NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA

  Рет қаралды 8,387

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. ‪@StraightPathDawah‬ ni dawah popote wakati wowote.

Пікірлер: 242
@noella128
@noella128 23 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu amujalie akufe akiwa mwisilamu
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 18 сағат бұрын
Wataka awe kafiri ama
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 16 сағат бұрын
Wewe nikafiri usikufe kama bado uko kafiri chukua hatua😊
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 15 сағат бұрын
@@noella128 kujisifu uongo uchawi,ndio dini ya uislam hakuna utapata ukienda peponi ni katikati ya miguu ya mwanamke
@JoyMoraa
@JoyMoraa 15 сағат бұрын
😂😂😂 Yesu hawezi kubali mtoto wake aingie kwa dini ya Diddy 1😂.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 11 сағат бұрын
​@@JoyMoraadini ya p diddy marekani na israel.
@adenmohamed1935
@adenmohamed1935 20 сағат бұрын
I hv hope on mr Ndacha in near future u will be come a Muslim insha Allah.
@SophiaMbogo-in7yt
@SophiaMbogo-in7yt 19 сағат бұрын
Shukuran jazaka Allah khairan Allah Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera wallahi kama uyu amefikia hapa si kazi rahisi Allah amuongoze
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 23 сағат бұрын
Allaah Atamuongowaa dacha na Atawaiingizaa wengi kwenye dini ya kiislaamuh Atakapoo silimuh hodari kwa kuzungumzaa MashaAllaah
@Mtumisi
@Mtumisi 10 сағат бұрын
@@faridahalwaily85 ndacha hawezi silimu atabaki kuwa kiboko chenu
@hassanwario-w7n
@hassanwario-w7n 21 сағат бұрын
Ndacha siku moja atakuwa muislamu na atakuwa anautetea dini ya uislamu Kwa sababu anajua haki kwa sasa.....yote yawezekana na mwenyezi mungu na tunaomba Allah aweze kuongoza huyu Ndacha akuwe muislamu in Shaa Allah
@mobutu3884
@mobutu3884 20 сағат бұрын
Nini maana ya haki?
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 20 сағат бұрын
Ukweli ​@@mobutu3884
@MosesMwiti-q2r
@MosesMwiti-q2r 20 сағат бұрын
Akiingia uislamu atakuwa jikafiri kama wewe lakini kwa sasa ni mtumishi wa Mungy
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 19 сағат бұрын
​@@MosesMwiti-q2runajua maana ya kafiri? Kuna waislam, na wale wengine nimakafiri ,sasa muislam sio kafiri ila jitanfaze wewe mwenye chuki kwa ukafiri wako
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 19 сағат бұрын
​@@mobutu3884haki ndio huo uislam,
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m 21 сағат бұрын
Ndacha acha ushabiki badilika Yaonyesha unadalili ya kumfuata (Allah Karim)
@dengepandu9734
@dengepandu9734 12 сағат бұрын
Mwenyez muungu amjalie ndacha asife ila afe akiwa muislam amin
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 11 сағат бұрын
😂😂
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 сағат бұрын
I dnt think bcz he is the man of the holy spirit...!!! Never can he make company with @Jinns/@Demons /@Devil abadan he is fir Christ Jesus forever and ever and we are behind him in prayer
@ashrafhakim6499
@ashrafhakim6499 19 сағат бұрын
May Allah guide him to the right path. Ndacha mtu mzuri Sana
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 19 сағат бұрын
SHEKH RAMADHAN NDUGU YETU TUSAIDIE NA SISI WATANZANIA NDUGU ZAKO ILI NA SISI TUPATE HIVYO VITABU LIFANYIE MPANGO HILO ALLAH AKUFANYIE WEPESI INSHAAALLAH 🤲
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 19 сағат бұрын
Amin
@MariamKisuguru
@MariamKisuguru 19 сағат бұрын
Najisikia furaha sana wallah naapa jamani sijasikia bado mjadala ila introduction tu imenipa raha😊
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 14 сағат бұрын
Sheikh Ramadhan, Allah akuzidishie elimu, hekma, busara na kipaji katika kazi hiyo ya daawa. Elimu unayowafikishia watu hasa wasio waislamu kuhusu dini ya uislamu wanaifanyia kazi na ukweli wanauona Alhamdulillah.
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 12 сағат бұрын
MashaAllah Ndacha akiwa na Ramadhani anakuwa mtulivu sana
@saidramadhan4516
@saidramadhan4516 23 сағат бұрын
Huyo Ndacha kesha elekea kibla mtoleshe shahada tuuu mbona ameshaukubali uislaam huyo
@Rahmaismail-y9u
@Rahmaismail-y9u 15 сағат бұрын
MashaAllah uso wandacha wa upole leo nidalili tosha yakua Allah yuko karibu kumuonyesha ukweli namuomba mungu amuongoze aionehaki inshallah mana yuko nania yakujua kweli uko wapi❤
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 21 сағат бұрын
Ndacha karibu kwenye Uislam
@noella128
@noella128 23 сағат бұрын
Uyu ndacha shida yake nikukosa kukubali ukweli but nimtu mzuri.kusilimu to
@JoyMoraa
@JoyMoraa 14 сағат бұрын
😂😂😂 nyinyi hamtaki kuambiwa ukweli Ndancha ni mtoto wa Yesu na hapendi uongo. Nyinyi mwadanganya sana 😂
@NaimaAbdi-f6p
@NaimaAbdi-f6p 18 сағат бұрын
Yaraab tunakuomba umjaalie Ndacha aipate neema ya Uislamu ❤❤mungu akuongoze InshaAllah
@omarratibu9709
@omarratibu9709 16 сағат бұрын
Amin ya Rabbil Alamin 🤲
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 10 сағат бұрын
Ndoto kwenu
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 12 сағат бұрын
Huyo ndacha bado mwenyezi mungu hajamfungulia kifua chake ni huruma kwakweli Allah ndie mjuzi amfanyie hidaya
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m 21 сағат бұрын
Ndacha baada yakupinga utatu Basi jua fika ana anza kushituka napia atasilimu
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 сағат бұрын
INSHA ALLAH
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 54 минут бұрын
InshaAllah
@hassanmwangi6509
@hassanmwangi6509 19 сағат бұрын
Ndacha anaujua ukweli, ni kitu tu kidogo anahitaji...Inshaa Allah ataujua ukweli
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 13 сағат бұрын
Masiliha na tumbo nikitu ingine kibaya
@mryarrowkenya5556
@mryarrowkenya5556 23 сағат бұрын
Mungu Ni moja
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 15 сағат бұрын
mungu ni mmoja yupo katika biblia...na ni wa kweli YHWH...
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 21 сағат бұрын
Allah amuongoze inshallah katika dini ya haki
@jumakubili1512
@jumakubili1512 16 сағат бұрын
Shekh ramadhani Mungu akubaliki sana, ila Amini kuwa watu wabishi ndio wepesi kuamini
@sallysally6622
@sallysally6622 22 сағат бұрын
Ndacha anajua ukweli sana Ila pesa ndio shida analipwa kuukashifu uislam Ila tunamuombea aongoke na awafundishe wale alıo poteza wajuwe haki
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 21 сағат бұрын
Uongo ndacha anauchambua uislam we baki na ujinga wako na mtume alie banwa na kiumbe cha ajabu mapangoni
@sallysally6622
@sallysally6622 21 сағат бұрын
@@charlesmakuri792 Wewe kasime maandiko mwenyewe acha kudanganywa Tafuta ukweli mwenyewe achana na ndacha huyo ata slim ww ubaki unaliya
@MosesMwiti-q2r
@MosesMwiti-q2r 20 сағат бұрын
​@@charlesmakuri792Analipwa na mamako au rafiki yako ...tunajua uislamu umejengwa juu ya uongo
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 19 сағат бұрын
​@@charlesmakuri792,ukiacha hasira na ushabiki ukiondoa na kuropoka utaelewa,ndacha yuko kwenye biashara na anajua kua amepotea, lakini ikiwa unadhani kilikua kiumbe cha ajabu basi huo ndio utume wenyewe, maana hata yesu katokewa na shetani tena kabebwa kabisa, mungu wako Paulo alichomwa mwiba na shetani, acha kubanwa ,Paulo yeye kadungwa mwiba aswa, bado unashabikia au unajifunza?
@Fumokale
@Fumokale 19 сағат бұрын
Kazi yenu mukiona mumebanwa nyie ni matusi tu ​@@MosesMwiti-q2r
@MusinHamad
@MusinHamad 22 сағат бұрын
Hata akitumwa jibrili huto silimu mpaka ujibiwe hoja zako kwaiyo hata jibrill hawezi kukuongoza izo hoja zako huoni kuwa zina mashaka kwa sababu jibrill ndie anaeleta ufunuo kwa idhin ya mola wake sasa ww izo hoja zako zina toka wapi ambazo ata jibrill. Hana nafasi mpaka zijibiwe ddah! Yaani mtu akisha jizonga mwenyewe nivigumu sna. Haya tuendelee
@hassanrangambo8007
@hassanrangambo8007 16 сағат бұрын
Mahaalla sheikh , ndacha kwa alipo fika anateseka na fasiri ya quran sana kwasababu anategemea fasir ya awali asome nahw swarf balagha atakua mzuri sana na hamalizi kabla ya shahada
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 8 сағат бұрын
It's about time Ndacha learned more about Islam and stopped reading the Quran halfway to suit his agenda during debates. And Allah swt knows best .
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 21 сағат бұрын
Walaykum msalaam warahmatullah wabarakat
@FadhiliMakasi-g5m
@FadhiliMakasi-g5m 21 сағат бұрын
Leo kaja naupole yaonyesha atabadilika Inshallah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 55 минут бұрын
InnshaAllah
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 23 сағат бұрын
❤Aielewaaaa sanaa dinii elaa ni mtihaaaniii
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 22 сағат бұрын
Ndacha Allah akuongoze innsha'allah 🙏🤲🤝
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 18 сағат бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 21 сағат бұрын
Asalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuhu. Sheikh Ramadan. Nipataje hiki kitabu. Thank you
@Sandra39823
@Sandra39823 4 сағат бұрын
Inshallah Mwenyezi Mungu amjalie Ndacha awe muislamu, sasa nyinyi haters wenye mnajificha kwa replies, Ndacha anaendelea kuiyona haki na yote kutokutetea utatu ni kwaajili ya kufundishwa na waislamu ndio wamemtoa kwa utatu na ametii,
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 23 сағат бұрын
MASHALLAH
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 21 сағат бұрын
Amina yaarby ❤❤
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 19 сағат бұрын
😂😂😂😂 Ndacha akikaa na Sheikh Ramadhani katika Mazungumzo nafurahi sana.. NDACHA Allah amuongoze katika Uislamu.. (Aamiyn)
@mohammededy7086
@mohammededy7086 23 сағат бұрын
ALLAH amuongoze ndacha
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 14 сағат бұрын
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 23 сағат бұрын
Assalam alaykum, atleast niwe wa kwanza kacomment leo niwakilishe watanzania
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 23 сағат бұрын
Shukran sana, Allah akubariki
@SadricAjjam
@SadricAjjam 23 сағат бұрын
​Sheikh Ramadhan njooni Tanzania dawaa mitaani hapa kariakoo
@jumakubili1512
@jumakubili1512 16 сағат бұрын
Sisi waislam tunampenda sana ndacha Mungu amuongoe
@abdirizackabdi1274
@abdirizackabdi1274 22 сағат бұрын
Allah amuongoze Insha Allah
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 21 сағат бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@seydouside4081
@seydouside4081 5 минут бұрын
Much. Ndacha..assallam allaykum..hiyo ndio elimu..ya dini.nikusoma..na kulinganisha hili na lile..upate ukweli..inshaallah Allah atakupa kilichobora katika uislam
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x 10 сағат бұрын
Masha Allah MUNGU amuongoze ndugu ndacha aione haki na kuifuata
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 21 сағат бұрын
Quran 85:21-22 But this is an honoured Qur'an. [Inscribed] in a Preserved Slate (Al -Lauh Al-Mahfouz)
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 14 сағат бұрын
Mashaallah Allha
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 13 сағат бұрын
Ndacha ni mualim wa kweli ❤❤
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 сағат бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@salisali3738
@salisali3738 22 сағат бұрын
Ndacha amesha fahamu Islamu ndio dini ya kweli ila ana uzito kidogo au ana ona haya na hasa mdahalo alo ufanya mara ya mwisho umemuingia vizuri na ame jua ipi dini ya haki
@suuahmed71
@suuahmed71 13 сағат бұрын
Mimi pia nina Imani Ndacha atakubali Uislamu. MUNGU ampe hidaya
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 17 сағат бұрын
Nataka kumtanabaisha ndacha kuhus dhalika na haadhaa zinatumika kote kuwili kuna wakati hadhaa inakuwa ile na kuna wakati dhaalika ina kuwa hii kitu cha karibu
@salimabubakar3874
@salimabubakar3874 23 сағат бұрын
Asalam alykum ostath nawezaje kukipata kitabu hicho niko kitale plz
@linkenkenya9174
@linkenkenya9174 11 сағат бұрын
Yeshua hamashiah is the only way truth way & life
@MadiinaMbabazi-j6l
@MadiinaMbabazi-j6l 10 минут бұрын
Mungu akulipe mema shehk
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 16 сағат бұрын
Shekhe ramadhan usimshikilie ndacha kusilimu muwachie huru mpaka ajirishe mwenyewe n tufiki y Allah
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 23 сағат бұрын
❤❤❤❤
@abdullahimohammedabdi3823
@abdullahimohammedabdi3823 13 сағат бұрын
Sheikh RAMADHANI NAOBA NAONA AKO SERIOUS LAKIN ANAHOFU WATU WAKE WATAMCHUKULIAJE KWAHIYO TUNAOMBA UMCHUKULIE SERIOUS USIMCHEKE WALA KUMDHIHAKI...NAONA AMEKARIBIA ALLAH AMUONGOZE INSHA ALLAH
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 @Ndacha ni moto moto Kwa Waislamu na Nabi Muhammed. We ars Christians we are hot in debate
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 15 сағат бұрын
Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu ndugu..Dhambi zenu mnazipeleka wapi...
@SalehM200
@SalehM200 20 сағат бұрын
Assalam Aleikum Sheikh wetu Ramadhan, sauti kidogo NOT clear needs little system adjust Please.
@fatimahussen3234
@fatimahussen3234 8 сағат бұрын
Imekaribia kidogo tu ,,,inshaallah atakubali uislamu
@254trends
@254trends 13 сағат бұрын
Allah's Words Word 'Dhalika' (means 'That' compare to its opposite 'This' ) pronounced nearly as "Dhalika" used in Chapter Baqarah (The Cow) in Quran.
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 12 сағат бұрын
ذَٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًى لِلْمُتَّقِينَ This is the Book about which there is no doubt, a guidance for those conscious of Allāh -
@MohaMwaiwa
@MohaMwaiwa 13 сағат бұрын
WE had a debate many years back. he's very argumentative..lacks knowledge in Islam..his logic is a bit impaired....i come to realise he's on payroll to criticise Islam in all means necessary..I'm sure insha'Allah one day he'll embrace Islam.
@mohamedbaridhwan3017
@mohamedbaridhwan3017 14 сағат бұрын
Assalamualeikum. Naomba kama ungetengeneza kitabu hicho kwa pdf ikiwezekana
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 12 сағат бұрын
Ndacha anajuwa Sana kama Dini yaki islamu Ndio Dini ya kweli
@SaidIsmail-f1j
@SaidIsmail-f1j 11 сағат бұрын
Allah mzidishe kheri ndacha na umtie nguvu aje kwako Allah akbar
@mutomubaya
@mutomubaya 18 сағат бұрын
Pongezi kwa Ndacha kwa kuwa yuko tayari kwa majadiliano bila kutukanana wala kejeli nk.
@254trends
@254trends 13 сағат бұрын
Zalik can be used as “This” ,”That”, “That one”
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 10 сағат бұрын
Ndacha mnatafautiana katika lugha hebu chukua hiyo qur'an halafu mpe Ramadhan wewe ni lazima useme hicho na Ramadhani uliempa atasema hichi kwakua msemaji katika Qur'an ni Mwenyezi mungu na aliyepewa kitabu kapewa Muhamad s,w,a ni lazima Mwenyezi Mungu aseme hicho, kwasababu ameshampa yeye neno atakalolitumia ni hicho ni kitabu na hawezi kusema hiki kwavile ameshakupa.
@MohamudAbdi-u7j
@MohamudAbdi-u7j 22 сағат бұрын
Ndacha shida yake ni tumbo.. Muambiye Siku moja uta Acha hiyo mali yote... Sasa anasema hakubali mane no ya utatu... Anaongoja nini... Na ame jua bibilia hiko Na mane no siyo yakweli
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 8 сағат бұрын
Wewe Yani nishida kusema ukweli ???. Ndacha asemacho niukweli he has no relationship with Jinns and Trinity nifundisho la uongo it was created by Roman Catholic church to mislead gifs children.Uislamu si Dini ya haki...!!!
