MCH. NDACHA ATOA SIRI ZA UKRISTO KUCHEZEWA NA WACHUNGAJI FEKI NA MANABII FEKI TOFAUTI NA UISLAMU

  Рет қаралды 8,848

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi 2 ай бұрын
Dacha upo vizuri .la uyo anakuhoji ayupo vizuri sisi wakristo hatuoni haibu kuitwa wakristo,bali tunajivunia ukristo wetu
@estonngoya4827
@estonngoya4827 2 ай бұрын
Ndacha, Amina mtumishi wa Bwana
@DanielMlelwa-p6w
@DanielMlelwa-p6w 2 ай бұрын
Huyu Ndacha sio wakawaida amechaguliwa na Mungu ana HUBIR injili ya kweli lakin bado watu tuna kimbilia Gizani heri yake Ndacha haubirie injili ya Bwana apate uzima wa milele amen❤🙏
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 2 ай бұрын
❤❤
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
Injili ipi??
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 ай бұрын
Injili iliyo nenwa
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
@@AmmarSadik-x5u Wakristo hawana injili wana Bibilia.
@joezeno8
@joezeno8 2 ай бұрын
Mwalimu Ndacha Mwenyezi Mungu akubariki 🔥🔥🙏🏿👍🏿💯💯💯💯💯
@sethngolo6558
@sethngolo6558 2 ай бұрын
Amen, barikiwa mtumishi wa Bwana!!
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv 2 ай бұрын
namkubali pasta ndacha kwamafundicho yako Mungu akubaliki sana ❤
@ZakariaJoseph-o6p
@ZakariaJoseph-o6p 2 ай бұрын
Mngu akulinde n kazi yk
@costantineevarist5110
@costantineevarist5110 2 ай бұрын
Mungu Aku barikiwa Sana Ndacha
@muznazahra455
@muznazahra455 2 ай бұрын
Ukweli kabisa Akili tunazo lakini hatuzitumii wengi wangejua M .Mungu ni mmoja❤
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 2 ай бұрын
Mungu akutunze, akubariki na aibariki kazi aliyo kukabidhi.
@muznazahra455
@muznazahra455 2 ай бұрын
Mchungaji dacha amesema vizuri sana AKILI NA UAMUZI AU IRADA..NA ALLAH SIYO MWENYE KULAZIMISHA..KAMA ALIVYOSEMA MCHUNGAJI ,NJIA YENYE HUDAYA NA DHWALALA...UWAMUZI UKO MIKONONI MWETU...❤
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 ай бұрын
Shida ya wakristo wengi wanategemea miujiza ndio waamini na hilo Yesu alishalisema " kizazi kibaya Cha Zina chatafuta ishara
@NiyongaboRadjabu-z5q
@NiyongaboRadjabu-z5q 2 ай бұрын
@@nassorsharifu9837 kabisa br nisaidie hio Raini niisome
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 ай бұрын
Kuna wakristo ambao hawaamin miujiza,ila hao wanao amini miujiza nni wale walio tabiriwa,kua wapo nasi lakin si wakundi letu
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 2 ай бұрын
God bless you mwalimu ndacha
@HellenaMky
@HellenaMky 2 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 ай бұрын
Ndacha .... Namkubali sana huyu mwamba
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Unampenda bure tu
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Kwanza yye ni msabato na wana amini kuwa Wakristo wa Sunday wataenda Motoni ivyo ndivyo Mkubwa wao Allen aliandika
@damarisnjeri7820
@damarisnjeri7820 Ай бұрын
Host ana maswali funny😂
@erickagwe8841
@erickagwe8841 2 ай бұрын
Atakaye nionea haya mbele za watu, nami nitamuonea haya mbele za Baba yangu.
@NzyimanaAloys
@NzyimanaAloys 2 ай бұрын
Yan ndaca Mimi nakubali mafundisho yako ni kweli.
@njuhinyararaofficial
@njuhinyararaofficial 2 ай бұрын
He gave us free will,to choose between life and death.
@LoezjosemwalapwaMwalapwa
@LoezjosemwalapwaMwalapwa 2 ай бұрын
Amén 🇲🇿🇲🇿
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q 2 ай бұрын
Hiyo ndio maana uisilamu dini ya haki
@nestoryfrancisco3528
@nestoryfrancisco3528 2 ай бұрын
Endelea kueneza injir mchungaj
@fatumayusuf-7736
@fatumayusuf-7736 2 ай бұрын
eti yesu ni mwana wa Mungu ! when did God Almighty has a child?.
@basilejuma
@basilejuma 2 ай бұрын
Ndacha umenena ukweli, wale wanasema we ni mwongo ndo wanabi waongo waliyo tahabiriwa Kwa bibilia.. endelea kuendza injili ya Mungu
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Fisabi mwenzio kaenda pata kiti moto 😂😂
@MeshackKaboja
@MeshackKaboja 2 ай бұрын
Ndacha umejaa ukweli wamungu
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 2 ай бұрын
Mch ndacha uko saa hii katika kz ya BWANA
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 ай бұрын
Hamna mchungaji hapo ni Malaya tu huyo
@YoaneMwepeli
@YoaneMwepeli 2 ай бұрын
Amen..amen..amen
@richardodoyo7558
@richardodoyo7558 2 ай бұрын
Kwakweli siku za mwisho zimekaribia YESU anarudi siku sinyingi wa sabato ndyo wana wa MUMNGU walio baki duniaani
@Saidmohammed-o3u
@Saidmohammed-o3u 28 күн бұрын
Wakristo cjui mwaelekea wapi...shida yenu bibilia humuisomi mukaelewa
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl 2 ай бұрын
WaSabato shida nimoja tu ikiwa munamwamini Yesu mbona mnapingana na kuokoka kwa Neema mungalitu na mahubiri yashetia sisi tumeokolewa kwa Neema sio kwasheria
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 ай бұрын
Hata huyo ndacha mwenyewe feki hana lake moja
@vyaduoj
@vyaduoj 2 ай бұрын
Someni biblia ili mjua tupo nyakati gani , ndo utajua ukristo ni dini ya kweli , biblia imesema kila kitu kutakuja manabi waogo na ndo hawa wa siku hizi .
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Waislamu muwe makini na Ndacha na wafuasi wake
@MwasemaMbwana
@MwasemaMbwana 2 ай бұрын
Simulizii we ni m babaishajii ndugiangu huyo unae hapo anakujibu kupitia kichwaa chake
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 27 күн бұрын
Potelea mbali Sana
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 2 ай бұрын
So wa kristo wazi mwadanganywa na bado mnaendelea kuwafuata
@NzyimanaAloys
@NzyimanaAloys 2 ай бұрын
kweli ndaca unasema ukweli
@isaaAurah
@isaaAurah 2 ай бұрын
Ndacha koran ni kitabu cha mungu. Na wewe ni mojawapo wa wale yesu alisema watatokea makristo wa uongo. My friend Manabii ndo wanatabiri bali siyo Allah. Mwenyezi Mungu anajuwa KILA KITU
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 2 ай бұрын
Wow!!! Ndacha kumbe hta wwe hua una wadanganya waumini wa kikristo
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 2 ай бұрын
Liseme so kuongeatu
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 27 күн бұрын
Wewe achana na pastor ndacha ametumwa na MUNGU kabisa chaukweli
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Hakuna hata mkristo mmoja atapata uzima wa milele kuanziya ndacha Mkubwa wake wa Allen G white ote uko babaya
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 ай бұрын
Ndacha wasomali hawamkatai Yesu wanakataa ukristo Mana wao hawako chini ya sheria wanaishi wapendavyo sio vile Mungu anataka
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Kwa hivo wamekataa naagizo ya Yesu
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 2 ай бұрын
Yeye ndacha mwenyewe ni ajibu tupu. Anawapa watu habari ya Mungu halafu anawageukia na kuwaoapa za Yesu kristo. Munazani anafundicha nini kama sio upagani? Musiwe na ujinga!
@leonardadd
@leonardadd 2 ай бұрын
Kwa uelewa wa dini, naenda ukasomee kitabu Cha imani,, Wacha kutumia akili vibaya
@johngikiru5400
@johngikiru5400 2 ай бұрын
@@jumahenriquesgeraldo9837 toa ushahidi
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Alifundishwa Hawa ni wayahudi waliobaki zama zile za yesu
@julesngama2508
@julesngama2508 2 ай бұрын
Uyu jama ata na yeye aja mujuwa Yesu ni Nani. Ukiwa na roho mutakatifu njo Uta mujuwa Yesu ni Nani. Yesu ni Mungu ame vaaa mwili . Sasa mafundisho ya Yesu mwenyewe Ana sema wako na macho awaone na wako na masikio awa sikiye .
@vincentnyabuto4605
@vincentnyabuto4605 27 күн бұрын
Sawa tuambie wewe mwenye unaona
@PeterMashiku-qx7xw
@PeterMashiku-qx7xw 2 ай бұрын
Islam hawakumuua Yesu maana waliomuua Yesu ni watu walioishika sabato acha kupotosha moja ya Vitu vilimuua Yesu ni sabato
@Kutaila99
@Kutaila99 2 ай бұрын
Kwanza yesu hakuuawa😊
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Unatuletea hapa hadithi za msikiti kutokuwawa kwa yesu kunapatikana TU kwa Quran lakini vitabu vyao kale yesu alikufa msalabani
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 2 ай бұрын
​@@michaelamiani6755Aende na uko hata Quran watafsri wengi wa Hadithi wanakubali yesu aliuawa n vile hasomi, tena dini ya kishetani kama Islam hata si ya kuzungumzia mbele ya watu labda maiti
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
@@filexbenefits5612 Kabisa hawana lolote la kuamboa watu comedy ndio wanajua
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 2 ай бұрын
Yesu kwani ni siku???mmepotea nyie Yesu sio siku,,sabato bado ipo Mungu aliibariki na kuitakasa,,Sunday law ikipitishwa ndo mtaja kuja kuelewa nawaombea mpate nuru mapema maana itakua kati ya Amri ya mwanadamu dhidi ya Amri ya Mungu
@Joh-j9s
@Joh-j9s 2 ай бұрын
💯💯💯👏👏👏
@YonaNgambi-m6m
@YonaNgambi-m6m 2 ай бұрын
Mutumishi Mii nakufata saana ubalikiwe na bwana Mii muzambia nayitwa Yona ng'ambi
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Yaani wewe nihatari sana unampanga mtu anapangika 😢😢😢😢 ukesha unajileta 😂😂😂
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 2 ай бұрын
Wewe ndio machristo wa uongo mnafiki msabato unaabudu siku
@ejensonjohnson5209
@ejensonjohnson5209 2 ай бұрын
Soma maandiko acha maneno,ukweli mkiambiwa mnachukia
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 ай бұрын
Huyu ndacha ni mgoni sana anapenda sana mademu
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 2 ай бұрын
Kwani wee ni demu
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr wew itakuwa shoga kama ndacha
@FannyLopez-q1r
@FannyLopez-q1r 2 ай бұрын
Umekuta na maman yako
@Num3er22
@Num3er22 2 ай бұрын
Unafki umeshika hatamu, msimamo na ukweli hauna nafasi kwa walio wengi.
@DavidMatata
@DavidMatata 2 ай бұрын
Dah! Huyu mchungaji anapinga utatu, lakini jambo la kushangaza amekubali kubatizwa kwa jina la Baba na Mwana na Roho mtakatifu!!
@Mtumisi
@Mtumisi 2 ай бұрын
Sasa jina la baba, mwana na roho mtakatifu ni utatu shida elimu. Utatu ni mungu baba mungu mwana na mungu roho bali kuna mungu baba, mwana wa mungu na roho wa mungu. Umeona ni mwana wa mungu bali si mungu mwana
@leonardadd
@leonardadd 2 ай бұрын
Ili washawishike, tangazeni wale wanaobadilisha Uislam kwenda ukristo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
Wawatangaze wako wapi?! maana kila siku wanazidi kusilimu kutokana na ubabaifu unaotokea makanisani, chunguza mwezi wa Ramadhani ukiingia wanasilimu wengi ajabu... na haya yote yanatokea kutokana na kuwepo kwa utitiri wa matapeli wanaoutumia ukristo vibaya kufanya mambo ya hovyo ili kutapeli waumini wao.
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Uislamu unamtumia Ndacha kama ubao wa kufundishia, sio lazima yeye asilimu lakini wenye akili zao wengi wakishajuwa ukweli wanasilimu na wataendelea kusilimu kwa uwezo wake Allah Ndacha analijuwa hilo
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Wewe hujui acha kutetea muhamadi aliyezaliwa kama wewe
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@michaelamiani6755 kwani yesu alizaliwa vipi si alizaliwa na Mariam, alikaa tumboni miezi tisa, akazaliwa kupitia uke wa Mwanamke kama Mimi na wewe.
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
@@samxx411 Kando na kuzaliwa na Mariam unajua jingine ama ni hayo TU ambayo Quran inafundisha kado kabisa na Bibilia
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 2 ай бұрын
Kristo siyo Dini ya mungu ndio maana wana ichezeya lakini hujaskiya Dini yaki islam inachezewa
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Hivo ndio Muhamadi alikudanganya
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze
@SurprisedBreadLoaf-bo3ze 2 ай бұрын
Amedaganywa na Mohammed hivyo
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 2 ай бұрын
Waislam ukuwagusa wanakuua na wanajaziba, sio hauchezewi
@DifaRobelindo-cj2ij
@DifaRobelindo-cj2ij 2 ай бұрын
Dini ya aki ip ni wislam ?. Wislam ni Dini ya wauwaji Ali shababe Wana uwa watu msombij
@AgnessMpanduka-l5g
@AgnessMpanduka-l5g 2 ай бұрын
Ukristo unachezewa kwasababu wanaofanya hivyo tayari walisha tabiriwa kwenye Biblia hivyo hakuna cha ajabu ila kwa msiojua maandiko lazima mvurugwe na msielewe kinachoendelea
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 2 ай бұрын
Badala ya kufanya namna ya kuondoa upuuzi na utapeli ktk ukristo, ndacha anaulink uislamu ktk utabiri wa Yesu. Nenda kajarihu kuhubiri chochote msikitini ambacho hakina dalili kutokai ktk quran au hadithi uone utakavyotimuliwa msikitini
@erastonrugabao
@erastonrugabao 2 ай бұрын
Ndacha ni mwalimu wa kweli ingeliwezekana nipate number yake ya sim kwa kusumuliya naye kizaidi.
@kevinjoash7
@kevinjoash7 12 күн бұрын
Mtafute Kwa channel yake utaipata huko. Channel inaitwa Biblia Nuru ya Dunia
@pwezapwezafelix7222
@pwezapwezafelix7222 2 ай бұрын
Wailam hawankatai yesu wanakataa ya kumuita mwana wa mungu au mungu ss tunankubali kwasababu hadi kwenye kuran yupo anaelezwa matendo yake sasa nyinyi mnanyanganya cheo cha mungu munampa yesu hamuoni kua ni batili mungu mwenyewe amekasirika kama hamjui
@michaelamiani6755
@michaelamiani6755 2 ай бұрын
Kumbuka wanaokataa yesu kama mwana wa mungu pia ni majini Ila Majini ndani ya Qurani Yana kizazi hicho kizazi chatoka wapi
@elgringo8592
@elgringo8592 2 ай бұрын
Mwandishi ili upate maswali magumu soma biblia
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 2 ай бұрын
@@elgringo8592 ahsante kwa ushauri mnzuri
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 2 ай бұрын
Kwa ivyo roho mtakatifu wako ajui miujiza
@AbubakarKi
@AbubakarKi 2 ай бұрын
Ww ndacha ni uwongo wachana na kupoteza kondo ya MUNGU
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 2 ай бұрын
Hata akisema majini ni waislamu mtakataa lkn kasoma
@aishay56
@aishay56 Ай бұрын
Christian theology contradict with bible text due to different version of bible but quran has no separate theology like christian and quran is the direct word of allah the truth is clear from false yet they deny. I conclude May Allah guide you all Amin 🤲
@kevinjoash7
@kevinjoash7 12 күн бұрын
Why do you have Sunni and Shia Muslims with different interpretations of the qurans
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 2 ай бұрын
Ilikuaje bwana yesu asema kutatokea makristo wa uongo na yeye akua mgiriki?
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
Mlmungu aliposema hakuna mtume wala nanbii bàada ya mtume Muhammad S.A.W mlibisha,nakushangaeni mnamkataa mtume wa ukweli mnawakubali mitume ya uongo,binaadamu abadan huwezi kupingana na aliekuumba na ukabaki salama
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 ай бұрын
Mudi ni mtume wa uongo hakuna mahali biblia inamtaja mungu
@vincentdaud9954
@vincentdaud9954 2 ай бұрын
Huyu nae , eti mhammad ,
@Anonymous-w9v-i1p
@Anonymous-w9v-i1p 2 ай бұрын
Eti mtume wa kweli😂😂😂🤣🤣 na machafu yote yale.... kuchinja wayahudi, kuoa mtoto, kupigana mavita, kuchukua mateka wa kingono na mengine mengi..alafu umuite eti mtume. 😂😂 Oya! kweli ujinga mzigo.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 ай бұрын
@@ZayyanaBamuni mm nachojua aje hata mohamed na mashetan wote alio wasilimisha siwez kumkubali
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
@@Anonymous-w9v-i1p mmejua kulishwa matango pori,poleni
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Kwanza wewe Muongo wakwanza umejificha nyuma ya Mungu na yesu na sikweli
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
Lazima ichezewe kwa sabb sio dini ya kweli ni mpango wa wanaadam na kama ingekuwa ya Mungu basi tangia walipoanza kuuchezea hadi sasa ingekuwa tayar washaadhubiwa na mwenye dini ila hakuna kitu kama hicho ukristo ni upagani tu wala sio dini ya Mungu.
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 ай бұрын
Dini ya kweli niipi sasa,au ni hii ya kuabudu jiwe
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 2 ай бұрын
mohammed mpenda ngono aliyebaka mtoto wa miaka huu ndio ukweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂 poleni nyie mnayemfuata aliye kaburini yaani marehem MOHAMMED 😂😂
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
@@AmmarSadik-x5u Dini ya kweli ni hapa 3:19 QURAN. nenda katafute dini inayoabudu mawe na jua na kumfanya kiumbe Yesu kuwa Mungu kama sio dini zenu mulizotengenezewa na WAZUNGU
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr Alikuwa mwanao hadi ambake??? Nyie tunawajua wazee wakupotezwa na wachungaji kusoma hamutaki kazi kucheza ndombolo tu.
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 2 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr Hivi nikuulize swali kwa mujib wa Bibilia yenu kuna pahala panasema binti huolewa akifikia umri fulani??? kama hakuna jiulize kwa nini kitabu chenu hakijataja na kwa nini useme alibaka hali wewe sio mzazi?? acha chuki soma maandiko na uyaelewe.
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 2 ай бұрын
Ata wewe muongo mbona unafuatwa unapotosha watu ukawatilishe motoni
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl 2 ай бұрын
16:49
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
HARD_MMA
Рет қаралды 3,7 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 32 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 63 М.
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН