MCHAMBUZI THABIT AWEKA WAZI MBIVU NA MBICHI NYUMA YA PAZIA MIRADI MIKUBWA NA USALITI WA VIONGOZI

  Рет қаралды 113,795

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 505
@edwinnanyaro6717
@edwinnanyaro6717 3 жыл бұрын
Gangana....nimefurahishwa na style yako ya kuhoji wenye akili zilizosimama.... tumezoeshwa kwamba lazima tuishi kwa NEW WORLD ORDER... Yaani tunaponda mambo ya msingi kwa ajili ya kuwafurahisha walewale watesi wetu wa kihistoria... Big up Gangana....huyu jamaa uliyemleta ni kichwa sana.... mpe pongezi na shukrani zangu.... REST IN POWER JPM.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Asante sana, na salamu hizi zitafika.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Unaweza wasiliana na Thabit twitter @bobomlangi AUnamba ya simu 0652 079 640
@japheteliatosha4710
@japheteliatosha4710 3 жыл бұрын
Nahitaji kupata mawasiliano ya ndugu huyu kupitia-japheteliatosha@gmail.com
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 жыл бұрын
Edwin uko sahihi we are under NWO so sad 😢😢😢
@ericksimbeye3256
@ericksimbeye3256 3 жыл бұрын
Nimekuelewa,,,, we ni mbegu Bora kwa wakati ujao kwa taifa,, najua ulitambua vizuri uwepo wa Magufuli,,, Mungu akupe hekima na akuongezee maisha marefu
@mamaabubakari2752
@mamaabubakari2752 3 жыл бұрын
Hii ni Tanzanite, asante kaka. Nilisema mapema mbegu aliyoipanda Marehemu Magu imebaki na itawasumbua sana wanaompinga.
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
Nikweli hata huku uswahilini tunakoishi tunaoitwa hatujielewi......huwezi mponda jpm mtu akakuelewa......
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 3 жыл бұрын
Watapagawa yani
@deokanyerere979
@deokanyerere979 3 жыл бұрын
Huyu jamaa angejitokeza kipindi yupo tingatinga hakika ange pata kazi anaakiri na jpm alikua anatafuta sana watu kama hawa,jamaa mngu akutunze una madini mhimu ndani ya ubongo wako wtz wenye akiri tumekusoma vema🙏
@michaelnsangano2229
@michaelnsangano2229 3 жыл бұрын
Amakweli jews walikuacha vizuri Endelea kutupa Lecture natamani ungekuwepo ktk kongamano la utafiti na ubunifu juu ya maendeleo ya viwanda na jamii hiyo tar 24-26 may UDSM Campus naimani wengi wangenufaika na maarifa ulionayo br...!!
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Yaani Kaka amefanya niangalie hii mara kwa mara amefafanua vizuri sana! R.I.P Mzee wetu JPM
@johnnchimbi995
@johnnchimbi995 3 жыл бұрын
Thabit Yuko vizuri Sana. Ameizungumzia vizuri miradi yetu ya kimkakati. Huyu kijana ni mzalendo halisi wa nchi yetu. Tunahitaji kuwa na vijana wa aina hii wengi katika nchi yetu. Huko alikosoma wapelekwe vijana wengine kwa masomo aliyoyafanya Mr Thabit.
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Yaani haya ndio madini hongera sana Gangana kwa kumleta huyu Bro!
@abushaddad989
@abushaddad989 3 жыл бұрын
GANGANA safi Sana , huyu jamaa yuko vizur Sana mrudishe tena siku nyingine.
@beninigabo769
@beninigabo769 3 жыл бұрын
Jamaa yupo vizuri sana....upright person. kama ningekuwa ni mtu wa kuzingatiwa ningeagiza jamaa akamsaidie Rais Samia. Angesaidia sana katika kipindi hiki kigumu.
