🔴

  Рет қаралды 93,984

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Пікірлер
@robertotieno5443
@robertotieno5443 6 ай бұрын
May the Lord Jesus Christ bless you more evangelist Ndacha Francis. you're a warrior of Christ 2024.
@HshjsjsjJdjjsksk
@HshjsjsjJdjjsksk 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤ my pastor 🎉
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 6 ай бұрын
Ndacha ubarikiwe kwa kusema kwe waislam wamezidiwa tena kwa kiwango kikubwa sana, injili na isonge mbele
@PaulineHalimaAmosOfficial
@PaulineHalimaAmosOfficial 10 күн бұрын
Tumuombee sule ajue kuelewa na kuuliza maswali kielimu,ndacha Mungu akupe maisha marefu na afya🙏🙏
@elkairosway1895
@elkairosway1895 6 ай бұрын
Ndugu Waislam, someni Biblia kwa kujua Mungu, sio kumpinga Yeye!
@sinyooo6583
@sinyooo6583 5 ай бұрын
Yesu sio mungu
@maimunaabdi2218
@maimunaabdi2218 4 ай бұрын
Yesu ni nabii jamani!!!
@abuuhassani497
@abuuhassani497 4 ай бұрын
Mungu hatoki njia za mkojo
@sleymankassim4332
@sleymankassim4332 3 ай бұрын
​@@abuuhassani497😂😂
@Kimoni-j4w
@Kimoni-j4w 2 ай бұрын
Hoja toa​@@sinyooo6583
@KristopherMtipa
@KristopherMtipa 13 күн бұрын
Pastor hongera san kwa kufafanua vzr san biblia wasioelewa waelewe.
@ShabaniKitungano
@ShabaniKitungano 25 күн бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana kwa kuwachapa wa islam kwa neno la Mungu, nakufata sana apa Congo/Lubumbashi
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 6 ай бұрын
Waislamu sijui huelewaje maandiko
@abasmwika3432
@abasmwika3432 6 ай бұрын
Ndacha ana maslahi mapana sana na Ukristo hatokuja kuslimu kamwe, kuslimu kwake kutauangusha pakubwa sana Ukristo. Ndiomaana anacheza na vipengele vya ujanja ujanja kuuweka Ukristo kwenye ramani. Lakini moyoni mwake anaujua ukweli
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 6 ай бұрын
Aache njia ya kwelii aende kwenye majinii😂😂
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 6 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu mzuri sana
@mrbadae
@mrbadae 6 ай бұрын
Hakuna uhusiano wowote baina ya Muislamu na Majini,mwenye anasema Majini ni kwa ajili yake mwenyewe na maslahi yake ya kidunia, soma Quran 6:128
@richardchimba3800
@richardchimba3800 6 ай бұрын
😢
@angelashitindi5427
@angelashitindi5427 2 ай бұрын
Hata akisilimu saiv ukristo hauanguki, ukristo si wa mtu mmoja
@Fedrick-jb8xb
@Fedrick-jb8xb 5 ай бұрын
Ndacha mungu akubariki
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 4 ай бұрын
nabii yesu toshekeni na hayo mumuani mungu wapekee
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 6 күн бұрын
​@@ZuwenamachelaYesu sio nabii
@ahmadbelier3160
@ahmadbelier3160 6 ай бұрын
Dr Sule Mungu akupe maisha marefu tena mazuri na akupe mwisho mwema 🤲
@BroibraEvanston
@BroibraEvanston 4 ай бұрын
Ndacha mungu akubaliki sana
@HappinessAhia-ey1lq
@HappinessAhia-ey1lq 3 ай бұрын
Nakuombea sana mwl.Ndacha. Mungu akutunze sana.
@augustinemagesa5743
@augustinemagesa5743 6 ай бұрын
Daah m naona waisilamu kuna kitu wanakikosa kwenye maisha ya KIROHO. Yani wapo mwilini sana
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 6 ай бұрын
Hawana roho wa Mungu ila Yesu atakuja ipo siku sule atashangaa sana
@tubanefrancine
@tubanefrancine 6 ай бұрын
mimi ni muisilamu swari ndogo Yesu kafa amamungu au. kafa mutu Jibu kwa Roho soma 1timoteo 6.16 AllAH hawezi kufa mupe eshima naumuogope
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 6 ай бұрын
Huu ndiyo ukweli
@saibathmwani7126
@saibathmwani7126 5 ай бұрын
🎉1​@@dennisezakiel3380
@Kimoni-j4w
@Kimoni-j4w 2 ай бұрын
​@tubanemwili ndio hufa sio roho.na alifanyika mwili kw io ajili ya kuufisha .francine
@bakarimakomola
@bakarimakomola 6 ай бұрын
Before Abraham was I'm MAANA YAKE "Kabla ya ibrahimu kulikuwako na mungu" maana I'm lilikua ni jina la mungu. Mbona wakristo mnadanganyana sana
@JosueElie
@JosueElie 2 ай бұрын
Asante sana, nawafuata 'kumi kwa kumi, from drc goma ❤❤
@changomajuma9841
@changomajuma9841 4 ай бұрын
Ndacha wenu siku hizi alikubali katika huu mjadali, anaamani sasa kuna Mungu na Kuna Yesu. Siku hizi hataki habari za utatu tena
@contextmark4911
@contextmark4911 10 күн бұрын
The bond between Christians and Muslim is like that of siblings!
@ibrahimjob4343
@ibrahimjob4343 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 atakuwa mchungaji kwajina la Yesu
@RachidJeunhomme-y6j
@RachidJeunhomme-y6j 14 күн бұрын
waislamu mupo sahihi mwenyezi Mungu awape maisha marefu
@Ax-xpress
@Ax-xpress 3 ай бұрын
Kuwafanya Waislam wamuamini Yesu kuwa ni Mungu ni ngumu saan.. Maana ata Wakristo wenyewe kumjua Yesu kwa ufunuo kuwa yeye ni nan bado hamna..!
@antfungal
@antfungal 4 ай бұрын
mimi napenda sana njinsi tunavyopendana dini zote iziii mbili,,, eee mwenyezi mungu tusaidie upendo kudumu milele na milele Amina,,,, hii aman ni nzuri sanaaa ndungubzanguni
@RaimamomedSaide
@RaimamomedSaide 2 ай бұрын
Na tukiwa kitu kimoja sote ujuwe kiama ndio kimefika,kwahio wakristo wawe tu wabishi ili dunia issiishe😢😊
@MichaelAbel-s4r
@MichaelAbel-s4r 6 ай бұрын
Kila kitu Kiko sawa ktk maandiko ya BIBLIA ,tatizo la kwanza ,kutokuokoka( kuzaliwa mara ya pili),jambo la pili BIBLIA (Neno ni Roho),waabuduo ni ktk Roho na kweli,huwezi kuelewa ni budi ujazwe Roho, kuyajua mambo ya Roho yatafasiriwa Kwa jinsi ya roho na mtu wa rohoni hutambua yote Wala yeye hatambuliwi,tangu midahalo hayupo anayetubu ila kufanya mioyo kuwa migumu,hatima ya mdahalo (lnjili ihubiriwe) mtaona matokeo .Amen
@RichardAkili-w6d
@RichardAkili-w6d 5 ай бұрын
Mwambiyeni docta sule ati yesu mwenye alikwambiya shetani asimujaribu bwana mungu wake,,,,,,,,,,,, Amina
@MakameSilima-j3s
@MakameSilima-j3s 3 ай бұрын
Fantastic Dr sule Allah akulipe mema (Duniani na Akhera)
@RajabuAlly-m6v
@RajabuAlly-m6v Ай бұрын
mungu akupe maisha malefu doctor sure
@kinglastbornmedia1474
@kinglastbornmedia1474 6 ай бұрын
Hii ngoma ya Imani nikumuachia mungu ndio atupe uongofu
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 4 ай бұрын
hakuna kumuachia mungu sikliza hoja za msingi inamana wewe huelewi we silimu tu ndugu usiufanye moyo mgumu
