Mwaduke nakupenda una ajiri una uelewa unajua mpira
@YohanaJumanne-v3v2 ай бұрын
Simba ❤❤❤ wapambane kila match wafunge goor kuanzua 3 na kuendelea ili watoroke mapema kupambania ushindi wa club bingwa❤❤❤ Simba nguvu moja
@sulejmandj75822 ай бұрын
Ni kwel kabs unachoongea SIMBA imefanya kazi kubwa sana
@bahatimshali27312 ай бұрын
Sijui kama kuna mwamba wa Uchambuzi wa Mpira TZ. Anakutajia na Takwimu za Ligi Kubwa
@juliusmsegu33472 ай бұрын
Kuna watu wamekariri kila mechi wanataka wachezaji wakimbie tuuu. Sasa mpira mnao nyie wapinzani hawapandi kabisa hata nusu ya uwanja isipokua wote wamerudi nyuma.sasa nyie wenye mpira mnakimbia kwa kasi ili iweje?? Hapo ni kutumia tu akili zaidi ili kuwafungua waliopaki basi la team nzima. Hongera wachezaji wa Simba.
@SuzanKameta2 ай бұрын
Ahoua ajiangalie ni mbinafsi Sana aache
@cesaryaudax66472 ай бұрын
Kweli, hata akina balua na joshua nao hawatoi pass elekezi
@barackmoses70032 ай бұрын
Wanaosema Simba mbovu hawajui mpira
@cesaryaudax66472 ай бұрын
Wachezaji wakikaribia kuwa wazuri mmawaacha na kuleta wapya, mnatukosea
@andrewdaudindullu17492 ай бұрын
Singida Black star ilichezesha Mchezaji mmoja tu na wengine 10 wa kigeni Tena wapya na wakaifunga Ken Gold na waliupiga kweli na kuonesha muunganiko vipi Simba hii
@gorator1322 ай бұрын
Ngoja tuone hyo Singida ikikutana na Simba😅😅
@yugemasanza10082 ай бұрын
Maswali yamekuwa mengi kutoka wapi? Au wewe mtangazaji ndo utumwa na hao utopolo? Kama ulitaka tufunge magoli mengi lete timu yako oli tuifunge magoli mengi.
@anithawidambe75432 ай бұрын
AHOUA UWE UNAGAWA PASI UNAIKOSESHA TIMU MAGOLI USIWE MBINAFSI LENGO TIMU ISHINDE CY SIFA YA MTU MMOJAMMOJA. MCHEZAJI UKIWA MBINAFSI NDY UNAIFELISHA TIMU. HATA UKIGAWA PASI MWENZIO AKAFUNGA UTAKUWA NA WEWE UMEHUSIKA KWENYE KUPATA HILO GOLI. WACHEZAJI BAADHI ACHENI UCHOYO
@DadeSaide-qr7ti2 ай бұрын
Kama amuhujuwi umpila musikometi machabiki andazi.