No video

Mch Moses Magembe - ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO | MAKAMBAKO 07

  Рет қаралды 40,737

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

10 ай бұрын

Siku ya saba ya mkutano wa uponyaji na miujiza Makambako, chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO
Andiko: DANIEL 9:23-27
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 15.10.2023

Пікірлер: 88
@michaeljohn6136
@michaeljohn6136 4 ай бұрын
Namshukuru Bwana sana kwa kututunzia had leo uko hai,tunapata madini,Bwana akutunze.
@domicianalipiustv9144
@domicianalipiustv9144 24 күн бұрын
Utukufu apewe Mungu kwa maana ishara hizi huambatana na wanao amino
@antoinetteirankunda739
@antoinetteirankunda739 3 ай бұрын
Amina saana
@georgetedmund
@georgetedmund 9 ай бұрын
Tuliopata neema ya kusikia mahubiri haya na tubadilike kwa kutengeneza maisha yetu pia kuwakumbusha wengine kuwa Yesu yu karibu sana, Yesu anarudi! Bwana atusaidie. Amina.
@beatricemangula6994
@beatricemangula6994 9 ай бұрын
Ameni
@MussaMathayo-vy6qe
@MussaMathayo-vy6qe 9 ай бұрын
nishauku yangu kumjua sana Mungu
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 9 ай бұрын
​@@MussaMathayo-vy6qe9.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 ай бұрын
❤❤❤ Aminaaaa
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 8 ай бұрын
Jaman watumishi wa Mungu mkazane maana hatujui tunajitumbukiza tu.
@lawrencekamete2404
@lawrencekamete2404 10 ай бұрын
Amen, Mungu atupe neema ya Kutambua haya ili tusije kuachwa atakapo kuja Yesu. Bwana Yesu mimi.
@user-yx8uf8sz5l
@user-yx8uf8sz5l 10 ай бұрын
Hongera sana baba askofu magembe,,,mrusha matangazo unakata sana jitahd kujua nini ttzo mahuburi mazuri sana Ila yanakatika katika.
@benedictormagembe6483
@benedictormagembe6483 10 ай бұрын
Hofu nikubwa Sana duniani..
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 8 ай бұрын
Wale wanaoshabikia bila kuelewa, waache. Watapigania Waarabu badala ya Mungu.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 8 ай бұрын
Ooh mitambo inakata kata Jamani!!
@godfreymwenesho1770
@godfreymwenesho1770 10 ай бұрын
Namimi nimefatilia hotuba ya wazir Mkuu netanyah daa nilimeshaga Sana hiyo hotuba
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 8 ай бұрын
Jamani tusaidieni nasi was vijijini haya Mambo hatuyaoni.
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 9 ай бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu mahubili kama yako kipindi hichi yamekua adimu sana tulikuaga tunayapata kwa mzee kurola ambae ameshalala ktk bwana injili nyingi tunayohubiliwa kwa sasa ni yamafanikio zaidi sio ya kuwahubilia watu waache dhambi ni hatali sana
@sylviaswai5102
@sylviaswai5102 9 ай бұрын
Amen, ubarikkiwe Baba mchungaji
@lawrencekamete2404
@lawrencekamete2404 10 ай бұрын
Mungu awawezeshe mafundi mitambo kudhimiti kukatikakatika kwa mawasiliano, maana mambo anayoyahubiri Mch. wetu hayapaswi mtu kukosa hata kidogo. Mungu atoe mitambo mikubwa ili habari hii ifikie wengi kwa usahihi wote.
@makanisaomard1131
@makanisaomard1131 9 ай бұрын
Asante baba yesu anarudi kabisa
@celinaphysoo4919
@celinaphysoo4919 9 ай бұрын
Mungu nipe Neema
@LainethCosmas
@LainethCosmas 9 ай бұрын
Bwana atukumbuke kuiishi kweli watumishi wa Mungu barikiwa sana Baba❤
@user-tr7tf4ez6s
@user-tr7tf4ez6s 9 ай бұрын
Kamandaa wa Yesu barikiwa baba .hakika najisikia raha lazima dunia ijue
@josephwema3198
@josephwema3198 9 ай бұрын
Mzee magembe nakukubali andaa na mjutano huku maeneo ya umisheni ngunguti vikindu mashariki
@WilifredLudovick-jk6rd
@WilifredLudovick-jk6rd 9 ай бұрын
Aminaaaa baba
@philipocastuli8591
@philipocastuli8591 9 ай бұрын
Mchungaji Mungu akutunze kwakuwa na masomo mazuri uliyonayo maana wachungaji wengi hawajui hayo uliyonayo
@jeremiaemanuel5777
@jeremiaemanuel5777 9 ай бұрын
Amen mungu akubariki mtumishi magembe mungu azidi kukuinua zaidi mafundisho yako mazuri sanaaa karibu babati
@OlivaJoachim
@OlivaJoachim 9 ай бұрын
Mungu atupe Neema tusibaki dunian
@RehemaEmmanuel-wz3fo
@RehemaEmmanuel-wz3fo 9 ай бұрын
Ameen, Mungu akutunze Baba
@ishikawayoi
@ishikawayoi 9 ай бұрын
Shule nyingi mno. Hongera sana babaa
@mbabaziwilson156
@mbabaziwilson156 9 ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@martinakyoo148
@martinakyoo148 9 ай бұрын
Bwana Yesu akubariki sana Pastor Moses Magembe Kwa ufafanuzi wa siku za mwisho. Nimebarikiwa sana
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 10 ай бұрын
Haya mahubiri kwasasa kanisani hayapo,wachungaji wamefungwa midomo,wamepofushwa macho hawaono,Mungu alinifunulia mlango wa rehema unakwenda kufungwa,
@peterkafipa6515
@peterkafipa6515 9 ай бұрын
Amina
@eliphaznkurunziza7405
@eliphaznkurunziza7405 9 ай бұрын
Amina Kweli Mungu asifiwe 1:16:19
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 9 ай бұрын
Amen
@Sifael-vp8vs
@Sifael-vp8vs 9 ай бұрын
Ukweli mtupu ubarikiwe mtumishi
@edesaron9070
@edesaron9070 8 ай бұрын
Hakika sijawai juta tangu nilipo chagua kukusikiliza mtumishi wa MUNGU aliye hai🙏
@user-nw1uk1vr2q
@user-nw1uk1vr2q 9 ай бұрын
Amen BARIKIWA sana pasta
@hasanygodda9242
@hasanygodda9242 9 ай бұрын
🙏🙏
@SamFoodjr
@SamFoodjr 10 ай бұрын
Mungu awabariii saan
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 8 ай бұрын
Kanda ya ziwa unakuja lini
@AthanasiNdujilo-bg1lz
@AthanasiNdujilo-bg1lz 7 ай бұрын
Ee Mungu watu Kama hawa leo hii Aina ya MCH magembe wako wapi,
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 9 ай бұрын
Mh! Mbona unyakuo tena!! Any way, nimefurahi kusikia habari za kuna kwa Yesu zinahubiriwa hapa
@janemwenda-ec2oh
@janemwenda-ec2oh 9 ай бұрын
Njombe utakuja lini mtumishi
@floramahenge6224
@floramahenge6224 10 ай бұрын
Ubarikiwe Sana baba Mungu akutunze
@EddyObadiah
@EddyObadiah 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba.Lakini, katika Biblia hatupati mahali popote unyakuo wa kwanza na wa pili au kurudi kwa Yesu mara ya kwanza na ya pili.Biblia inatuambia Yesu atakuja/ atarudi mara ya pili mara moja tu ambapo kutakuwa na unyakuo wa wazi.Hizi ni siku za mwisho, Roho wa Mungu atusaidie kuyaelewa maandiko.......Amina!!!!!😢😢❤❤
@naikekangele7117
@naikekangele7117 10 ай бұрын
Mungu akubariki mch kwa kufundishs somo ilo
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 10 ай бұрын
Amen amen 🇦🇺 ubarikiwe baba sema
@user-dk9bz8kq3b
@user-dk9bz8kq3b 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa mafundisho mazuri sana kwaajili ya kanisa la Bwana🙏
@nathanaelkhambaku4573
@nathanaelkhambaku4573 9 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi wa BWANA YESU
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Baba angu
@Jeji12
@Jeji12 10 ай бұрын
Amen mchungaji 🙏🏿🙏🏿
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 9 ай бұрын
Wow true servant of Jesus +254
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 10 ай бұрын
Asante kwa uamsho mkubwa sana kwangu,sijui huyu mchungaji anapatikana wapi, hii ni hazina,wachungaji wakizazi chetu wanahubiri mafanikio tu,sijui huo uchumi watauwekeza wapi dunia inakwenda kuwekewa vikwazo,hizo biashara watazifanya wapi,kila mahali patasukwasukwa
@jovitakamagana2991
@jovitakamagana2991 8 ай бұрын
Anapatikana go'ngolamboto majumba sita. Dar es salaam
@user-rw5gn6zk1l
@user-rw5gn6zk1l 10 ай бұрын
Mungu akubarki sana mzee wangu,na Mimi Mungu anipe neema ya kuihubir kwel
@RebbyPaul-sn7jv
@RebbyPaul-sn7jv 9 ай бұрын
Mungu aturehemu
@TabitherGakii-dt5kl
@TabitherGakii-dt5kl 4 ай бұрын
Amiña
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 5 ай бұрын
Hii ndio injili halisi
@marcodavid4183
@marcodavid4183 10 ай бұрын
🙏🙏🙏❤❤.
@isdoryhenry-bh5kk
@isdoryhenry-bh5kk 9 ай бұрын
Mzee mungu akutie nguvu
@paulinerupia61
@paulinerupia61 10 ай бұрын
Ameen
@alex_vincent
@alex_vincent 10 ай бұрын
Hallelujah
@denisbongore3098
@denisbongore3098 10 ай бұрын
Somo n nzuri lkn fundi mitambo EE Mungu naomba unipe Neema ya kuhubiri kwa hzi nyakati za mwisho
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🙌🙌👏
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 10 ай бұрын
UBARIKIWE ZAIDI 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌🙌
@sidimasha6626
@sidimasha6626 10 ай бұрын
Amen 🙏
@luhamba6852
@luhamba6852 10 ай бұрын
Barikiwa Sana Baba
@akothchristine4752
@akothchristine4752 10 ай бұрын
Glory glory hallelujah
@user-fh8po1qj8l
@user-fh8po1qj8l 10 ай бұрын
Amen Rev.Moses.God bless you
@user-ms2ng8nh7n
@user-ms2ng8nh7n 10 ай бұрын
Be blessed father
@adelajoseph127
@adelajoseph127 10 ай бұрын
Ameni
@elisanteshambula2882
@elisanteshambula2882 10 ай бұрын
Amen Hallelujah!
@edmundngongi5455
@edmundngongi5455 10 ай бұрын
Mzee wangu mungu akubariki sana kwa somo hili
@berthasalim1313
@berthasalim1313 10 ай бұрын
Ll
@fikirimguye4461
@fikirimguye4461 9 ай бұрын
Mungu aendelee kumtumia mch watu wengi wapate hili neno
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 8 ай бұрын
Jamani sis wa vijijini tufanyeje?Mbona Injili za namna hii tangu tuhubiriwe zaman yalipotea?
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 10 ай бұрын
Mafundi mitambo mnatufanyia nni sasa kwani mmekueje siku hizi mitambo inakatakata.
