SHEMEJI ALETA UTATA MKUBWA

  Рет қаралды 60,336

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 Жыл бұрын
Hawa ndio wale wanaume wasio kuwa Na msimamo hakika wànaume wenzangu mkuwe Na msimamo kwani mtakufa,Mimi sijawahi Ona Shida ya kuwa Na msimamo Na msichana mmoja au mwanamke mmoja ndio maana ujapata wanaume wanawest pesa zao kusambaza Kwa wanawake wengi mnafeli wapi wànaume wenzangu Mimi mwanaume but nashangaa cause kila kitu kinawezekana Ni msimamo Na control ya akili tu ....
@atislady3400
@atislady3400 Жыл бұрын
Honestly speaking nimejisikia vibaya kha
@mustafaabdulhafidh3257
@mustafaabdulhafidh3257 Жыл бұрын
Huwa clip zikipita tikTok nazirukaga lakini hii ya Leo imenifanya niifate hadi huku😂😂 na kuanza kuzingalia nyingine, bigUp sana endelea na kazi nzuri bro, tunaenjoy
@Swamyhassan_sy
@Swamyhassan_sy 7 ай бұрын
Mmmh jamnii wanaumeeee🙌🙌🙌
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Жыл бұрын
Mamae wanaume cjui waliumbwa kwa maji gani daagh😢😢😢😢hiiii kitu inauma sana daaagh jamn
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Ww Mr uk unazambi sna😂😂😂
@leonardinamapunda5516
@leonardinamapunda5516 Жыл бұрын
manina😂shikamoo shemdarling😅
@ByamunguGentil-su8ox
@ByamunguGentil-su8ox 3 ай бұрын
Bro 🤣🤣 kusema kweli hata mm siwezi kataa
@jurmainezaidi739
@jurmainezaidi739 Жыл бұрын
Tatizo anarafiki mzuri ndo shida
@cephlenrobert3071
@cephlenrobert3071 Жыл бұрын
Shauri yenu mtaachwa kwa ajili ya elfu kumi Yani mtu anakuita baby kabisa lizika nae tu wanaume wote vicheche ohoo🙄🙄
@REHEMAPETER-x1y
@REHEMAPETER-x1y 6 ай бұрын
Duuuh mama anaumwa 😂😂😂
@HabibAbdulhussein
@HabibAbdulhussein Жыл бұрын
Huyo dem alie vaa flana nyeupe mzuri
@aishahamad7923
@aishahamad7923 Жыл бұрын
😂😂😅😅😅nimecheka hatary 😂😂
@aishahamad7923
@aishahamad7923 Жыл бұрын
😂😂😂kamtia mama maradhi gafla😅😅😅😂
@husseinsauti4054
@husseinsauti4054 Жыл бұрын
Hii ndio ile men kati ya wanawake warembo 99 akiambiwa achague mmoja anatamani wote. M/mungu anusuru.
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy Жыл бұрын
Daah wanaume tuna mahala hatuonagi wallah mamaeeeee
@supermoodworld
@supermoodworld Жыл бұрын
+254 Eti mama nimgonjwa🤫🤫🤭🤣🤣🤣🤣
@princessnaji2370
@princessnaji2370 Жыл бұрын
jamn mr uk mausiano ya watu yatakufa meng😂😂😂😂
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 Жыл бұрын
Ila hapo mwanaume anataman lakin unaweza Kuta anampenda huyo mpenz wake sana tu Sema wanaume tumeumbwa kwa tamaa mtuvumilie tu hakuna jinsi😅😅😅😅
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 3 ай бұрын
Jamaa Kamkosea Sana Mamayake
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Wanaume😭😭😭😭😭😭
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 7 ай бұрын
Hana mtu apo😅😅😅😅
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Sema uyo shem n mkali kumzidi hata uyo demu wake so ata ningekua mm yan apo nicngetoboa😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Hovyoo!
@AtuAbdallah
@AtuAbdallah Жыл бұрын
Umalaya tu unawasumbua
@elinapetro7136
@elinapetro7136 Жыл бұрын
Nibora usingizie vitu vingine lakini sio mzazi eti anaumwa😢
@MunguMwema-m4l
@MunguMwema-m4l Жыл бұрын
Mariam keeling hunamtu hapo aiseee
@mustafaabdulhafidh3257
@mustafaabdulhafidh3257 Жыл бұрын
Nipo kwenye bodaboda nitakupigia 😂😂😂
@Mwanaisha-h4h
@Mwanaisha-h4h 7 ай бұрын
Jamani 😮😮😮
@Mwanaisha-h4h
@Mwanaisha-h4h 7 ай бұрын
We mwanaume wewe mchonganyishi😅
@_smart_hb_
@_smart_hb_ 8 ай бұрын
ILA UYO MWANAMKE ANA SAUTI NZURI 🎉❤😅
@maryemanuelmjema721
@maryemanuelmjema721 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Mimi sitaki urafiki na mtu
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 7 ай бұрын
Wanaume kwa tamaa ni balaaa😂
@marykehengu1656
@marykehengu1656 Жыл бұрын
Ila Dylan na ww ni mchochezi 😢😅😅
@Oman-p8x
@Oman-p8x 6 ай бұрын
Niko kwenye bodaboda 😂
@NancyBrayan-wi2lr
@NancyBrayan-wi2lr Жыл бұрын
Daaah kumbe mnyakyusa wangu mtu sana Yani rafiki angu yoyot akimtfut lazima aijlish kmtfut kwanini 🤣🤣🤣
@Caren-og7qd
@Caren-og7qd 11 ай бұрын
Mi nimependa altitude ya mdada. Maybe hajakuwa naye muda, hajalia hata. Hadi raha😂
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 Жыл бұрын
We hiyo sauti unaweza kuivumilia akileta vyakujileta moto ni ule ule xixi wanaume ni kugawa upendo 😂😂😂
@zuwenadavid856
@zuwenadavid856 9 ай бұрын
Aiseeeee acha niendelee kudanda sina mpenz mimi nachetua tuu
@yustinajoseph5819
@yustinajoseph5819 Жыл бұрын
Oy mtangazaj we mkuda xana 😂😂😂
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py Жыл бұрын
Kashaachwa mtuu hapo😂😂
@ZulfaTuesday-xm9cl
@ZulfaTuesday-xm9cl 6 ай бұрын
Kumb meeting zang n bwan ang nd huw akatishag hv? 😢
@emmanuelaloyce932
@emmanuelaloyce932 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hii ni noma sanaaaaa
@MunguMwema-m4l
@MunguMwema-m4l Жыл бұрын
Duuujjj yan wanaume hatariii sana Jamani
@jamilajamila183
@jamilajamila183 7 ай бұрын
Bola niwe single forever
@EvanaFelix-cr3hj
@EvanaFelix-cr3hj 10 ай бұрын
wanaume wana moto wao dadeki
@juchaonline4084
@juchaonline4084 Жыл бұрын
Fanya utembelee mikoan kaka utatukomesha
@PriscaSimbeye
@PriscaSimbeye 7 ай бұрын
Ila wanaume ni hatari jaman tena wauwaji sana
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 Жыл бұрын
Hizi pigo za kiduanzi sana...😂😂😂
@jumahamisi4660
@jumahamisi4660 Жыл бұрын
Sema mwanangu ume zingua kwanini umwambie amwambie yupo na maliam unge acha tu kama kiredio anavo achaga
@bushbabytz
@bushbabytz Жыл бұрын
mnaongea tu lakini hamtujui wanaume, uanaume kazi jamani niulizeni mimi...hakuna mwanaume atakataa nyapu hata kama ana msichana wa gold
@MohamedYusuph-gw7yg
@MohamedYusuph-gw7yg Жыл бұрын
Ahahahahaha kudadeki
@bushbabytz
@bushbabytz Жыл бұрын
@@MohamedYusuph-gw7yg hakika nakuambia, mimi mwenyewe nina pisi kali mno ila sijui kwa nini namcheat...na sio kuwa simpendi nampenda ila ndo hivyo nikiona ingine tu nataka
@HappinessFesto
@HappinessFesto Жыл бұрын
Hat km ndo wanaume wapo ivo 😢 ndo umsingizie mama kweli 😮 kweli wanaume konyo 🤧🚮
@chacha_makurutz
@chacha_makurutz Жыл бұрын
Mmmh! mwamba ana balaah sana yaani
@mohamedabdul958
@mohamedabdul958 Жыл бұрын
Wanawake tamaa zinawaponza unaliuzaje penz lako kwa elfu 10 na huyo mwengine kamuharibia mwenzake kwa elfu 10 tu huu ni usenge
@sumayyahally
@sumayyahally Жыл бұрын
Mara kaanza na kuhema kwanza😂😂😂
@CaneenabuubakaryCaneenabuubaka
@CaneenabuubakaryCaneenabuubaka 9 ай бұрын
Yaan kama ni mm namuacha tena bila hata kumuambia fala kabs uyo
@BERNARDITAMAGWI
@BERNARDITAMAGWI 9 ай бұрын
Pameanza kuchangamka tuko live bila chenga mtu anakwenda kuachwa bila chenga na hatuogopi lolote huyu jamaa ni kenge kama kenge wengine
@Zuu673
@Zuu673 8 ай бұрын
Janaume ji mbwa km mbwa wengine kenge kabisa😂😂😂
@Evelinweek
@Evelinweek Жыл бұрын
Hamna upendo kabsa
@surusuru1994
@surusuru1994 8 ай бұрын
Msauri asome achane na boys
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 7 ай бұрын
😮😮
@thomaschenge-lc8wf
@thomaschenge-lc8wf Жыл бұрын
sema ww sanya mbinguni 😂 huendii
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 Жыл бұрын
Sanya Yu wapi
@acreytronic9914
@acreytronic9914 Жыл бұрын
kaka naomba nilithi dhambi zako huna baya
@hajrayusuph9115
@hajrayusuph9115 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂let me take 5 minutes to rest na 23 hrs na 55 minutes zilizobaki na fear men 😹😹😹🙌🏽
@Funnyme.e
@Funnyme.e 9 ай бұрын
Kwakweli
@JumaaTwaha
@JumaaTwaha Жыл бұрын
Kiukweli kwa sauty na alivyo uyu mdasa hata mm naingia
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez Жыл бұрын
Huu ni uchonganishi acheni utangazaji wakishamba unagombanisha watu huo ni ushamba
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Жыл бұрын
Mtu kashakula kad nyekundu😂
@sabrasaham4269
@sabrasaham4269 Жыл бұрын
Nipo kwenye boda boda 😂😂😂
@Niabebewamor
@Niabebewamor Жыл бұрын
Ila wanaume bana daaaaa😂😂😂😂😂😂😢
@bakaribakari2558
@bakaribakari2558 Жыл бұрын
Uanaanzaje kumjaribu mwanaume hatujaribiwi jamani
@damlabakari6809
@damlabakari6809 Жыл бұрын
😮😮😮😮😮
@alphadreammedia
@alphadreammedia Жыл бұрын
Duuuuu 😅😅😅😅😅
@dianacornely4600
@dianacornely4600 Жыл бұрын
Nipo kwenye bodaboda jmn😅
@mwanah3643
@mwanah3643 Жыл бұрын
Daah😂😂😢
@CheniMahesa
@CheniMahesa 8 ай бұрын
@patricktegea1430
@patricktegea1430 Жыл бұрын
Daaaaaaaaaaah 😂😂😂😂😂😂
@juniorsonofgod5675
@juniorsonofgod5675 Жыл бұрын
Huu ujinga mtupu... Mi nikifanyiwa huu upuuzi na shemeji lazima nimuache demu wangu na huyu shemeji yangu nazinguana nae au namuomba mzigo kweli. Akizingua, wote potelea pote... Huku ni kutupima Akili. Sasa wanategemea nini shem akijileta mwenyewe
@RodneyKyaruzy
@RodneyKyaruzy Жыл бұрын
Bro watakupiga wewe ujue we aya tu
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
Bodaboda kawa Mkombozi ghafla Mamyake
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 Жыл бұрын
🙆‍♂️🙅‍♀️😭
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Жыл бұрын
Nyoooooo
@lovegirls3713
@lovegirls3713 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ Жыл бұрын
Mnatuactia wa23ng3 nyie
@lovegirls3713
@lovegirls3713 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@CutenessSanga-ys7dc
@CutenessSanga-ys7dc 8 ай бұрын
nyieeee
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Bora nikae nisingle tuu
@NicholasMsigwa-zj6gm
@NicholasMsigwa-zj6gm Жыл бұрын
Aisee mwamba kama mamba ila ameniboa kudanganya mama anaumwa sio poa
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Yupo correct mbn ss ulitaka adanganyeje mzee wangu? Yan mm naona Iyo ipo fresh tu mzee wangu😂
@mwagilalolo-ni5in
@mwagilalolo-ni5in Жыл бұрын
Ukwel ni kwamba hii ndiyo asili ya kila mwanaume
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Жыл бұрын
Hapa na mahusiano yanakufa
@ZulfaTuesday-xm9cl
@ZulfaTuesday-xm9cl 6 ай бұрын
Was bodaboda necessary
@tedytitus7205
@tedytitus7205 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😹😹
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mwangiahussein5215
@mwangiahussein5215 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kijinga
@abelmbata37
@abelmbata37 Жыл бұрын
Jamani wanaume hawajaribiwi hivi nyie wanawake hamjui hilo? Mnafanya chalenge mnataka kuachwa mnafikiri ni mwanaume gani atatoka kwenye mtego huo?.
@hedayaabdulah
@hedayaabdulah Жыл бұрын
Duuuh
@gedrickgerazi210
@gedrickgerazi210 Жыл бұрын
Nimecheka sana
@nuruheartaman5925
@nuruheartaman5925 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@EverlyneNachiro
@EverlyneNachiro Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
MWALAFIKI WA GEUKANA
7:09
Mr Uky
Рет қаралды 115 М.
MAPENZI YASABABISHA RAFIKI KWENDA HOTEL 🏨
8:07
Mr Uky
Рет қаралды 39 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
KILICHOTOKEA BAADA YA MREMBO KUKOSA GARI KISA KIREDIO
2:43
Wasafi Media
Рет қаралды 18 М.
Mume avunja kioo cha bajaj fumanizi la mkewe
3:52
Balatozi President
Рет қаралды 16 М.
TAJA JINA LA MPENZI WAKO UPEWE GARI
6:59
Mr Uky
Рет қаралды 36 М.
AIBU! FIRST YEAR AKATALIWA MBELE YA WENZAKE, A NDO NANI???
4:47
SHEMEJI KAJICHANGANYA
9:26
Mr Uky
Рет қаралды 55 М.
NIMEZIDIWA NISAIDIE | AMPIGIA EX WAKE
4:32
KIREDIO
Рет қаралды 30 М.
DADA KUCHITIWA MALA 4
4:51
Mr Uky
Рет қаралды 25 М.
MAPENZI YAKWELI YAPO JAMANI
19:41
Mr Uky
Рет қаралды 153 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН