MCHUNGAJI HANANJA AMTETEA MASANJA KUHUSU KUPOKEA SADAKA KANISANI/AMPA HONGERA/

  Рет қаралды 34,472

Carrymastory

Carrymastory

Жыл бұрын

Tumepiga story na Mchungaji Hananja

Пікірлер: 52
@mbonimanafungo2491
@mbonimanafungo2491 Жыл бұрын
Amen pastor kweli wamuache YESU ndo anaejua na ndo atakaemuhukumu kwa jinsi anavyomuona kwenye huduma anayoifanya ya YESU
@godfreysekumbo1523
@godfreysekumbo1523 Жыл бұрын
Safi Sana Baba upo light
@canarymasengula3083
@canarymasengula3083 Жыл бұрын
nakuelewaga sana mstafu wangu
@gracemalatwe6064
@gracemalatwe6064 Жыл бұрын
Nakupenda mchungaji kwa kusema kweli
@emmanueldpaul9501
@emmanueldpaul9501 Жыл бұрын
Unapoenda kuhoji watumishi vaa kofia vzuri
@emanuelibrahimu2046
@emanuelibrahimu2046 Жыл бұрын
Uko vizuri mtumishi sema yote, watu waamke kiroho wabishe kwa hoja la neno la mungu ameeen!
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeen
@shila9887
@shila9887 Жыл бұрын
Mnapoenda kuhoji wachungaji embu mue mnenda kwa heshima basi mtu umegeuza kofia kihuni kabisa
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Big up Mzee
@fadhilamaulid9843
@fadhilamaulid9843 Жыл бұрын
Babu akili zimejaa hadi zinamwagika
@marklekasango9300
@marklekasango9300 Жыл бұрын
Leo umewafungua wengi elimu ya fikra ya kirohoo iyo barikiwa mtumishi wa Mungu
@alisonimpaji615
@alisonimpaji615 Жыл бұрын
Balikiwa sana mchungaji
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
❤️👌
@manchalijob9600
@manchalijob9600 Жыл бұрын
Kweli mchungaji hananja tunaombewa kwa mafungu wachane ukweli
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Tunataka kuona video nyingi kila siku za huyu babu jamani anatufariji sana vijana
@swalehkataga8352
@swalehkataga8352 Жыл бұрын
True
@mwakilulelefrancis280
@mwakilulelefrancis280 Жыл бұрын
Hananje MUNGU ANAKUONA
@nevuwilliam5701
@nevuwilliam5701 Жыл бұрын
Safi sana waeleze ukweli.
@mozespatinam9296
@mozespatinam9296 Жыл бұрын
Hatar sanaaaa
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 Жыл бұрын
Aliyepiga hajulikani anayepigwa ndo anajulikana😃😃😃😃
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Watu wanarukia gari kwa mbele hata Biblia hawaisomi maneno tu
@abedndege6242
@abedndege6242 Жыл бұрын
Mastermind
@AbrahamMjema-di1li
@AbrahamMjema-di1li Жыл бұрын
Mchungaji amejibu kwa busara
@al-bashirclinic3326
@al-bashirclinic3326 Жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁🙏
@titosoundsospeter7473
@titosoundsospeter7473 Жыл бұрын
😄😂😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🔥
@nemesshayo9370
@nemesshayo9370 Жыл бұрын
Hahahahah
@kassimiddi8593
@kassimiddi8593 Жыл бұрын
Huyu mzee ana akili sana
@raujohn8238
@raujohn8238 Жыл бұрын
Wambie ukweli hao
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 Жыл бұрын
We unayesema wa mchongo we uko wap mwenyewe hujielewi umesimama wapi
@msafirimfyagichi5942
@msafirimfyagichi5942 Жыл бұрын
Ukovizuri
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
Si Freemason mwezako ndomamna unamtetea, kwani naniasiyewajua, nyinyi wachungaji wa mishahara
@daudikapange9203
@daudikapange9203 Жыл бұрын
mbeghe kwel wewe baraka haahha
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Ingekuwa dini hizo zingekuwa zinatoa kodi hao wachungaji wa michongo pilipili na masanja
@mwanakasanga9534
@mwanakasanga9534 Жыл бұрын
Dada kwani masanja na pili pili wamekukosea nini kuna kipi kibaya wamefanya kwako jiangalie dada unawahukum bule na kuwachafua
@mwanakasanga9534
@mwanakasanga9534 Жыл бұрын
Umalaya unakusumbua ulienda ku wadangia wakakukataa ss unawaona hawafai ww ndiyo hufai malaya mbwa wa kutupwa
@jacksonkaziri545
@jacksonkaziri545 Жыл бұрын
Kweli pastor ni kutokusoma biblia ndio mana wanayumbishwa sana .
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Huyo masanja siyo mchungaji ni mwizi tu wa wajinga ndiyo waliwao na freemason hafai kabisa yeye na pilipili
@carolinesalakana1090
@carolinesalakana1090 Жыл бұрын
huna akili pumbavu wewe
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 Жыл бұрын
Toa sababu sio tu kusema hafai
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 Жыл бұрын
Kwahiyo Margret wewe mchungaji wako NDIYO mchungaji sahihi? Mungu NDIYO amekwambia ?
@brayanjose4041
@brayanjose4041 Жыл бұрын
Fala
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi Жыл бұрын
Huna point kaa chini!
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Hata wewe mchungaji.ukiisoma vizuri bibilia lazima utasilimu na utakuwa muislam.hujaisoma vizuri wewe
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Жыл бұрын
Sisi tumesoma na hatujasilimu
@willefaustine8486
@willefaustine8486 Жыл бұрын
Na haitatokea tuslimu kamweee. Yesu ni kila kitu na anafanya kazi haswa.
MCHUNGAJI HANANJA ATOA SOMO KWA WANAWAKE WANAOWASALITI WAUME ZAO
17:19
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 79 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 26 М.
PASTER HANANJA AONGEA MAZITO KUHUSU MACKENZIE KENYA
16:57
Mbengo Tv
Рет қаралды 51 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 27 МЛН
С топором нельзя #ссср #история
1:00
MOTIVATION
Рет қаралды 1,7 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 12 МЛН