Asante Mwalimu Ndacha na wenzako kwa mafundisho ya Neno la Mungu.Naomba utueleweshe maandiko haya:Wakolosai 2:16-17 [16]Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; [17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
@BernadoPankrasi3 ай бұрын
Aisee mwalimu ndacha ubarikiwe kwa kazi ya Mungu.
@mjombawallace49663 ай бұрын
Kabisaaaaa
@badeuxGerard3 ай бұрын
@@mjombawallace4966 kabisa kabisaaaaa
@DAVID-hc1ov3 ай бұрын
Roho wa Mungu azidi kuwapa nguvu, Mungu awabariki mno watumishi wake katika Yesu Kristo 💪
@TaulaMuema-q8y3 ай бұрын
Nawashika mikono sawasawa may the Lord bless you
@holypercy5375Ай бұрын
@@TaulaMuema-q8y 9
@GraceLuvuno-yv6vm6 күн бұрын
Waziri ! Ninakusihi uangalie calenda ya kiarabu na ya kisilamu ina eleza wazi kuwa jumamosi ni siku ya saba
@kitandajeremie8269Ай бұрын
Mungu a wa bariki sana kwa ukweli mnao tetea
@MaluliDominick3 ай бұрын
Amen! Watumishi wa MUNGU kwa kuufunua ukweli sahihi wa Sabato halali ya kumuabudu MUNGU siku ya Jumamosi. MUNGU azidi kuwabariki sana.
@margretdionese4932 ай бұрын
Mbarikiwe sana nilikuwa mprostetanti sitakwenda tena jumapili
@MartineJoseph-u6i3 ай бұрын
Amen,mbarikiwe watumishi WA Mungu mmefafanua Kwa usahihi kabisa mkiongozwa na Roho WA Mungu
@libangakennedy92546 күн бұрын
Hongera sana Ndugu simulizi kwa kazi njema, sisi mashabiki tunataka kukuona wewe pia
@MatikoJames-c8m3 ай бұрын
Mch Ndacha mungu akubariki tena sana
@JamalGermanus3 ай бұрын
Sabato imefutwa haipo tena,kama Ndacha anasema Bado inaendelea basi namta tukutane tungelee nada hiyo.
@louisejeanne83063 ай бұрын
Simulizi Kazi nzuri sana, one day tukuone mashabiki , I’m a Christian and big up my brother, napenda unavyoulizaga maswali ya ndani na ya kiakili kabisa 💪
@ernestbensonmwamengo16423 ай бұрын
@@louisejeanne8306 🇮🇱🇮🇱💪💪💪
@byamasumakali21393 ай бұрын
Mbarikiwe sana wa tumishi wa Mungu na Mungu awazidishie sana Roho wake ndani yenu
@omwengajoseph42983 ай бұрын
I like this Teachings,Mwalimu Ndacha be blessed, continue enlighten people according to the Ten commandments. God is the Truth,way and Life
@isayaogola87332 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji Ndacha
@Benjathekingofficialtv3 ай бұрын
Aiseee , huyu ndacha siku ya mwisho watu wamtamtafuta awape neno hawatamuona kabisa , watu wanajifanya kichwa ngumu hata kwa kitu anachokijuwa kama MAZINGE , Yesu atuokoe .
@SuleimanmumaniOmar3 ай бұрын
Atatafutwa kama vile kiboko ya wachawi anavyo tafutwa.hahaha
@halidimgonza59453 ай бұрын
na ww pia siku y hukumu ndo utatambua yote anayowalingania mazinge mkaacha kumsikiliza, halaf ukome kumtaja vby huyo shekh mazinge, baki kwnye UKAFIRI wko siku y mwisho ndo utajua
@Benjathekingofficialtv3 ай бұрын
@@halidimgonza5945 dawa imekujaa😂
@davisadawson143 ай бұрын
@@Benjathekingofficialtv jamani mi narudia maneno yangu,Imani inanguvu kuliko ukweli halisi,kiufupi hapa tutabaki kubishana tu,,na huenda hata kuchukiana tu,,so tuache siku ya Mwisho Mungu atuamue
@prochesernest54393 ай бұрын
Soma Warumi 14:5 uone hizo siku hilivyowekwa vizuri nyie endelea kushika siku sisi wakristo tulishatoka huko tunamuabudu Yesu kristo mwokozi wetu
@zakazakazi-fn6zy3 ай бұрын
Hakika watumishi wa Mungu wana roho ya Munguu hakika kristo kazi yake itatangazwa vemaaa
@DanielMlelwa-p6w3 ай бұрын
THIS PASTOR IS FROM GOD♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@Mutua-h9r3 ай бұрын
Direct ❤❤❤❤❤❤ from God
@AmmarSadik-x5u3 ай бұрын
Mwalim ndacha Mungu akupe miaka mingi naher dunian
@andrewlangat-pe4he2 ай бұрын
Mungu awabariki na awaongze katika njia zote za Mapito mnapo endelea kuhubiri neno la mungu
@JanethMakoko2 ай бұрын
Barikiwa sana pst ndacha na masawe nawe Mr simulizi kazi njema brother
@magilalindebile-fj3vgАй бұрын
mbarikiwe sana watumishi maana nimejifunza kitu
@SimonKefa-lz1kdАй бұрын
Ndacha, mungu akubaliki sana, naumba uunde akauti ya sadaka, mtu kukupa wewe chochote ni kukutia nguvu katika kristo yesu, na thawabu yetu mungu atatupa.
@adinasibahati31333 ай бұрын
Live long enough NDACHA GOD ALMIGHTY KING 👑 BLESS YOU MORE and protect you ❤❤❤
@EdwinKiptum-t8u2 ай бұрын
Well articulated!
@msemakweli2433 ай бұрын
Mwalimu ndacha unafundisha kweli ambayo mpaka mtu anaeongozwa na roho wa mungu lazima hakuelewe
@davisadawson143 ай бұрын
Yan hata mjinga ambae hajaenda shule ataelewa tu,,SEMA Cha ajabu walioenda shule ndo wanabisha yani shetani ana nguvu jaman daaah
@mjombawallace49663 ай бұрын
@Roho wa mungu sio mungu wa ukweli ni kama Roho wangu pia ni riho
@davisadawson143 ай бұрын
@@mjombawallace4966 :Jichanganye,na Hapo ndo waislamu mnakosea Ndg yangu,chochote alicho nacho Mungu Huwezi kukifananisha na mwanadamu hata siku Moja hivi kwel roho yako wewe unaweza kukifananisha na Mungu,,,,,labda nikuongezee kitu hapa,,,ujue Mungu ni Roho hili najua mnaamimi Sasa Huwezi kumuona Roho Moja kwa Moja ni lazima iwepo connection ya kufanya wewe umuone hyo Roho,,ndyo maana Mungu akaja kwa Namna ya mwili(Yesu kristo) Ili kwamba tuweze kumuona direct,,,hapa ndo kitu nyie hamuelew hivi Roho wewe unawezaje kuniona, ebu tuambizane tu ukweli sasa
@JoshuaDufi2 ай бұрын
mbarikiwe sana watumishi
@PeninaElia-v3n3 ай бұрын
Ukweli lazima usemwe, maana hii Dunia kumekuwepo na matangopori mengi, Sabato ni jumamosi.
@Last4033 ай бұрын
Ukiulizwa swali utajibu kwa ufasaha au utaleta hadithi,okay nataka kujua, sheria za Mungu zinapatikana katka Biblia nadhani hilo unalijua ,sasa basi naomba andiko,ni andiko lipi linalosema siku ya sabato ni jumamosi?
@JohnNjoroge-i1r2 ай бұрын
@@PeninaElia-v3n wapi adiko lakunyesha hocho kitab
@kilimochafamilia28 күн бұрын
Hongera
@HappinessAhia-ey1lq3 ай бұрын
Sabato ilikuwepo Toka kuumbwa dunia. Naipenda sana sabato. Asante mwl. Ndacha.
