Kuzini Na Wanawake Hawa Ni Bora Zaidi Kuliko Kuzini Na Mwanamke Huyu // Sheikh Nurdeen Kishki

  Рет қаралды 9,678

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZbin @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...

Пікірлер: 46
@FadhilaKabelwa
@FadhilaKabelwa 7 сағат бұрын
Kabisaaa kichwa cha Habari hakipo sawa shekh
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi Күн бұрын
Mungu atusitiri zinaa inahalalishwa innahlilahi wainnah ilaihi rajiun sheikh kishki hapa kateleza ama vipi hebu nifahamishwe
@MissZayya
@MissZayya Күн бұрын
Kichwa cha habari ndo hakijakaa sawa ila ukisikiliza maelezo yanayotolewa utaelewa. Allahu aghlam
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr Күн бұрын
Amin
@FadhilaKabelwa
@FadhilaKabelwa 7 сағат бұрын
Hapo kateleza hamna ubora wwte kweny zinaa, kwa kichwa cha habari hiko wakiona wazinifu watafurahi saan
@MohamefMullah
@MohamefMullah 12 сағат бұрын
Sheikh kishki yuko sahihi, wala hajahalalisha zina watu hawana ufahamu, na ukiwa huna ufahamu ni shida kila jambo utapiga kelele na hata ukieleweshwa hutofahamu, kila kitu kina ubaya na ubaya zaid na kila kizuri kiko kizur zaid, na mfano huu kauanza mwenyewe Allah subhannahu wataallah, Kwa wenye akili ni wepes kuelewa, Pepo ziko nyingi sana lakini kila pepo ina ukubwa wake neema zake raha zake inapishana na mwenzake kwa darjah, na moto ni hivyo hivyo uko mkali na mkali zaid na ya ukali na hata thawabu zina darja kwa tendo hilo hilo moja, na makosa nayo yana darjah katika kulipwa hata kosa ikiwa ni la aina moja kwa wafanyaji, lakini ikiwa kichwa ni kibovu huwezi kujua, hata katika kutoa mfano sadaqa munaweza kutoa shilingi alfu moja moja watu 10 lakini malipo mbele ya Allah yakawa tafaut, kosa moja linaweza kuwa na hukmu mbili mpaka 3 tafauti kwa watendaje, kama kichwa ni kibovu utasema kosa ni kosa tu dhambi ni dhambi tu, darsa darsa ni muhimu sio kupayuka, kila jambo lina uzito wake na malipo yake hata kama yanafanana
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 3 сағат бұрын
Hakuna ijtihadi ktk uzinifuu huwezi ukasema Bora uzini na wanawake 10 kuliko kuzini na mwanamke wa aina flani je hiloo neno boraa umelitoleaa wapii ??? Uzinifu ni uzinifu tu hakuna Cha Bora Wala uwafadhali maana ni kuvunjaa amri ya mwenyezimungu tu 😢
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 3 сағат бұрын
Na ndio maana tunasisitizwa zana tujiepushe na riwayaa ambazo zinaenda kinyume na qur Ani matatizo yake ndio hayaaa unajikuta unafadhilisha uzinifu wa wanawake 10 Kwa mwanamke mmoja😂 kama si upungufu wa elimu kitu gani hapoo ?
@halimaa9367
@halimaa9367 Күн бұрын
SubhanaALHA 😢 Pana nipa kelema Sinto faham Jeni hapo
@ShafiiKauli-xk2hy
@ShafiiKauli-xk2hy Күн бұрын
Innalilah wainnailahi rajiun rekebisha hiyo kauli hueleweki
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 3 сағат бұрын
Ewee Allah tueushe na itiqadi za kiwahabi 😢
@bakarimakomola
@bakarimakomola Күн бұрын
Kichwa cha habari hakiko sawa, kuzini ni haramu tu pamoja uzito unatofautiana wa iyo dhambi Nashauri uondoe iyo ni bora zaidi/kwa maana hakuna ubora wowote kwenye zinaa
@maulideabdala3832
@maulideabdala3832 Күн бұрын
Kabisa Ata mimi niisangaa, hii bora
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Күн бұрын
Fikiria ufafanuzi wake Zaidi utaelewa makusidio. Madhambi yanazidiana!
@HamisMagambo-gw6ti
@HamisMagambo-gw6ti Күн бұрын
Shekh bakari mfano wa hapo ni kumkuta mtu anazini na mkeo kuliko kumkuta anazini na dada yako hapo utakuwa mkali upande gani
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 Күн бұрын
Hajasema ni harali bali analinganisha uzito wa zinaa kwa aina za zinaa
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 Күн бұрын
Ukali wako wewe ,sio unao ongelewa hapo mungu haangalii Ukali wako, mungu ana ana angalia kosa lenyewe
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Күн бұрын
UPOONA MAKOSA KWA NDUGU YAKO KTK IMANI,..MPE UDHURU KISHA TAFUTA NAMNA BORA YA KUREKEBISHA
@maulideabdala3832
@maulideabdala3832 Күн бұрын
Ata kiski alipo anzia amezunguza kama ilivyo andikwa kwenye kicwa cha habari 🇲🇿.
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 4 сағат бұрын
😂😂😂😂. Yaani hawa masalfi mambo yao y viojaa vitupuu wallahi
@Imrani-g9o
@Imrani-g9o Күн бұрын
Tupe hotuba za kupandisha imani shekh kichwa cha habari ni madhambi tu
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Күн бұрын
Anasema Kwel Watu wana zini sna Kwel acha wakatazwee
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc 3 сағат бұрын
Zinaa itabaki tu kuwa zinaaa wala hakuna ijtihdi ktka jambo la zinaa maana andiko la wazii lipoo ndani ya qur ani lenye kuonesha uzinifu ni haramu kwahiyoo unapotwambia kunauwafadhali kwenye uzinifu utakuwaa unaanza kuchanganyikiwaa 😢
@SelemaniSelemani-bw4ps
@SelemaniSelemani-bw4ps Күн бұрын
Mwandishi badilisha hiyo kichwa cha habari, hakuna zinaa bora kuliko nyingine
@HamisMagambo-gw6ti
@HamisMagambo-gw6ti Күн бұрын
Muandishi yuko sahihi ila wewe ndio hujaelewa
@FishSoaf
@FishSoaf 11 сағат бұрын
Zinaa haina ubora iwe unazini na mwanamke au mwanaume gani zinaa ni zinaa! sijasikiliza hii clip lakini title ya hii video inatia kichefuchefu kusoma tu ina maana mmeshindwa kuweka title mzuri ya hii video! kwa wakati tulionao kwa title hii mnautia udoo uislamu.
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Күн бұрын
Dah! Ni mambo yanayoharibu nidhamu na ustaarabu wa Uislamu - kueka Picha za wanawake mbele ya sheikh anayelingania ,hivyo si uache picha ya sheikh yenye adabu zake ,watu hawa hawana chembe ya dini nao wapaswa kulinganiwa ni aibu
@firo0ozdawah378
@firo0ozdawah378 Күн бұрын
SOMENII NA KUWENI ELIMU MUNAOSIMAMIA KAZI YA USILAMU KWASABABU MUNAPOTOSHA JAMII NA AKILI ZA WATU WENYE UPEO MDOGO ... SAHIHISHA MAELEZO YAKO HAYAKO SAWA KABISA KUZINI NI MIONGONI MWA MADHAMBI MAKUBWA KWAIYO HAKUNA UNAFUU WOWOTE
@Yayouselim
@Yayouselim Күн бұрын
kwa sababu mumeharamisha ndoa ya mutaa , ambayo maswahaba watukufu waliifanya , kwahio hamna namna hapo
@AbbasiShabani-n9l
@AbbasiShabani-n9l Күн бұрын
Ukiruhusu kusogelea mwanamke hata kwenda kusali misikitini tunaweka mashindano ya wanawake ya qur ani sauti mashule yakuchanganya boys nawanawake waislamu hatuna dalili tutengeneze imani za watu hijabu itasomeshwa yote tunaipita juu
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Күн бұрын
Ata Kuna hadithi mtume anasema kuzini na wanawake kumi wambali nibora kuliko kuzini na mwanamke mmojatu wajirani yako
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Күн бұрын
Uislamu na kuzini mmehalalishiwa kwa kuwa na wake wengi!! Sasa mnalalamikia nini kwa kichwa cha habari? 😅
@ZuberiSaid-m6v
@ZuberiSaid-m6v Күн бұрын
Wewe Una unachokitafuta,, "ushasema kuwa na wake wengi" kwa maana ni wake wa ndoa sasa unafananishaje na zinaa? Achana na yasokuhusu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Күн бұрын
​@@ZuberiSaid-m6v Kelele ya nini Sheikh kesha kupa ruhusa ya kuzini na baadhi ya wanawake shida nini?😅
@MaryamAhmed-qt5ey
@MaryamAhmed-qt5ey Күн бұрын
Weweee c ndio mnafanya bila ya aibu Sas anakuomnyeni kwa kukwambieni Bila hivyo vyooote hivyoooo ni zambiiii ni kama darja za pepo😊
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 9 сағат бұрын
@@paulmushi2428 Tofautisha ndoa harali na ndoa haramu,ukisikia Waislamu tumeruhusiwa kuoa wake wengi husidhani kwamba tunachukua vimada tu au mademu kama kawaida yenu nyie, sio hivyo na kama kuna Waislamu wanajichukulia tu mademu na kukaa nao bila ndoa huo ni utaratibu wao sio utaratibu wa dini,Husiwe na ushabiki wa kijinga soma Quran kuhusu ndoa zetu na uwezi ukawa umeoa mke wako hata wewe Mkristo ulieoa mke wako kwa taratibu za kanisa lako,umelipa mahari yake kila kitu kimeenda kwa mingi ya Ukristo alafu aje Muislamu aseme unadhini atakuwa amekukosea adabu pakubwa sana ndiyo maana Mkristo akiwa kafunga ndoa katika dini yake kwa utaratibu wa Bibilia akisilimu na familia yake ndoa harudiwi kufungwa upya katika Uislamu hapo ndipo uelewe kuwa dini yetu inaheshimu sana ndoa za wasiokuwa Waislamu,pia mbona wanaodhini bila ndoa kwenu ni wengi sana katika mataifa mengi ya dini yenu wanazalishwa tu mabinti bila ndoa unakuta mwanaume wa Ktisto anao watoto 10 kila mtoto ana mama yake?Kama unabishi fanya tafiti,Sisi Waislamu tunaogopa kuzaa watoto bila ndoa kwa sababu hao watoto wanakuwa sio wako bali ni watoto wa mwanamke na upande wa mke ndiyo kwao na ndugu wa mama yake ndiyo ndugu zake na baba yake anaweza kumuoa binti yake wa nje ya ndo kwa sababu sio binti yake huyo!Shida una rohoo mbaya na Uislamu utaki kusoma nakuelewa !
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Күн бұрын
The miss understood religion siwafundishaji wala wasimamizi wa kazi ya dawa
@allywaziry6419
@allywaziry6419 Күн бұрын
Umeongea hovyo, kwann umeidondosha dini yako hivyo? Miss understanding religioun Ndio kitu gani
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Күн бұрын
u Sound like ur Faith is gone Already,..
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Күн бұрын
@@allywaziry6419 anaweza kuwa muongeaji yuko sahihi lakini ufikishaji ukawa si mzuri kiasi cha kumfanya muovu kuona wepesi wa maovu yake haya hebu angalia kichwa cha mada kilivyoandikwa ni sawa au mradi wapate viewers? Alafu wengine sio kila tunaposoma dini tuwe madai hapana lengo kusoma dini ni ujue kutekeleza ibada zako na matokeo ndio haya
MASHEIKH WAVURUGANA KWENYE MSIBA WA DIDA
42:49
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 228
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,9 МЛН