@jumaguyo9068
@jumaguyo9068 14 сағат бұрын
Naomba Allah ampe ndacha hidaya
@254trends
@254trends 13 сағат бұрын
The translation would literally be “That Book”. The reason Allah has used “That” instead of “This” is to imply its high and exalted stature, and also to imply that it has been sent down from the heavens, and is the speech of Allah, and not created, and not from this world.
@akbarmpemba6990
@akbarmpemba6990 17 сағат бұрын
Ndacha Kila sememu nikimsikia.anapenda kutoa hii ya waraka .ebu kuelemezeni Nini kusimama kwa wahai.ajajua huyo maana ya kusimama.yaani kama vipe tulivyo ambiwa tusimamishe swala.yeye anajua kusimama ni kustop.sio hivyo waraka alivyo kuwa kile alicho kiona ndio ninadhihiri.yaami kikaonekana yaani nimetenga maaa.kimesimama kama mtoto anapoinuka na kusimama ktk ukuaji muelekezeni kiswahili huyo.
@salhkasmm558
@salhkasmm558 17 сағат бұрын
Huwezi kuwa muislam bila kujua udhaifu wa ukristo waslam wote wanajua chimbuko la ukafiri maana qurani imekamilika mafunzo yote yalopita ukiusoma kikamilifu huwezi kutoka.
@EzraStephano-lp6qr
@EzraStephano-lp6qr 18 сағат бұрын
Ramadan na wewe Mungu akuongoze uwe mkristo
@saumbliz8983
@saumbliz8983 17 сағат бұрын
Subutu
@suuahmed71
@suuahmed71 13 сағат бұрын
Audhu billah min dhaalik
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 21 сағат бұрын
Kaka ndacha ana nuru ya uislam kwa mbaaali kama imejificha hivi lkn tunamuomba Allah amuoneshe ukweli na aifuate asifanye kiburi kwani kiburi hakisaidii kitu,Kaka Ndacha njoo kwenye uislam ndio dini yako ya haki pls pls plssss😢😢😢😢
@GeraldMswazi-bp2kw
@GeraldMswazi-bp2kw 15 минут бұрын
Uislamu ni dini ya kutetewa,haiwezi kujitetea.
@ZeitunaNurow
@ZeitunaNurow 18 сағат бұрын
Ramadhan kuria nauliza kama naeza pata kitabu ya swala
@boubabizo246
@boubabizo246 39 минут бұрын
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Camera man analipwa ngapi kwa mwezi? Mtufahamisheni apa, na ili mtuu akipatikana, tujiwe kama analipwa. Iyo yakwanza, pili, kila experiences ziwe nawekwa wazi, kisha kila mtuu atakuwa najazia ao anacukuwa yote garama na watu wajuwe. Japo ni sawhabu kutoka kwa Allah, Ila pia inatia motivation pale uko najenga nyumba na unaona pale nyumba yako inafikia. Yangu ni hayo. Walillahi tawupfiq 🙏🏾
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 15 сағат бұрын
Ndacha Acha unafiki uliitwa na bishop ngonyani ukapinge utatu na ukatetee sabato ukahepa kama unajiamini njoo mbezi mwisho jogoo wapo TV upinge utatu mbele ya fundi WA maandiko biblia bishop ngonyani
@RajabwanyonyiJuma
@RajabwanyonyiJuma 15 сағат бұрын
Lakini Ramadhani ndio dawa ya Ndacha, 😂 Huwa anatulia si kama akikutana na kina mazinge na Dr sule
@marineroDesspana
@marineroDesspana 15 сағат бұрын
Katika kusema ukweli hii lakini bado inampa mtu tashwish kukubali maneno yaliowazi
@MefakiMgandi
@MefakiMgandi 15 сағат бұрын
Mm nakihitaji na Niko kilifi nakipataje tafadhali nitakigaramia ili munichapishie
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 21 сағат бұрын
Ndacha is a great man uislamu ni dini sawa lakini ni ya majini na mtume wao alibanwa mbavu na kiumbe cha ajabu badae wanaanza uongo kama hivyo
@saumbliz8983
@saumbliz8983 17 сағат бұрын
Jini uliumba wewe
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 15 сағат бұрын
@@saumbliz8983 we jilambe mwenyewe
@imranbanda3963
@imranbanda3963 14 сағат бұрын
Ndacha should study islam from people who know Islam he will be a good preacher
@brightzone.
@brightzone. 14 сағат бұрын
Hiyo Quran - ilishushwa kama kitabu au kama Wahai? Najaribu kuwaza anachosema Ramadhani na kile ninachosoma kwenye Quran 3:3
@Sandra39823
@Sandra39823 4 сағат бұрын
I am laughing at how haters of Islam are hiding themselves on replies, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 12 сағат бұрын
Dhalikal kitabu Bado Kinateremka kutoka Lauhul mahfudh. Huwezi pata Dhalikal Qur'an. Utapata hadhal Qur'an manake tayari ishateremka.
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 21 сағат бұрын
Ndacha wamekusikiliza wametengeza kitabu nawewe utengeneze kitabu kutumia hichohicho kitabu kwa kujibu hoja ujifungie na mtaalamu paulo
@akbarmpemba6990
@akbarmpemba6990 17 сағат бұрын
😂😂kipindi alipokuwa anatetea utatu na kuung'ang'ania kumbe elimu hana Leo kageuka.huyo anawapoteza wakristo
@JumaNongwa
@JumaNongwa Сағат бұрын
Hiki ni kitabu "hii ni kauli ya kukipa utukufu na heshima kitabu cha qur an tukufu qaul taadhim" ndacha isikuchanganye
@jameskilasa759
@jameskilasa759 9 минут бұрын
Sema kuna watu humu waislam siku ya kiama watachomwa vibaya sana
@HusseinAli-fx1ld
@HusseinAli-fx1ld 9 сағат бұрын
Ndacha, atakuja kuwa muislamu
@hassanbinsalman1437
@hassanbinsalman1437 20 сағат бұрын
Yule murtad anayemfunza kukashif Qur'aan aliungama wakati mmoja kuwa ni maslaha yaliompelekea kurtadi akarudi na kusilimu upya. Lakini baadae akarudi huko hoko kwa ajili ya masala ya kidunia. Adhabu ya Allah inamuongoja kwa kupotosha ummah.
@fay9687
@fay9687 20 сағат бұрын
Hawalali usiku kupanga kukoroga quran na kutafsiri kimakosa kidhalilisha uislaam lakini hesabu ni kwa Allah utawacha kila kitu utaenda na amali yako
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 22 сағат бұрын
Wewe ushajuwa ukweli kuwa Dini ya kweli Ni Islam na Dini ya kikiristo Niya uwongo lakini Basi tu unataka kupoteza tu wakristo
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 18 сағат бұрын
Ndacha elewa kitu kimoja tuu..bro..usichanganye vitu viwili pamojaa,,,uislamu kando na kuna waeislamu,,sasa kama kunawaeslamu wanamatusi niwao lakini dini ya kieslamu haujafundisha matusi..huo niubinadamu tu kutukana bro,
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 21 сағат бұрын
Huyu ni mwongo shekhe!😮 msomaji wake (yule murtad) alisema yuko naye kwa sababu ya maslahi ya kidunia!
@ZabronMagufwa
@ZabronMagufwa 17 сағат бұрын
Dini ya uislam inajiita dini ya haki lkn mngesoma unabii walopewa wasabato msingeyumbishwa na copy ya theology ( Quran)
@salimobeid1470
@salimobeid1470 17 сағат бұрын
Mimi ni musialm lakini ndacha kama siku akiwa muislam ukiristo unakua kwisha mana huyu anajua kutetea dini na iko siku naamini siku moja atasilimubndacha fanya maamuzi we ni mtu msomi sana
@salhkasmm558
@salhkasmm558 18 сағат бұрын
Huyu ndacha anataka elimu ili azidi kuutukana uislam huyu ni abuujehil
@JoyMoraa
@JoyMoraa 14 сағат бұрын
😂😂😂😂 wewe ndiye umesema ukweli. Ndancha anajua ukweli wake
WACHUNGAJI WAPASUA MBARIKA "WAKRISTO HAWAENDI MBINGUNI WALA PEPONI !!!!"
1:21:33
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 35 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 31 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 36 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН
MWL.NDACHA & MWL. DANEL MWANKEMWA MUNGU MMOJA WA BIBLIA NI NANI?
29:46
Gospel Time TV
Рет қаралды 2,4 М.
MJADALA KISUMU KAMAHOHA MADA MSALAMBA
1:46:45
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 73 М.
"ROHO" ATIFUA VUMBI KANISANI ILI WAISLAMU WAVUE VIATU WAKATI WA DAWAH
1:20:11
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO
1:32:13
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 44 М.
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 35 МЛН