Allah amuhifadhi shekhe kishi shekhe wetu kipenzi cha waislamu
@noot-oe2mw8 күн бұрын
Shelkh kishki ALLAH amupe maisha malefu lnshaallah
@eddymaphy7 күн бұрын
Aamin yarabbal'alamin
@rmdhnhmz5126 күн бұрын
Allahumma aamin
@hasnakid6 күн бұрын
Aameen
@SantaJumaaКүн бұрын
Allahumma amiiiyn
@FahadMasoud-io4mb7 күн бұрын
Unaongea vizuri mchungaji,angalia tena na umtafute Allah sw na inshaallah Allah atusaidie zaidi ameen
@rmdhnhmz5126 күн бұрын
Aamin
@Noorein-ws8wk6 күн бұрын
Allahumma aamiin yaa Rabb Al a'alamiin
@alhadajjmohammedsmith90428 күн бұрын
Unyenyekevu si ndo Uislamu Mchungaji Mjanja sana huyu (anaukubali Uislamu Indirect) ila Maslahi ya Dunia ndo hivyo tena.🙌😂😂😂 Ona amejishusha Mbele ya Sheikh amekili Sheikh yupo Juu Kihadhi Kuliko Mchungaji . TAQBIR ALLAHU AKBAR Inshaallah Allah akuwezeshe Urejee ktk Uislamu
@ZulfaZulfashaban8 күн бұрын
الله أكبر
@khamisswalehe8 күн бұрын
ameen inshallah allah amuongoze
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
Allahu akibar
@Catherine-mh8sw8 күн бұрын
Allahu Akbar
@MsalabaniReko8 күн бұрын
Ndo uwelewa wako umeishia apo uyo ni chawa wa uyo shekhe wenu nurudin ila uyo shekhe wenu nurudin hua awapatani na mashekhe wenzie apo anapigwa dogo hustz mazinge apo ila Sasa kumuelewa ndo inabidi utulie
@ashuraabdulmaalik53198 күн бұрын
Haswaaa QURAAN NI KITABU CHA ALLAH
@fahadissa56216 күн бұрын
Ipm Wallah!Mi nakupenda kwa Ajili ya Allah japo uliamia Dini nyingine ila Dua ALLAH akuongoe kabla ya umauti kwani yeye ndie muongoaji mjuzi.Uilejee haki ya kweli.
@shersaid79888 күн бұрын
Mchungaji IPM ana hekima na anazungumza ukweli 🎉 Sheikh Kishki level nyengine ana elimu na hekima
@kamarhelo6 күн бұрын
Ila anakazalau flani hiv akiongea hata alivyo msifia si kutoka moyoni
@swalharajab83656 күн бұрын
Kanisa lake analiongoza kwa vitabu viwili ....siku moja hili kanisa litageuka msikiti biidhinllah😊.....mda ndo utakao amua✌
😂😂😂bangi hizi. Dizi zote zimeletwa na wageni; lakini kuna vichwamaji wanaamini dini wanayoiamini wao ndiyo dini sahihi
@AliMohamed-w3b8 күн бұрын
@greydonalds4286 That means hakuna dini?
@RAMADHANNDORO-cg6bt8 күн бұрын
@@greydonalds4286kama dini zililetwa na wageni mbona hawakuja na mitume waoo?
@HassandabasoGuyo7 күн бұрын
kwani enye wewe una amini sio ya haki??@@greydonalds4286
@sikukuuchuo309310 сағат бұрын
Allah akuongoze Akupe wepesi akuruzuku uitambue haqi❤❤
@rahmaally51284 күн бұрын
Naam Sheikh Nurdin kishk Sheikh wetu, kipenz che2 fakhari yetu Sheikh wetu wa Thaman Sheikh Kishk Allah ambaarik na amhifadhi 🤲🤲
@jumaramadhan10135 күн бұрын
IPM mchungaje safi saana tena yuko sawa
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
Hapo kwenye ulafiki umeongea maashaallah
@chingychingy20668 күн бұрын
Kwaiyo wote lazima tuwe waislam sio
@ramadhanwilbard81968 күн бұрын
@@chingychingy2066Ndiyo Watu wote tunatakiwa kuwa ni Waislamu kwa sababu dini pekee iliyotoka kwa Mungu wetu ni Uislamu na kila mtu anapozikwa kaburini mwake anaulizwa maswali katika misingi ya Uislamu na siku ya malipo manake Kihama sheria za Uislamu ndizo zitakazo hukumu watu wote;hii dini ya Uislamu alikujanayo Baba yetu Adamu na Mitume wote wa Mungu walikuwa ni Waislamu hizo dini nyingine ni akili za wanadamu,Jitambueni mapema kabla hamjafa Wakristo !
