MC PILIPILI AMPIGIA MKEWE LIVE BILA TAARIFA, SIKIA MAZUNGUMZO YAO

  Рет қаралды 73,511

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@Giftypmushi
@Giftypmushi Ай бұрын
Kwanza alivopokea sim inaonekana awako sawa ata mwanaume alikuwa anaogopa kuongea masikini ndoa izi😢😢😢😅
@ChockMaumba
@ChockMaumba Ай бұрын
Kwa wataaramu wa mahusiano tumeshajua kila kitu. Kwa ninavo mwona huyu jamaa pilipili, jins anavokosa kujiamin anavoambiwa mpigie cm mke wako, inaonesha hawana mahusiano mazuri. Na hata huyu mwanamke alivopokea nimegundua hilo pia, hawana aman ktk ndoa, jamaa alianza kuongea kabla hajaweka roudspeak kisha kasema kashapokea. Kaweka tahadhari ili mwanamke ajue kuwa yupo studio asropoke maneno makal. Ndoa ni kitu hatar sana
@peacelaity8104
@peacelaity8104 Ай бұрын
Hawapo vizur kabisa hiyo mwanamke anavyopokea Sasa daaa had hurumaa mweee
@hanifa9153
@hanifa9153 Ай бұрын
😢😢😢
@JacklineMassawe-h5g
@JacklineMassawe-h5g 23 күн бұрын
Ameanza Aya unasemaje
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 күн бұрын
Mi nahis mama pilipili ndo aliua anashikilia hii ndoa maskin😢 yan mwanamke kapokea akawa anauliza haya unasemaje😢 daah
@joycekalago532
@joycekalago532 Ай бұрын
😂😂hawako sawa wanavunga mbele za watu lakn ndani wanayajua wao Mungu awapiganie warufi kama zamani
@JoyceAndongwisye-l2k
@JoyceAndongwisye-l2k Ай бұрын
Kweli alaf bwana yake alikua Kama anampa signo anajifanya kuuliza et niweke hapa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Ай бұрын
Haloooo haloooo unasemaje? Huyuuu dada uzuri na umarufu vimempa kiburi hata kusema baba flani au mume wng Mc Alidhofika nyieee na aliwahi kukiri hawapo sawa na mkeweeeee ni funika kombe hii😂😂😂😂😂
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we Ай бұрын
Kabitha hata emsii ni mzuri sana
@RoseKimath
@RoseKimath Ай бұрын
Si mnakiherehere sana mngeacha azungumzee mwenyewee ili mjue atakachozungumzaa maana mlivyokuwa mnaongea ongea hadi akajua yupo kwenye kipindi hawezi kuongea vibayaa ...siku nyingine jifunzeni kutulizaa kihereheree cha kuongea ongeaaa
@Rm2024-x3d
@Rm2024-x3d Ай бұрын
Point
@nahventure1717
@nahventure1717 Ай бұрын
Maana alivopokea tu mh hata mwanaume kaogopa😅 alijua itakuwaje
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 Ай бұрын
Nipo kwenye ndo miaka 8 kweli apo hakuna mke kabisa, ali vyo pokea simu tu apo hakuna mke trust me
@chainbre275
@chainbre275 Ай бұрын
Kweli kbsa eti wajua Niko kwa siku yengine lakani bado wapiga siimu tu 😂😂😂 no romantic words kama wana ndoa
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w Ай бұрын
Dah aseeh hamna mke apo anasema wasemaje aiseeh hatareee
@ELIWITNESSPHILIPO
@ELIWITNESSPHILIPO Ай бұрын
Nashukuru MUNGU mc pilipili mnaendelea vizuri . Waoooo!!!