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 3 жыл бұрын
(😭😭R.I.P JPM).... Huyu jamaa sijui nimuelezee vipi uelewa wake umepitiliza akili alizonazo, That is a person who displays exceptional intellectual ability, creativity productivity, universality in genres, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of new discoveries or advances in a domain of knowledge. (Genius). Tuletee tena huyu jamaa anatujenga kifikra kwa kiasi kikubwa sana natamani hata ningekutana nae ningepata madini zaidi ya haya niliyoyapata leo.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Search KZbin MCHAMBUZI THABIT utakutana nazo nyingi tu
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Ahsante sana bro.
@tanzania2559
@tanzania2559 3 жыл бұрын
Nimegraduate kwakumsikiliza huyu jamaa
@samsoncosmas2064
@samsoncosmas2064 3 жыл бұрын
😂😂😂✔️
@jamesmwenge5920
@jamesmwenge5920 3 жыл бұрын
Hakika
@kingjosse4781
@kingjosse4781 3 жыл бұрын
Hata mm asee najiona nina PGD ya Geo-economics
@verosanga4477
@verosanga4477 3 жыл бұрын
MUNGU tunakushukuru sana,kwa zawadi njema MAGUFULI VIVAA MAGUFULI VIVAA MAGUFULI VIVAA,asante Sana mwenyezi MUNGU ulitupenda Watanzania kwa kumuumba MAGUFULI azaliwe tz,tunashukuru Sana.
@irenentinika1587
@irenentinika1587 3 жыл бұрын
Well said kaka, 99% TZA hatuna critical thinking kabisa, una mtu ana elimu hadi Phd with 0 thinking
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Duh imekuelewa sana Brother, R.I.P Magufuli umenifundisha kutumia akili yangu zaidi kufikiri na si kumezeshwa mezeshwa Mambo Hata ya kijinga.
@tabuboone934
@tabuboone934 3 жыл бұрын
Umeona eh JPM alikuwa anatumia hakili zake
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 3 жыл бұрын
Ndugu uko vizur kijana mwenzangu 2po pamoja R.i.p jemedar we2 jpm
@ilalikilimo440
@ilalikilimo440 3 жыл бұрын
Ebwana brother nimemuelewaa sana alafuu izoo idea hata katika maishaa unatumikaa sana. Huyooo Jamaa anamadini sana bro I like that
@patrickmasinga7242
@patrickmasinga7242 3 жыл бұрын
Gangana huyo bro anamadini sana big up sana kututafutia vichwa kama hicho na maswali uliyo kuwa unamuuliza safi sana.
@georgemaziku6610
@georgemaziku6610 3 жыл бұрын
@@patrickmasinga7242 Safi sana
@jamalbwabo5739
@jamalbwabo5739 3 жыл бұрын
Nime muelewa sana mzee jamaa ana view mambo katika angle tofauti kabisa I wish niwe na mawasiliano nae au nije kua na dialog
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Waarabu nao ijumaa na jumamosi hawana kazi Juma pili ndowanaanza kazi.
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Rais samia mpe cheap kaka huyu akusaidiwe na kukupa ushauri ,wengine hao wameshafanya yao tunataka maendeleo mama .
@nelsonpeter2112
@nelsonpeter2112 3 жыл бұрын
Unaakili sana mzee hongera sana
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 жыл бұрын
Tanzania watu laki5 tunge kuwa nauwelewa kama huyu tunge mlinda magu
@salemsafen1118
@salemsafen1118 3 жыл бұрын
Mtanzania mwenzetu huyu yupo vizuri sana wa kutunzwa pia na serikali, kijana ni hazina pia kwa taifa chonde chonde serikali.
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 3 жыл бұрын
Wahivi ndo hawamtaki sasa,atufungue macho?wanataka tukae km mazezeta tu
@akwilinambaza9954
@akwilinambaza9954 3 жыл бұрын
kijana hongera saana tunawahitaji saana wana tudabganya watanzania wanajua hatuelewi kitu .endeleeni kuwaamusha watanzania tunayumbishwa mno hatujui tushike lipe. dogo big up magufuri bado anaishi.
@tabuboone934
@tabuboone934 3 жыл бұрын
Hata rais wetu samia anaweza kumtumia kwa ushauri!!
@jut1161
@jut1161 3 жыл бұрын
@@rosemarysulle9288 kabisa yaani wanataka siku zote tuwe vilaza
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
@@rosemarysulle9288 hapo sikupingi, Hawa, wanatamtaka kama yule bibi
@mizaeljaphet8862
@mizaeljaphet8862 3 жыл бұрын
Kununua cash kumewafanya wale wa ten percent wakose ndo maana wanasema kununua cash ni upumbavu kwasababu hakuna walichokipata.Mr Gangana na Mr Thabit.Endeleeni kutuelimisha Watanzania.
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 3 жыл бұрын
Mbegu njema iliyodondoka katika udongo wenye rutuba hakika kuota na kukua ni haki yake hongera sana
@bongobongo1755
@bongobongo1755 3 жыл бұрын
Sikia mapanga ayo shaa shaa wabunge maboya mpo! Eee magu amegoma kufa miradi itaendelea
@hindujuma72
@hindujuma72 3 жыл бұрын
Dada yangu Samia mchukue Mr. Thabiti akusaidie katika masuala ya Uchumi nimemsikiliza katika mahojiano yake na mwandishi wa habari nimemuona yupo vizuri
@twazdkkajipangaamir8329
@twazdkkajipangaamir8329 3 жыл бұрын
PLEASE MAMA SAMIA. NA MAKAMU WAKE NA WAZIRI MKUU WAKE TAFUTENI VIJANA WALOSOMA KAMA HAWO. KWA KWELI TUKIPATA KAMA HAWO 10000000 TZ TUKO MBALI SAAAAAAANA INSHAALLAH BRO MUNGU ATAKUJAALIA UTAPATA KAZI ukipata simama kwenye faida, maendeleo
@stephensigonda9927
@stephensigonda9927 3 жыл бұрын
Umeongea la maana sana
@robertammole8432
@robertammole8432 3 жыл бұрын
Tanzania itajengwa na vijana wenye kujitambua km hawa. Vigogo wapumzike kwa sab wana mawazo mgando, ubinafsi, na uhujumu. Hongera sana kijana
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Unaweza wasiliana na Thabit twitter @bobomlangi AUnamba ya simu 0652 079 640
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Asante kwa mawasiliano
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Tatizo wako kimaslahi
@sulaymanshabani5342
@sulaymanshabani5342 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa huwa namkubali Sana na huwa namfatilia Sana coz Ana madini kwenye kichwa chake
@mashirimathias6006
@mashirimathias6006 3 жыл бұрын
God stand with you man
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 жыл бұрын
Huyu kaka anamadini kuliko majitu mengine yanayo jiita maprofesa
@kubakema
@kubakema 3 жыл бұрын
Kitambo sasa jamaa amekuwa consistent sana katika kudhihirisha kuwa kasoma vizuri na ni kichwa hasa. Naamini washauri wa Rais mmeshamuona, tunawaomba mshauri kwa maslahi mapana ya Nchi yetu. Jamaa anavyo vigezo vyote vya kuwa miongoni mwa wasaidizi wa Rais Samia. Asante
@adamphinias2457
@adamphinias2457 3 жыл бұрын
Huyu anatakiwa kuwa kiongozi ili mawazo hayo ayatekeleze mwenyewe kwani tunao wachache Sana wenye mitazamo Kama hii. So inakuwa vigumu kwa yeye kumshauri kiongozi mwenye mitazamo tofauti hii aliyoielezea hapa. Ila nampongeza Sana kwa elimu nzuri.
@marianamontoedi2333
@marianamontoedi2333 3 жыл бұрын
Asante sana kwa kututoa hofu maana duuh JPM katuachia urith wa. Maisha
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Jamaa ana akili sana aisee.
@msafirijokakuu2732
@msafirijokakuu2732 3 жыл бұрын
umemtoa wap huyu jamaa Gangana!! asee ni genius, Hong era bro
@danielmlanda2546
@danielmlanda2546 3 жыл бұрын
Aiseeeee🤝🤝🤝🤝🤝huyu ni MAGUFULI tuliyebaki naye🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@kaygreko
@kaygreko 3 жыл бұрын
Hata kama kutakuwa na mtu asiyekubaliana nae lakini huyu kijana ukweli ana madini ya kutosha
@salemsafen1118
@salemsafen1118 3 жыл бұрын
Najua watanzania wengi wa sasa ni weledi mno. Ninachoomba kwa kila aliebahatika kuangalia haya mahojiano ya Mr Gangana na huyu mtanzania mwenzetu nampa Jina la (akili kubwa), basi apaze sauti kutambua akili ya huyu mtanzania mwenzetu. Naishi na nafanya kazi Marekani lakini Madini anayomwaga huyu jmaa yamenishangaza sana kama Tanzania tuna watu wenye akili kubwa kama hizi. Kumuacha huyu jamaa hivi hivi tu ni matimizi mabaya ya rasilimali watu kwa nchi. Jamaa hata kutoongoza kuwa Raisi wa nchi basi anafaa kabisa na sina maana yakwambai Raisi wetu hana uwezo hapana,Mama yupo vizuri ila hizi akili za akina Thabit lazima zeenziwe kwa gharama yeyote ile zitatujengea taifa lenye kujitegemea kwa kipindi kifupi sana.
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 3 жыл бұрын
Ndugu tumia elimu yako kwa ajili yatanzania,washauri viongozi, uko vizuri br
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Nashukuru mungu kina jpm wapo Tena vijana
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 жыл бұрын
Una akili sana inabidi hao baadhi Yahoo wabunge wasaka tonge wakusikilize
@xdance8322
@xdance8322 3 жыл бұрын
Tunaomba tag za account zake huyu jamaa leo nimepata kitu kikubwa Sana kutoka kwa brother amazing content mlete tena na tena
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 3 жыл бұрын
Hapo kaka Gangana umetuletea mtu muhimu kutopiga shule hebu kuongezea kipindi kwenye TBC 1 tumsikilize huyo Jamaa. Shule anayotema ni madini tupu
@dianafidelis1791
@dianafidelis1791 3 жыл бұрын
Kaka thabiti nakuomba 25 uchukue form ya kugombea urais huenda utakua magufuli mwingine TE NA!
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
Ukimsikiliza uyu jamaa ndo utajua hujui😆😆😆...amenifanya nijione mjinga, duh!
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Shekhe hasani usijilaumu hatuwezi wote kuwa yeye wala yeye hawezi kuwa na ulichokuwanacho wewe hii ndio shani ya Allah
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 3 жыл бұрын
@@abdallahmuttaq7306 ahsante🤝
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 3 жыл бұрын
Mussa assad ni mpuuz tu naanatumiwa nawanasiasa washenz zitto najk kumchafua marehem jpm.
@marwaboniphace
@marwaboniphace 3 жыл бұрын
Hongera sana kijana natamani uwe mshauri wa mh Rais na ikiwezekana upewe vipindi vingi kwenye public TV ili kutoa hii elimu kuokoa wasomi wengi wa Tanzania.
@kassimsaidnyumba7503
@kassimsaidnyumba7503 3 жыл бұрын
Huyu jamaa unajua anauwezo mkubwa sana ,, bro Gangana big up
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 жыл бұрын
Kuna tafauti kubwa saana kati ya aliye soma na mtu asiye soma. Billa shaka licha ya ilmu aliyo nayo pia ana akili ya kuzaliwa . Hongera sana bro
@japhetvenant997
@japhetvenant997 3 жыл бұрын
Ndugu ww nikichwa unatisha unaeleweka vizuli mno
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 жыл бұрын
Kaka nimekuwa nakufatilia Sana wewe ni mtu mwenye akili nyingi Sana ni miongoni wa watu wachache wenye jicho la tatu,Nakupenda Sana naomba Rais akuone pia Unacho kitu adimu Sana pia ambacho unaweza changia ktk taifa letu la Tanzania,Mungu akutunze kaka nakutakia mafanikio mema Sana.
@agneskoyanga5405
@agneskoyanga5405 3 жыл бұрын
Unaweza mfuatilia huyu jamaa... Pls share. Niwakusikiliza
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Unaweza wasiliana na Thabit twitter @bobomlangi AUnamba ya simu 0652 079 640
@maximilliancosmas1906
@maximilliancosmas1906 3 жыл бұрын
Anatumia page gani huyu jamaa
@kinogomuriga8631
@kinogomuriga8631 3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel 1000%
@jessejulius9735
@jessejulius9735 3 жыл бұрын
Amazing expression Thabit🙌
@ernestkhaji3893
@ernestkhaji3893 3 жыл бұрын
Kijana wewe Mungu akusaidie ufike mbali,una akili zenye akili
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Kwa Tanzania ameshafika Mwisho
@stevenpeter2058
@stevenpeter2058 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana speech ya huyo brother
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 3 жыл бұрын
Tangu tumeanza kusiadiwa na wazungu je tumefikia wapi, kabla ya Magufuli wazungu walikuwa wanatusaidia Magufuli alipoingia akajua mtegemea cha nduguyevhufa maskini jamani tufanyeni wenyewe na miaka mitano ya uongozi wa Magufuli amejenga nchi kwa kutumia pesa yetu ya ndani. Tutamkumbuka daima, kweli kusoma sio kupata, akili ya kimkakati na vitendo itatusaidia sana, hebu tuache kukopa kopa jamani pesa ipo Tanzania. Kukopa kunatufanya tuwe watumwa mpaka kufa
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Unaweza wasiliana na Thabit twitter @bobomlangi AUnamba ya simu 0652 079 640
@simonkitoy7304
@simonkitoy7304 3 жыл бұрын
Hongera sana mkuu uko vizuri na wewe ni mzalendo halisi. Umetufungua sana Gangana aweke program ya vipndi kama hivi especially uchumi
@renathamartin6272
@renathamartin6272 3 жыл бұрын
His name nimfollow....akili kubwa hiyo
@henryndosi1114
@henryndosi1114 3 жыл бұрын
MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 AMETUACHIA MSINGI IMARA MAPAMBANO YANAENDELEA, MUNGU ANAWEZA YOTE,
@c-4839
@c-4839 3 жыл бұрын
Mwanafunzi mzuri sana👏🏿👏🏿👏🏿 Japo nimepotezwa kwenye "popat"
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Haaaa
@stephensigonda9927
@stephensigonda9927 3 жыл бұрын
Gangana fanya mpango intervew hihii ikarushwe dk45 ITV
@SYLMASVISIONFORSCIENCE
@SYLMASVISIONFORSCIENCE 3 жыл бұрын
Kijana safiiiiiiiiiiii Sana huyu , msomi mwenye akili
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 3 жыл бұрын
Opo vizuri ila ndege zetu tulizokuwa nazo kipindi Cha nyerere zipo wapi?
@hassanmsuya6692
@hassanmsuya6692 3 жыл бұрын
Gangana huyu brother yuko vizuri sana. Tafadhali naomba kujua social media pages zake tuweze ku mfollow. Hawa ndio watu wa kufanya nao mahojiano. Tafadhali endelea kumtumia huyu kuwa mchambuzi wako. Rest in Paradise JPM.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Nitakurejea mkuu
@agneskoyanga5405
@agneskoyanga5405 3 жыл бұрын
@@ganganainfochannel Gangana kama unaweza weka social media info za huyu jamaa... Utakuwa umesaidia kufukisha lengo lako ulikokusudia kwa hadhira... Ni vyema ku mfollow huyu jamaa.
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 3 жыл бұрын
Unaweza wasiliana na Thabit twitter @bobomlangi AUnamba ya simu 0652 079 640
@abuumbegu8657
@abuumbegu8657 3 жыл бұрын
Hawa vijana wanauelewa zaidi kuliko wale wazee wanaotupotosha!!
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 жыл бұрын
So Magufuli ni poparian🇹🇿💪💪
@kilatuinessy5954
@kilatuinessy5954 3 жыл бұрын
R.I.P black gold J.P.M
@mashakakalamba519
@mashakakalamba519 3 жыл бұрын
Gangana - asante sana ! But please - hebu mpe fursa nyingine huyu msomi ya kutupa darasa. Ikiwezekana mpe masaa mawili au zaidi. Yupo vizuri sana !
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 3 жыл бұрын
Mtu yoyote ukimuona anamponda MAREHEMU ujue walipigwa CAG mstaafu alikua na asira na jpm😂😂😂
@hazjay4671
@hazjay4671 3 жыл бұрын
#THABIT + #GWAJIMA Wa Sasa!! 2napata Ki2!
@marionntomola1686
@marionntomola1686 3 жыл бұрын
elimu nzuri na nyepesi na ya uwazi saaana. ahsante. umefunga ukurasa.
@mussalugembemussalugembema3650
@mussalugembemussalugembema3650 3 жыл бұрын
Kweli brother upo sahihi
@cidewashington670
@cidewashington670 3 жыл бұрын
Haridi Gangana ,nakushauri mtafute CAG wa serikali aliyepotosha Watanzania na huyu jamaa ili wajengeane hoja kuondoa tabia ya kumchafua Marehemu MAGUFULI inayoendelea hivi sasa
@jacklindickson3423
@jacklindickson3423 3 жыл бұрын
Watanzania wengine wapo vizuri jaman nimekuelewa sana na hapa ss ndio nazidi kuona kwamba Tanzania tumepoteza tulipata bonge la rais pumziika kwa aman bb yetu
@francokamugisa296
@francokamugisa296 3 жыл бұрын
Hawa ndo watu wenye akili nzuri,Ila hawa vigagura eti una hela alafu ukope ,hao mawazo yao ni Bora hata ya mtu ambae hajasoma anaweza kuchanganua mambo.kuliko maprofesa wasio na faida kwa taifa,natamani cku rais awe ni mtu wa darasa la saba maana wanajua kuweka mambo sawa kuliko maprofesa.
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 3 жыл бұрын
Walisomeshwa akili za ulaya ili wawanufaishe wao hawa ndio majiniaz wanatakiwa kuwa viongoz nnchiyetu
@twazdkkajipangaamir8329
@twazdkkajipangaamir8329 3 жыл бұрын
Bro we unajuwa sana kweli elimu umeisoma wengine mabunju wamenunua vyeti kuipata kazi lakin mawazo yao hovyo kabisa si yakielimu. Kama huyo CAG ALIEPITA. Anadharau kununua ndege kwa keshi anaona nikutokuwa na akili kama biashara yenyewe ni HASARA kwa mfano ingekuwa tumekopa tungekuwa na HASARA kiasi gani HAPO tuhh ndege zetu si mkopo. Maana tungekuwa na +riba +mkopo ingekuwa hapatoshi. Anaongea Kiki kujipromote apewe angalau kikaz au aonekane. Jaman ndugu zetu mlosoma tumieni elimu yenu kuleta maendeleo katika nchi yenu. Kwanin tunasifia nchi za nje kwasabu WENZETU wanapenda maendeleo ya nchi na WANANCHI. Sisi kazi porojo na wizi wa fedha
@uscalayoub3462
@uscalayoub3462 3 жыл бұрын
Nimemsikiliza tu nikaingiwa na hasira kwa uchungu najisemea mwenyewe mungu anamakusudi yake haku tuletea kimakosa mjomba Daaah R.I.P komando J.P.M
@uscalayoub3462
@uscalayoub3462 3 жыл бұрын
Nimemsikiliza tu nikaingiwa na hasira kwa uchungu najisemea mwenyewe mungu anamakusudi yake haku tuletea kimakosa mjomba Daaah R.I.P komando J.P.M
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mr, tusipende kukalilishwa Mambo na kuyabeba kama yalivyo.
@dicksonnicodems1592
@dicksonnicodems1592 3 жыл бұрын
Bora sana huyu kijana kuliko hiyo miprofessor iliyosoma kwa pesa zetu harafu haitusaidii chochote mipuuzi mitupu
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 жыл бұрын
Mmewasomesha ili wawaibie kwani hamjawasomesha neno la Mungu mlitarajia nini??
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Yah kuna Jamaa wapo Bungeni Hawataki Ndege zinunuliwe, Yaan Nchi lsiwe na Ndege Hata moja
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
Wewe Umeenda Israel kusoma lakini bado pocho hio miko ya hizo chata wew unazihisabu ndege¿n'joo Europ ndio utafahamu nini maana ya ndege sawa¿thanks
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 3 жыл бұрын
Kuna yule lisu aliesema Tanzania tumepigwa kwenye ndege akisikia hizi nondo pia atabisha yule jmaa
@renathamartin6272
@renathamartin6272 3 жыл бұрын
Mr Gangana great job thanks for bringing him.
@dorahy1579
@dorahy1579 3 жыл бұрын
Mnajidharsu ba kujirudisha nyuma hamtafika popote. Ujinga mtupu mnajadiliana hapa
@peterfesto3150
@peterfesto3150 3 жыл бұрын
Iki kichwa hatari atamaprofesa hawagusi apo
@shabbyprotus6552
@shabbyprotus6552 2 жыл бұрын
Dah uyu jamaa kichwa sanaa unamzidi profesa mwenye wizara big up brother
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 3 жыл бұрын
Kwa fafsnuzi zako magufuli yupo sawa
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 жыл бұрын
Asante Thabit Elimu tosha kwa wengi wenye upeo
@jumamohamedkidiaunga9224
@jumamohamedkidiaunga9224 3 жыл бұрын
Watu ndo hawa sasa🤔🤔
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 жыл бұрын
Uko vizuri Kaka...lakini ndiyo walewale wataalamu wetu...hivi unanunua ndege kwa mil 220 Dola kwa hajili ya kupata utambulisho au nchi kukulikana...unapata hasara kila mwaka sababu ya kukulikana?...hivi tumaitaji mendeleo au kujulikana...China imejulikana sababu ya maendeleo yake aundege zake...Kenya imejulikana ,ababu ya ndege zake?..no..imejulikana sababu ya michezo ya riadha na utalii iliwekeza huko...hivi unajua shaanga na bayi waliipaza nchi hii kukulikana kwa muda mfupi Sana tukapuuzia nafasi hiyo...Brazil imejulikana sababu ya mpira na sio ndege...kwa umaskini tulionao tunapoteza pesa zote hizo kwa hajili ya kjulikana?.ningekuwa Mimi nisingetetea huo ujinga..ningewashauri hizo pesa tuwekeze katika mlima kilimanjaro ndiyo identity yetu...ndege itachukua miaka 100 kukujulisha wakati utalii utachukua wiki moja kukutambulisha....hivi Zanzibar Ina ndege ngapi? Nani haijui hapa duniani...binafsi niliishi London ukiulizwa umetokea wapi ukisema Tanzania hakuna anayeijua mpaka nasema kilimanjaro kila mtu anapajua...lakini leo nchi za ureno..bergium..uingereza ukiuliza Tanzania hakuna hasiyeijua..wanaijua sababu ya mtu mmoja tu..Mbwana Samatta sababu ya miguu yake tu na hakuna anayemjali...sijui Yuko wapi...Ndugu hivi hizo Dola mil 200 tungewekeza katika mlima huo kuweka mazingira mazuri au tungewekeza katika michezo tupate Samara watano nanmavondia watani na wakimbiaji watano kwa lengo la kutangaza ili wajae hao tunaotaka watujue...hivi hizo ndege zinazokwenda mikoani zinatutambulisha Nini? Kama michezo na utalii havisaidii kututambulisha Basi tuendelee kupata hasara....Kama ulivyosema unategemea umesoma wapi na akiri yako ndiko itakupelekea huko na Kama Ni hivyo hatutofika Bora mje huku chini mchukue mawazo yetu ya darasa la Saba Kama msukuma ili nchi ipate mafanikio Kama hamtaki endeleeni kununua haya mandege...unayajua mengi Sana lakini kusoma kwingi muda mwingine Ni hasara...huwezi tetea hasara sababu ya elimu uliyopata inakuelekeza huko.
@ramahfingika15
@ramahfingika15 3 жыл бұрын
Vichwa HIV ndio vinanatakiwa kupewa nafas lakin vipo mtaana na wapumbavu wapo Bingen nk:
@alfredmapile5784
@alfredmapile5784 3 жыл бұрын
Aisee, jamaa nimekukubali kijana, upo sawa sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 жыл бұрын
Ni kazi kweli,yani ni bora tuwe na ndege za cash ya kodi na rasilimali za nchi,badala ya kukopa, lkn watu wafe kwa kukosa huduma za msingi, afya mbaya,kukosa maji, dawa,elimu bora,nk!!?
@nestor384
@nestor384 3 жыл бұрын
Geneus💪🏻 angekuwa hai JPM ungelamba uteuzi poparian📌
@ndamarevocatus4918
@ndamarevocatus4918 3 жыл бұрын
jamani hizo ni fursa msiziseme hvo people will take advantages around us plz
@kingjosse4781
@kingjosse4781 3 жыл бұрын
Geo-economics uyuu jamaa yuko vzurii sanaaaa sanaaaaa..... ata kama sjui kitu kuhusu Geo-political na Geo-economics ilaa huyuu jamaa anajuaa yaan nmejifunzaa sanaaa... bigup bro....
@babusadala5732
@babusadala5732 3 жыл бұрын
Jamaa anajua sana 😁🖐️
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 3 жыл бұрын
Kuanzia leo nitaitwa Mr popalian.Mawazo huru ya kujikwamua NI HERI na Bora KULIKO kusubiri tonge mdomoni.Thanx mr gangana.
@littlelunie.7653
@littlelunie.7653 3 жыл бұрын
Jamaa anajua huyuu
@godblessnzalika6116
@godblessnzalika6116 3 жыл бұрын
Inapendeza sana wasomi wawe wanaelezea vitu vya kitaalamu kwa namna hii, ni unavielewa vizur na unapata nafasi ya kujua tofauti kati ya hiki na kile... 👍👍👍👍👍
@beatricenmarwa9745
@beatricenmarwa9745 3 жыл бұрын
Yaani nimempenda huyo kaka bure. Hao ndio vijana wanatakiwa kumuona Rais wetu kwa ushauri. Wapo vijana wanaoweza kutoa ushauri wa kufaa kabisa. Pia nimekuoenda umemaliza masomo umerudi kusaidia kulijenga Taifa badala ya kwenda ughaibuni. Big up Kijana
@dietrichyombage5431
@dietrichyombage5431 3 жыл бұрын
Big up bro ! You have opened my eyes of understanding(and of many who like me had limited picture) on strategic projects. It has change my perspective on the matter. I wish I had an audience with you to learn more from you.
@ahmedmahayu6800
@ahmedmahayu6800 3 жыл бұрын
Nime subscribe hii channel kwa kuvutiwa na huu uchambuzi
@TheNgomo
@TheNgomo 3 жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri sana. Anapaswa apewe kitengo serikalini atumie mawazo yake kwa faida ya wote
@charlesrwegalulila1069
@charlesrwegalulila1069 3 жыл бұрын
Mungu akujalie , serikali ikuone wakupe kazi unaweza kuisadia nchi uko poa saaana
@adamally8791
@adamally8791 3 жыл бұрын
Huyu mwamba nimemuelewa sana ni bonge la hazina kwa Taifa ni very Genius
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 жыл бұрын
Yuko vizuri sana
@gynae8407
@gynae8407 3 жыл бұрын
Watu wanamnahii Tz hawahitajiki, mipumbavu ndiyo inayo hitajika.
@japheteliatosha4710
@japheteliatosha4710 3 жыл бұрын
Samahani naomba namba za ndugu huyu
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,8 МЛН
MCHAMBUZI THABIT TENA,HUU NI USWAHILI
13:44
Gangana Info Channel
Рет қаралды 2,2 М.
Watu Walinielewa Vibaya Kuhusu Mtume Mwamposa Richard Hananja
19:13
MCHAMBUZI THABIT ATOA SOMO MFUMO WA UTEUZI
38:00
Gangana Info Channel
Рет қаралды 4,2 М.