Kanisa safi❤❤❤ YESU akutunze baba mwenye injili ya kweli Amen.naijua tag kwa chuki lkn wote wanaoshindana na wewe YESU awashughulikie Amina baba ana mengi huyu kweye tag😢
@MusaSelemani-x2c4 ай бұрын
Mungu amtunze na kumlinda huyu Baba na apate mtumishi wa kuvaa koti na kiatu chake kwa kweli kanisa na dunia kuna mkanganyiko Mungu aturehemu.
@mhelezijoackim-kl9vb4 ай бұрын
Hakika tumebarikiwa na Bwana Yesu kupitia mtumishi wake Rev Moses Magembe🙏🙏
@shukurubaruwani4 ай бұрын
Mungu anisamehe nilifanya ngono yaushoga Mungu unirehemusana
@bujagajeremiah43083 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu Mungu anampango wa kutufikisha mbinguni kwa kweli.
@Lameck-h5o4 ай бұрын
Nipo hapa "sauti ya mtu aliaye nyikani" nakupenda sana mchungaji wangu
@LivingLeonard3 ай бұрын
AMEN 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samsonmwaisela17923 ай бұрын
Mungu akutunze baba yangu
@HosianaGirigo4 ай бұрын
Mungu akutunze baba yetu.
@ivonaevarista46544 ай бұрын
Asanteeeee Bwana Yesu Kristo
@JojoJoji-h8g4 ай бұрын
Neno ni moja tu kwa biblia yesu ni bwama na mwokoz wa ulimwengu
@mamamama-w8p4 ай бұрын
emeen baba mungu azid kukutunza
@RobertSilington3 ай бұрын
Balikiwa sanaa mtumishi wa BWANA
@ThanksWorld-234564 ай бұрын
Amen
@LawrenceNgogo4 ай бұрын
Amina
@festofabian33274 ай бұрын
Mungu akusaidie Baba.Ibada ya uchumba hadi ndoa mbona haipo KZbin?
@RobertSilington3 ай бұрын
Ipo mtumishi wa BWANA
@jasperjackson88714 ай бұрын
Jitahidi uwe unatuliza camera hata kama unamfata mchungaji unapopitisha kwa washirika usiikimbize twaumia macho. Ni kwa nia ya kujenga mtumishi hivyo naamini hutakwazika ili kazi ya Bwana isonge mbele vema♥️🙏🙏🙏
@EliaKwandaja4 ай бұрын
Sijawahi kuona mutumishi kama huyo
@ivonaevarista46544 ай бұрын
wapo na mwingne anaitwa abiud misholi Mungu anawatumia sanaa wapo wengi tu