Mchungaji nimekuelewa sana mungu akujalie na akuzidishie maisha marefu
@anniekenyaa53074 жыл бұрын
Mchungaji yani mahubili yako yananijenga Sana!! Mungu azidi kukuweka uhai :🙏🙏🙏
@nkunasuitbert78374 жыл бұрын
Mchungaji Mgogo wewe ni kiboko cha magari mabovu, ukweli unao kinywani mwako . Nakutakia kila la kheri uendelee kutunyoosha kondoo wa bwana, tusiendelee kupotea . Asante sana baba.
@midianarushuli56124 жыл бұрын
Be much much blessed,your a blessing May God be with you always
@damarsd45994 жыл бұрын
Hapo kweli pastor,,ningelipata baba wa kiroho Kama ww,,wakika dunia ingepatilika Mungu akubari sana.
@deboramasoka35324 жыл бұрын
Numbers Yasinu yako Please tuwekeye tuwe tuna wasilihana na Wewe kwama shahuri yakiroho higawa tuko bali na Wewe , Nahomba MUNGU Hakubariki
@libinwafula60894 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏🙏🙏
@janemsigwa73434 жыл бұрын
Walio kuwa maskini sasa wamekuwa matajiri Mungu akubariki mtumishi Amina
@mwambamaduhu78634 жыл бұрын
Amina pstor, Bwana na akubariki hakika unanena ukweli na laiti kama watu tungekuwa tunasikia neno hili hakika lingetubadilisha, nakuombea maisha marefu, ahsante kwa kuitamka kweli bila kusita, Bwana na akutendeee
@adelinaadoloph53114 жыл бұрын
Mch ubarikiwe sana Mungu anakutumia kutufikishia ujumbe
@bahatigilbert25224 жыл бұрын
Ninaitwa BAHATI kutoka Rwanda ninakupenda sana Ubarikiwe sana, Injili kama hiyo ndiyo cakula ya roho na njiya ya mbingu
@janetfrancis71804 жыл бұрын
Ubarikiwe baba mchungaji nabarikiwa na neno lako nikiwa huku Brazil ubarikiwe sana.
@faithmakena23814 жыл бұрын
Love your neighbors as you love yourself even your enemies. Thank you Pastor for nice Word of God.
@lovenessibrahimu67304 жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeeen Pastor Ndugu Zangu Woteeee Ni Wa Mana Nayajua Vizuriiii Kakaa Baraka, Dadaa Norah ,Dadaa Diana Dadaa Ikupa,Kakaa Amani Na Mom Ambayo Ndo Injini Yangu Nawapenda Sana Mungu Turinde
@jimmyjoel21964 жыл бұрын
Asante kwa jumbe zako Mch. Mungu Akuzidishie.
@oliverkarani66014 жыл бұрын
Huo ndio ujumbe ufaao barikiwa sana
@jamesimakindi4534 жыл бұрын
Mchungaji nitamwambia mungu kweli sijahubiriwa Leo umeniweza ubarikiwe mb zangu haziendi bure kukufwatilia japo ni chungu ila nameza
@joycetematema13244 жыл бұрын
Asante mchungaji,tunameza japo chungu
@jamesimakindi4534 жыл бұрын
@@joycetematema1324 tupo wengi kumbe
@annblessings83474 жыл бұрын
It is fire
@yehoshebakaliwabu49854 жыл бұрын
Eeh tunameza ivo ivo
@pasteurzacharienyandwi40074 жыл бұрын
Ubarikiwe na Mungu, kwa neno unalo tusaidi wa
@emmanueljohn22484 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu
@felixngirabakunzi99574 жыл бұрын
Mchungaji Mg akubariki sana kwa neno .
@beatricemalongo20204 жыл бұрын
Mtumish wa Mungu ubarikiwe zaidi na zaidi
@neemasima79404 жыл бұрын
Mafundisho yako yananibariki sana mchungaj ubarikiwe
@elizabethkaroli37994 жыл бұрын
Daima unasema ukweli bila kupindisha...Mungu akubarikiiiiii
@lydiamichael55094 жыл бұрын
SANTI SANA MCHUNGAJI KUNENA UKWELI..NABARIKIWA SANA MUNGU AKUZIDISHIE
@linahluwela63524 жыл бұрын
Mahubiri yako ni faraja yangu Mungu akubari
@michaelalfonce63404 жыл бұрын
Napenda sana injili yako mana si y kutaka vitu kwa waumini tena haina ubaguzi na si ya kupaka mafuta
@wahurabathi48454 жыл бұрын
Wow nice message from Dubai .
@margaretschrader5344 жыл бұрын
Thank you pastor for telling us very true
@nancymokua72484 жыл бұрын
Ukweli pastor, maubiri yako ni mazuri
@annewanjiku524 жыл бұрын
Aki napenda injili ya namna hii thank you Jesus Christ
@morriskalekye324 жыл бұрын
Wanibariki saaana mchungaji
@teresiamutua44874 жыл бұрын
Ameeeen awesome msg
@ruthmwasomola39074 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi Mungu azidi kukuinuwa
@joyeusemumararungu28994 жыл бұрын
Amen Mtumishi ubarikiwe
@irinegebser56684 жыл бұрын
Amen Amen Thank Jesus Christ
@wadyanali9004 жыл бұрын
Amen be blessed pastor
@joycestephan32704 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@norahmusembi48264 жыл бұрын
The truth shall set the church free
@lenardamushy42174 жыл бұрын
Amen Mungu akubarki sana mtumish na barikiwa sana na mahubiri yako
@webingogo36334 жыл бұрын
The gospel that heals & sets you free:
@frankongete93964 жыл бұрын
The Gospel of Jesus Christ is mine...Mkweli
@maryokoa40614 жыл бұрын
Amen pastor
@duncankamau44894 жыл бұрын
love you man of GOD
@elizabethnekesa10444 жыл бұрын
Barikiwa pst
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Mchungaji unagongelea misumari yaani natamani niseme hapa ila dah, nimeitwa majina yote apo pa kuwa huna kitu unachekwa unanenewa mwee ila naamini kabisa Mungu alikuwa ananijenga maana
@benjamwasimba2134 жыл бұрын
Ongeza sauti hawajasikia huku nyuma
@stelajeremiah56794 жыл бұрын
Amina mtumishi barikiwa
@lreneauma17624 жыл бұрын
Blessing prst
@tumainkadinda18474 жыл бұрын
Ndaga mwanafyale
@deejayomega99424 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🏽
@eunicendanu32704 жыл бұрын
Ameeen.mshugaji nmeparikiwa,sana
@fmmamboniaugust8jubikeeout124 жыл бұрын
Hallelujah 🙏
@jessecokiru19624 жыл бұрын
Very true kweli
@hildamasonda32434 жыл бұрын
Be blessed always
@africanuscaristo63194 жыл бұрын
Kama tungewapata wachngaj kama hawa dunia tungekuwa mahali salama
@Priscakihiyo43524 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@kiza_0ter.spill3r584 жыл бұрын
Australia tunawasikiya
@HOCAN224 жыл бұрын
Very true man of God
@forgivepraisebetogod81964 жыл бұрын
Blessed so much
@winnermariah4 жыл бұрын
Ila huyu BABA ataniua Mimi....da MUNGU Umuweke Jamanii