YESU WA TONGAREN AMKANA YOHANA MBATIZAJI KISHA KUMCHOCHEA BINTI YAKE AKATAE POSA YA RAMADHAN 😄 🤣

  Рет қаралды 31,127

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

‪@StraightPathDawah‬ ni chaguo la wengi tafadhali subscribe kwenye channel yetu.

Пікірлер: 213
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Hapo sawa yaonyesha tukopamoja ramadhan mungu akujalie umri mrefu inshaallah
@JumaJuma-jf6cd
@JumaJuma-jf6cd Жыл бұрын
Allah afanye wepesi katika kazi ya daawa tuko pamoja kutoka Zanzibar
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Shukran jazeelan
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
Kaka yangu from same island
@salmasalim6055
@salmasalim6055 Жыл бұрын
Me too ❤
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Жыл бұрын
@@salmasalim6055 ok
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x Ай бұрын
Ramadhan Masha Allah wewe ni jasiri kweli MUNGU akupe umri mrefu, watu wamepotea
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan nakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤ , Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio ndani yake na uwendelee kuwafundisha wasiojiwa ukweli
@tracymbithez3888
@tracymbithez3888 Жыл бұрын
😂😂😂 huyu bb wa yesu ataki hio story anaona huyo bwanake ataogeza bb😂😂😂😂
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Жыл бұрын
Kenya hata vichaa wanapata wafuasi ndio maana watu wanauliwa, serikali iko wapi jamani.
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
SubhanllAh innallah wainaillah rajoon 😭😭😭 yaan hawa wabishi na waongo kweli yeye Yesu kwahiyo Yesu amesharudi ameoa na ana watoto mafundisho yameshawaingia wanajitoa ufahamu wakikaa peke yao wanasema nikweli mafundisho ya shekh Ramadhan yako sahihi Mwenyeez Mungu awaongezee waione khaki na waifuate
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Mbavu zangu wabishi daaah yaani
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
@@TeamKRX hao wanabisha mbele ya camera lakini wakiwa peke yao wanayasoma maandiko wanayopewa na shekh wetu Ramadhan Mwenyeez Mungu amjaalie mwisho mwema kazi anaifanya na mafundisho yanawaingia ila wanabisha ila mioyoni mwao wanajilaumu na wanajuwa wanakosea eti msikitini ataenda kiroho nimejikuta nacheka kwa sauti yeye ndie Yesu lakini maandiko hadi atafute 🤣🤣🤣
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Ananikeraah hyo baba htr maan anajidai haelew wakt anaelewaa dhahr
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Mwenye Enzi Mungu amhidi yaarab huyu anae jiita yesu, kwa kweli ana wapotosha watu kwa uja hili wake
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Yaan hyu baba anakeraah yaan anapotoshaa watu sijui akil yake inawazaa nn
@rashidbilal1150
@rashidbilal1150 Жыл бұрын
INNAH ILLAH WA INNAH ILLAH RAJIUN ... ALLAH amuoneshe njia aingie katika Dini ya haki Islam... INSHAA ALLAH kwa sababu hajui anachokifanya
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
Shekh Mungu akufanyie wepesi katika kuwalingania ummat Muhammad
@FestoNyagawa
@FestoNyagawa Жыл бұрын
Liongo Sana Hilo li Yesu la tongerani
@azizsaid818
@azizsaid818 Жыл бұрын
Kazi nzr shekh wetu Ramadhan Kuria bin Kaguo nipo Qatar nakufatilia sana na navutiwa kuifanya kaz ya Allah
@Adm9464
@Adm9464 Жыл бұрын
Jesus on the phone. Ajaabu
@buyuni1
@buyuni1 Жыл бұрын
ma shaAllaah, mwenyezi Mungu akuhifadhi
@chidolakhatib7847
@chidolakhatib7847 Жыл бұрын
Subhanna Allah … Ati Anaitwa Nabii 😂😂
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂sheik kuria we umejipanga vixuri mashaa Allah yesu hakutegemea kama ingekuwa namna hii
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Ninachopenda ramadhan anawachukulia kistaarabu sn 😊 kidogo kidogo enshaallah wataelekea
@mulingemunyoki2337
@mulingemunyoki2337 Жыл бұрын
Mwenyzi Mungu awafanyie wepesi katika kazi yenu nzuri ya Daawah,,,,
@Leseelasumayia
@Leseelasumayia Жыл бұрын
Mungu akuongezee akufanyie wepesi kazi yako nzuri mwalimu Ramadan 🤣🤣🤣🤣🤣 Kucheka ni muhimu Plus 1yr shukran kwa elimu
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Mbona ana watoto wengine kawatelekeza muongo tu
@muthoni2102
@muthoni2102 Жыл бұрын
I take this opportunity to thank My God ,Allah (Swt) for leading me to Islam in 2015 when I was desparately trying to find the truth.Though I lost my friends and family.I gained the most peace.Alhamdillah🤲🏾
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Karibu sana katika dini ya haki
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
MashaAllah. May Allahswt remove all obstacles rrom your way, and restore your ties with your family and also friends! Ameeen!