@pendoyohana2399
@pendoyohana2399 19 күн бұрын
😢😢hiv mumeo anakupigia halafu unasema unajua naongea na smu nyingine afu we unapiga 😢😢 dooo
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu Ай бұрын
Ivi ni Mimi ndio nilie sikia haloo unasemajeee hapa akuna ndoa wanatuzuga tu 😂😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
mbona kama alikua anaongea pembeni
@rahabyjoseph3373
@rahabyjoseph3373 Ай бұрын
Wenye D mbili ndio wanaelewa
@SabraDivele
@SabraDivele Ай бұрын
Nlifkiri nmesikia peke yangu bn
@JustinaHerbeth
@JustinaHerbeth Ай бұрын
😂😂ata mm nimesikiaa unasemaje
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu Ай бұрын
@@nancyg8664 sikiliza vzr my wngu
@ShepherdSawira
@ShepherdSawira Ай бұрын
Hki hii n kuumbuana vibaya😊
@elynejosiah
@elynejosiah Ай бұрын
Hamna ndoa hapa
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Hamna kabisaaa mke wako anapokea cm kiivyo msiba huu.
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Ай бұрын
Mc uso unaongea ukwel. 😢😢😢hana raha ana lazimisha furaha.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
Maskn 😢
@FatmaAhmad-y1k
@FatmaAhmad-y1k Ай бұрын
Kapokea sm akasema unasemaje kama mumesikia kama mm tujuwane wenda hakuna maelewano kweli
@LilianTemba-lz3st
@LilianTemba-lz3st Ай бұрын
Skilizana vizurii😅😅 Amesema ivii nimekataa tuu simuu nawewe ukapiga…. haya nambie unasemaje?? Sioo kwa ubaya 😂🤣🤣
@JanethOmary
@JanethOmary Ай бұрын
Ndio hata mm pia nimeckia
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
Nimemkumbuka Dida😭😭😭😭
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Ай бұрын
😭😭😭😭😭
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk Ай бұрын
wake wa sasa hivi hakuna mke anapokea simu anakuambia "HALOO UNASEMAJE"????
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Ай бұрын
Wa kwako anasemaje
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Ай бұрын
😂😂😂😂nilidhan nmesikia pekeangu
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Ай бұрын
Eti unajua naongea na simu nyingine na wewe unapiga😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana pilipili 😂😂😂😂😂 ila ndoa za ma star⭐️
@JoyceAndongwisye-l2k
@JoyceAndongwisye-l2k Ай бұрын
😂😂😂😂 jamani mbona sijasikia
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Ай бұрын
@JoyceAndongwisye-l2k 😃😃😃😃😃
@arique5962
@arique5962 Ай бұрын
Me mtu ambaye hatuko sawa naweka wazi tu😂maana inauma sana kuona mtu anaongea anacheka ila ukweli wote mnaujua kwamba hampo vzr
@IreneMwanaa-zo2wz
@IreneMwanaa-zo2wz Ай бұрын
Nimefurahi kaka wa Mimi kuendelea vyema
@ChockMaumba
@ChockMaumba Ай бұрын
Nashukuru mungu me nimepata mke mwema, utasikia helloow baba. 😅😅😅😅
@noelamilambo
@noelamilambo 23 күн бұрын
Halloo unasemaje😢
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Ай бұрын
Ndoa ikashafikisha miaka mitano vitu vingi vinabadirika ko ni kawaida sana
@pascosalvatory5274
@pascosalvatory5274 22 күн бұрын
TUSHASIKIA..... NLIJUA2 UTAPIGA HAYA ULIKUA UNASEMAJE😅😅😂
@siahmosha4234
@siahmosha4234 23 күн бұрын
Mbona kama alikuwa anafoka iyo haloo😅😅😅
@shosekomba449
@shosekomba449 Ай бұрын
Aloo baby..aloo darling ..alooo mume wangu..ila apo nimesikia alooo unasemaje
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Ай бұрын
Hapo sasa
@AnnaSaitabau-rf9ko
@AnnaSaitabau-rf9ko 26 күн бұрын
Uyu kakaa mpole jaman ad anatetemeka uuw
@FaySamora
@FaySamora Ай бұрын
Hamna ndoa hapo
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by Ай бұрын
Sjui ni Mimi to naushamba wangu au vip..,Yan hapa nawaza inakuaje na joto la Dar unavaa mkoti mchana😂😂😂
@NjooStudioFlix
@NjooStudioFlix Ай бұрын
Gari Kuna Ac Studio Kuna Ac 😂
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by Ай бұрын
@NjooStudioFlix najua lakin Kwa ufupi to Kuna ushamba wa mavazi we mbona huvai Makoti au gari yako Haina AC 😂😂😂
@SaphinaSamson
@SaphinaSamson Ай бұрын
Yaan c niwa Mbeya uyo lakin anaachaje kuvaa
@espoti4300
@espoti4300 Ай бұрын
ac ipoooo umooo ndugu yangu weeee 😅😅😅
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo Ай бұрын
​@@SaphinaSamson dodoma
@MarionMwanga
@MarionMwanga 29 күн бұрын
Hawako sawa wanaonekana ndoa hizi n ngumu jmn
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 14 күн бұрын
Dada anahekima
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Ай бұрын
Si pilipili alitangaza mwenyewe wameachana?
