MBWADUKE: Tactical Genius! Fadlu atesa kwa rekodi za kibabe/ Aifunika pia Simba ya kina Chama, Saido

  Рет қаралды 13,689

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@JAMESALPHONCE-b8p
@JAMESALPHONCE-b8p Күн бұрын
Mzee wa data unajua sana Kwa uchambuzi kaka ongera san❤❤❤❤
@JamesMaiko-e1y
@JamesMaiko-e1y Күн бұрын
Mchambuzi bora kwangu nakupenda san mungu akupe maisha malefu san
@DanielYusto
@DanielYusto Күн бұрын
Uchambuzi mzuri sana kaka, Ahsante sana kwa kazi njema. 🎉
@CikeTanzania
@CikeTanzania Күн бұрын
Anachambua na anachambua tena MashaaAllah yuko vizuri.
@QchiefuBarnaba-u3q
@QchiefuBarnaba-u3q Күн бұрын
Ahh we mzee mathe ilikua ipo
@YusuphAbdul-rm7nx
@YusuphAbdul-rm7nx Күн бұрын
Allah akupe umri mrefu mzee wa data
@SilasMahonge
@SilasMahonge 17 сағат бұрын
Unajua sana kaka , wewe ni mwana soka hakika, hongera zako
@SetMohamed-i9y
@SetMohamed-i9y 23 сағат бұрын
Hongera ww ni mchambuzi bora kuliko wote
@ernestmatundiri2341
@ernestmatundiri2341 22 сағат бұрын
Mbwaduke you are real intelligent. You are also excellent in statistics. Wewe Noma!
@TriciaSambo
@TriciaSambo Күн бұрын
yes ni kweli bado mapema sana mungu amsaidie tu aendeleze kazi nzuri kwa kushilikiana na wachezaji wetu ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤
@AdamChambo-mf4ek
@AdamChambo-mf4ek Күн бұрын
Huyu mchambuzi ni mtaalamu sana,mchambuzi msomi,mchambuzi mwenye kinywa cha hekima ya maneno yakuongea.Hongera sana kaka
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya Күн бұрын
Ahsante kaka kwa uchambuzi mzuru
@Frenk-c6p
@Frenk-c6p Күн бұрын
Nakukbal xn kwauchambuz wako velnic❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@AshrafuHashimu
@AshrafuHashimu Күн бұрын
Daah kaka nilikua nasubiri uchambuzi wako tu mwingine kuhusu simba unajua sana🎉🎉
@ZulphaMsangi-s9g
@ZulphaMsangi-s9g Күн бұрын
Asante kwa uchambuzi mzuri 🎉🎉🎉
@mashakaSelemani-t1q
@mashakaSelemani-t1q Күн бұрын
Upo vizuri Mzee Mr record
@khamisamour1935
@khamisamour1935 15 сағат бұрын
Hongera sana kaka
@kassimufleva1514
@kassimufleva1514 Күн бұрын
Father mwaduke upo vizuri kwa uchambuzi elimu yako ipo juuuuuu 99.9%
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 Күн бұрын
Ramadhani mwaduke wewe ni mchambuzi wangu bora nakutakia maisha marefu sana nawakilisha kenya 🇰🇪
@brianbatoleki6531
@brianbatoleki6531 Күн бұрын
Kenya sehem gani??
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 Күн бұрын
@brianbatoleki6531 wew upo kenya sehemu gani
@HamisiJustine
@HamisiJustine Күн бұрын
Duuuuuuj. Hatari huyu mzeee kwa hesabu
@janefadhili8384
@janefadhili8384 Күн бұрын
Kila la heri simba leo ushindi muhimu sana
@OthmanMohamed-t9m
@OthmanMohamed-t9m Күн бұрын
Mchambuzi bora kwangu
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Күн бұрын
Hakika
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY Күн бұрын
Na hana mpinzani, tumpe tuu mauwa yake..🌹🌹🌹
@babyakasha4002
@babyakasha4002 Күн бұрын
Mi mwenyewe namuelewa sana mwamba
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ unajua mpk bc
@AjidaYahya
@AjidaYahya 23 сағат бұрын
Uko saw kaka
@VictoriaClaud
@VictoriaClaud Күн бұрын
Nice mchambuzi
@claudsaprapasen9068
@claudsaprapasen9068 Күн бұрын
Huyu jamaa apewe kipengere Simba Ili kuhamasisha kupitia takwimu zote za mechi tutumie kipawa chake
@KipengeleTv
@KipengeleTv Күн бұрын
Iv mashaka yuko wapi
@Abdul_wahidMohamed-g5l
@Abdul_wahidMohamed-g5l 23 сағат бұрын
Nakusalim kw Jin lamchambuz msom Kaz yak uchambuzi
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Күн бұрын
Duchu ndo na yule Dogo kutoka Zanzibar hawajapata namba
@Lulaboytz
@Lulaboytz Күн бұрын
Ahuna mpinzani chambuzi
@OmaryWaprutoman
@OmaryWaprutoman 23 сағат бұрын
Tff waongeze idadi ya wachezaji wa kimataifa wafike japo 15 maana timu zetu zinamaitaji mengi ya kimataifa
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
MBWADUKE: Ni penalti? Simba yashinda kwa goli la  jiooooni...!!
9:28
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 86 М.
MISSION IMPOSSIBLE [26] SEASON 2
25:37
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 12 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН