Nimesikiliza hoja za wagombea ccm na chadema kama unaakili utajua hoja zipo chadema ccm mh
@ZaidAKissinzaКүн бұрын
Kwa nini unawahamasisha vijana na wanawake wakakope eti hela zinamwagika kwa nini unawaambia sasa usiwaambie zamani na wewe unasema ulikuwa Mwenyekiti miaka mitano iliyopita?
@AnnaFelix-p1z8 сағат бұрын
Tuka hapo lizee wewe usiwadanganye watu mna walakuta Tena daa kweli wan Ainchi mlisha wafanya kama makilai ya kujengea
@TheodoraAnatoryКүн бұрын
HAWA NDIYO ZIRO BRAIN, OYA inaua watu kwa MIKOPO UMIZA, MLIKUWA WAPI, HAMFAI.
@TheodoraAnatoryКүн бұрын
MATAKA TAKA YALISHAWASHINDA MIJI INANUKA. LEO MNAKUJA NA DANGANYA TOTO.
@AnnaFelix-p1z8 сағат бұрын
Ccm ni kichula kama alivo SEMA Samia wawo tu watowe tu machula hawo
@TheodoraAnatoryКүн бұрын
UHONGO, PESA IKILETWA, MNAUNDA VIKUNDI HEWA, MHAWAACHA WANAWAKE NA VIJANA WAKIENDA OYA HADI WANAUAWA WENGINE WANANG'OLEWA MENO, WAHONGO HAWA MSIWAAAMINI. WALIKUWEPO KIPINDI OYA INAKOPESHA MBONA HAMKUWAPA PESA