Baba mungu akubariki, haijalishi ni waumini wangapi lakn ww unachoangalia ni kutimiza kile tu mungu amekuitia ubarikiwe baba na mungu akuangazie Nuru za uso wake akupe maisha marefu🙏🙏
@ChristinaKembeАй бұрын
Amen mama na baba
@VenanceMhekelaАй бұрын
Amen 🙏 yesu ni Bwana
@gokudenzel7871Ай бұрын
AMEN BABA ASANTE NIMEAMINIA MTOTO YANGU SAM DENZEL MWANIKI AKIWA KENYA 2025 ANAKALIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE OCT - DEC. GODWILLING AJAZWE NA ROHO MTAKATIFU. NIMEPOKEA UJAZO NIKIWA TEXAS SHUKRANI BABA MCHUNGAJI. MKUTANO UMEKUWA WA UJAZO USIO WA KAWAIDA KATIKA JINA LA YESU. ASANTE YESU NIMEPOKEA NGUVU.
@edizmwangiАй бұрын
Mungu ni Mungu mwaminifu atatenda yalio mema. Shikilia Imani yako Mama.
@EliakimEsromАй бұрын
👏
@judithmartin94429 күн бұрын
MUNGU akubariki baba hii kitu jiunganishe na madhabahu uwa sikipendi naonekanaga napinga sauti ya Mchungaji. Shida ni uende kusali wapi kila sehem mmmmmh! Watu wa Majumba sita mlibarikiwa hamjui tu. Mchungaji alikuwa hana kaiga vitu vingi anabadirika kila siku.