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 4 ай бұрын
we mtu kazaliwa na mwanamke kama mm na wewe half unamwita mungu et kwa sababu ya miujiza na hyo miujiza wa kuifanya ni mungu Sasa uungu wa yesu unatoka wp
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 4 ай бұрын
mungu ashatupa miongozo ya vitabu ni akili yko tu Sasa
@SACCHARUM-t3q
@SACCHARUM-t3q 6 ай бұрын
Kwa YESU kuna shuhuda mbili [ushuhuda wa mbinguni, Baba Neno na Roho (YESU huyo mmoja hao wa 3,wanashuhudia Uungu wake) , ushuhuda wa duniani,Roho damu na maji (hayo matatu pia yanashuhudia Utu wake)1yoh5:6-9 {Yote ni ndani ya YESU MUNGU mukubwa Tito 2:13
@peacemwesiga
@peacemwesiga 9 күн бұрын
Mungu baba wasaidie wai Slam wakue kiroho
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 3 ай бұрын
Ni kweli yesu sio mungu maan tukisema yesu ni mungu je mungu watamusemaje jameni watu waache kupotokwa yesu sio mungu na atakuja kua mungu ata iweje yeue atabaki tu kua muzungu au yeye abaki kua muisiraeli
@Fedrick-jb8xb
@Fedrick-jb8xb 5 ай бұрын
Ndacha kaeleza vzr bila xhida lkn nyinyi waislamu hamuelewi
@JeanBaptisteViseke-d4t
@JeanBaptisteViseke-d4t 3 ай бұрын
Dr seule ni misongo anapo sema mungu alisema n'a haruni kwamba apige fimbo yake mavumbi iwe chawa. Mungu hakusema n'a yesu aumbe Nadège hâta kama aliiumba kwa izini ya mungu.
@HellenLemilya
@HellenLemilya 6 ай бұрын
Sio upendeleo ila Ndacha nikuelewa unasema kweli ya Mungu
@jerrylamy6297
@jerrylamy6297 5 ай бұрын
Kwa kweli Sule haelewi ndo maana ni bure kumpa ukweli.maana Mungu alivaa mwili na akawa mtuu.kama fimbo imegeuza chawa iyo sio kuumba.maana ata wachawi sasa wana umba.Duhh Sule kuwa muelewa usirudiliyi mambo na umepewa jibu
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 6 ай бұрын
Yesu ni Mungu.ndio njia ya kweli na uzima
@tubanefrancine
@tubanefrancine 6 ай бұрын
matendo yamitume 7.55 yesu anasimama mbinguni ushoto kwake na AllAH wewe huwoni kamakuna mungu na yesu kweri dadayangu eshimu allah
@abdimalikmohamed46
@abdimalikmohamed46 Ай бұрын
Mungu baba aje
@yohanaswalo4716
@yohanaswalo4716 4 ай бұрын
YESU Aukumbuke Uzao wako
@johnkisubi8974
@johnkisubi8974 6 ай бұрын
Ndacha wow barikiwa
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq 5 ай бұрын
Yaan tes kasema mm ni wa mwanzo na ni wa mwisho nacha kauunganisha kwamba yeye mungu duu inawezekana alimaanisha mtume wa mwanzo na wa mwisho
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 6 ай бұрын
Mashallah sheikh Dr Sule waoneshe haki waace kufuru wajuwe mungu afanani nacocote azayi awo azariwi afanani nacocote uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 6 ай бұрын
Sule hajagusa hata hoja moja hapo amekwama
@ZabronWambura-yb5jf
@ZabronWambura-yb5jf 5 ай бұрын
Hata mafarisayo hivo hivo😅😅😅😅
@nominetjacob8137
@nominetjacob8137 6 ай бұрын
Hiyo ilikuwa miujiza ya MUNGU tofautisha miujiza na kuumba
@benjaminwekesawamalwa2854
@benjaminwekesawamalwa2854 6 ай бұрын
Kwa maandiko yesu ni Mungu kwa akili za waislamu ni mtume hilo halina shida
@FednardJohn-lx3gx
@FednardJohn-lx3gx 3 ай бұрын
Ndacha kaelewa maandishi ya kibibilia na koroani vizuri sana. Kwa hivyo yeye kajua ukweli na kweli mtupu na ndio uo anatuambia. Mungu na asidi kumbariki.
@tamimBasha-e6p
@tamimBasha-e6p 4 ай бұрын
Samshanini wahadhiri katika midahalo . Kwanza ndacha hajuwi kiswahili .pili anazungusha maada .Hana Majibu ya kielimu.
@AgripaMwangobola-z7r
@AgripaMwangobola-z7r Ай бұрын
Daaah ndacha nampenda mimi kwan anaeleza kwa utaratibu ad unaelewa asante mungu kea kukiweka kiumbe iki hapa dunian
@mrbadae
@mrbadae 6 ай бұрын
Kama na Yesu pia ni Mungu kwa kuwa ni Mwana wa Mungu basi Mungu watakuwa ni wangapi?
@daurdwambuto1877
@daurdwambuto1877 5 ай бұрын
Mwislamu hawezi kukuelewa labda mungu mwenyewe aingilie kati
@MakameSilima-j3s
@MakameSilima-j3s 3 ай бұрын
PIYA ALLAH AKUONGEZE ELIMU AMBAYO UTAITUMIA KWA AAJILI YA KUPELEKA UISLAM MBELE
@abubakarhassan-kq2rh
@abubakarhassan-kq2rh 2 ай бұрын
Dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu Q (3:19)
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 3 ай бұрын
Itakuaje uyo yesu awe yeye ndie asifiwe badala ya mungu jameni waafirica na ndio maan wazungu wanawaona waafirica ni waajabu
@Alex-s4o5l
@Alex-s4o5l 24 күн бұрын
Ndacha unapowahoji waislam hapa nasema yesu atukuzwe saaaaana n'a akuongezeye maarifa
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 6 ай бұрын
Mambo ya Yesu Kristo hakuna mtu anaweza kuelewa mpaka Mungu mwenyewe akujalie
@sadiqkivunjor5698
@sadiqkivunjor5698 6 ай бұрын
Yesu ni mtu acha kudanganya watu ,ukristo ni ukafiri
@tubanefrancine
@tubanefrancine 6 ай бұрын
Kwanini huwezi kuerewa mambo ya yesu MATAYO 6.9-13 soma yakwake mazuri sana kwa wanao sari amayeye siwengine waisilamu maashallah
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 6 ай бұрын
@@sadiqkivunjor5698 Siko hapa kumtete Yesu Kristo Bali yeye anajitetea mwenyewe kila aliyemwamini na kumkubali katika Roho na kweli Ana uhakika wa kuishinda dhambi ya Ufiraji, ulawiti, usagaji, uasherati, uzinzi, choyo, uchawi, ushirikina, matukano,wizi, ubinafsi na mengine yanayofanana na hayo. Nakuuliza swali wewe hujawahi kumfira mwanamke ?
@mohamedamin7458
@mohamedamin7458 4 ай бұрын
Mungu hawezi tumia binadamu kitu hawezi fahamu ama kwa kimombo beyond human comprehension.
@AnnoyedCobra-lq7fb
@AnnoyedCobra-lq7fb 4 ай бұрын
​@@sadiqkivunjor5698😢😢😢😢
@danibboy6831
@danibboy6831 3 ай бұрын
Uusilamu nisawa mana nisawa kumpenda mtu kuliko kiroho mana mgeni akikukujia huwezi jua kakujia kivipi vipi💪
@NdumeKabwe
@NdumeKabwe 4 ай бұрын
Dr sule utakufa mubaya sana ndugu yangu
@mussalucas8452
@mussalucas8452 3 ай бұрын
Ndacha Mungu akubariki sana
@AdamuChobo-w9y
@AdamuChobo-w9y Ай бұрын
Aoo wanao sema yesu mungu wameumbwa na yesu
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado Ай бұрын
Ndio yesu ndojaumba
@vincentnyabuto5647
@vincentnyabuto5647 6 ай бұрын
Spiritual matters don't ask Muslims. Ask them juu ya ndevu
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 5 ай бұрын
Wewe nyoa ndevu upake make up😂
@abdimalikmohamed46
@abdimalikmohamed46 Ай бұрын
Swa mtu waa kiroho tuambie roho inakaa aje
@MayalaLubala
@MayalaLubala Ай бұрын
Yesu ni Mungu i
@najmajuma44
@najmajuma44 27 күн бұрын
Mashallah tabaraka Allah Doctor Dule nakupenda Kwa ajili ya Allah. Unacho mkausha mate Andacha Naaim kutoka Kenya
@koniasalingo2165
@koniasalingo2165 25 күн бұрын
Mhhhh ko alivyochapwa huyu Dr wenu ndio kamgaragaza ndacha acha ushambaaa
@Emmanuelisaya-qo4le
@Emmanuelisaya-qo4le 3 күн бұрын
ndacha njoo uwe raia wa Tanzania
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 4 ай бұрын
Wakristo aki mnakufuru ati mungu amemtumia yesu kuumba ulimwengu duuh hata huyo yesu mwenyewe anashtuka wallahi wakati yye ameumbwa na mungu
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp 4 ай бұрын
Mithali 8 23 Nalitukuka tokea milele, tangu awali, Kabla haijawako dunia. 26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala makonde Wala chanzo cha mavumbi ya dunia; 27 Alipozithibitisha mbingu nalikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari; 29 Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi; 30 Ndipo nilipokuwa pamoja naye, kama stadi wa kazi; Nikawa furaha yake kila siku; Nikifurahi daima mbele zake; 31 Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu.
@edwinmahonga4063
@edwinmahonga4063 5 ай бұрын
Kufanya na kuumba kuna tofauti,,haruni alitumia fimbo,ila yesu alitumia pumzi
@LudyJuma-t7z
@LudyJuma-t7z 17 күн бұрын
Ubalikiwe mwalimu ndacha
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 5 ай бұрын
Cha ajabu ukimuuliza ndacha Kuna mungu ni wangapi atasema ni mmoja
@egdiusbuberwa1109
@egdiusbuberwa1109 4 ай бұрын
N mungu mmoja mwenye nafs 3 baba ,mwana na roho mtakatifu
@anastaziusfranzes6702
@anastaziusfranzes6702 2 ай бұрын
Kuna sku YESU atarud walio mkataa na waovu watajuta
@RaimamomedSaide
@RaimamomedSaide 2 ай бұрын
Kwahio mungu wako kaenda wapi?huko aliko anakuoneni?achen ubishi wakristo kuweni waelewa na mufuate haki.
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 5 ай бұрын
Kwa ufasaha waislamu tunasoma elimu kwa wakristo ndio maana kubwa, Ndacha Ni mwalimu
@MohdMohd-fv1my
@MohdMohd-fv1my 2 ай бұрын
Kama Yesu Mungu saiv Yuko likizo au....
@muqbulmuqbul7589
@muqbulmuqbul7589 6 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@nikusekelakajumba7697
@nikusekelakajumba7697 6 ай бұрын
Mch, Munguakubariki sana
@GablielJoackim
@GablielJoackim 2 ай бұрын
Shida ya waislim hawamujui yesu kuwa alikufa akafufuka.
@MakameSilima-j3s
@MakameSilima-j3s 3 ай бұрын
Verya fantastic debate!!!!
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 3 ай бұрын
Yaani watu wamekua wakimudhaliti mungu lakin wacheni kumusadhaliti mungu jie musie jua munako elekea
@harithkheri
@harithkheri 6 ай бұрын
mashallah doctor sule
@Lillian-qt6gi
@Lillian-qt6gi 4 ай бұрын
May God bless you Ndacha😍
@dantodebrown7525
@dantodebrown7525 6 ай бұрын
mm ni mkristu lkn mujibu wa bibilia yesu si mungu nmeshika bibilia apa ndacha unababaisha maneno hyu sule ni mwalimu
@benjaminwekesawamalwa2854
@benjaminwekesawamalwa2854 6 ай бұрын
Wewe ni mnafiki
@dantodebrown7525
@dantodebrown7525 6 ай бұрын
@@benjaminwekesawamalwa2854 endelea kuwa na dogma za mababa wa kanisa soma bibilia
@constantinnicoiconoppa587
@constantinnicoiconoppa587 27 күн бұрын
Hahahaha kwa hiyo wew si mwanadamu kwa sababu baba yako ni mwanadamu 😂😂? Umejitoa fahamu we Mkristo wa jina .
@James-u8n6r
@James-u8n6r 3 ай бұрын
Ndasha Ubalikiwe🎉🎉🎉🎉❤
@meshackmadegwa5316
@meshackmadegwa5316 5 ай бұрын
Amina
@Alex-s4o5l
@Alex-s4o5l 24 күн бұрын
Mimi nipo hapa Congo RDC nawapenda sana
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado Ай бұрын
Harun hajaumba aujui kiswahil tuambie wap mungu kambambia yesu umba ndege
@JamilaKambanga
@JamilaKambanga 4 ай бұрын
Bado sana ndacha tunataka mimi ni mungu
@JesseYesemen
@JesseYesemen 3 ай бұрын
Ongera sana kwa mudaholo huyo.
@kayeesbelewa4819
@kayeesbelewa4819 5 ай бұрын
uyo Sulle hamna kitu kabisa,anang,ang,nia Yesu kimuwili hamjui Yesu kiroho.
@JeanbaptisteJAWOTO
@JeanbaptisteJAWOTO 3 ай бұрын
Bwana yesu.asifiwe
@AbushirJr
@AbushirJr 3 ай бұрын
Uislam Raha sana
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 6 ай бұрын
Juzi tumefanya mkutano wa injili waislamu wangu pepo wachafu zimewatoka na wameokoka na tumetumia Jina la Yesu kukemea pepo wachafu wakapiga kelele wakawatoka watu
@sadiqkivunjor5698
@sadiqkivunjor5698 6 ай бұрын
Acha kuwaongopea watu wakati mkristo wa kwanza ni shetani
@Mbonimpaolenga
@Mbonimpaolenga 4 ай бұрын
Pasta ndacha mungu akubaliki
@rachelkamaze
@rachelkamaze 5 ай бұрын
Ndacha barikiwe sana
@meshackmadegwa5316
@meshackmadegwa5316 5 ай бұрын
Amina Amin
@RoseRashidi-p9b
@RoseRashidi-p9b 4 ай бұрын
Uyo sule anajizima tu data anajua anacho kifanya
@EmmanuelKhisaz
@EmmanuelKhisaz Ай бұрын
❤❤❤aamin
@ezymkal7134
@ezymkal7134 6 ай бұрын
DR SULE MUNGU AKUPE LONG LIFE 👋
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 6 ай бұрын
Yesu ndio njia ya kweli tu
@tubanefrancine
@tubanefrancine 6 ай бұрын
YOHANA 17.3 ukitaka uzima wa mirere kubari yesu ariye kwambieni usimuone kama AllAH arikukataza
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 3 ай бұрын
MAKAFIRI KWISHA HABARI YAO
@omarysadiki9923
@omarysadiki9923 3 ай бұрын
Mungu kavaa mwili akatoka kwenye uchi wa kiumbe alichoumba mwenyewe..Mariam mwanamke bora asee. Mungu huyu anayegeuka geuka huyuuu mutamuabudu nyinyi kwakweli
@AlHassan-en6gl
@AlHassan-en6gl 6 ай бұрын
You will never get away from it unless you open your inner ears and heart to understand. Perhaps it doesn't make sense that Jesus is God
@Mbonimpaolenga
@Mbonimpaolenga 4 ай бұрын
Sele itika ndacha mungu akubaliki
@propKibali
@propKibali 2 ай бұрын
Biblia haisomwi kama Koloan, kuchukua vilaka vilaka kuweka mitego. Soma Kwa kuendelea kupata maudhui; Ufunuo 1:17,18
@exsavermateus2670
@exsavermateus2670 4 ай бұрын
Salut nchungaji
@Fibicant-pu6xg
@Fibicant-pu6xg 4 ай бұрын
Hallelujah❤❤
@SACCHARUM-t3q
@SACCHARUM-t3q 6 ай бұрын
Injili ya mwalimu Ndacha ni ushuhuda mukubwa,wale watakao potea ni kwa kutaka kwao wenyewe
@GeraldSichula
@GeraldSichula 3 ай бұрын
Good debates
@issapetro4960
@issapetro4960 3 ай бұрын
Waislamu ukiwaamba shetani ana faida watakubali
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 67 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 151 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 439 М.
TUSIHUSISHE MISKITI NA SIASA || Muhammad Bachu.
1:03:46
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 26 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН