Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...
Пікірлер: 44
@Lazarokidulanya7 күн бұрын
Nmesha like hata kabla y kuview na kusikiliza, Mbwaduke mchambuzi makini sana👏👏👏
@isayadavid-x4i6 күн бұрын
Kama mm hahaha
@DanielYusto7 күн бұрын
Nafurahi sana kukusikiliza mzee wa data, hakika unatoa madini ya mpira kweli. Uchambuzi bora uliotukuka🎉🎉🎉
@barakamaliyamungu86897 күн бұрын
Kazi bora toka kwa mchambuzi bora wa muda wote🎉🎉
@SaimonLaizer-g8w7 күн бұрын
Nakukubali sana kaka yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@Isackmanyonyi7 күн бұрын
Kak wewe unajua kuchambua bori❤❤❤❤❤
@AbdallaKhamis-m6i7 күн бұрын
Wakwanza leo naomba like zang
@SetMohamed-i9y5 күн бұрын
Uko sawa kbs, mchambuzi bora kuliko wote
@EliasCosmas-qp6gn7 күн бұрын
Pamoja Sana mkuu❤
@MwitaPetro-e9z7 күн бұрын
@bwanduke tupo pamoja mzee wadata
@JakobuBuya7 күн бұрын
Chambuzi la taifa
@DanielChaula7 күн бұрын
God is good
@mohammedkidody56187 күн бұрын
Wa kwanza nakubali mchambuzi wangu wa muda wote
@Saidirukuba7 күн бұрын
uko vizuri sana unaeleweka
@MahaSaeed-hf3gs7 күн бұрын
Dakika 90 ndo zitatoa majibu tunazidi kumuomba mungu tyuuu wachezaji wetu wawe na afya njema tyuuuu
@leomika84737 күн бұрын
Tabora wanaenda kupigwa 5 bila watabaki wanatambaa Kama mtoto
@HajiJauma7 күн бұрын
Kaz makin kwa mt makin
@nangaimwakyusa97847 күн бұрын
Adeni Rage tunakutegemea nyuki wasiuume siku hiyo
@AllyHamisi-c7j5 күн бұрын
Kesho ndio mpanzu ataanza kufungua kapo lake la magoli ni simba vs tabora
@hamisdodi-cu7bu7 күн бұрын
Ubaya.ubwera.wata.fungwa Kwa.uwezo.wa.allah
@shumajrrespect6 күн бұрын
Bwanuke nakukubal sna uchambuz wko ubarikwe sna
@MosesMohere7 күн бұрын
😂Simba ushindi 60% tabora ushindi 25% na sare 15%
@TriciaSambo6 күн бұрын
sisi tunataka point tatu muhimu hayo mengine ya Ziada Simba nguvu moja
@GabrielAmma-jp1oo7 күн бұрын
Wasiwangu ni uwanja tu lkn km pitch iko vzr mbona tabora atachezea
@juliusanyango81277 күн бұрын
Mechi nyepesi sana kwa Simba, mnaikuza tu ila ni mchezo mwepesi sana points tatu tunaifuata huko huko, na Simba haiogopi mtoto huyo, tukutane jumapili baada ya dk 90
@parkipunyparsangey54647 күн бұрын
🔥🔥🔥
@anithaeliuta47675 күн бұрын
Ubaya ubwela kesho
@EzyMaly6 күн бұрын
Be blessed more
@chrissantkaunda99587 күн бұрын
Hakuna mechi hapo, mzee rage yupo uko, imeisha hiyo
@melissa_garden7 күн бұрын
Ujue wewe tu Mzee Rahe kuwa yupo huko😅😅. Round ya kwanza Tabora tukiifunga 3 Kwa sifuri na Timu ilikuwa wa a inajitafuta. 😅
@othmanhamad78876 күн бұрын
Tabora wamefanikiwa kuifanya mechi yao iwe kbw ili watengeneze mapato ya uwanja na nahic wamefanikiwa ktk hili maana kwa sasa hbr ya mjini ni mechi hiyo.
@mkudembeteni40757 күн бұрын
Wapewe bonus wapewe chochote wana Wa kileleni ushindi kwanza mengine baadaye!!
@GabrielAmma-jp1oo7 күн бұрын
Mchambuzi makini sanaaa unafanya kazi yako kwa ufanisi mkubwa sanaaa
@HassanKassim-v7f4 күн бұрын
Sisi ndio simba kila kiumbe tutakila kwa mda wake. Leo tunakula nyuki na asali yake tusafishe koo tuzidishe nguvu. ubaya ubwela
@VehaelMmari6 күн бұрын
Wewe inabidi uitwe mwenyekiti wa wachambuzi
@MnambengaJr7 күн бұрын
Haupingiki kaka mwaduke
@SilemaniAli7 күн бұрын
Kafungwa Mabululu ataweza Tabora ?
@charleznicholas4167 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 күн бұрын
Naomba JIBU Leo Mbwaduke Wewe Una Hamu Na Timu IPI Hapa BONGO???
@TriciaSambo6 күн бұрын
kabla ya kuongea the elewa neno hamu halafu huyu ni uchambuzi hivyo swali lako halina mantiki
@PabloDallas2557 күн бұрын
Kwanza tuna like then unaanza kusikiliza😁
@anthonymilinga86967 күн бұрын
Tunajua mkuu wa mkoa wa Tabora ni shabiki wa Yanga na anatumika na GSM kuwapa motisha Tabora waifunge Simba. Sisi Simba tunawataka hawa wote wanao ahidiwa maana sio wa kwanza hawa. Tena tabora wakisema wapishane na simba, wataumia goli nyingi sana mpaka washangae.
@MbwadukeStats7 күн бұрын
Yanga 1 vs 3 Tabora Utd & Tabora Utd 2 vs 1 Azam & Tabora Utd. 2 vs 2 Singida Black Stars.
@ZuberiHuseni7 күн бұрын
@@MbwadukeStatsHao wote ulio wataja tulishawapa ubaya ubwela