@siamoye4549
@siamoye4549 Ай бұрын
Na hawa ndo watadumu sana
@miriamkakwezi7309
@miriamkakwezi7309 Ай бұрын
Ni mtu tu😅😅😅😂😂😂😂 jamani ndoa hizi
@MamaBabu-c8e
@MamaBabu-c8e 23 күн бұрын
MC hana amani mbona jaman
@hopepeter2773
@hopepeter2773 9 күн бұрын
Umbea utatuua siwalisema wameachana au
@ZulfaIsmail-w1d
@ZulfaIsmail-w1d Ай бұрын
Msipende kuanika mambo yenu kwenye midia
@majaliwalubugo9881
@majaliwalubugo9881 Ай бұрын
Walisha achana hao nilikua na kaa nao karibu africana kabla hawajahama
@RoseAmilet
@RoseAmilet Ай бұрын
Alivyopokea nimesikia kama kasema unasemaje
@eileenkihula3754
@eileenkihula3754 Ай бұрын
Kuna shida no usalama hapo
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 Ай бұрын
Nilijua tu utapiga simu..haya unasemaje?
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 21 күн бұрын
🤣
@nasrachaya
@nasrachaya Ай бұрын
Natafuta sponser jmn nashda nahela uwiihhh😂
@christadominick6759
@christadominick6759 Ай бұрын
Ukimpata na mm nisogezee rafiki ake😂😂😂😂
@happymushi4493
@happymushi4493 Ай бұрын
Maisha yamenyooka yaani
@julietthomas2566
@julietthomas2566 Ай бұрын
Huyo pilipili mbona kama anamuogopa mke wake?!
@shosekomba449
@shosekomba449 Ай бұрын
Alooo unasemaje....baadae ha ha haaa nilijua tu
@JoyceAndongwisye-l2k
@JoyceAndongwisye-l2k Ай бұрын
Hakuna kitu hapo et haloo unasemaje mwanaume amekazana haloo anajua atadhalilika et amesha pokea kwanini awaambie amesha pokea yeye si aongee nae tu
@upendokasubi7226
@upendokasubi7226 15 күн бұрын
Binadamu haki mnajitahidi mweee mmh, kupotosha tu hamjambo, amesema nimekata tu cm tena unanipigia unasemaje?
@JoyceAndongwisye-l2k
@JoyceAndongwisye-l2k 15 күн бұрын
@upendokasubi7226 sijakuelewa ila wengi tumeelewa kama nilivyo elewa mimi ukiona nakupotosha comment sehemu yako hakuna mtoto humu wote niwatu wazima siyo lazima usikilize mawazo ya mwenzio
@pyraxme
@pyraxme Ай бұрын
Leo ndio umevaa blouse lokole Bwabwa kweli wewe
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Ай бұрын
Hana aibu huyu
@jumamsechu
@jumamsechu Ай бұрын
Endelea kuwa mtumwa
@sabatoager
@sabatoager Ай бұрын
akuna mapenzi hapo
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 Ай бұрын
Something wrong
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Mc nanywea utafikili kuma anayo mke wake tu acha kuwa mtumwa wa uchi ww mc
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
MC PILIPILI KUHUSU KUACHANA NA MKEWE, APATWA KIGUGUMIZI KUJIBU!
6:18
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН