MBWADUKE: YANGA YAIFIKIA SIMBA VIWANGO UBORA CAF/ ILA MNYAMA AKIMTOA TRIPOLI ITAKUWA HIVI...

  Рет қаралды 23,248

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 64
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 Күн бұрын
Mbwaduke on top of his game, thank you brother! Yanga bingwa
@Q_Lax
@Q_Lax 19 сағат бұрын
Ahsante sana codes za maana kabsa
@FRANKMBILINYI-x1h
@FRANKMBILINYI-x1h 17 сағат бұрын
Shukran sana Kwa kutupa data kamili na uhakika
@BenezethEmily
@BenezethEmily 20 сағат бұрын
Pure data kabisaa
@josiahkulwa34
@josiahkulwa34 9 сағат бұрын
Great 👍
@AmosiMakenzi
@AmosiMakenzi 15 сағат бұрын
Hakika mwaduke umetisha
@omariabeid3291
@omariabeid3291 23 сағат бұрын
Safi sana Ramadan Mbwaduke
@JumaMohamed-s1e
@JumaMohamed-s1e 17 сағат бұрын
SF sana Wananch
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 7 сағат бұрын
hakuna hicho kitu.wape imani😂😂😂
@ZuwenaChimela
@ZuwenaChimela 16 сағат бұрын
na kukubari sana kwa ujuzi wa uchambuzi
@mogelamsingili5238
@mogelamsingili5238 13 сағат бұрын
Zile 87 alizokuwa nazo Al Ahly alipewa na nani Mwalimu Mbwaduke
@ZaydShafii
@ZaydShafii 15 сағат бұрын
Bora yanga ndo ibande kuriko simba maana wao wanajiona wakubwa kumbe hawana lolote mwaka robo tuuuu
@JumabJumamkuula
@JumabJumamkuula 16 сағат бұрын
Mhhhh takwimu za kibongo bwana kkkkk
@labanrichard2317
@labanrichard2317 19 сағат бұрын
We Babu Unajua Sana
@AliSiasa-q2s
@AliSiasa-q2s 18 сағат бұрын
thanks
@paulmsape163
@paulmsape163 11 сағат бұрын
Sawa mchambuzi
@suleymandachi782
@suleymandachi782 14 сағат бұрын
Muda si mrefu UTOPOLO watamtukana,
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 19 сағат бұрын
Mikia wana kazi nzito.
@JohnMarco-s3n
@JohnMarco-s3n 15 сағат бұрын
Mimi simba ila yanga nawakubali siku hizi
@CareenTemba-j4l
@CareenTemba-j4l 9 сағат бұрын
Usitukane mamba kabla hujavuka mto
@Alexbenon-ow5lh
@Alexbenon-ow5lh 17 сағат бұрын
Hapo umetupiga mzeee
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl 17 сағат бұрын
Leta wewe takwimu kaka, usibwabwaje bila kuweka hoja mezani, au imekuuma baada ya kusikia YANGA🔰 kaipita simba point za CAF?.😅😅
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 22 сағат бұрын
Kiukwel tubal tu mwaka huu watan watuzid IL tijpange Zaid ,,
@josephlorri431
@josephlorri431 21 сағат бұрын
Umeamua kutupa taulo mapema.. utapona ugonjwa wa haraka kwa kukubali ukweli.
@josephyapesa160
@josephyapesa160 20 сағат бұрын
Umekubali kutoka moyoni,ukweli usemwe tuu tuache unafiki
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 19 сағат бұрын
Umeshatoka level za udunduka umeshuka wewe sasaivi Ni kolo jitajidi sasa utoke kwbisa huko Mmeanza kuelewa naona😊😊
@saidbakari2408
@saidbakari2408 17 сағат бұрын
Kwani hapo amezidi wapi wakati umeambiwa mpaka timu za makundi zimalize 😂 UTOPWAX
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 17 сағат бұрын
Mimi ni Yanga lakini ushindi wetu wa jana napenda uwe ni kichocheo, chachu au kimea cha kuifanya Simba ishinde mchexo wa leo. Kama mtanzania naumia sana kinapotokea kama kile kilichowakuta Azam. Pamoja siipendi Simba lakini leo nawatakia ushindi mnono na msonge mbele. Utani wetu ni baada ya mchezo kwisha lakini kabla ya hapo sisi ni watanzania halafu tuko nyumbani Lupaso,tafadhali msituangushe mtani. Kila la kheri saa kumi sio mbali wahini mkamalizie kuloga washamba nyie.
@AdolphMbuta
@AdolphMbuta 16 сағат бұрын
Wewe mwongo
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 сағат бұрын
UNGEKUWA UNAITWA MCHOME SIMBA WANGEKUTUKANA HAHAHA
@martinmaseleka751
@martinmaseleka751 23 сағат бұрын
Mbwaduke Stats, katika upangaji makundi tutakuwa Pot ngapi?
@EzekielAmos-Ezm
@EzekielAmos-Ezm 18 сағат бұрын
Kwel
@loner_wolf
@loner_wolf 3 сағат бұрын
Yanga mbona hatujaona 0.5 tumeona kwa simba tu . 😅😅😅😅 au nawewe mamluki ? Simba sc point 39 na Young African point 31 ..... kabla ya hizi mechi . Sasa sijui mchambuzi anaongea Caf ya sayari ipi ....😅😅😅
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 14 сағат бұрын
Timu bovu acha uzushi
@sospeterkajula7949
@sospeterkajula7949 16 сағат бұрын
Acha maigizo mitandaoni je yanga itaipiku Simba kiaje acha kupotosha watu wapotoshe watoto wako
@drexdrex3879
@drexdrex3879 15 сағат бұрын
Ndugu yangu hio ndo Hali halisia...tuwe wapole tu. Ndo ukweli huo. Ndivyo points za CAF zinavohesabiwa. Cha kuombea ni Simba iingie makundi na pia kumaliza nafasi mbili za juu. Pia points za Shirikisho hazilingani na za Club Bingwa Kwa hatua zinazoshabihiana. Ndo maana tunaambiwa Shirikisho ni ligi ndogo Kwa ile ya mabingwa
@SANJARI-r9t
@SANJARI-r9t 17 сағат бұрын
Zile 39 za simba aliwapa nan mbwaduke umechemka
@augustefedy6326
@augustefedy6326 15 сағат бұрын
Kichwa chako kibovu 😂
@drexdrex3879
@drexdrex3879 15 сағат бұрын
Elewa wanaposema points zinahesabiwa Kwa miaka mitano ya nyuma kuanzia msimu uliopo. Hivyo kma hujafanya vema kwenye kila msimu unaofuatia, uwezekano wa points zako kushuka upo
@husseinhamza2054
@husseinhamza2054 7 сағат бұрын
Huo ndio ukweli mlikuwa mnawadanganya Sana mashabiki wenu Simba kubwa wakati sikweli sasa mwaka huu mtajuta
@Samoninyanda
@Samoninyanda 21 сағат бұрын
Mwaka huu fainal
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 21 сағат бұрын
Ya kombe la mbuzi
@AbubakarBajabir
@AbubakarBajabir 20 сағат бұрын
Mh
@SuzanKameta
@SuzanKameta 20 сағат бұрын
Duuuuh tumepitwa sana
@jumamalindo1221
@jumamalindo1221 21 сағат бұрын
Yanga anaenda kumshinda Simba,point kwenye makundi
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 20 сағат бұрын
Hapo ni mpaka Simba asipite leo kuingia Makundi, na hata wakiingia Makundi na wote wakapita bado Simba atamzidi Yanga kwa point.
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 19 сағат бұрын
Sasaivi tayari kumbe hujui Simba makundi hajafuzu bado😅😅
@RidhioneSabury
@RidhioneSabury 18 сағат бұрын
@@firdawsrammy9992unazijua Point za club bingwa yanga akifanikiwa kwenda robo fainali😅
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 17 сағат бұрын
@@RidhioneSabury Nipo hapa kwa Master wa uchambuzi nitashindwa vipi kujua. Rudia kusikiliza Uchambuzi kuhusu point zinavyopatikana
@bonifasjk2290
@bonifasjk2290 16 сағат бұрын
Mwalim mbwaduke umetuongopea kwenye point kwanin simba akishinda apate 0.5 na wakat yang umempa point 1 ya kuingia tuu group stage ambap ukaizidisha kwa 5 ambay ni idadi ya mwaka akapata point 5 ukaongezea kweny ile point 24 yao ambay ni total? Kwan group stage ya shirkisho point ni 0.5? Kam ndivyo it means point zina vary klab bingwna shirikish
@Makassy-b9y
@Makassy-b9y 16 сағат бұрын
Kwamba unabisha au unakataa ukweli? kwani hujui pointi za shirikisho na klabu bingwa zinatofautiana? Kama ulikuwa hujui kuanzia leo jua hivyo na ndio maana bingwa wa klabu bingwa huvuna point 6 wakati wa shirikisho huvuna pointi 5
@HelgenMiho
@HelgenMiho 15 сағат бұрын
Shilikisho
@loner_wolf
@loner_wolf 3 сағат бұрын
Alipopiga za yanga wakati wako shirikisho hakupiga kwa 0.5 , alipiga kwa 1 . Hata mm cjamuelewa mazee
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 20 сағат бұрын
Yanga inaweza kuwa bingwa mwaka huu hii timu nyoko
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr 19 сағат бұрын
Niite mbwa akiwa bingwa
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 19 сағат бұрын
@@AllyMwinyi-rx8gr Dah siwezi kukutia mbwa ndugu yangu wewe ni binadam mwenzangu
@sospeterkajula7949
@sospeterkajula7949 16 сағат бұрын
Bora uwache na u hambuzi wako huo wewe Kama Ni mwana yanga nenda ukali majani yako huko jagwani
@FRANKMBILINYI-x1h
@FRANKMBILINYI-x1h 17 сағат бұрын
Shukran sana Kwa kutupa data kamili na na uhakika
MBWADUKE: WOW! THISI IS SIMBAAA...!
11:47
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 921
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 50 МЛН
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН