Asante mchungaji kwa ushauri ni kweli wengi tunataka miujiza bila kujiuliza kwenye neno ,,,haraka za mafanikio matokeo yake ndio hayo
@salummhina4857 Жыл бұрын
Legendary speaking Paster Hananja I salute you Kofia down
@AsukuluMmunga3 ай бұрын
nakukubali sana mchungaji wangu mungu akulinde daima
@lawrencemalika9687 Жыл бұрын
Mimi mkenya ndo wa kwanza hapa pastor unanena kweli
@philliplangat-eo5in Жыл бұрын
Thank you pastor you really have the answer.
@maisaalawy8549 Жыл бұрын
Ila nimegundua Watanzania tunakili sana mtanzania umwambie usile uende mbinguni subutu humuoni mtu church.
@RosseMwenda-fw8js Жыл бұрын
Nakupenda mchungaji unasema ukweli mtupu asante
@WILLIAMCHINA Жыл бұрын
Mzee Unaferi Unaposhawishi Watu Wapo Wenye Uelewa Mdogo Na Wenye Ufahamu ya Kuamini Kila Kitu Kazi ya Serikali Ni Kulinda Kutetea , Wewe Ni Mwiigizaji Bana Ebu Acheni Sheria Itimize Wajibu wake Swala la Imani Inatokana Na Ushawishi Nyote Mnapaswa mkemee Hilo usiweke Sanaa
@abdulahali2438 Жыл бұрын
Amina mchungaji nimekupata
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Kweli kabsa lakn Wamepata Funzo
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ana hekima sana na huongea kweli muda wote
@Dogokanumba Жыл бұрын
Thank you pastor 🇰🇪🇰🇪😍
@nasambulilian380 Жыл бұрын
Mwamini neno wala sio nabii wa tajiri, wa some mandko visuri, waelewe mungu ni neno na huu ndiyo ukweli ❤
@AsukuluMmunga3 ай бұрын
nakukubali sana mchungaji wangu
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Umesema km ninavyo semaga ❤
@hassanambarakmbarak8759 Жыл бұрын
Kuna mmoja ajiita yesu muulize pastor huyo yesu wa kitongaren
@innat04 Жыл бұрын
Mi nampenda huyu presenter, she is the best. Maswali yake ni respectful na niyale ambayo watu wanahitaji majibu. Keep it up!
@kazinzangonda230 Жыл бұрын
Uko sawa kabisaa
@rosechelagat2314 Жыл бұрын
Thank you Mchungaji
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Kwanza mm naomba serikali ipige marufuku, nchi nzima mtu yeyote kujiita Nabii au Mtume, kumamake awa wanaojiita ivyo ndio wako na mambo ya ajabu ya kishetani..pumbavu..sana mm roho inaniuma sana, naludi Roman mm..
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
😂😂😂❤mwenye sikio na asikie🙏🙏😂😂😂
@josphatoyaro9714 Жыл бұрын
I sulite you Man of God 💕🙏🙏
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Mchungaji wangu huyo! Hataki kulemba
@ArcoiriscelestialTv Жыл бұрын
Leo Unakwenda kubaya mzee jangalie. . . .
@Godneverfailed Жыл бұрын
Walikamatwa akili ,Kuna wachungaji wachawi,alafu hawakufunga kupenda kwao,Kule msituni kulikua na wahuni walikua wanazuia watu wasitoroke ilikua wafunge Kwa lazima mpaka wafe
@damariskavolo1829 Жыл бұрын
This pastor is very right
@DestinyJoy-fu9pp Жыл бұрын
Nakubali mchungaji
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@faithmarcho-yf3sb Жыл бұрын
Very true pastor you make my day😅😅😅
@aplokimo405 Жыл бұрын
Nikweli
@fatmaabeid9668 Жыл бұрын
Namkubali saaanaa😂😂❤🤝
@yousupjabri7304 Жыл бұрын
Hapo sasa..nampenda nyie huyu kasema kufunga kwao sio nguzo...yani sio lazima ukitaka funga hutaki acha yan wana uhulu😪😭😂😂nyie jaman khaaa wallah alhamdulillah..et ana waambia hawatumii akili..nimecheka...lkn ni kweli
@dorissanita2745 Жыл бұрын
Aliwalazimisha.. ju kuna wengine walipigwa walipo patikana wamekunywa maji.. fatilia hizo video vzr..
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
Au tusilimu jmn, km vp tukamtaje YESU uko kmykmy ukouko, wazanie tupo nao kumbe gizani tunamkili Yesu masihi
@tabby6064 Жыл бұрын
Ht mm hilo naliwaza....tuingie uislamu lkn tumbebe Yesu wetu huko tusimkane😢😢
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@tabby6064 kwa nini muingie uislam kwa uongo
@geofreyg.mtensa4559 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw ww km mkristo, unajiona nn km kwa Mwamposa, yanatajwa mafuta kuliko jina la YESU, pia niambie km sifa za kiutume anazo kweli..?? then mambie na wale namabii wa uongo ulosema YESU wako wp...?
