Mch Moses Magembe - KANISA VUGUVUGU

  Рет қаралды 7,040

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@muyobokethomas3785
@muyobokethomas3785 Жыл бұрын
Ubarikiwe Muchungaji kwa Neno nzuri nalisikiliza ni kuwa nchini Kenya
@rahelynocha642
@rahelynocha642 7 ай бұрын
HALLELUJAH HALLELUJAH 🙌🏾
@dannycham-hf8oq
@dannycham-hf8oq Жыл бұрын
Amina baba yetu tupe chakula kitokacho juu
@barakacharles3466
@barakacharles3466 Жыл бұрын
Ubarkiwe sana mtumishi mwema tuna kupenda sana
@denismlwafu4964
@denismlwafu4964 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa MUNGU,ila samahani tunakumbana na tatizo la sauti hivyo Kuna point tunashindwa kusikia #
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
Bwana YESU asifiwe Baba Mchungaji,sisi tulio mbali tunapata shida ya utulivu wa sauti zinaingiliana magwi Kali zinapasua masikio, mitambo ya sauti haiko sawa kbs, somo zuri lkn tumeshindwa kwenda pamoja, km ikikupendeza somo lirudiwe tena siku nyingine wakati mitambo ikiwa sawa, leo Ibada imekua shida kwa sisi tunaofanya Ibada moja kwa moja mtandaoni, nimeshindwa kbs, nimejiunga bunda alipo kuwa Mchungaj Katekela kwenye semina anayofanya huko 🙏
@tonymusa782
@tonymusa782 Жыл бұрын
MUNGU MTAKATIFU akutunze sana baba yangu maana unanibariki sana, naamini unambariki pia MUNGU.
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz Жыл бұрын
Amen
@daudimasunga5627
@daudimasunga5627 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, changamoto sauti hatusikii vizuri, naomba fundi vyombo arekebishe.
@jameslekeni2905
@jameslekeni2905 Жыл бұрын
Jamani rekebisheni sauti. Au ni hujuma
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
MUNGU wetu ni mwema kila wakati. SAUTI ya BABA
@nicholausmbalani8629
@nicholausmbalani8629 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji
@rosemaryraymond8813
@rosemaryraymond8813 Жыл бұрын
Sauti mie sisikiii hata kidogo somo. Limenipita 😢
@tonymusa782
@tonymusa782 Жыл бұрын
Ni shauku yangu siku moja na mimi nimtumikie MUNGU kwa viwango vikubwa kama wewe au zaidi.
@GadauRahel-jh1lj
@GadauRahel-jh1lj Жыл бұрын
Sauti haipo
@binnahtomms8428
@binnahtomms8428 Жыл бұрын
Sauti jamani
@judithmartin9442
@judithmartin9442 Жыл бұрын
Sauti jamani Kuna pointing nakosa afu kamera Mara icheze Mara rangi iwekwe na kuolewa jamani, jitahidi basi
@emanuelsakedie5199
@emanuelsakedie5199 Жыл бұрын
Mchungaji nabarikiwa
Mch Moses Magembe - KANISA LA KIPENTEKOSTE (Alama za Kanisa la KiPentekoste)
3:43:01
Mch Moses Magembe - KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU
1:16:06
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 7 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Mch Moses Magembe - MAOMBI YANAYO JIBIWA
2:14:07
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 6 М.
Mch Moses Magembe  - FALME KUU DUNIANI | MLOWO 05
2:44:08
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
Mch Moses Magembe - MATENGENEZO YA KANISA.
3:01:03
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 6 М.
Mch Moses Magembe - DHAMBI YA ULIMI | IBADA YA JUMAPILI
2:18:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 16 М.
Mch Moses Magembe - UFUNUO WA MUNGU KWA MWANADAMU
3:00:46
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 3,6 М.
Mch Moses Magembe  - NDOTO YA NEBUKADREZA | MLOWO 04
2:40:58
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 8 М.
Mch Moses Magembe - MAISHA BILA MUNGU NI UBATILI 02
1:53:18
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 9 М.
Mch Moses Magembe - SIFA NA IBADA
1:58:52
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 4,5 М.
Mch Moses Magembe - KITABU CHA DANIEL
2:49:00
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 31 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН