mabao 11 na kutoa assists 2.
By Mhariri - Mbwaduke Stats"Spoti Next Level"

Пікірлер: 125
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 Ай бұрын
Tunaoamini kuwa mbwaduke ndiye mchambuzi nguli anayeongea kwa data kuliko wachambuzi wote Tanzania gonga like 👍 hapa. Yanga bingwa 2024/2025
@babazizu1255
@babazizu1255 Ай бұрын
Haipingwi
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
Kiukweli diarra aimbwi kiviile kama washambuliaji ila ndo nguzo yetu inayotusaidia snastaili ata kua captain wa timu anavyokua golin anakua anaanasisha na wenzake asingekua yeye tungekula ata kono la nyani kivyangu ndo man of the match 💚💛🔥🇹🇿
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci Ай бұрын
Uhakika kabisaaa ila yanga Kila mchezaji bhn n Bora na wanaelekezana haswaaaaa
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
P
@SaraIlomo
@SaraIlomo Ай бұрын
​@@user-ln9tk3qr2rkiukweli yanga inatupa Raha sana
@davidndungu8619
@davidndungu8619 Ай бұрын
duke abuya we like u too much for good game
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 Ай бұрын
Hii Yanga inayokuja mimi mwenyewe naiogopa.Ingawa watu wanaichukulia poa,lakini tutaonana CAF CL na NBC PL
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci Ай бұрын
NBC Kuna watu watakufa
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
P
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
4:53😊 5:15 😊
@DavidMessi-h9c
@DavidMessi-h9c Ай бұрын
Mm nimwana Simba watani hicho nikipimo tosho, hongeleni.
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v Ай бұрын
Ww mwanaume
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m Ай бұрын
Mzee wa data mchambuzi wangu namba moja tanzania kwa sasa❤❤❤🎉🎉🎉
@MajutoMaunda-de5cj
@MajutoMaunda-de5cj Ай бұрын
Nakuelewa sana unatufundisha mazuri tusiyo yajua ❤❤❤❤❤❤
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo Ай бұрын
Salamu ziwafikie kilabu bigwa
@dullahdullah2344
@dullahdullah2344 Ай бұрын
Mzee wa data tupe takwim za max mpia nzengeli na za Azizi kii
@RashidiNjenga
@RashidiNjenga Ай бұрын
Yanga ii iko moto sana msimu ujao
@ManenoJuma-xd3ii
@ManenoJuma-xd3ii Ай бұрын
❤❤❤Unajuwa Sana kaka
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o Ай бұрын
Huyu mwamba ndio mchambuzi halisi He is always positive
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o Ай бұрын
Mungu tunaomba uzidi kuisimamia hiiii timu, Iepushe na husda zoote
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Asanteeee kaka nyie makolooo mmeisikia hiyo, kazi mnayo hapo ni kuwapiga kipigo Cha mwana ukome kutuzoea😂😂😂😂😂😂
@amanmalima940
@amanmalima940 Ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana<a href="#" class="seekto" data-time="846">14:6</a>, Warumi<a href="#" class="seekto" data-time="609">10:9</a>-10).
