Mchungaji Abiudi Misholi akiongelea namna ya kujikinga na Ugonjwa wa Corona

  Рет қаралды 9,205

Mtu ni Afya

Mtu ni Afya

Күн бұрын

Kampeni ya mabadiliko ya tabia kuhusu tahadhari ya ugonjwa wa Homa kali ya mapafu (COVID19) inaendelea sehemu mbalimbali za Tanzania ikiwa ni sehemu ya mkakati maalum wa kufikisha ujumbe kwa watanzania. Huu ni mkakati ulioanzishwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kushirikisha wadau mbalimbali. Kikosi kazi cha WASH kinaongozwa na Ndugu Anyitike Mwakitalima, Mkuu wa Kitengo cha Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Mshehereshaji Mkuu katika kikosi hiki ni Ndugu Mrisho Mpoto, msanii nguli wa nyimbo za mashairi ambaye ni Balozi wa Kampeni ya Nyumba Ni Choo. Pia yupo mwakilishi wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka Kamisheni ya Ushirikishwaji Jamii, Stafu Sajenti Valentino Ngowi.

Пікірлер
Nishike Mkono  -  Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
8:39
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 785 М.
Tuombe Amani - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
8:26
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 133 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Siku Moja - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
7:51
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 284 М.
Rev. Abiudi Misholi
41:20
Rev. Pascal Linus Mjili
Рет қаралды 1,8 М.
Shuka Bwana Shuka - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
6:44
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 247 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 523 М.
Ni Wewe Mungu pekee - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
7:15
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 298 М.
New Song-Pastor Abiud Misholi (Official Music Video).
7:42
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 879 М.
Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida  " Ezra 8 : 21 - 23 ".  Rev. Abiud Misholi
1:19:10
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 11 МЛН