Tanzania 🇹🇿 mpyaa ilikua ya Hayati Mh Magufuli Rest In Peace 🇹🇿💔😭Mama siye tume rudi 2014
@kefamwakipesile2753 жыл бұрын
"MAGUFULI THE GREAT "
@liberatusulaya22692 жыл бұрын
Kitaalamu.
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Safi sana Gangana kwa uzalendo wako uliotukuka. Watu wengi hawaelewi mambo haya
@kamwagamwanjale15753 жыл бұрын
Huyu jamaa Gangana ulipomuibua apigiwe debe aingizwe kuzalisha wengine kwenye strategic government institution atalifaa Taifa hili
@prosperpakisadi85303 жыл бұрын
Hongera kwa fiucha ya upeo uliopewa zawadi ya Elimu upeo jin Mungu akutunze kwa Neema yake kuu
@Euph593 жыл бұрын
Thabit uko vizuri sana. Gangana Naomba uwe na mic mbili moja ya Thabit or any one working with you in your session. Otherwise Big Up man!
@zephanialeonard55463 жыл бұрын
NMEMCKILIZA SANA NAOMBA APEWE URAHISI FOR SURE, YANGU NI HAYO TU.
@husseinkakanga40823 жыл бұрын
Kaka uko poa Sana kwa uchambuzi
@loner_wolf3 жыл бұрын
I wish to meet this brotherman thabiti. He is smart and even has fresh ideas. Ujumbe kwa wale wanaotaka sana uhuru wa vyombo vya habari. Cjawah kumuona Hitler Adolf akitabasam.
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Kumbe ww mtu ni unamchukia magufuli mtu anaposema furahini awe kama fulani ujue huyo fulani kapendwa na pia kikatiba samia alitakiwa awe kama magufuli kwasababu Samia hakuchaguliwa anaongoza nchi kwasababu mtangulizi wake ame faliki na Katiba INASEMA RAISI AKIFA MAKAMO WAKE ATAENDELEA KUFA TISHA YALIYOACHWA NA MAREHEMU so sijui una komanti nn kusema kwanini watu wana shinikiza Samia awe kama magufuli tofauti Sha mwinyi hadi magufuli na Samia ambaye hakuchaguliwa
@loner_wolf3 жыл бұрын
Vip kuhusu kumzungumzia vibaya rais ? Mfano rais jpm alisema serikali haiwez kusomesha wanafunzi waliobeba mimba shuleni na kwenda kujifungua..... WENZETU WAKAEDIT NA KUIPAISHA VIBAYA TOFAUTI NA ALIVYOSEMA. wote tunajua miaka yote mimba huwa zinawaondoa watoto wa kike na kiume mashuleni, ni kawaida kwetu, lkn watu wakadai huo ni mpango haukuwepo na ndio kwanza Magufuli ameanzisha..... What is that. 😏😏😏😏
@ezekielmatondane7143 жыл бұрын
We mchambuzi uko vizuri Ila Tanzania mpya ilikua y magufuri tu huyu mama hanajipya rorote ata ww unajua Ila unaogopa kusema kweri
@wardajoseph69093 жыл бұрын
Umeonaaeee
@alihijiiddi89773 жыл бұрын
😇🇹🇿👹🇮🇱😇👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇👹🇮🇱😇👹🇮🇱😇👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿 UPUMBAVU UEKUSHIKENI TU
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
JAMAA GENIUS SANA....ALAFU MR GANGANA NAOMBA UKAMUOJI MASOUD KIPANYA ....MBONA SIJAONA AKIMCHORA MAMA SAMIA KWENYE VIKATUNI VYAKE ?? LKN KIPINDI CHA JPM ALIKUWA AKIMUANDAMA SANA AU NDIO TUJUE KIPANYA NAE ALIKUWA AKITUMIWA NA MAADUI KUMZOOFISHA RAIS WETU KIPINDI KILE AKIPAMBANA NA MAJIZI YA NCHI YETU.