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Ай бұрын
Huwa najiuliza kwanini wachambuzi wengine hawajifunzi kwako kazi yao kukosoa bila takwim
@user-nm8my6ff5o
@user-nm8my6ff5o Ай бұрын
Yanga is the best club in Africa
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 Ай бұрын
Kazi nzuri
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
Yanga is the Best Club in African Currently "
@renatusthomas7819
@renatusthomas7819 Ай бұрын
Wakwanza naomba like 100
@annofrancis3697
@annofrancis3697 Ай бұрын
Safi sana kazi nzuri
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana
@melckassey9365
@melckassey9365 Ай бұрын
Hatar sana unajuwa mpaka basi
@stephennyamsacha2974
@stephennyamsacha2974 Ай бұрын
Uko vizuri mkuu
@allyramadhani9221
@allyramadhani9221 Ай бұрын
Hongera kaka
@EvansKalikwela-h6r
@EvansKalikwela-h6r Ай бұрын
Hii yanga tutafurahi zaid tusubili
@JacksonKulwa-tr3px
@JacksonKulwa-tr3px Ай бұрын
Yang a nihatar
@mgayamwananchi
@mgayamwananchi Ай бұрын
Mzee wa data umekosea apo Kwa Max Nzegeli kafunga goli kumi na Moja na sio 9.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Correct. Uko sahihi sana Kiongozi. Mzee wa Data ameteleza na ndiyo maana tumeomba radhi. Maxi kafunga mabao 11 na pia ana assists 2. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
@abdallahmuhibu
@abdallahmuhibu Ай бұрын
Safi sana mchambuzi wangu
@ValentinePetro
@ValentinePetro Ай бұрын
Hakiki sisi ni bingwa yanga noma
@EliwajaYunga
@EliwajaYunga Ай бұрын
yanga ni noma simba mtasema msimu ujao
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Hakika we ni mchambuzi msomi❤❤❤❤
@Sulaymiyahya
@Sulaymiyahya Ай бұрын
❤safi
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp Ай бұрын
Uko vizur sana
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
We iogope yanga Simba haiogopi Yanga Kucheza na timu ya Ausberg ya Ugerumani hat Simba ilicheza na Sevilla ya la Liga UEFA team
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 Ай бұрын
Najua kisirisiri unatuogopa hasa ukikumbuka zile mechi mbili tulizokupiga bao 7. Unacheza na Yanga nini 😂😂
@sadih5333
@sadih5333 Ай бұрын
Chenga tumewala
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 Ай бұрын
Acha kuwapa confidence, hawana pumzi na wamecheza na wachezaji ambao watatolewa kwa mkopo ispokua walikua wamepewa nafasi kuangaliwa semeni ukweli
@jonathanmindolo61
@jonathanmindolo61 Ай бұрын
PAMOJA NA KWAMBA MIE NI WA UPANDE WA PILI, MNYONGE MNYONGENI LKN WANASTAHLI MAUA
@StanyJohn-m5v
@StanyJohn-m5v Ай бұрын
Eebhn yang ipoh vizur
@user-mw8qv8wf5c
@user-mw8qv8wf5c Ай бұрын
Mbwaduke Mimi namwerewa xana
@longinoSimon-dz2eb
@longinoSimon-dz2eb Ай бұрын
Uko juuuu
@user-rz9xx7nx8t
@user-rz9xx7nx8t Ай бұрын
Wataelewa 2 maana wapo wanaonyosha midomo bila kuitazama zamu yao
@NelsonMushi-wp8hx
@NelsonMushi-wp8hx Ай бұрын
@FredrickSutta
@FredrickSutta Ай бұрын
Nyie watu wa Simba akili tope mwisho mtasema makombe yanga mabaya
@amidoibraimo6021
@amidoibraimo6021 Ай бұрын
Nakukubali mchambuzi
@begumisachristopher4697
@begumisachristopher4697 Ай бұрын
Msimu huu Yanga itakuwa tishio
@mercyfrancis3111
@mercyfrancis3111 Ай бұрын
Kwa numbers huyu mchambuzihatari sana
@selemanadamu7596
@selemanadamu7596 Ай бұрын
Max amemaliza na bao 11 na sio 9
@user-hn8vj1vn5y
@user-hn8vj1vn5y Ай бұрын
Ndio maana wameomba radhi hapo juu. Mzee wa Data kateleza tu katika matamshi yake maana yeye mwenyewe ameshaeleza sana kuhusu stats hizo za Mbape wa DRC
@user-hn8vj1vn5y
@user-hn8vj1vn5y Ай бұрын
Ndio maana wameomba radhi hapo juu. Mzee wa Data kateleza tu katika matamshi yake maana yeye mwenyewe ameshaeleza sana kuhusu stats hizo za Mbape wa DRC
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
😊
@bishopmgambomwenyecheo4610
@bishopmgambomwenyecheo4610 Ай бұрын
Hii yanga ya msimu huu kuna mtu atakula 10
@user-jb7nh5pp2e
@user-jb7nh5pp2e Ай бұрын
Nilikuwepo live uwanjani...yes nakukubali kwa ufafanuzi...
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Acha uongo,,uwe mbadala useme ulikuwa nao jmn😂😂😂😂
@fahimkhalifa5904
@fahimkhalifa5904 Ай бұрын
Timu ya Yanga ni bora sana lakini wachezaji wasijiamini sana wakaanza kucheza kistaa timu zote zimejiaanda na wanataka kuonyesha uwezo wao
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Hongera Mbwaduke kila mtu anavyoithamini kazi yake,kazi pia itamthamini
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 Ай бұрын
NAMI nmemkubari hyu jamaa
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Kazi wanayo madunduka walipokwenda kujifunza kuogelea na si mpira😅😅
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
<a href="#" class="seekto" data-time="460">7:40</a>😊 <a href="#" class="seekto" data-time="400">6:40</a>
@EmanuelAman-qb9zx
@EmanuelAman-qb9zx Ай бұрын
Mbwaduke hajawahi kuichambua yanga kwenye mechi yote yanga ikafungwa kama ipo nikumbusheni Hata Jana angesimama upande wa yanga tungeshainda nakuelewa sana kaka
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 Ай бұрын
🔥🔥💛💚
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl Ай бұрын
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
JAmani mi nawapenda washabiki wa Simba wanaoongea mpira uwanjani,sio Comediany
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 Ай бұрын
💛💚💛💚👍👍
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 Ай бұрын
Kila Siku Mi Nasema Huyu Ndio Mchambuzi Wale Wengine Ni Wacha Ng'ombe😂.
@rubanimponzi8259
@rubanimponzi8259 Ай бұрын
Naona tarehe 8 kuna 8
@f.a6043
@f.a6043 Ай бұрын
Yes kutakua na vyura 🐸 8👈🏽😂
@saumbakar7643
@saumbakar7643 Ай бұрын
​@@f.a6043magoma FC kazi mnayo dadeki
@henelckneatunga2720
@henelckneatunga2720 Ай бұрын
HATA KAMA HAWAKUWA VIZURI UWEZI KUIFANANISHA NA SIMBA
@BabMuniwe-pg7el
@BabMuniwe-pg7el Ай бұрын
Simba nayo timu unasema huwezi fananisha na simba
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Hata mimi naigopa kabisaaa
@shomarisangari-rt6le
@shomarisangari-rt6le Ай бұрын
Wajipange kufungwa Fungwa Funga Funga karudi likizo
@user-pg5to7xq5g
@user-pg5to7xq5g Ай бұрын
uko vzuri kwapembuzi dada vuzi..
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Tinu ya damu changa😂😂😂
@MarckyCholla
@MarckyCholla Ай бұрын
Broo game nimeangalia yote ila sifa nyingi unwapa yanga ni uongo unaanza kunidanganya
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t Ай бұрын
Huyu hanaga tabia za kusifia hovyo bali atakwambia ukweli ambao utakuweka huru na mapungufu ya tim pia utayajua
@johninnocent3270
@johninnocent3270 Ай бұрын
Kwa Mimi mwenye e flat nimekuelewa sana
@IslahiMohamed-qi2jf
@IslahiMohamed-qi2jf Ай бұрын
I Chambue na azam
@greatest_of_africa
@greatest_of_africa Ай бұрын
Na azizi kii aligonga mwamba
@shabanimuya1878
@shabanimuya1878 Ай бұрын
hata simba sasa tanzania ni timu b utaiona tarehe 8 utajua Aug ni timu b
@boniphacemwasambungu
@boniphacemwasambungu Ай бұрын
Tunadeni nao
@Issanuru83o
@Issanuru83o Ай бұрын
Simba wasilete timu
@f.a6043
@f.a6043 Ай бұрын
Ushindi wa 🐸🐸🐢🐢 ni kufungwa 2-1
@ChanganyaJaphetjr
@ChanganyaJaphetjr Ай бұрын
nakubal san
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 Ай бұрын
Ww kolo chakavu,acha wivu
@abuuomari2377
@abuuomari2377 Ай бұрын
Max msimu ulioisha alimaliza akiwa na goli kumi na moja sawa na saidoo ntibazonkiza
@user-hn8vj1vn5y
@user-hn8vj1vn5y Ай бұрын
Ni kweli aisee. Mzee wa Data ameteleza kidogo na ndiyo maana wameomba radhi hapo juu.
@allytwalib7787
@allytwalib7787 Ай бұрын
mbwaduke nimekuvulia kofia unajua boli wewe
@user-qo6bk1zs8m
@user-qo6bk1zs8m Ай бұрын
Kama usburg wangekuwa silius kama yanga ingekuaje?
@erastojacob17
@erastojacob17 Ай бұрын
huna akili kwa hawakuwa siliasi.
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Ай бұрын
Jiulize na ww😂😂😂😂
@faroukwamba
@faroukwamba Ай бұрын
🔥 📛 👨‍🚒 🚒 🧯
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Mi katiaka wachambuzi mi huwa nakuamini wewe tu Mchungaji wa data
@user-gn4lc5sk6p
@user-gn4lc5sk6p Ай бұрын
Mimi sijaona mpira wa maana jana.Zaidi ya kukimbiza kimbiza tu.Na wale jamaa hawakuwa na pressure.Kama walijua wanacheza na mandondocha.
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Kolo unaichukia yanga ukiwa wapi subili tarehe 8 ndio tutakuadabisha
@nyotaphina8167
@nyotaphina8167 Ай бұрын
Mnyama FC ndo zenu
@HassanRamadhan-cv8de
@HassanRamadhan-cv8de Ай бұрын
Ukizeeka utakua mchawi
@SilmanOfficial-ss6oq
@SilmanOfficial-ss6oq Ай бұрын
Je, Augsburg waliweka first 11 yao dhidi ya Utolopo iliyoweka first 11 yotee!? 😂😂
@mussahassan8751
@mussahassan8751 Ай бұрын
Mzee wa data umeanza kuzingua hamna mpira walocheza yanga hapo walikuwa wanajikanyaga tu
@nyotaphina8167
@nyotaphina8167 Ай бұрын
😂😂😂😂
@HassanRamadhan-cv8de
@HassanRamadhan-cv8de Ай бұрын
Unaenda kua mchawi uzeeni
@madmaxx1180
@madmaxx1180 Ай бұрын
Ukweli ni kua Augusburg iliofanya vibaya bundesliga ilichezesha vikosi B na C,bado Tanzania tuko nyuma sana kwenye mpira
@Lubida
@Lubida Ай бұрын
Kwa taarifa kikosi cha kipindi cha pili cha Augsburg ndicho kikosi cha kwanza kule Bundesliga yaani kikosi chao cha kwanza
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 Ай бұрын
Nitajie first eleven ya augusburg ambae unahs n kkos B
@Raphael51312
@Raphael51312 Ай бұрын
Usiongee kw kukalili
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 Ай бұрын
Muda ni hakimu mzuri kitaeleweka tarehe 8 na kuendelea
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Duuh unachuki na yanga ukiwa pade ipi
@user-nm8my6ff5o
@user-nm8my6ff5o Ай бұрын
Yanga is the best club in Africa
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 Ай бұрын
Kachambua vizuri
@dullahcelly2870
@dullahcelly2870 Ай бұрын
SAMATTA NDIO BASI TENA
9:24
MAENDAENDA TV
Рет қаралды 296
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 32 МЛН
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
KARIAKOO CONGO TV
Рет қаралды 414