MCHEPUKU ABANANISHWA

  Рет қаралды 89,644

Mr Uky

Mr Uky

8 ай бұрын

Dada alie chukua namba Ya mchepuko na kumtafutaa......

Пікірлер: 147
@user-zs5en7oy1x
@user-zs5en7oy1x 4 ай бұрын
Wanawake tunatakaga tu kujiumiza maana hawa wanaume kama wamezaliwa pamoja dada zangu tutafuten tu pesa maana
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 8 ай бұрын
Sema dada katumia njia nyepesi sana kumuondoa tanisha kwa bwana ake hapo hatamuamini tena😅😅😅
@godsfavour1603
@godsfavour1603 2 ай бұрын
Mama yangu kevo amefika tz😅😅😅😅sasa kenya tumepumuwa waah kevo
@neysenya5375
@neysenya5375 2 ай бұрын
😂😂
@EmmanuelaMassawe-ds3ro
@EmmanuelaMassawe-ds3ro 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@LeahPhilipo-kx8yn
@LeahPhilipo-kx8yn 29 күн бұрын
Me naomb unifanyie challenge plz 🙏🙏🙏 San Niko arusha njiro nawaomba San plz mr.uky and kiredio nawaomba San
@MarryPatrick-kl2vk
@MarryPatrick-kl2vk 2 ай бұрын
😂😂😂 mim jamn moyo wang chuma kudadeki 😂😂
@LatifaYusufu-eo9bz
@LatifaYusufu-eo9bz 2 ай бұрын
Nimesomanae huyodada namjuwa vizuri nyegezi sec Mwanza yunus mm latifa
@user-vm5gq7ms8v
@user-vm5gq7ms8v 5 ай бұрын
We jamaa sku ukipigwamie simoo 😂😂
@hamisaabdulhamid529
@hamisaabdulhamid529 2 ай бұрын
Mwenye tatoo mmemwaribia tu kwa mabwana wengine kakosa amani
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 8 ай бұрын
Wanaume na pepo nisawa na maji na mafutaaaaa😊😅😅😅😅😅😢😢😢😂😂😂😂😂😂
@niyukurininettejoshua5665
@niyukurininettejoshua5665 8 ай бұрын
Jamaa kamchagua anayemtaka kwakujiongeza wauni tushaelewa🤣🤣
@user-kn8bm3kt1j
@user-kn8bm3kt1j 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-qs2tq8ke1v
@user-qs2tq8ke1v 8 ай бұрын
Wanaume mtafika mbinguni mmechoka kwa kwely😅
@user-kn8bm3kt1j
@user-kn8bm3kt1j 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kw kwel
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 2 ай бұрын
Kasepa kajua kabisa nishaliwa dadeki
@fatmahassan7467
@fatmahassan7467 4 ай бұрын
Oya mtangazaji umemechi sana na tanisha
@rahmamsangi2190
@rahmamsangi2190 2 ай бұрын
Ila wanaume 😅😅 nacheka km mazur wallah Duuuh🙌🙌
@user-bi9lh1kk1i
@user-bi9lh1kk1i 8 ай бұрын
Majina ya kevoo nishida san
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas 3 ай бұрын
Jaman watanznia wana mambo kila jina lina ttzoo
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 8 ай бұрын
😂😂😂😂wanaume hapana niliacha ujinga wa kumfatilia baada ya kujuwa anatembea na bwana yangu
@eggysulle7988
@eggysulle7988 2 ай бұрын
😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 8 ай бұрын
Yan mm nnavyopenda minyamanyama huyo bonge nd cwezi kumpoteza na sio iko kimbaumbau cheupe
@felisteredward8922
@felisteredward8922 8 ай бұрын
😂😂😂 dah
@diannamongi5099
@diannamongi5099 8 ай бұрын
😂😂😂😂nmecheka
@nghomanohosea9251
@nghomanohosea9251 7 ай бұрын
Kiukweli kabisa mwanamke mweusi anashawishi Sana hata ukimtazama tena watamu Sana Hana pooza joto Kama lote,
@MariumEzekiel
@MariumEzekiel 2 ай бұрын
Namjua nimesoma nae hata jina lake sio hilo jaman,,watu tunafik mjini tunabadilisha majina duhh😂😂😂😂
@VannyPascal
@VannyPascal 2 ай бұрын
Unamjua mchepuko au mke
@MariumEzekiel
@MariumEzekiel 2 күн бұрын
@@VannyPascal mke😂😂
@liyloveonimakeuptv2400
@liyloveonimakeuptv2400 7 ай бұрын
😂😂😂 this is men for you😂😂 men the will leave you in desert without water 😂😂 that it’s what happens to Tanisha.😂😂
@JamalManzi
@JamalManzi 2 ай бұрын
Daah natamani Zamda aone comment yngu anichek, she's a wife material
@user-mf1gm8cx9c
@user-mf1gm8cx9c 8 ай бұрын
Duuh majina ya kevoo🙌🙌
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 2 ай бұрын
Kelvin
@Puxladen
@Puxladen 5 ай бұрын
Aaah nimechoka kaulizwa mara ya kwanza unawqjua kasema ndio😅 mara ya pili kakataa hatua kumi😅
@naomipieter4627
@naomipieter4627 8 ай бұрын
Mhhhh ya Kenya sasa tupo nayo BoNgo
@user-xf1si9vd1j
@user-xf1si9vd1j 4 ай бұрын
Hila we Mr uk utafika mbinguni umechoka
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas 3 ай бұрын
Na kiredio wake
@FadhilaSalim-uy6jq
@FadhilaSalim-uy6jq Ай бұрын
Mbona kama huyo mchepuko kwenye picha mzur live mbaya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 8 ай бұрын
Miak 2 yotee hiyo mim ningemovie one
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Uchomvamishi tu ss unuhoji mtu alafu unaemuuliza yupo hp nia yk nn ndiodangaji
@user-jg3ek6ot3u
@user-jg3ek6ot3u 8 ай бұрын
Zamda mama apo apakufai ..
@daliahmachendenice8543
@daliahmachendenice8543 8 ай бұрын
Pole tanisha
@tedytitus7205
@tedytitus7205 8 ай бұрын
😂😂😂 siku ya kuambiwa simfahamu unakula ndimu nzima nzima😺..
@khamismtaly3825
@khamismtaly3825 7 ай бұрын
Hahahaha
@PendoUrasa
@PendoUrasa 8 ай бұрын
Wanaume pepo mtaisikia tu😅😅
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 3 ай бұрын
Nakpnd
@praxedantale7817
@praxedantale7817 8 ай бұрын
Jaman zamda pole mwaya duuh we n mrembo achana nae uyo bwana
@AngelTitus-sq7et
@AngelTitus-sq7et 8 ай бұрын
Kevooo anaweza kula hta kilema😂
@subiramussa1428
@subiramussa1428 8 ай бұрын
🤣🤣🤣
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 7 ай бұрын
Dah🤣🤣
@officialludahtz8152
@officialludahtz8152 2 ай бұрын
Leo ndo nimeamini haya ni maigizo coz namuelewa vizuri huyo dada
@angolina1768
@angolina1768 8 ай бұрын
Bonge mwezangu unapendwa mwaya asa huyo mwezangu na mie anaonekana ana mabwana wengi kihelehele pooo afu uje uombwe msamaha umpe tena aendelee kukuchezea 😅😅😅
@prezgal8869
@prezgal8869 8 ай бұрын
Na uyo tanisha anaonekana ana maringo na dharau ndo mana kevoo ameona hapo ni bora asave kwa chaupole zamda
@user-hb7oh7fg4z
@user-hb7oh7fg4z 8 ай бұрын
Mbona uishi uishi Hadi mwisho jmn 😂😂😂😂
@user-cr6fc7nt8k
@user-cr6fc7nt8k 2 ай бұрын
Akuna mwanaume wa mwanamke mmoja jaman tulieni tu kama uwez kaa na mwanaume basi kaa single
@sophiemtitu9921
@sophiemtitu9921 2 ай бұрын
Hakuna mwanamke wa mwanamme mmoja in case you do know
@BarkixSeiph
@BarkixSeiph 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 etii ana matatoo mengiii
@angelshonza8236
@angelshonza8236 Ай бұрын
Yaaani hivi unajua jamaaa anamtu na bado ukaamua kuendelea nae your not ok in mind yaaan unampendaje mtu Kiasi hicho
@husnagel
@husnagel 2 ай бұрын
Ivi watu wanawezaje kupokea cm ngeni😅😅😅Yan me unaweza pga mpk ukakoma
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mm sinaga mda wakufatilia ata km mume wng atajijua mwenyw
@jescachandarua5898
@jescachandarua5898 4 ай бұрын
Jamn shda nn kujizalilisha khee😅😅😅😅kwani hakun alternative
@zahirimaulidi4702
@zahirimaulidi4702 Ай бұрын
Kudadek ujue anajua mzagamuano
@user-wk5km6di9c
@user-wk5km6di9c 8 ай бұрын
Asa Mbona kaondoka na yeye jmn
@user-ih6iv9hd8p
@user-ih6iv9hd8p 8 ай бұрын
Bhana usipend post vitu nusu nusu unatutoa kwenye uwepo..ila wanaume 🙌🙌🙌🙌
@JoyceSteven-tu2fi
@JoyceSteven-tu2fi 7 ай бұрын
Mwenyew sijapenda hii
@user-js4bu1jp7n
@user-js4bu1jp7n 2 ай бұрын
Tatuu zimempoza nilitaka kusikia huwezi kuchaguliwa ukiwa mwanamke was ajabu hata uwe mweupe Kama mzungu
@user-vt4fr9ng8x
@user-vt4fr9ng8x 4 ай бұрын
Huyu mdada black beauty mie namfahamu namuonag mwanza
@innocentcareen818
@innocentcareen818 7 ай бұрын
Wanaume bwana
@jescamkemwa9462
@jescamkemwa9462 2 ай бұрын
Hao wakina kevoooo
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 ай бұрын
Wanawake tutafete hela huu sio wakati wa kugombania wanaume
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er 3 ай бұрын
Yani Mimi niwe ndiobtanasha Sina mda wakukaa hapo akati Sina uhakika wa kuchaguliwa Yani nazingua afu naondoka zangu sipo tayari kuachwaaa seh
@Lilian-le7dc
@Lilian-le7dc 5 ай бұрын
Huu ni utoto mwanaume anachagua mtu wa kuwanae jaman ukiona readflag sepa jaman acha kujizalilisha mwanawake mwenzangu yeuwiiiiiiiiiiiiiii
@rosemaryrenatus8064
@rosemaryrenatus8064 8 ай бұрын
Pat 2 please
@Juliethbryson
@Juliethbryson 14 күн бұрын
Akina kevo mnamoto mbinguni
@devothabishagazi9360
@devothabishagazi9360 8 ай бұрын
Kwanza alisema imekuwaje wote wapo hapo,then anasema Tanisha mbona simjui😳😳😳fear men🏃🏃😤
@user-re8cp2if4j
@user-re8cp2if4j 8 ай бұрын
Tanisha hatumjui bana mtu tattoo zote hizo tunamfahamia wapi😅
@sophsoph4740
@sophsoph4740 8 ай бұрын
​@@user-re8cp2if4jhatumjui kbs😂😂
@elizabethaniseth4560
@elizabethaniseth4560 8 ай бұрын
Pole zamda wetu ila wanaume watz kwakwer haya walishakosa nataman mfike njombe japo najua ningum
@anithamsaki2040
@anithamsaki2040 4 ай бұрын
Kiukweli sometimes sis wanawake tunazingua sanaa coz ya hapoo mtu wa kudilii naye ni mwanaumee wako siyo mwanamke mwenzioo ila kiukweli inabidi tuwe tunatuliza kwanza kichwà kama nyie wanawake wawili mkae chini mpige tukio boy au vip siyo wanawake kugombanaa huu siyo muda wa kugombana wanawake kwa wanawake ila kikubwa ni mwanamke kudili na mwanaume wakoo
@user-vh1xo2we9y
@user-vh1xo2we9y 3 ай бұрын
Ni kweli unachosema but me naona kosa linatokana na pale ubapokuwa unamjua mke wake na ww unaenda tuu😢😅😅😅
@deborahthobias2126
@deborahthobias2126 12 күн бұрын
Na michepuko nd huwa inanguvu ya kujib hvyo
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 ай бұрын
Kwani kafunga nae ndoa
@NairathIddy
@NairathIddy Ай бұрын
Mimi namtafuta huyu kaka mr uky nampataje?
@user-kn8bm3kt1j
@user-kn8bm3kt1j 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅tanisha mbn cimfahm😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-bb7lc9td6o
@user-bb7lc9td6o 5 ай бұрын
Next
@NasmaMfinanga
@NasmaMfinanga 4 ай бұрын
Mh jamn 🤐🤐🤐
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 8 ай бұрын
Sawa
@user-eu9op8ie7p
@user-eu9op8ie7p 8 ай бұрын
Tanisha 😢 pol
@user-ky7ne4uo4f
@user-ky7ne4uo4f 2 ай бұрын
😢we kevoo wewe unahatarii
@user-yz3eg6ge8z
@user-yz3eg6ge8z 4 ай бұрын
Alafu atakae achwa na kevoo aje kwangu
@rehemamgata224
@rehemamgata224 8 ай бұрын
Ulisikia wapi kunamwanaume anaishi na mpenzi 1 et
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 2 ай бұрын
Nyie wanawake acheni kuwalaumu wanawake ambao wanatembea na waume.zenu kuwa amekuchukulia yeye ametongozwa kama wewe ka mlaumu mumeo
@khamismtaly3825
@khamismtaly3825 7 ай бұрын
Ikopoa lkn unatuacha vby nini kiliendelea baada ya hapo
@user-qc3lj4qx8k
@user-qc3lj4qx8k 5 ай бұрын
Na wew alokujaza uo ujinga kwamba kuna mwanamke wa mwanaume mmoja nani?
@user-rb3ct9gk6m
@user-rb3ct9gk6m 6 ай бұрын
Salut
@NeemaPatrick-jw9vv
@NeemaPatrick-jw9vv 7 ай бұрын
Huyo si zamda jmn nae anabwana mmoja kumbe😅😅😅
@dolphintv8772
@dolphintv8772 8 ай бұрын
Apo uyo black ana pesa au uyo white mtamu kwahy sasa kila mmoja na nafasi yake
@abdulaziz703
@abdulaziz703 8 ай бұрын
Hivi nyie wanawake mnaodhani mwanamme ni wa mwanamke mmoja, nani aliwajaza huo ujinga.? Mwanaume ameumbwa mtafutaji asie na mwisho mpaka kufa kwake. Wewe mwanamke ndo unapaswa kubaki na mume mmoja maana we ni mpokeaji.
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 8 ай бұрын
Hakika unayosema tuvumiliane tu na subra ❤
@hamisahodari9229
@hamisahodari9229 5 ай бұрын
Ebu Acha kua na mawazo finyu.....
@madammbago9787
@madammbago9787 5 ай бұрын
Huo wako ni ujinga na nyie ndo wanaum wa hovyo kwan mwanamk han roho huo ni ufuska tu ulowajaa na laana
@abdulaziz703
@abdulaziz703 5 ай бұрын
@@madammbago9787 sina muda wa kubishana na kiumbe mpinga amri za Mungu. No wonder mlikuwa sababu ya Adam kutolewa bustania ya Eden. Mmeanza kupingana na amri za Mungu, Mimi nani msinipinge.
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 5 ай бұрын
​@@abdulaziz703amri upi😂😂?
@user-tc1tl1sg5i
@user-tc1tl1sg5i 4 ай бұрын
Mr uk , i wish nimuone gf wako😄
@hildakipalile7749
@hildakipalile7749 8 ай бұрын
Na wanawake weusi walivo watamu jmn hv mnahangaika nn nahayo mapapai yenu? Zamda maskin hana mambo mengi hata hahahahahaha nacheka km mazuri,nani kamwona Tanisha anavotetema miguu mpk kutembea kushindwa nusu aanguke maskin
@officialtenendejr360
@officialtenendejr360 4 ай бұрын
Hiiiii kumbe
@mackysuphian
@mackysuphian 8 ай бұрын
party two ya wale wengine bdo hauja post na kila siku wahusika wapo mliman jmn hiv ni kwel au maigizo??
@EvelinJuma
@EvelinJuma 4 ай бұрын
Duuh 😢
@RACHELFESTO-pt6fv
@RACHELFESTO-pt6fv 5 ай бұрын
Hzo tattoo lazima uchezewe tu, koma
@FAUSTAMBAGA
@FAUSTAMBAGA 2 ай бұрын
kesi za kevoo sasa ni too much
@Evelinweek
@Evelinweek 8 ай бұрын
Duuh
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l Ай бұрын
Ha ha ha ila zamda nimpole
@user-rb3ct9gk6m
@user-rb3ct9gk6m 6 ай бұрын
5:01
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 ай бұрын
Mi nisinge mtafuta
@annandajilo2831
@annandajilo2831 8 ай бұрын
😅😅
@user-pv6kr1bm1e
@user-pv6kr1bm1e 2 ай бұрын
😢
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@MarySimoni-tz3fm
@MarySimoni-tz3fm 4 ай бұрын
😂😂😂
@devothabishagazi9360
@devothabishagazi9360 8 ай бұрын
Kevoooo 😅😅😅😅
@NancyBrayan-wi2lr
@NancyBrayan-wi2lr 8 ай бұрын
Watu mna moyo jamn Yani mwanaume tu ndo nimuangaikie hivy ten sio mme akwendreee
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 8 ай бұрын
We pamoj na mm
@LydiaStephano
@LydiaStephano 8 ай бұрын
Mpenzi tuu ndo una mhangaikia hivyo😂😂😂😂 angekuwa mume
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jonsiamarcus5863
@jonsiamarcus5863 8 ай бұрын
Shida sio mpenzi kunamagonjwa ndiomana unaona watu wanaangaika
MCHEPUKO Part 1
8:18
Mr Uky
Рет қаралды 64 М.
SHEMEJI NA NEYLA
10:25
Mr Uky
Рет қаралды 103 М.
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 17 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 21 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 5 МЛН
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 170 М.
LISSAH NA JACKLIN NANI NI EX WA NED!
8:06
Mr Uky
Рет қаралды 45 М.
Teste de fidélité 💔😍😍😍🔥🔥
2:56
Mr Dabre
Рет қаралды 2 М.
MAMA KUONANA NA MWANAE BAADA YA MIAKA 4
9:31
Mr Uky
Рет қаралды 171 М.
MAPENZI YASABABISHA RAFIKI KWENDA HOTEL 🏨
8:07
Mr Uky
Рет қаралды 37 М.
HIV TEST CHUCHU NA BROWN Part 1
10:59
Mr Uky
Рет қаралды 11 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 141 М.
AMUACHA MPENZI NYUMBANI KAENDA KUCHEAT, DAH WANAUME
2:48
KIREDIO
Рет қаралды 61 М.
EX WANGU NIMEPATA MPENZI MPYA NATAKA NKUAGE NIJE????
3:12
KIREDIO
Рет қаралды 63 М.
ACHANA NA MWANAUME WANGU
11:17
Mr Uky
Рет қаралды 38 М.
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 17 МЛН