Mungu akubariki sana baba mchungaji kufundisha vitabu hivi hasa Daniel na ufunuo.Nafurahia saana
@janetgakii748715 күн бұрын
Bwana nimwema Niko Kenya nawenza pata kitabu Cha Roho mtakatifu aje
@charleshinju1237Ай бұрын
Amen baba Ninapate nakala za vitabu
@EdsonMsevenАй бұрын
@@charleshinju1237 vipo ni nikutuma address na hela ya vitabu unavyo taka unaagiziwa
@DanielBoay-v3h26 күн бұрын
Shalom napatikana manyara ntapataje hivo vitabu
@HopeMitula-yb4hrАй бұрын
Mungu anakusud nawe pastor🙏🙏🙏
@YonaMwakasakala29 күн бұрын
Navipataje vyoté? Na ahingapi? Nipo Kyela tumepishana. Barikiwa Mtumishi wa Mungu.
@EbeliNjeje-qw3qf29 күн бұрын
Kuanzia kesho jumatano Yupo Boda uende utavipata
@alinependo-bk4jj28 күн бұрын
Shalom watu wa Mungu wetu namimi navihitaji vitabu ila nipo inje yaichi
@johnsebastian-bx6qnАй бұрын
Amina hivi vitabu tunavipata wapi baba mimi nipo mwanza vyote
@EdsonMsevenАй бұрын
@@johnsebastian-bx6qn unapata popote pale useme unataka vingapi unamtumia hela kwenye namba yake unatuma na ya kuutuma mnzigo unavipokea stend za mabasi bila wasi wasi ni rahisi ukitaka namba yake ya kupokea pesa nitakutumia
@graceofgolgothatvАй бұрын
Shukrani baba Mchungaji mtubarikiwe sana. Je! Naweza pata je hicho KITABU tafadhali? Asante sana
@EdsonMsevenАй бұрын
@@graceofgolgothatv wapi upo?
@PacifiqueBAHUNE23 сағат бұрын
Niko Congo Lubumbashi,kitabu cha ndoto na tafsiri tunawaza kipata namna gani?
@EmilAba-b6i29 күн бұрын
Mimi niko Congo drc goma nitavipata namna gani
@EdwardChitamaАй бұрын
Amina🎉
@karolikisaka899121 күн бұрын
Haya mahubiri ni adimu sana walimu kama ni adimu pia.Si wakati wa kufuatilisha namna ya udini
@lukasapali505Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fidemikaeli8145Ай бұрын
Amina
@casfeta-tayomimwecauchoir443Ай бұрын
Amina,, BWANA YESU atukuzwe sana. But, jamani natamani kupata vitabu sijui nitapataje????
@EdsonMsevenАй бұрын
@@casfeta-tayomimwecauchoir443 vinapatikana Dar ila kwa uhakika wa kupata ungewasiliana naye au hata mm nitajaribu kumwambia ukituma hela uhakika wa kupata ni simple atakuagizia kwenye mabasi utapokekea.
@casfeta-tayomimwecauchoir443Ай бұрын
@@EdsonMsevenAhsante but namba ya mawasiliano ni ile iliyopo kwenye KZbin videos,yaani zile zile za sadaka au tofauti .
@EdsonMsevenАй бұрын
@@casfeta-tayomimwecauchoir443 yes unaweza tumia ile ya tigo kuwasiliana naye
@casfeta-tayomimwecauchoir443Ай бұрын
@@EdsonMsevenahsante Sana kwa maelekezo hayo
@ZAWADIMWANGESILE16 күн бұрын
Kristo atukuzwe
@munezeromune448526 күн бұрын
Ni Nina wezaje pata Vitabu hivi Vyote
@damasmasyaga2115Ай бұрын
Vitabu hivi naweza kuvipata wapi? Napatikana Dar es Salaam.
@EdsonMsevenАй бұрын
Vipo kanisani majumba sita
@FarijiEdsonАй бұрын
Kwahiyo kuvipata hadi ufike hapo majumba sita ama hata kutumiwa inawezekana kama inawezakana naomba mawasiliano yenu haraka iwezekanavyo
@EdsonMsevenАй бұрын
@@FarijiEdson unapatikana wapi? Na unataka vingapi? Tuma address na namba yako