@UpendoChurch-u6c
@UpendoChurch-u6c Ай бұрын
Hapo Kwa sayari Pluto sijui Jupiter hakuna kitu ya Nanna hio Kwa mujibu Wa biblia MUNGU aliumba mbingu Na nchi pekee...yaani Dunia .hizo Ni miungu ya wapagani.alfu pia mbingu , firmament
@oscardosantos4202
@oscardosantos4202 10 ай бұрын
Mahubiri mazuri sana ila video inakatakata sana
@dismasamani383
@dismasamani383 4 ай бұрын
@Rev Moses, nimefuatilia mafundisho hayo, lakini kuna kagiza fulani: Mpinga Kristo anasimama baada ya Kanisa kunyakulia ao Kanisa linanyakuliwa baada ya Mpinga Kristo kufanya kazi yake, dhiki ya Yakobo inatokea na mapigo 7 yanatokea? Weka sawa kwenye chat na kuweka mafungo ya Biblia. Kwa ufahamu wangu, Watu wa Mungu waliosalia, wanabaki kupitia taabu zote hizo mpaka wakati ule watakapo muona Yesu akirudi, huku wabaya wakiwa wanapigwa hizo pigo 7 za Ufunuo. Mnyama wa Ufunuo 13 anafanya kazi, kuwawinda Wateule, wanamshinda, mpaka wakati Yesu anarudi, hakuna kunyakuliwa kwa siri. Karibu Mtu wa Mungu kwa kujadili, @Rev Moses
@nehemiahmguluka1996
@nehemiahmguluka1996 Ай бұрын
Kanisa la YESU duniani halitaingia kwenye dhiki kuuu,Unyakuo unaanza na baada ya Unyakuo (rapture) ndipo mpinga Kristo atapata nafasi ya kutawala dunia, biblia inaposema yule asi roho yake inatenda Kazi lakini yupo azuiaye huyoo azuiaye ni Roho Mtakatifu ndani ya Kanisa. Baada ya Kanisa kunyakuliwa ndipo mpinga Kristo ataanza kutawala miaka 7. Dhiki ya yakobo biblia inamaana dhiki ya taifa teule yaani Israeli, huyo ndiye yakobo mwenyewe. Na hao watakaookoka ni walle ambao hawatakubali kupigwa chapa ya 666. Na hayo mapigo yote watayapitia Israel na wale wengine watakaokua wamesalia duniani. Pia usichanganye unyakuo na kurudi kwa Yesu na watakatifu. Unyakuo utaanza kabla ya Dhiki kuu. Na mwishoni mwa Ile miaka Saba ya mpinga Kristo ndipo hapo Yesu anashuka na Jeshi la Watakatifu kuamua vita ya Harmagedon ikiwa ni pamoja na kumuua nabii wa uongo na mpinga Kristo kwa upanga katika kinywa chake. Halafu Jitahidi usome maandiko na sio Kuleta mitazamo yako Kama ulivyosema hapo, biblia inaelezea Mwana wa adamu atakuja Kama mwivi, wawili watakua wamelala, wawili watakua shambani, wanawake wawili watakua wakisaga mmoja atwaliwa na mwingine aachwa hiyo ndio ya Yesu kuja kuchukua Kanisa lake Tena hii ya Unyakuo ni watakatifu peke yake ndio wataisikia Sauti ya parapanda na watamlaki mawinguni. Mapigo Saba ni kwa taifa la Israel na wale wengine waliosalia. Hiyo ya kila jicho kumuona ndio hiyo ya kuja na mawingu na Jeshi la Watakatifu mwishoni mwa dhiki kuu yaani mwishoni mwa Ile miaka Saba. Hapo ndipo kila jicho litamwona na hao waliomchoma. ZINGATIA kusoma maandiko vizuri na sio kurashia rashia. Biblia iko wazi kabisa.
@user-su6yd2lt5f
@user-su6yd2lt5f 9 ай бұрын
Palestrina uwataji, acha ubinafsi was dini
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 8 ай бұрын
Palestina Mungu awasaidie kuelewa unabii.
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 9 ай бұрын
Amen
@fikirikiwike4909
@fikirikiwike4909 9 ай бұрын
Amen
Mch Moses Magembe - KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU | UINJILISTI
1:19:46
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
Mch Moses Magembe  - KUTAFUTA KUMUONA YESU  | MAKAMBAKO 05
2:16:52
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 3,1 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 27 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 13 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 176 МЛН
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
Mch Moses Magembe - MAOMBI YENYE MATOKEO
1:43:42
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 28 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: YESU AMEKARIBIA KURUDI, KAMA HUJAOKOKA JASHO LITAKUTOKA
9:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 84 М.
VITA VYA KIROHO
33:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 7 М.
MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE: KUVAMIWA KWA ISRAEL NI ISHARA.
9:19
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 121 М.
Mch Moses Magembe -  WANYAMA WANNE
2:07:36
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 142 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН