Shekh Salim, Doctor Daawah, The Walking Computer 😊 Mashaallah
@samxx4119 ай бұрын
Sheikh salim huyo jamaa ulimpiga daawa kubwa sana ilimbidi afunge mikono kama anasali...Mungu akupeni uwezo wa kufahamika kwa ndugu zetu ili waokoke na adhabu za Mungu, hiyo ndiyo kazi za mitume
@aishasalim95469 ай бұрын
Masha Allah mungu awape nguvu awape na uvumilivu kupambana na wenye vichwa vigumu
@ahmedadam86799 ай бұрын
MashaAllah sheikh salim
@aburaasmedia36829 ай бұрын
MashaAllah Sheikh Salim
@kingtv6939 ай бұрын
Mashaallah ustadh salim badilisha hyo name peter
@zakiaanwar6779 ай бұрын
MashaAllah Allahu akbar
@hassanmpemba57479 ай бұрын
Masha Allah sheikh salim tunakupata vizuri sana na mafundi sho swadakta kabisa Allah awape umri mrefu ili muwalinganie zaidi
@salimdaawah1239 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@saeedisa97989 ай бұрын
Asanteni sana watu waku linganisha (da'wa).
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu Allah amtagulie Kila jambo nampenda kw ajili ya Allah
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Uyo anauliza kwann Mtume alitumw.kw sababu watu waliabudu sanamu wakamuacha Mungu aliyetuumba.
@mwangimuhammad-sx9hb9 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah..Allah awahifadhi nyote na awalalipe... tafadhali angalieni settings kidogo video ilipoteza clarity in Shaa Allah.
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah shukuran tutaangalia
@suleymanali4319 ай бұрын
Asalam aleykum mashaalah mungu awabariki, mumesahau kuwaabia ya kua thambi kubwa inayo faa kutubiwa ni kumshirikisha mwenyezi mungu hapo mpaka watubu hakuna thambi watavutiwa na dua yao haitafika popote (suratu 13 Ra-ad vers 14 Sala ya haki ni kwake Yeye pekee, na wale wanaomuomba asiyekuwa Yeye hawapati mwitikio. [Wao] ni kama mtu anayenyoosha mikono yake kuelekea maji akitarajia yafike kinywani mwake, lakini hayatamfikia. Na maombi ya makafiri yamepotea tu.
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kweli kabisa
@HisMajesty649 ай бұрын
Assalamu Alaykum sheikh.Allah Barik fiq
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@isahbarasa9 ай бұрын
Asalam aleikum waramtulah wabarakatu ❤️
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@josemu8709 ай бұрын
Direct message
@Noorein-ws8wk9 ай бұрын
الله يحفظكم
@AdamNassor-vt9sg9 ай бұрын
Assalamualaikum hof yangu kwako shekh apo unapo wazungumzia kuhusu sadaka wallah
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@suleymanali4319 ай бұрын
Huyo mjama hamjamuelewa ame changanyikiwa anataka kujua hiyo giza ni nini mungeli mwambia kutolewa kwa giza ni asi muabudu mungu mwingine ila Allah peke yake na muamini mitume yake wote. Yeye anathani bibilia ni kitabu cha mwenyezi mungu anasema amesoma kwa vitabu kuhusu mitume wengine na anajua mtume muhammad swala lahu aleyhii wasalaam hayuko kwa bibilia kwa maana bibilia sio kitabu cha mwenyezi mungu.
@loner_wolf9 ай бұрын
Hicho kichwa kigumu sana hicho cha kuuliza kutumana, nakijua akili haiko sawa anashindwaga kuelewa cjui kusudi mmmmh
@samxx4119 ай бұрын
Kiukweli wakristo wanahitaji kuelimishwa saaaaaaaaaaana tena saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana ila wakubali mafundisho kwanza wasiwe bias
@everlynechepkoech56499 ай бұрын
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu
@salimdaawah1239 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@SalimHumud4 ай бұрын
Wengine vichwa ngumu
@protusmuliro27969 ай бұрын
Huyu sheikh Ali ako na mfano wa swahaba aliye kuwa aliitwa Umar bin khatab yani ako ready kuwapiga makafiri hata ngumu
@Alithoya-qr7di9 ай бұрын
Hataki mchezo 😂
@F.j849 ай бұрын
MashaAllah kweli sheikh Ali ako na harara sana mtu akizungumzia uislam vbaya.. Yani mm pia nachemka hua sina subra
@AlhajiSaidi-uo8zl9 ай бұрын
allhu akibal
@Sal.09 ай бұрын
AllahuAkbar
@abdallasuleiman87859 ай бұрын
Ouma ni time waster tu hana hoja yoyote watu kama hawa haina haja kubembeleza mukishamjibu na hajaridhika wachaneni nae.
@salimdaawah1239 ай бұрын
Inn shaa Allah
@FearlessAfrican7 ай бұрын
Waislamu hawana mambo ya kuhumbili isipokua kujaribu kukosoa biblia na WA kristo. Si muhubili mambo ya hao alah na Mohammad vile wamefanyia dunia Wakiona matendo makuu na mazuri ya hao wawili huenda wakavutiwa.
@salimdaawah1237 ай бұрын
😂🤣🤣😂😂😂utaumwa sana mpaka kieleweke
@FearlessAfrican7 ай бұрын
Mohammad isn't a prophet of the same God of the prophets. Whatever he teaches doesn't agree with the prophets who came before. He only copied names and some stories ( selectively), everything else is different. He claims Bible is changed but doesn't give the original. It's just an attempt to create doubt in the minds of believers in Jesus Christ. Bila kuoshwa kwa damu ya Yesu hakuna binguni. Matendo mazuri pekee hayatoshi pasipo kuoshwa kwa damu ya Yesu.
@salimdaawah1237 ай бұрын
Hahaaaaaaa 😂🤣😂😂 how can he copy story and he didn't go to school Makafiri lazima wapinge haki
@FearlessAfrican7 ай бұрын
@@salimdaawah123 Si yote ni uongi. Si hata kitabu yenu inasema your god is the greatest of all deceivers. Niaambie ni dini Gani saa hii Iko na watu vichakani wamejihami kupigana sababu ya mungu isipokua waislamu. Mbona mungu wenu sio wa amani?
@FearlessAfrican7 ай бұрын
Mtu hajui kusoma na kuandika husaidiwa na wengine. Hio ni rahisi.
@salimdaawah1237 ай бұрын
@@FearlessAfrican si hata bibilia inasema shetani ni mwalimu wa wakristo 1.20 Timothy wa kwanza
@salimdaawah1237 ай бұрын
@@FearlessAfrican wewe utaumwa sana ukweli utatangazwa tu na ukiona wajinga wakilalamika juu ukweli unauma