Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like... UFAFANUZI Kumradhi. Bao alilofunga Mzize assist ni ya Dube na siyo Aziz Ki. By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
Пікірлер: 30
@MbwadukeStats20 күн бұрын
UFAFANUZI Kumradhi. Bao alilofunga Mzize assist ni ya Dube na siyo Aziz Ki. By Mhariri - MBWADUKE STATS "Spoti Next Level"
@JosephChrisant20 күн бұрын
Mbwaduke goli alilofunga Mzize pasi alipewa na Dube siyo Aziz Ki. Naweka sawa mzee wa data.
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Hakika. Uko sahihi Mkuu. Hapo Mzee wa Data aliteleza. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@JosephChrisant20 күн бұрын
@MbwadukeStats Tuko pamoja mtaalamu wetu 👍
@judithtitomalyeta400020 күн бұрын
Yaani huyu ndio mchambuzi mzuri namwelewa sana
@edsonmrope278021 күн бұрын
Hongera mwalimu unatupa elimu ya ufundi
@NyamagembeNey9920 күн бұрын
Mungu akubariki unawezesha vizuri
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Aaamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@roi255420 күн бұрын
Unafanya kazi kubwa sana kama taifa kwa jumla tuna appreciate uwepo na thaman yako na tutazidi kukuunga mungu akupe uhai mrefu zaidi 🙏
@MbwadukeStats20 күн бұрын
Aamyin!! Nawe pia. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@sinaisingerschoir442220 күн бұрын
Ameni ubarikiwe
@tumainphilbert19 күн бұрын
Asant kwa uchambuz
@stevensimbeya221220 күн бұрын
Mchambuzi bora kwangu
@shadrackjaphet967821 күн бұрын
Upo vizur mbwaduke
@pendojoram603920 күн бұрын
Mbwaduke me ndo namkubali sana kwanza hana ushabik wa kijinga japo ana timu yke pendwa ila hajionyeshi ovyo, hongera sana mzee wa data mungu akutunze🌹🌹🥰
@SteveMungete20 күн бұрын
nimependa san kwakuanza nawazaw weng
@NemaMsungu20 күн бұрын
Good
@AlmachNestory20 күн бұрын
Muhimu mwalimu Sead Ramovic apewe muda afanye kazi yake kwa utulivu bila kuingiliwa, hatua kwa hatua Yanga Sc itakuwa bora zaidi na imara zaidi katika kila idara.
@anamsaid861018 күн бұрын
Naomba uwasaidie wachambuzi wengine namna ya kuchambua mpira
@bsure23420 күн бұрын
Shukran mbwaduke
@MuslihiShafii20 күн бұрын
Nice
@Estarmarwa19 күн бұрын
wachabbuzi wa bongo siwaelewi ukiwasikia sana wanabadilika kamma kinyonga ivi niulize apa tz kunachhuo cha uchabuzi ama wamekosa. kazi yakufanya yan nikama nyubu wa mekosa maji wanalukaluka kama dege wwaaangani
@Dotto-m3p20 күн бұрын
❤❤❤
@EdwardSimon-t8o21 күн бұрын
name nipo leo like kwa mzee wa data
@swahilitherapytv384621 күн бұрын
SIO GOLI LA MKONO MZEE WA DATA TAZAMA VIZURI , GOLI KIPA NDIO KAJIFUNGA KWA MKONO WAKE BAADA YA BACCA KUGONGANA NAYE MKONO KWA MKONO.
@Muna-en4yq21 күн бұрын
Kwaio bacca hajaanza yye kufunga kwa mkono hya twendeni tutafika