@mariamfouziawairimu7991
@mariamfouziawairimu7991 Жыл бұрын
Masha'Allah! Mwenyezi Mungu akufanyizie wepesi.
@buyuni1
@buyuni1 Жыл бұрын
i am now your brother, in sha Allaah feelfree to reach out!
@abdullahimohamed793
@abdullahimohamed793 Жыл бұрын
Islam,the only true religion
@qharolefrancie587
@qharolefrancie587 Жыл бұрын
Yesu wa tongaren mwenyewe hajulikani 😂😂😂😂
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Haionyeshi
@aishaally6602
@aishaally6602 Жыл бұрын
Yaani ustadh ramadhan unamoyo ALLAH akuzidishie subra mara mm natamani nimpige kofi kwa uongo anao uzungumza eti hajamuona MOHAMAD
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Yaaani anatia hasira mambo yake minywele ile 😏 kila kitu kiroho kiroho
@buyuni1
@buyuni1 Жыл бұрын
Sh. usimpe sana huyu jamaa platform yakueneza kufr zake
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Asaa atabadilika yaarabb
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Usichoke sheikh Rama, haiwezekani iwe rahisi rahisi kumpata, kazi yetu ni kufikisha, kuongoa ni kazi ya Mungu...piga kazi sheikh Allah atakulipa inshallah
@komorasalim-sw6bk
@komorasalim-sw6bk Жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie akupe ziada shekhe wangu
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Hayo maisha ya kiroho wanayojifichia watayakuta baada ya kufa kwao. Allah awaongoze atujaalie nasi waisilamu tufe akiwa ameturidhia
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Jazaakallah khayrii shekh
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Watching this from green and spice island (Zanzibar island)
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Maasha Allah Markaz inandelea vizur.ALLAH awazidishie wote waliotoa.ALLAH akuongoze na mkeo katika kazi ya daawa.Hapo kwenye buibui walihamaki kama wameona maajabu gani.
@dorisdo3418
@dorisdo3418 Жыл бұрын
Ramadhan umeniongezea siku moja
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Umecheka😅
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 Жыл бұрын
Shetani 😊amemdanganya yesu muongo...Atajuta Akifa kwenye hio Njia yashetani
@peterkamau4266
@peterkamau4266 Жыл бұрын
Ramadhan....very brilliant
@mesiabajaka4635
@mesiabajaka4635 Жыл бұрын
MashaAllah,yani kma kuna sku unchekesha ni leo hio fmly yakukubali na uwe serious, maana uyo dada ushamkoroga,nakama ni dhihaka,shauriako 😂😂,maana utaambiwa una majini bure uyo atakuandama minko pembeni naku watch tu na uyo yesu,inshaAllah khr
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Hawajui Mohammad (S,C.W)
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Mashallah shemegi yetu (mke wa sheikh Ramadhan) tunakushukuru kwa kumchallenge fake yesu, sheikh Ramadhan akuwekee mke wako (shemegi yetu) tunamkubali sana mashallah
@hassadube225
@hassadube225 Жыл бұрын
Masha ALLAH sheikh wetu Ramadan
@nomaddamon2197
@nomaddamon2197 Жыл бұрын
Yesu wa tongaren is very smart may Allah guide him
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
But he forgot to wash his face this morning!
@jovialjuma7018
@jovialjuma7018 Жыл бұрын
True huongea truth and he's acomedian Ila kutumia jina la Yesu ndyo haifai
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Sasa huyo yesu alikua hivyo kweli hizo nyele kidevu subhaana Allh 😊
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Halafu haja NAWA USO leo!
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
​@@Sai.Mo69 😂😂😂😂😂😂😂
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
😂😂😂
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 Жыл бұрын
😂😂😂.yesu anatumia simu😅😅. Hii ni bengi kali
@leiladagane
@leiladagane Жыл бұрын
😂
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 Жыл бұрын
@@leiladagane kk
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
M.A ustadh Ramadan May Allah bless and protect you
@achangomaitambae1229
@achangomaitambae1229 Жыл бұрын
mashaAllah kwa dawah sheikh ramadhan Allah awalipe.hawa mafundi wako sawa kabisa si mchezo.
@sksadiki
@sksadiki Жыл бұрын
Yesu wa nchii modja yesu alisema atakuja kama mwizi yesu anaongea luga zote Swahili mutupu 😂😂
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
😂😂😂 kimeumana leo
@maslahNoor
@maslahNoor 8 ай бұрын
Jazaka Allahu kheeer Ramadhan walale❤
@MohamedAhmed-ns5mi
@MohamedAhmed-ns5mi Жыл бұрын
Allah akujazi bro ramadhan
@peterkamau4266
@peterkamau4266 Жыл бұрын
Very interesting
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi kati hii kazi
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Waache kumchokesha dadaetu alaae😂😂😂
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Mke wa Yesu Leo amenuna😅
@zuwwnaramadhan6941
@zuwwnaramadhan6941 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mesiabajaka4635
@mesiabajaka4635 Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabaarakatu,,kwa muonekano wake uyo mzee,nkama kuna kitu kiundani kimemgusa kihusu mafundidho yako,lakini hajui vpi atakubali kiurahisi vile,usichoke ustadh,safari yako nkama imekarbia kufika,kma hata silimu yye,pengine kati ya wafuasi wake,mola akuongoze,tuna hamu sana yakuona umefaulu kwa iyo fmly,inshaAllah mola akupe umri uzidi kufanya kusambaza dini
@ShukuruShabani-l7l
@ShukuruShabani-l7l Жыл бұрын
haaaaa yesu ana sim
@kevinsifunanyongesa3445
@kevinsifunanyongesa3445 Жыл бұрын
هل عيس له جوال
@periskemunto4133
@periskemunto4133 Жыл бұрын
Yesu hakuwa na simu
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 Жыл бұрын
Kemunto Oyo nere yesu toganyete amatuko amange😅😅😅
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Yesu uyu huwa ananipa furaha eti katembea ktk mawingu naona kawa ndege uyu Yesu😅😅😅.
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Yesu ni muislam nyiyi hamjui
@maandaziimakavuu3790
@maandaziimakavuu3790 Жыл бұрын
Angekuwa muislam asingeanzia kanisa sababu dini ya kwanza duniani kuanzishwa katoliki na yesu ndio alimuambia petro atalijenga kanisa hayo ni maandiko sio mimi
@MohammedOmar-wt3vg
@MohammedOmar-wt3vg Жыл бұрын
Yesu wa tongaren na watu wake wanapata wahyi kutoka kwa sheitan. ALLAH awaongoze
@hellen8685
@hellen8685 Жыл бұрын
Malaika benjamin mbeba safina njooni nyote kwenye safina🤣🤣🤣🤣
@zuberimohamed7699
@zuberimohamed7699 Жыл бұрын
Barakah allahu fiik ya sheikh
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Asalam alaikum tulimmiss yesu wa tongaren
@jsam477
@jsam477 Жыл бұрын
Sheikh, well done
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
yani sheikh Ramadan mnatuwacha hoi na vicheko na huyo yesu feki 😂😂
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Subhanallah 😢😢😢 Nimtihn sanaah
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Hapo sasa mkewe kimya kakaaa anasikiliza uongooo mpeleeekeni wagojwa vipofuu live tuone kweli anaponeshaa au uongo ramadhani peelers vipofu kama 100
@mamawatoto9032
@mamawatoto9032 Жыл бұрын
😢😢hao wanampima Mungu ila tu watapata chenye wanataka kudanganta watu kwa njia mbaya .
@carolynnafunawanyonyi8106
@carolynnafunawanyonyi8106 Жыл бұрын
Lkin mbona utanye ulimwengu umetembea hizo inchi zote,na we mwenyewe unajua tongareni pekee
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Asalam alekumu bonakila kitukiro aoge,ekimweli
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 Жыл бұрын
Jazak ALLAH khair😂😂
@husseinwag7820
@husseinwag7820 Жыл бұрын
Huu jamaa wa Tongaren ni mjanja ..Huwa anaongea sana / kuhepa maswali...kama alikuwa parkistan etc muulize capital cities
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Kazi ipo mungu alete wepesi
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Kkkkllll minmbavu jamaninwatu wabishi
@saidmohamud5448
@saidmohamud5448 Жыл бұрын
Subhana-allah
@Fatma-dg9vb
@Fatma-dg9vb Жыл бұрын
Masha Allah
@intel4083
@intel4083 Жыл бұрын
Nisilimishiye huyo ustadh
@rabiba
@rabiba Жыл бұрын
RAMADHAAAAN...achana na maneno ya kuowa mzaha mzaha hutumbuka usaha wako wengi walighafilika kwa sababu ya wasichana...endelea na da'awa achana na hio maneno mwanangu ramadhani
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
😂 Ni mafundisho tu sikumaanisha
@siwajibufarida7288
@siwajibufarida7288 Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
KAZI nziri wanawake utaongezewa huko peponi kwa muhamadi😂😂
@saidmohamud5448
@saidmohamud5448 Жыл бұрын
Kwendaaa
@saidmohamud5448
@saidmohamud5448 Жыл бұрын
Jizii huyo
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Weaver birds 😂
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Bangi ni kitu kibaya!
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Waisilamu mko sawa na uyo Yesu wa Tonga sababu yeye na Muhammad ni manabii wa uongo
@ericomondi8830
@ericomondi8830 Жыл бұрын
huwezi jua unacho kisema juu we kafiri
@simonbidio1259
@simonbidio1259 Жыл бұрын
Ramadan ukona kazi gumu but ni funny 😂
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Sio vizuri kununa😊
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah 🥰
@ggv866
@ggv866 Жыл бұрын
Yesu wa tongareni wacha kundanganya watu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Tunacheka 2 ila huu ni mtihani mkubwa sana jamani.😟
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
sheikh chuga usifanywe malaika.hehe
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Anataka kunifanya NABII Ido
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 Жыл бұрын
Huyu ndio yesu😊😊😊
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Жыл бұрын
Mungu wenyewe ndio huyo anowasiliana nae kwa cim.ujinga mbaya banana.
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 Жыл бұрын
SubhanAllah, Yesu mwenyewe alifukuza bibi wa kwanza ,wanafanya kazi kwa mochari Nairobi,,, mbona hakuishi na Yule?
@salimbaasba6159
@salimbaasba6159 Жыл бұрын
Ilikuwa desturi ya Yesu kuingia msikitini, mbona yesu huyu hajapita msikitini?
@adimudachi7984
@adimudachi7984 Жыл бұрын
Hawa. Wanaojiitaaabii wegi huotandoto zakunnde. Nabaazi uogo wao upo. Kweyeneo litummikaro kiloho aponndipohutapoona uongowao wazwazi
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Huyu yesu ni waina gani yesu tunaemjua ako na nyele singa na ndevu huyu zake ni koto naona ni wabandia huyu wa tongareni anapotezea watu mungu amuongoze asilimu kabla hajakufa
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Yohana awe mbali na yesu wawe pamoja yagob nae mkiristo duh ibrahim alikua na wake 3 na suleiman ndio wengii ayob always na wake 3pia
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Жыл бұрын
bona mama amekasirika awachekupotoshawatu
@FestoNyagawa
@FestoNyagawa Жыл бұрын
Be uyo Yesu wa tongerani mbona ana make pembeni
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Kwa nini ulikimbilia police ?
@FestoNyagawa
@FestoNyagawa Жыл бұрын
Ni makristo wa uongo tu hao maandiko yako wazi Sana
@salmashaban521
@salmashaban521 Жыл бұрын
Yesu ameambia nabii mke ni necklaces 😂😂😂😂
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhani Ungewapeleka kimandiko Uyo Mzee m Janja sasa
@rahabnambuyeluvisia2093
@rahabnambuyeluvisia2093 Жыл бұрын
Sasa akikaa tu kwa mboma yake atakomboa aje kanisa
WAKAZI WA KATITO WAULIZA MASWALI KWENYE DAWAH MITAANI
53:00
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,1 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 3,3 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
"KWANINI YESU ALIITWA MWANA WA ADAM?". NIKATIKA MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA HURUMA PART 2
45:15
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 8 М.
YESU MRASTA AJITOKEZA KENDU BAY
1:02:14
Straight Path Dawah
Рет қаралды 3,1 М.
JE YESU WA TONGARENI NDIYE YULE WA BIBILIA?
57:28
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4,1 М.
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 1 М.
KUTANA NA "YOHANA MBATIZAJI" SASA BAADA YA YESU WA TONGAREN! 😂😂😂
1:18:10
Mama anayedai ametumwa na Yesu apambana na sheikh Hassan kariuki
39:12
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 681 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20