@lulanjamd38868 күн бұрын
Mimi ni mkristo nampenda Yesu Kristo sana ila kusema kweli nafuu shehe kishiki Hana chuki sana na wakristo ni tofauti na mwaipopo na mazinge
@Al.habeebAl.habaaib8 күн бұрын
Sheikh kishki hana chuki kweli
@AlhajiIssa-jb9hr8 күн бұрын
Hata Hao wengine hawana chuki ni kwasababu tu wanaiongea haqqi.@@Al.habeebAl.habaaib
@mohammedmussa73788 күн бұрын
Nyie hamna chuki na uislam? Nyie ndio mnawachukia waislam zaidi
@shaloboy38618 күн бұрын
Maipopo na mazinge wanawaambia ukweli ulivyo wapindishi
@YunisIsmailSheikh6 күн бұрын
Waislamu wanapenda kila mtu
@Noorein-ws8wk6 күн бұрын
Yaa Allah muongoze huyu Mchungaji ktk njia ilio nyooka yaa Rabb Al a'alamiin
@SalumSaid-w8i6 күн бұрын
Ammyn
@RahmaYusufu-d2oКүн бұрын
Ahsanteee uko vizuri mchungaji ongeraa
@FaridaAlita-jx6lt8 күн бұрын
Mashallah mane mazuri sana kwa jamii zote
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
Allah akurudishe kwenye diniya haki kabra ujafa🤲
@chingychingy20668 күн бұрын
Dini ya haki ndo ipi
@Moha-w9t8 күн бұрын
Dini ya haki waijuwa wacha kuuliza ujinga@@chingychingy2066
@machintangachibwena59228 күн бұрын
@@chingychingy2066ya kiislamu huyu pasta ameenda kula pessa kwa kondoo wa Bwana sababu ukiangalia anavyo wahubiria kondoo wake anawapa na mawaidha ya kiislamu pia na sijda hiyo alio kuwa nayo tangia awe pasta ingesha futika anajua nini anacho kifanya ila ameenda kula pesa za kondoo wa Bwana
@mbarushimanasalimking69618 күн бұрын
Islam@@chingychingy2066
@HanifaOman-oo4pl8 күн бұрын
@@chingychingy2066 Uislam
@SarahSudi-jx6pr7 күн бұрын
Nakupnd san prof yan ww ni muislam ulitumiy iy njia il uokowe wenzet uwajuz na Allah azid kuwabarik wot waislam na pia Allah atup mwish mwem amiiiiin
@eddymaphy7 күн бұрын
Aamin yarabbal'alamin
@Jureyji4 күн бұрын
Sio muislamu huyo ni kafiri
@DanAlves-jz8cm3 күн бұрын
Hakuna muislam wa ivyo
@barakamwimbi8 сағат бұрын
@@Jureyji😂 hawezi kuwa Gaidi 😅 mbn mnaforce watu wawe Magaidi?
