Mbona ww mtangazaji umejidhihirisha kuwa ni KOLO😂😂😂😂
@jumannemsengi219518 күн бұрын
Kisugu anajua mpira kuliko Ahmed Ally
@AUSIMSOSA18 күн бұрын
Zana hakutokea coastal acha udanganyifu
@jumannemsengi219518 күн бұрын
Mtagazaji mchogo analazimisha taaaluma huyo
@errydeo886518 күн бұрын
Mtangazaji unahoji au anabishana 😂😂😂😂tatizo la kuvamia taaluma kishabiki!?
@Mary-fs4mc18 күн бұрын
😂😂😂 Eti kuvamia taaluma za watu.
@errydeo886518 күн бұрын
@@Mary-fs4mc yeah,huwezi kujua nani anamuhoji mwenzake kama humjui Mchome! Naviambiaga hivi viandishi vya vtv vilivyochipuka ka uyoga bongo,WAIGE KWA JANE yule dada wa Mpenda i think! She is the best interviewer! Ana maswali mazuri( MUHIMU) mtazamaji anayotaka kusikia yakijibiwa na ANAYEHOJIWA! Haiingiliagi anayehojiwa hata kama yeye anajua! Atatumia maneno kama; sijakupata hapo,ebe tuelezee vizuri, sijakuelewa hapo,ana maswali ya kudadisi( OPEN ENDEED AU LEADING QUESTIONS)nk! Hayo maneno yanampa nafasi muhojiwa kutoa mwanga zaidi kwa watazamaji,! Huyu dogo alikua anataka kuonyesha WATAZAMAJI WAKE TUONE ANAJUA! huo sio uandishi! Otherwise,ashike mike ajiulize maswali alafu ajijibu🤣hapo nitamuelewa..na walio wengi wako hivyo! Sawa sawa na hawa so called'wachambuzi' ! Bloody hell wanakera🤣🤣🤣 Utasikia eti "kwa zile za ndani nilizonazo" ( hamjui kiongozi hata mmoja ndani ya klabu, husika ,umezitoa wapi?)🤣🤣kila mtu siku hizi mchambuzi! Jamani kuna pesa kwenye KILIMO NA UFUGAJI ,HUKOMNAUZA SURA TU HAKUNA ELA🤣🤣🤣 Najiedea zangu kubeba maboxi mie🤣🤣love from Cambridge mji wa wasomi UK
@modekaisirili585018 күн бұрын
Mk wewe
@AdnaneisufomomadeMomade18 күн бұрын
Mjomba usivuruge watu. Kwanini usiongelee timu yako. Kwanini simba wewe ni mnafiki mkubwa hachana na timu yetu..msenge weeee bogas
@ramadhanimrungu580618 күн бұрын
Acha matusi kama uwezi kuchangia mada acha
@user-tw3jc4zz3m17 күн бұрын
Utakoma nabado msirete watoto in tha peach haaaaa 😂😂😂