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Imani yenu ndio ita waponya...wala sio dini wapendwa
@cellnet7265 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 kabisaa baba upo nakupenda bure
@amanichazy4047 Жыл бұрын
Nimeelewa sana mchungaji wangu sema ukwel mpka shetani akimbie
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Hapana MCH. Fikiri Tena upande wa pili,huyu Makenzie ana mbinu za giza
@branchonline-yq9mv Жыл бұрын
Mtumishi umenichekesha jmn daaah
@OmarryRashid6 ай бұрын
huyu mwalimu wa Imani kwasasa mnaona comedi akifaviongozi wetu mtaanza maneno yauwongo hekima ndio hiyo huyo anahekima yakutosha
@yusufkiptanui40010 ай бұрын
Umasaao kutaja vitambaa sinauzwa kanisani 😂
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Nimecheka sana 😂😂😂😂
@dfremac Жыл бұрын
Pasta Hananja hapa tunaelewana asilimia mia moja lkn pale pa eliona nilitofautiana na ww sana.
@mercy342 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂makenzi Kula ubwabwa weee
@stellah3844 Жыл бұрын
Mtangazaji leo umependeza ila wanazengo jaman😅😅😅,,,,Hananja shida ndo zinawapeleka ndyo maana mtu akiwa anaumwa akiona hospital hii hajapona anaenda nyingine akiona bado mwingne anaenda kwa mganga na mwingne anamlilia Mungu na mwingne makanisani,,,,kwahyo wachungaji wanachangia kupotosha watu si wote waumin wanauelewa sawa
@kainimlowe9646 Жыл бұрын
Na kwa nini azike mwenyewe
@mohamedmahmudali9346 Жыл бұрын
Mtangazaji uko vizuri Mashallah 🙏
@omolorns Жыл бұрын
Asiachiliwe he is dangerous
@johnmligo6966 Жыл бұрын
Yohane 8:32 UKWELI utawaweka HURU
@joybrinnah5690 Жыл бұрын
Ukweli mtupu......people have become spiritual stupid
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
Nikweli kipimo chetu ni biblia neno la MUNGU
@franciscanyangayi1269 Жыл бұрын
😂😂😂Wajinga kabisa
@hillaryorondo9729 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@georgekanari3578 ай бұрын
Wambiwe ukweli
@thobiasyphaustine3714 Жыл бұрын
Akili kiduchu tu kupokea wokovu
@thobiasyphaustine3714 Жыл бұрын
Ukweli haswaaa ukielewa
@bakarikuphuma911 Жыл бұрын
Ukweli mtupu asante wajinga Bado wapo
@rayaalraqady6400 Жыл бұрын
Mtangazaji hakupata nafasi ya kuongea.hivi ndivo inavotakiwa .
@joshuamuro9494 Жыл бұрын
Hahaha
@estherimbotsi7553 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣 jamani NIKWELI
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
Huenda alikuwa na afya ya akili wao ni kufata tu😢😢😢
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Mafundisho Kama nyundo 😂😂😂Safi sana
@falesbanda7520 Жыл бұрын
Nizoona Yesu kulibe kwamene anakhamba kuti pamene muzafunga mpaka kufa iyaye
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣Hananja🇰🇪
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Na watoto maskini wana hatia gani
@evelinemlay5572 Жыл бұрын
Hata mimi nashangaa anavyomtetea mackenzie wakati kuna watoto wasiojua chochote wamekufa
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
@@evelinemlay5572 kwa kweli lazima achukuliwe hatuwa kali sana
@havilabujeje3256 Жыл бұрын
Makenzie ahukumiwe Kwa dhambi ya kuua watoto wadogo wasiokuwa na hatia, hao watu wazima walienda Kwa hiari Yao wenyewe
@shiru449 Жыл бұрын
Lakini ata tukuwaita wajinga hawa weda zao. Walieda tu na roho safi wakithani ni mtumichi wa Mungu bila kujua ni shetani . Akatumia power zake zaa ngiza wakawa blind na kubrainwashiwa then ni raisi kuwa control kwa jia yoyote. Kumbuka hapo ni sacriface ya bina damu .iliwawesa lakini serikari ilitukosea kabisa.
@jumamataro4870 Жыл бұрын
Yan mananja usinge kuwa frmashon
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Sasa nani kakwambia huyu ni Freemason?
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@lilyrose7983 😂😂😂😂
@lilyrose7983 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw Vipimo vya macho 😒
@marygregory7566 Жыл бұрын
Walikuwa ktk jitihada za kumtafuta Mungu
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Kwel akili awana wakenye 😂😂😂😂😂
@yousupjabri7304 Жыл бұрын
😂😂😂usi walaum tatizo lao hawana mipaka yani kila kitu ndio
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
@@yousupjabri7304 wapo kama mchwa tuu kila kitu haaaa ukikanyaga mjan wao wamo haaa 😂😂😂😂😂hii faida ya ujuaji mwingi hii na kujiamin zaid kila kitu ww wapo juu wanaweza sasa shida hii 😂😂😂
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Nimekuelewa baba wajinga waliwao 😂😂😂😂😂😂kuta maisha mazur haraka tamaaa zimewaponza 😂😂😂😂
@yousupjabri7304 Жыл бұрын
Hahahaaa wallah nimecheka nyie huyu...wale wa miujiza na kusomewa nyota..
@faithi7216 Жыл бұрын
Don't blame them because those people are die there's alter hold them let God judge those people but called them fools don't have right to to judge and no one is perfect in this world all of us we are sins
@johnmunga2359 Жыл бұрын
Don't blame those who literally took the teachings of McKenzie! Rather than being a big brother, this man became a predator! I believe he did so not because of his evilness so to speak but because of his rawness intelligence! In this case, the big brother, aka government, totally failed those between hard rock and the moment reality! Let's be honest in the spirit of big brother big sister! Amen!
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Yes cause as we understand always big brother is watching us,
@evelinemlay5572 Жыл бұрын
Well said dear! The children who got killed were innocent, how can you starve a child to death to death and the parent watching, I believe the victims were not in their right mind! My heart goes to those children who suffered cruel death!
@evelinemlay5572 Жыл бұрын
I'm Tanzanian but disagree with this pastor over mackenzie's innocence, he brainwashed them, in his early teachings he sounded as true man of God, plus those children involved were innocent. May justice be served for the victims
@September69able Жыл бұрын
U missed a satire there, he was satarizing him😄
@charleskibiro9159 Жыл бұрын
Wamama nyinyi mwanandanganywa sana sana rahisi. Huyu pasta anakufungua macho lakini unazidi kufunga. Mtaendelea kundanganywa kwasababu hamusikii.
@noelwandera8617 Жыл бұрын
Kinda simplistic yes
@evelinemlay5572 Жыл бұрын
@@charleskibiro9159 ni kweli kabisa wanawake ndiyo wengi kwenye haya makanisa yasiyoeleweka, ila kwa mackenzie hata wanaume walikuwepo, tena wengi tu. Ninachosema hapa ni kuwa sikubaliani na hoja yake kwamba mackenzie hana hatia na ansstahili kuachiwa huru, hao watoto waliolazimishwa kuteseka hadi kufa kwa upumbavu wa wazazi wao wakiongozwa na mackenzie wanastahili justice.
@monicahmumbua9224 Жыл бұрын
Pastor Wacha zako eti Makenzie Hana makosa!!Wewe twajua most of the pastors wanatumia majini ni madevil worshipers na WA freemason, wanapumbasa waumini kupitia hizi !!Ningepewa nimuukumie ningemlasimisha afunge Hadi sfe aendehio Mbinguni anaodanganys waumini wake akakutanie na wale wake wamekufa waendelee na kufungua ,Kasia mjinga Makenzie,!
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Ndio ila amesema kweli kwani aliwaita na majini au walijipeleka wenyewe?pili unadanganywaje ukose kula pasta akila...tatu wapi kumeandikwa watu wafunge ndio waone mbinguni??Tumia akili mpendwa
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Africa kuna watu wajinga lazima tufundishe afya ya akili bila hivyo tutateketea .ufahamu kweli na itakuweka huru.
@esthermuturi89 Жыл бұрын
Makosa iko kuwazika pameti Alitoa wapi ? wakuzikana lazima serikari ufuate sheria ya nji ya ulimwengu binandamu si i umbwa ? Lazima wachguze angetagaza vifo talk sense
@lutternelson5754 Жыл бұрын
Katika Waraka wa Mtume Paulo kwa Wagalatia, anawauliza" enyi wagalatia msio na akili, ni nani aliye waroga"!!???? Hakika Pr. Hananja ni level nyingine ktk Uinjilishaji na akili yake ni pevu!
@lutternelson5754 Жыл бұрын
Ukristu, katiba yake ni Biblia; tujikite zaidi ktk maandiko/neno, kinyume chake ni ukengeufu uletao maangamizi kama ya kina Mackenzie!
@micjob783 Жыл бұрын
😅😅
@alanlugano3322 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@faridamwanjala4856 Жыл бұрын
😅😅😅
@umalqasimalhamhami6707 Жыл бұрын
Nikweli wa kenye awana akili😂😂😂😂
@Xplossives Жыл бұрын
Wanaofwata zamaradi niwakenya pia?
@rajah9328 Жыл бұрын
Wew mwenye akili ata Kenya yenyewe uwezi kuandika
@tembarooney7899 Жыл бұрын
Acha ubaguzi pumbavu...usitogombanishe na mandugizetu.....kuandika Kenya mwenyewe hujui...enda shule
@anordgerison8639 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@zainababudalla8063 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
,😂😂😂😂😂😂😂😂
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
Kumbe unajua mchungaji kama ukristo unaenda ujinga ujinga mtupu hongera kwa kujua kama dini yenu wajinga wingi na matapeli wingi
@hendricaoduba6028 Жыл бұрын
Je wale watoto wadogo wengine wachanga, pia walikua wajinga?
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Hananja kweli wewe ni kiboko,wasiokuelewa ni wajinga zaidi ya wajinga unaongea kama komedy ndani Kuna madini mazuri.
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Hananja ana busara sana.wajinga ndio Waliwao.wanawafuata Hao wachungaji fake ndio wajinga