@marthadaniel49042 ай бұрын
❤❤
@VictorKalibo2 ай бұрын
Mungu awabariki
@NoahSeludao3 ай бұрын
Ndacha barikiwa eneza injili
@SabatoChacha3 ай бұрын
Barikiwa sana watumishi wa Mungu
@jerusalemtv85442 ай бұрын
Mmefundisha vizuri watumishi wa Mungu, tunapaswa tufuate Amri za bila kubadilisha au kufuata maagizo ya mwanadamu.
@isayaogola87333 ай бұрын
Mungu akubariki Ndacha ukweli ubakie ukweli
@chestitmoses12682 ай бұрын
God bless you.The ten comments is the character of God.
@paskaligeay83632 ай бұрын
Jamaa anafundisha vzur
@josephineobure34203 ай бұрын
Pastor Ndacha barikiwa sana kwa kutetea SABATO ya BWANA.
@CharlesMisungwi-f8t2 ай бұрын
Siku yamwisho Yesu atakuja kuchukua kanisa lake. atachukua wafuasi wakiristo majengo sikanisa nimwiliwako nautakaso waukitisto ndani yako.
@Nolithajack123 ай бұрын
Ukweli kuna uma ndacha nimukweli❤
@charleshenrykoinangemangua6922Ай бұрын
Amri 4: Kwanini Baba YAHUAH akaanza kwa kusema, "Usisahau kuiweka..."? Hii ina maana kwamba kulikuwa uje wakati, watu wasahaulishwe sabato. Ni vyema vile mwaelekea. Very good.
@JordanRichard-s2d3 ай бұрын
Yani ndacha ishi sana . Ubarikiwe.🤲.Yesu akupe mabawa upae.
@BrianBayaMusic6 күн бұрын
Kuna mambo ambayo twapaswa kuyaelewa vizuri ila hapo Kwa sabato mchungaji Yuko na shida.Sabato inamaanisha utakatifu ambao utimilifu wake ni Kristo ndo maana Yesu akasema, sabato naliieka Kwa kua ndimi Bwana niwatakasae.
@mjombawallace49663 ай бұрын
Watu watajifunza tu mwishoe zidi kufundisha. Mimi nilisha amini kweli kweli 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@MartineJoseph-u6i3 ай бұрын
KATIKA maandiko hakuna siku inayoitwa jtatu Hadi jpili bali Kuna siku ya KWANZA mpaka ya Saba ivyo hayo MAJINA ya siku ndio MAJINA ya mpinga kristo Mungu hakuwai kutoa hayo MAJINA ya siku
@jacksule75573 ай бұрын
@@MartineJoseph-u6i kuna lugha za asili zote dunian kubwa google jumamos zinatamka sabat anzia kiarabu ,kirum kiimgerza kigeruman kirus korea japan taiwan phillipine portigo , france , hispania india , kitruk habesh , israel lugha zote kubwa dunian kwann zitamke sabat nan aliwaelelewesha huo msamiat na kuwaeleza ni sku hy mfn soma koroan sku ya kwanza inaitwa umur awal j2 mpk ya saba inaitwa sabat
@PASTEREZEKIELJOSEPH2 ай бұрын
Dacha wewe ni mwalimu kweli ubalikiwe sana
@angelsulle7177Ай бұрын
Wewe changanyikiwa sana Jumapili Yesu aliianzisha 1:Kwa kufufuka kwake 2:Aliumega mkate 3: Alianzisha Kanisa Katoliki Kwa kumtuma Roho Mtalatifu siku ya 50 tangu ufufuko ni siku ya Jumapili. Sabato ni ya Wayahudi. Na Wala hatuwasikilizi Yesu anaimarisha na kulibariki Kanisa lake
@PauloMelamaGetharoАй бұрын
Sabato ya kweli ni jumamosi hakika nimekwambie kwanini 1 soma kutoka 20 yaani amri ya nne 2 waebrania 1:1-12 hasahasa fungu la Tisa 9 na mengine mengi tu
@margretdionese4932 ай бұрын
Nawapenda
@danielbngosha51042 ай бұрын
Mungu ni mwema sana, watu wapaswa kuuelewa ukweli kwa namna yeyote, ili end of the day mtu asiwe na visingizio
@nanguniMtaita-hz4ztАй бұрын
Hawa wainjilist Ndacha naasawe, ni chuma Cha kupoteza mbali kuhusu neno takatifu. Wameichambua biblia kama ilivyoandikwa. Bigup. Nyie Wachungaki vipofu, Viziwi ipo siku yenu, mrudoeni Bwana muda ungalipo.
@Jumwagbran-w6rАй бұрын
Wasabato wamepotea ileweni maandiko, yesu ndio mwili, Kwa hivyo kanisa ni Kristo, hiyo mchungaji ndacha amepotoka kimaandiko, jumapili ndiyo siku ya bwana yesu aliyeanzisha, fuata agano jipya,sio la zamani maana ni kivuli cha mambo yaliyopita pole Sana ndugu okoka, tazama ya kale yamekwisha yamekua mapya
@ImanuelKakore2 ай бұрын
AMINA
@josephorenge7312 ай бұрын
Sabato ilikueko,iko na itaekueko milele
@arjansonmloge560817 күн бұрын
Nimewasikiliza sana lakini bado hainijii akilini kama kweli Wakristo wanaweza kuitimiza sheria ya Sabato kama inavuyoelezwa katika torati ya Mussa bila Neema ya Wokovu iliyoletwa na Yesu!
@ForemanBestline3 ай бұрын
These two men must no be ignored they are all smart
@augustinonestorysasi36832 ай бұрын
Yusu alikufa siku ya ijumaa akufufuka siku jumapili Moto mtakatifu ukatokea jumapili Yesu anaenda Mbinguni Kwa Baba Naomba majibu ! Watakatifu Wote ni Wazungu nawarabu sisi wavu wetu miungu mashetani Naomba ,
@TaulaMuema-q8y3 ай бұрын
Please nnaomba mufungue kanisa huku wote makueni
@Dishonodeny-q7o2 ай бұрын
It is true,the sabbath day is sarturday
@markbundi9821Ай бұрын
We must turn to God's command
@venchavena17413 ай бұрын
🙏🙏🙏
@sethngolo65583 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen!
@Punda284Ай бұрын
Sabato halisi ni Yesu Kristo kwakua agano lote la kale ni kivuli cha agano jipya.hivyo sabato ya kweli ni wokovu wa Yesu Kristo kwa wanadamu siyo siku ya kusali.hata ukisali jumamosi hujatimiza haki ya kumkubali Yesu Kristo kama mwokozi kwa kuamini,kukiri na kubatizwa na maji mengi ni kupoteza muda na kuifia dini.
@davidmnyela2459Ай бұрын
Kama Yedu alifanya Ibada Siku ya sabato na wewe vivyo hivyo hakuna ilienda ikarudi ikasimama na mbambamba zingine vinginevyo sio mfuasi wake.
@karegesa3176Ай бұрын
Yesu alisema yeye ndio sabato
@masoudnzowa46083 ай бұрын
nimependa mwalim ndacha aliposema mungu alibariki siku ya saba sasa siya sana ni ipi?.. ninavyojua mosi ni 1, pili ni mbili, kuna jumatatu, jumanne, juma tano, alhamis, na ijumaa ndo siku ya saba. ALLAHU AKBAR mungu awaongoze ndgu zetu!!??
@EmmanuelYona-x7kАй бұрын
Sheria ya kiyahudi hiyo. Tunaokolewa kwa NEEMA.
@ELITE7793 ай бұрын
NDUGU MWANDISHI HONGERA SANA MAANA UNAIHUBIRI INJILI YA KRISTO 🎉😂
@JohnMashamba3 ай бұрын
Mungu mwumbaji alimaliza alipotamka ikawa,na siku ya kwanza ya juma ni mapokeo ya wanadamu kwa hiyo Mungu hapambani na aliyeumbwa.
@fulgencenombo245114 күн бұрын
Imeandikwa,, MUNGU aabudiwi kwa vitu vilivyofanywa kwa mkono wa mwanadamu. Wala akai kwenye hekalu lililojengwa na mwanadamu.
@CharlesMisungwi-f8t18 күн бұрын
Torati laMusa na Enjili yaYesu au ukiristo kipi kilicholetwa kwa ajili ya ulimwengu na kwa mataifayote nawasabato ambaonidini yawayahudi hawamuamini Yesukiristombaka.leojapokuwa wakiristo wapo lakini sio wengi Yesu wanaaminini mtoto wazinaa na alikuwa mujanja. 42:26
@ZephaniaEmmanuel-ye1ppАй бұрын
MUNGU awape nguvu nyingi watumish niko pamoja nanyi
@EvaristoMbilinyi-d8sАй бұрын
Mimi kama mkatoliki kumsikiliza msabato au kubishana na msabato ni kàma kutembea uchi,Huwa siwaelewi mfano wàñapinga krismas wàkati huo huo wanatunga nyimbo zinazohusu krismas na kuña mifàno mingi,Imani yao utadhani hawalitambui Again jipya.
@davidmnyela2459Ай бұрын
Sikiliza na kichwa uelewe
@mgetalmАй бұрын
Mungu akuongeze. Soma vizuri Biblia. Soma kutoka 20: 1-17. Hayo anayosema ni ya maana sana. Soma pia Yohana 14:21 na pia UFUNUO 14:12.
@malemiym3942Ай бұрын
nyimbo zinahusu krismass kwa kupinga au kusapoti?
@petrofabian45235 күн бұрын
@@malemiym3942 hilo agano jipya unalolisema ndilo linasema sabato ilifanyima kwa ajili ya wanadamu ,,
@Punda284Ай бұрын
Yaani ndacha yupo sawa kwa mambo ya sheria ila kwa mambo ya agano la Kristo bado anahitaji kusoma na kuwasiliana na Roho mtajatifu aache kupoteza nguvu nyingi kutetea dini ya kisabato atumie muda huu kumhubiri Yesu Kristo ndilo agizo tuliloachiwa na Kristo badala ya mabishano ya kidini.Soma Mathayo 28:19-20 punguza gharama za kupigania dini watambulishe watu kuhusu Kristo mwenye kanisa lake usiwe msemaji wa mbingu kwa namna isivyo sawa.
@BrianBayaMusic6 күн бұрын
Hao walibishana hata na Kristo chungana nao.
@pastoraggreynengoluvai4624Ай бұрын
Nashukuru kwa wandugu kwa neno la ufasaha lakini naona kama wajikanganya.wamesema kanisa ni mimi na wewe warming siyo mjengo,ndiyo nakubaliana nao lakini yesu anasema nitaipomoa na kuijenga hekalu baada ya siku tattoo.kumaanisha anatangua siku ya kuabudu ya sabato na kuipeleka siku ya kwanza ya wiki anapofufuka.HUO ni uumbaji mpya wa kanisa.
@DanielNdagala3 ай бұрын
Sabato,yamaanisha pumuziko.Agano la kale ni agano jipwa likiwa limefichika(concealed,yesu akiwa amefichika)na agano jipwa ni agano la kale kwa uwazi(revealed),zile hamri zilikuwa za kuwatayarisha watu mjio wa yesu kuja kutimiliza,ndipo alisema yeye ndiye bwana wa sabato(pumuziko)kwa hivo tunastahili kuhubiri yesu kristo watu wapate pumuziko kwake bali si siku,sai sabato(pumuziko)ni yesu kristo na ukombozi wake,kumbuka hata roho mtakatifu hakuwajia wanafunzi sabato ikafanya wayaudi waseme wamepagawa sababu haikuwa sabato venye walizoea.Yesu haangalii siku bali anaangalia wanao mkubali na kazi ya msalaba aliyoifanya kutuokoa sisi
@benezethlukubah85693 ай бұрын
Hivi Ebrania 7:11 - 28 tunaielewaje Kuhusu Sabbatho
@BonaneCanisius-t1s2 ай бұрын
Leta andiko
@malemiym3942Ай бұрын
unayoongea yameandikwa wapi???
@DanielNdagalaАй бұрын
@malemiym3942 soma matendo yote, Wagaratia yote Waefeso yote,hautaringa na siku ya sabato tena bali utasimamavna Yesu alivyotaka yeye
@malemiym3942Ай бұрын
@@DanielNdagala ndugu sitetei siku ya sabato bali tunaongelea amri ya Mungu ambayo Yesu kristo BWana wetu aliitunza pia, ilikua desturi yake kwenda kuabudu siku ya sabato na hata mitume wake pia
@DennisMaweu-i7gАй бұрын
MARKO ,2 28, siku Haina usito upande wa kuabudu
@HARMONITZ3 ай бұрын
Achana na siku ya sabato hamjui kama sabato ni Yesu mwenyewe na siyo siku kama mlivyo ile ya kipindi cha Musa. Pale walipo mpelekea mashitaka ya wanafunzi wake kuingia mashambani siku ya sabato akawajibu hamkusoma habari za Daudi kula mikate ya hekaluni kunyume na taratibu za wakati ule. Sabato anae angaliwa ni Yesu na imeandikwa.
@stephen-S7n2 ай бұрын
Umesoma wapi Yesu ni sabato??
@nsiamasawe4578Ай бұрын
Nimependa neno kusanyiko. Hawa watumishi wanaweza kunihamisha nilipo na nikaingia kwenye kusanyiko. Lakini Mimi siamini katika maji wala katika siku. Ninaamini katika matendo.
@AndrewSamweliАй бұрын
Menena vyema Ila ujue kua Yesu alisema kua tufuate njia zake
@pheneasmwenda8329Ай бұрын
Na neno litaedelea
@mazoyakusekwa4167Ай бұрын
Hao siyo wakristo
@davidmnyela2459Ай бұрын
Wakristo ni kina nani kwa mujibu was yesu kristo mwenyewe???
@NewtonMutembei-j7s3 ай бұрын
Bwana dacha. Abudu Mungu kila siku. Utakuwa Sawa.
@franciscomtambakuluca28303 ай бұрын
Andiko
@BonaneCanisius-t1s2 ай бұрын
@@franciscomtambakuluca2830 leta andiko brother
@damianichayo8952 ай бұрын
Wayahudi Sheria zao ni mila
@hashim.22kamal2722 күн бұрын
Wapi.andiko.bwana.yesu.asifiwe
@arjansonmloge560817 күн бұрын
Sheria na Neema ni vitu viwili tofauti. Jadilini hivi muone kipi ni rahisi!?
@GeofreyMtaturu-pf5ydАй бұрын
Waebrania 4:1-13
@ernestbensonmwamengo16423 ай бұрын
Mungu akibariki siku nani apinge? Ila ibilisi na mawakala wake wa kijini na kibinadamu..
@MainagatumbiGatumbi3 ай бұрын
Hawataulithi ufalume WA mungu
@PeterMahona-zd3oz2 ай бұрын
Wewe mtumishi nimekwelewa lakini yesu ndiyebwana wasabato aganolakale ninjia iliyoku ikitubeleka katika agona jipya
@fikiaupeo2 ай бұрын
Ukifungwa na kongwa la dini hutamjua Mungu Wala Yesu Kristo, utashika dini Yako. Mpaka mfunguliwe kongwa la dini na dhehebu ndipo mtamjua Yesu Kristo. Wachungaji nyie kazeni mwendo kumjua Kristo, bado sana kuifahamu neema ya Mungu na uweza wake. Lakini si dhambi kusali sabato yenu endeleeni kuabudu sabato
@petromachanga55382 ай бұрын
Sipendi sabat
@kilonzomuthoka1716Ай бұрын
Ukivunja Moja ndogo tu,umezivunja zote.
@alexnchimbi69832 ай бұрын
Nijue kama hii kalenda inayotumika imepatikanaje
@josephorenge7312 ай бұрын
Soma ufunuo 14:6-13
@samsonmabula3 ай бұрын
Danieli 7:25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
@amanicarlumehabel75753 ай бұрын
Hatuna wakati watu wairudie nuru ya kweli ya Mungu tuwaachie Waroma na mambo yao
@petromachanga55382 ай бұрын
Hahahaaaa petro na Paulo walikimbilia wap
@arjansonmloge560817 күн бұрын
Mnaposema kuna ugomvi mbona siwaelewi, wapi sasa hivi kuna ugomvi wa Sabato na Jumapili?
@josephlorri4312 ай бұрын
Acheni kuabudu siku.. Kristo ndiye Bwana wa sabato
@Punda284Ай бұрын
Tatizo Ndacha badala ya kushuhulikia wanadamu kumjua Mungu mbashuhulika kuonesha dini.Biblia inatuqmbia imebaki raha ya sabato ambayo ni Yesu Kristo na siyo jumamosi.
@EdwardMasanjaBugomola2 күн бұрын
@@Punda284 ww umejuaje kwamba yesu ni sabato
@bitsanjE3 ай бұрын
Mimi hadi kufikia leo nilidhani simulizi ni masawe,,, kumbe wamefanana sauti.... barikiweni walimu
@PeterJackson-uh2ik3 ай бұрын
Sabato siyo siku. Sabato ni pumziko au starehe. Sabato ni sawa all Hollidays in any calendar. Siku zile ambazo watu wanapumzika, hawaendi maofisini. Tukija kwenye sabato za Wayahudi ambazo Mungu aliwaamuru Wayahudi waziadhimishe, siyo kila mtu. Hakuna Mkristo aliyepewa kuadhimisha siku ya Sabato, bali ameamriwa ajiandae yaani atengeneze maisha yake kwa kukesha yaani adumu katika kumtumikia Mungu hata atakapokuja Yesu siku ya mwisho, ndipo wale walio wake wataingia katika Sabato/Pumziko Ile. Duniani hatuna sabato Tena kama sheria Leo Wakolosai 2:16.
@BOAZIMPITANYE3 ай бұрын
Pole sana mpendwa.
@PeterJackson-uh2ik3 ай бұрын
@@BOAZIMPITANYE Unahubiri siku Leo? Unaulizwa hii ndo Ile ya Wayahudi, hapana! Je ninyi Wasabato,, hapana! Sasa ninyi mnaelewa mnachokitetea kweli!? Msabato siyo Mkristo. Huo ndio ukweli. Unazumza amri unaunga UNGA! Kila mfuasi wa Yesu Kristo (Mkristo) anajua kuwa Yesu amenyooka katika Amri. UPENDO.Rum.13:9. Tuhubiri upendo siyo kutwa Kucha jumamosi,! Sabato hii ilishapita na Ina majibu mazuri tu mbadala wake uko mbinguni. Kwa sasa duniani siyo mahali pa mapumziko, hapa Kuna dhiki..! Umeshawahi kuona mtu anapumzika katikati ya vita! Unajua kitakachotokea!? Hayo ni Mafundisho manyonge. Yanafanana na Lile la tohara Mdo. 15. Ni mzigo kwa watu wa Leo. Acheni ufarisayo, hubirini injili ya kuwapeleka watu mbinguni siyo Kanaani ya wahivi, na wayebusi. Mnasoma maandiko alafu mnaaply mnachokitaka ninyi.. acheni.
@lizzykerubo8603 ай бұрын
Hata mim nakupa pole kwa maandiko exodus 31:15 kazi itafanywa siku sila lakini siku 7 ni siku kuu takatifu kwa bwana,kila mtu atakaye fanya kazi siku iyo hakika yake atauwawa, so kaka ngojea kuwawa
@christopherchisuligwe5123 ай бұрын
Peter Jackson umefafanua vizuri sana Hawa wamekariri but not understanding the reality the word of GOD, Biblia inasema wanamasikio hatasikia, wanafundisha siku badala ya kuwafundisha watu katembea kwenye uwepo wa MUNGU
@SalimDahungamshahara22 күн бұрын
Kipindi cha Musa hakikuwa na kanisa kwa hili umefeli kaka