@Jureyji7 сағат бұрын
@barakamwimbi tumeforce vipi? Kuna kiashiria gani cha kuforce hapo? Au unaleta mihemko kwenye maneno yangu? It's better, ukaipeleka kwenu mzee itapendeza zaidi
@abdallahmohammed86223 күн бұрын
Allah akuongoze ktk njia iliyonyooka na asikuache daima milele bwana IPM
@ZabibuKaundu8 күн бұрын
Allah amlinde nausda shekhe wetu kishki
@rmdhnhmz5126 күн бұрын
Allahumma aamin
@NuruIssa-g7o2 күн бұрын
Maashallah...❤anaijua qur_ani vzr
@peacemwesiga5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂shekhe hata ki Jiji hakimjui❤❤❤❤
@rashidkejo86663 күн бұрын
Faraja ya matamshi ni bora lakini si yenye maana vitendo. Hakika maneno yake ni faraja sana lakini sijui imani kwa haya maneno yake yenye faraja. Shukrani kwa maneno yenye faraja. Ravk ✍️
@GdFf-ik2eo3 күн бұрын
Yaa allah Mwuongoze ktk haqqi Hapo anadanganyika na hizo pumzi
@jamilashabani85803 күн бұрын
Maa Shaa Allah ❤❤❤❤ WALLAH ❤❤❤❤❤
@IdrissaAlly-mr3jt4 күн бұрын
ALLAAH AKUKINGE SANA IPM
@sikukuuchuo309310 сағат бұрын
😭😭😭 insha Allah siku moja kanisa lako litageuka kuwa msikiti n wafuasi wako.itakua mfano wa South Africa
@AbdallahLindyati4 күн бұрын
Mchungaji IPM una busara sana. Allah akuhifadhi.
@shrisbreez70037 күн бұрын
Mashaallah sheikh kishk
@husnakijoji39112 күн бұрын
Mashaallah karibu sana kwenye uislamu
@JumaIssaAssane-j1b8 күн бұрын
Allah te abensoe irmao, inshallah
@khadejarajab80075 күн бұрын
Rafiki Siku hizi mkia wa fisi mafriji mabovu shekhe kishki allah amuhifadhi kwa neema zake
@hamisikanengene85947 күн бұрын
SHEIKH KISHK ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hata ukiwa humpend ujumbe wake utakufikia katka wale unawapenda miungon mwao wanampenda tena sanaaaa na wanampost na status zao uta view tu😅
@mohammedrajabumwamba13228 күн бұрын
Nimekubali kwa baadhi ya ukio yaongea nimependa maashallah allah akujalie mwisho mwema
@ruqiyanasir71418 күн бұрын
Safisana brother Allah amlinde shekhe kishiishk kipezi chetu azindi kutuongoza tunapo Kosea naweye brother Allah akurenjeshe ulikotoka na azikubali tobazako naakupe mwisho mwema kukoseya binaandamu tuna mkoseya sana Allah lakini unapo amua kurejea kwake kwaimani dhabiti anakusametu Allah hana hiyana kwa mjawake brother wewe tayari umesha juwa ndini zote mbili nanini iman unajuwa ndini yakweli niipi Allah akupe mwisho mwema
@maximusalnono64258 күн бұрын
Mchungaji Mpemba huyu Quran anaijua Allah amuongoze kwenye njia ya Haqqi
@ChingoAbdulMomade6 күн бұрын
Assalam alaykum, Mimi niko mozambique lakini pasta nampenda sana na natumai tuwe imani moja
@MdNasr-jm8pj8 күн бұрын
Rudi kwenye dini yko tamaa mbaya mda bdo unaa IPM😢Dini ya Kiislam
@mohammedmussa73788 күн бұрын
Huyo mwenyezi mungu kampeleka anastahili njaa yake inampoza
@muznazahra4552 күн бұрын
JAMANI TUKISHANGAA NA YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI..YAANI VIPI MTU BAADA KUSOMA DINI NA KISHA UNARITADI IMANI YAKE HAIJALENGA PANAPOFAA JAPO KUWA UMEHASIRI KWA KURITADI ,INSHALLA ALLAH ATUPE HIDAYA HADI MWISHO WA UMRI WETU ,IMANI ILIYOTHABITI.😢😢😢
@AsmasaidiTitu8 күн бұрын
Yani ww utafute majibu yakumjibu Allah unakijua haki sana mtu mstarabu ukiongea mashallah ila unapotosha uma
@AmiriMtawatawa-oh6xj8 күн бұрын
Mchungaji mungu akuongoze siku uibaini haki uingie ktk uislam ww ni mkweli
@ShekiyaoHussein-ki4ty8 күн бұрын
Huyo ni murtad alikuwa mwislamu akaacha uwislamu kaingia kwenye ukafiri
@husnamadai70527 күн бұрын
Alikua mwislam huyu
@GdFf-ik2eo3 күн бұрын
Allah akuongoze ktk dini ya haqqi kabla ya kufa Maana ukifa ktk hiyo itikadi Utajuta majuto hayatokufaa kitu
@KhalifaAlnabhani8 күн бұрын
Mashaalllah hapo kwenye ulafiki nimependa san san
@MarimSali8 күн бұрын
Uyu ni muislamu ila alifata maokoto tu mkisto awez mtaja Allah vzr
@dennisngonyani17958 күн бұрын
Kuna ndugu yangu aaliaapa mtoto wake akibadili dini na kuwa dini ya kikistro aatamuua... Baadae yeye alibaddili na kuwa mkristo
@AlhabibMujahiddjibril3 күн бұрын
Japo hichi ki bro kimeritadi nakipenda sana , mchungaji rudi katika wislam ndio Dinni sahihi
@fatumashabani91227 күн бұрын
Mashallah kipenxi chetu,sheh wetu kishk ,na mchungaji kwa kusema ukweli
@hussensangoda38555 күн бұрын
Bado hujachelewa mchungaji endelea kusoma mungu akuongoze urudi katka uislam yaani (unyenyekevu)
@JamesMoses-jd1yq2 күн бұрын
Ila wew pastor unajua kupiga hela yaani unajua kubalance😂😂😂😂
@mixhacute1375Күн бұрын
Shekh Kishki ni mtu ambae hajigambi pamoja na wadhfa alionao, amewahi nifata akanipa mkono (Salaam) nilikua msikitin nasoma qur an baada ya swala ya adhuhul akafata kila mtu aliokua pale ndani anamsalimia doh nilishangaaa sana wala hajikwezi mtu wa watu ALLAH AMPE MAISHA MALEFU
@KamamaaOmar5 күн бұрын
Swadakta ,Allah akuongoze ueze kurejea kwenye dini ya haki
Huyu IPM ni msanii tu. Yupo kwenye maslahi zaidi ya mambo ya dini.
@OmmyJames-xn7ji6 күн бұрын
KUOMBA MWISHO MWEMA 🙏🏾🙏🏾
@khadijak-f7n6 күн бұрын
Ww rudi kwa dini yako ❤
@probiz3666 күн бұрын
ongera sana mchungaji mimi vile navyo jua ni kuwa ulizaliwa muislamu wazazi ndio walikuweka kwenye ukrito najua hiko siku utaridi tu ishaallah
@BrotherSunni-y2j8 күн бұрын
Safi sana mashaallah allah akulipe kher
@neemasilass8 күн бұрын
inalilah wainailailaih rajiun🙌🙌🙏🙏
@JahedaSalmin8 күн бұрын
Mashaallha ❤❤
@twalibfaqih93857 күн бұрын
Allah akuongoze kwenye njia ya haqqi
@adnanramadhan31462 күн бұрын
Mashaallah
@Bulehi4 күн бұрын
Ewe baba mtukufu, jua kwa yakini kwamba mtu ameumbwa mara moja hapa duniani, anakufa mara moja, anafufuliwa mara moja, na anateswa mara elfu ikiwa ni miongoni mwa watu wa Motoni, na ikiwa ni katika watu wa Peponi, Mungu. atamuingiza katika Pepo na wokovu.☝️⚔️🤲⚖️🤲⚔️☝️
@Kachuba-w9p6 күн бұрын
Kwa mungu iko level kama una good deeds yes unayo level yako
@AshrafyYousuf4 күн бұрын
Mhu nishida kwakweli Allah anamu ongoza anae mtake
@Omyson26Күн бұрын
Huyu IPM anakitu ipo siku tutakijua 😅😅
@omargargaar56118 күн бұрын
Allah amfnyie wepesi asilimu kabla hajafa
@AsmasaidiTitu8 күн бұрын
Ameen mm mwenyewe nampenda shida anapotosha watu nae mwenyewe
@Niget-us1np8 күн бұрын
Yeye mwenyewe alikuwa msilamu huyo maish tu lkn alikuwa musilamu
@malikeyndotopopote7 күн бұрын
Alikuwa muislam huyu
@imani28707 күн бұрын
Shukran sana ❤❤❤
@yahkiwera3611Сағат бұрын
sawa kabisa
@XulKung6 күн бұрын
Shukran Maalim
@salumkihuwi54957 күн бұрын
IPM yupo muwazi saaana namkubali saana
@husnakijoji39112 күн бұрын
Huyu akitajirika vizuri atakuwa Muslim
@fatmaally72415 күн бұрын
mchungaji allah akuongeze
@AmuriYahaya8 күн бұрын
manshaallah
@HamisIsmail8 күн бұрын
Allah atufanyie wepesi tupate dini
@ramadhanbigirimana26178 күн бұрын
Allah akuwekeye wepesi urudi kwenye dini yakwele,unaongeya bila unafki
@maymunamakungu62658 күн бұрын
Hakubaliki
@JumaMwaka-p5k2 күн бұрын
Jamaaa wa visiga uyoo yani
@jumamwamba49436 күн бұрын
Mashaallaah
@jamesmwangi91536 күн бұрын
Mnafiki huyu bodyguard 15 wa nini mbona waogopa kuenda mbinguni😂😂
@jkzcr7z7 күн бұрын
Inshallah uyu mchungaji siku za mbele ata slimu Inshallah Ameen 🙏
@DavidCurtis-e4c7 күн бұрын
Alikuwa muislamu mwanzo labda arejee tena
@eddymaphy7 күн бұрын
Aamin
@khamisswalehe8 күн бұрын
Naona ndugu zetu wakrist roho zinawauma😂😂
@FahadMasoud-io4mb7 күн бұрын
Maashaallah
@GiftAbduly8 күн бұрын
Shekh kishk mlinganie huyu tusimpoteze
@maymunamakungu62658 күн бұрын
Huyo keshapotea
@AishHassan-p8l6 күн бұрын
Mchungaji IPM uliongea nikwe kabisa na ndo inavotakiwa uwe mkweli sheikh kishki yuko vzr Allah amhifadh
@MohamedSelf-m8c8 күн бұрын
Maashallah ,Kaka
@IbrahimSeleman-i9c4 күн бұрын
Huyu ni mwiba mkubwa ktk uislam, waislamu hakuna kumuunga mkono
@bintsalimalbimany2877 күн бұрын
Allah akufanyie wepes urud kwenye njia ya Hakk wewe unaijua dini yqhakk lkn ni Iblis tu laanatullah Amekudhibit😢Inshallah one day ntapokea habar umerejea kwenye Uislam
@SadatKigwangala3 күн бұрын
Ata mm namjubali sana huyu
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx6 күн бұрын
Kweli wakrito wamefundishwa utulivu
@yahkiwera3611Сағат бұрын
safi
@HamisSaidi-h3u8 күн бұрын
APM unapenda kusoma Qur'an Au unapenda kuongea Rugha ya kiarabu ila Bado Rafuz zako Zinakataa kwenye hii Qur'an Alafu huijui Qur'an Bado Sana Ndugu yangu katka Aadam Rejea kwa Masheikh Wakufunze Jin's Gani Qur'an inasomwa au inatamkwa
@mudrikramadhani322 күн бұрын
huyu jamaaa mbn kama ngoja nikae kimyaaa😂
@shamimyusuf97633 күн бұрын
Wal mashariki Wal magharibi ndio sura gani
@ManuelLucastoto-m5h8 күн бұрын
Deus lhe abençoe no nome de Jesus cristo
@mifunga34148 күн бұрын
Mashallah
@KabatoniBoraa6 күн бұрын
Mchungaji huyu nampendaesana sababu anaeujuwa uislam na ndiyoemana hawezi kuuzarau
@RehemaBukuku6 күн бұрын
Mchungaji amekili kwamba Yesu ni bwana na alikufa kwaajili yake