MCHUNGAJI IRENE UWOYA AUMBUKA MAMA HUYU AMVAA VIBAYA | WEWE SIO MCHUNGAJI ACHA UDANGAJI

  Рет қаралды 23,275

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

"Irene Uwoya karibu sana Dada kwenye Ukristo, lakini Irene Uwoya Ukristo ni gharama mpendwa kaa unyenyekee ufundishwe sio umekurupuka tu juzi unaanza kusema wewe ni mtumishi ni Mchungaji. Mchungaji who? where? Kwanini mnafanya kanisa kama ni ukimbi wa disco kila mtu anakuja kucheza mdumange?"
"Mshindwe katika jina la Yesu🫸 Irene kama umekuja umeokoka kaa utulie ufundishwe una mambo mengi umemtumikia adui muda mrefu unatakiwa uonywe, uondolewe kila aina ya takataka, itakuchukua muda mrefu kutakasika ndipo uwe mtumishi lakini si leo Irene, unajitamkia tu uwe Mchungaji kwasababu wewe ni maarufu? huku sio kwenye siasa kwamba ukiwa maarufu unaingia kwenye siasa, hatuutaki Uchungaji wako"- Mtumishi Mariamartha Kailembo
#ireneuwoya #zabronsingers

Пікірлер: 368
@maswamills3161
@maswamills3161 23 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉kweli akae afundishwe.
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 23 күн бұрын
Kwanza tutolee hizo kope za bandia ,dada woya kaa chini ufundishwe upya ujazwe , Rohomtakatifu.
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 23 күн бұрын
Ila kasema ukweli huyo mama
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 23 күн бұрын
Kabisa yaani anamtania mungu yesu sio wa kiki ​@@HalimaKassim-yz3we
@user-tr9ht8ro7y
@user-tr9ht8ro7y 16 күн бұрын
Mbona nye mnavaa suruali kanisani
@PriscaAgustino-t1o
@PriscaAgustino-t1o 23 күн бұрын
Dada songa mbele,achana nao wanamwangalia Mungu kwa mtazamo wao hachunguziki wote ni wa kwake,
@user-pn1rd1fs9x
@user-pn1rd1fs9x 23 күн бұрын
Asonge kwa namna ipi wamesema akae afundishwe
@user-jr3xs9sb9x
@user-jr3xs9sb9x 23 күн бұрын
Mama asante sana ,mwambie huyo mchungaji gani huyo matatuu kibaoo,masuruali anayovaa
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 23 күн бұрын
Hamna kitu hapa Irene uwoya
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp 23 күн бұрын
YAANI WATU WANAOJIITA WALOKOLE WANA SHIDA SANA. BADALA YA KUMSAIDIA MTU NA KUMKARIBISHA MTU WAO WANAMPIGA VITA NA KUMKATISHA TAMAA...HUYO MAMA AMEKOSEA SANA ILA ANAONA NI KAMA KAPATIA SANA.
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE 22 күн бұрын
😂😂😂😂kuna watu wanajiingiza kwa siri so tukiwagundua lazma tuwake😂😂😂
@BarakaMwakalinga-sn5sp
@BarakaMwakalinga-sn5sp 22 күн бұрын
@@SARAKAMBARAGE Sauli alikua muuaji na siku moja tua kabadirishwa akaanza kumuhubiri Yesu. Kosa la Irene liko wapi? Mnataka mazingira mliyopitia nyinyi ya malezi ndo apitie hayo hayo? Kila mtu ana njia yake na namna yake na neema yake.
@user-yh5wy8lb5k
@user-yh5wy8lb5k 15 күн бұрын
Wanajihesabia haki San na kujiona wakamilifu
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE 15 күн бұрын
@@BarakaMwakalinga-sn5sp umesema vizuri siku moja ilitosha kumbadilisha sauli Mnataka irine tumpe siku ngapi?. Aiseee Yesu alisema anaetaka kunifuata ajitwike MSALABA wake ndipo anifuate. I hope unaelewa nn maana ya kubeba msalaba
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 23 күн бұрын
Kwenye uchungaji badosana mwonekano wako bado u naudunia ndani yako Kwa macho Tu hujabadilika labda rohon maana huko Mungu ndie ajuaye sisi tunaangalia toka mwilini Mungu anaangalia kuanzia moyoni,
@barakabusima
@barakabusima 23 күн бұрын
Wacha bwana blaah blaaah nyingi kope kama chelewa😂😂
@tinajoe5487
@tinajoe5487 23 күн бұрын
Tatizo mmekasirika😅
@davidwatson6821
@davidwatson6821 23 күн бұрын
Njaa inakusumbua Irene, kaa ufundishwe,
@kadijaa7771
@kadijaa7771 2 күн бұрын
Wangapi waongo lkn mama amekosa ustarabu woya nikama mtoto wake kwann usimutafute ukamuonya au kufundisha tna na laaana juu mungu hapendi kuhukumiana
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 23 күн бұрын
Kwa maneno ya Uwoya nimegundua ni mchanga sanaa kiroho
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Uchanga sio suala la kumshangaa coz muda wa wokovu wake unaonesha, swali n je mnamsaidiaje au ndio kucomment ujinga tu kesho msikie amerudi kudanga ndio mpate habari kamili..
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 23 күн бұрын
@@AidanoAlmas tunaendelea kumshauri kwamba aendelee kujifunza chini ya mchungaji Mkuu Yesu kristo ili Mungu amsamehe na kumuamini na Kwa mapenzi ya Mungu aliye muumba anaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake ya kuwa Mchungaji kwa ajili ya kuwalisha watu watu wa Mungu.
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 23 күн бұрын
@@AidanoAlmas Hatuna cha kumsaidia anayeweza kumsaidia ni aliyemdanganya kwamba ukiokoka hatua ya kwanza ni kuwa mchungaji
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE 22 күн бұрын
Yaaani ni kachangaa sanaaaaaaaaa. 😅😅😅😅😅😅. Na nikwasabb hajakaaaa akalelewa.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 21 күн бұрын
@@LodvolaLameck-jl5vs😂😂😂😂😂😂😂
@scollarmwakoba6850
@scollarmwakoba6850 23 күн бұрын
Kazi yetu ni kumuombea tu hiyo kazi ya kuhukumu tumuachie MUNGU
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE 22 күн бұрын
Biblia inaturuhusu mwaya hasa kwa mtu anaejiita ameokoka halaf anatenda tofauti. Hata chakula tumeambiwa tusile nae. Its biblical hatujitungii
@MsaneGeorge-ku7zo
@MsaneGeorge-ku7zo 23 күн бұрын
Mama Yuko sahihi lrene shuka tu
@djmurphyoffcial3595
@djmurphyoffcial3595 22 күн бұрын
Songa mbelee kitaelewaka mbele kwambele usiogope hawo ilimradi Yesu ni Bwana kwako waweza kuamchungaji kwawanao kuamini naana kila mwenye Yesu anachochakumlisha mwingine 🎉
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 22 күн бұрын
Dada yangu maneno machafu na matusi ili ukate tamaa usiyajali na yasi kukatishe tamaa hakuna anaye ifuata njia ya Mungu asikikutane na haya na hata YESU alitukanwa sana na kutemewa mate na hatimaye walimuua, MFANO hakuna mtu aliyekuwa na dhambi kama SAULI hatimaye ndio akawa Mtume PAULO, tizama ZAKAYO, mifano ni mingi tu wana kutengenezea njia washukuru usi wajibu vibaya kaza imani yako mtumaini Mungu mwisho wa yote utawaokoa wengi tu Mungu atakapo kupandisha, Stay Blessed.
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 11 күн бұрын
Acha kumpotosha huyo dada ili mtu afae kuwa mtumishi wa lazima afuate utaratibu uliowekwa kimaandiko na sio swala la kufumba na kufumbua
@ImeldaHaule-s3d
@ImeldaHaule-s3d 23 күн бұрын
Nakupenda sana dada Irene, simamia, songa mbele , yesu anakupenda sana,
@woah.africa99
@woah.africa99 21 күн бұрын
Yesu alikuambia
@davidwatson6821
@davidwatson6821 23 күн бұрын
Bado sana Irene, hapo umechemka, kaa chini ufundishwe, MUNGU ANAKUPENDA
@jeckobass7502
@jeckobass7502 22 күн бұрын
😂😂😂😂 daaaaaah hapana mama yuko sawa tena kanyooka
@AbduSumwa
@AbduSumwa 20 күн бұрын
Ushauri kwa kila mmoja wetu, amuombe MUNGU ampe hekima, maarifa na ufahamu wakumjua mtakatifu wa mbinguni, yaani YESU
@roqayaro9439
@roqayaro9439 22 күн бұрын
Kweli bwana soc mchungaji
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 23 күн бұрын
Irene dada yangu, kubali kufundishwa dini sio mchezo. Mungu anakupenda ila fata njia sahihi. Huwezi kuchanganya mambo.
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Huyo mama hajamfundisha, amemdhalilisha... hivyo ndio wanafundishwaga watu na ww..
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 22 күн бұрын
@@AidanoAlmas ujumbe ni sahihi, inawezekana hajaufikisha kwa njia sahihi.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 23 күн бұрын
Nacho mshauli erena asichukie kukosolewa nikihasi chakusema asante mungu pale niendapo kinyume na wewe mungu nifundishe hata kupitia watu, lakini ukikasirika basi bado mchanga kiroho haya mambo ya kukosolewa nikawaida chapili toa kipini mdomoni maandiko yamesema msijitoge miili yenu.
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 22 күн бұрын
Mama hujuii ni roho ya namna gan iliyoko ndan mwako ata wew bado hujakisiii viwango vya Mungu ila kwa neema tu na yesu hatokei chumban kwenu hakuna mtu mwenye mbingu wala mtu mwenye makadirio ya wokovu juu ya mwingine Irine mtumikie Mungu vile alivyo kuitaaa kwa jina la yesu
@shafiimohamedi311
@shafiimohamedi311 13 күн бұрын
Mungu ndiye uhukumu
@joshuatorokaa5451
@joshuatorokaa5451 12 күн бұрын
Irene pole sana kwamaneno wanayo kutamkia km umeamua kumfuata Yesu yakupasa ubadilike kilakitu ukavirudishe kwashetan ndipo ukamrejee Mokozi yeye yupo anakusubir japo neno la MUNGU halitufundish wanawake kua wachungaji labda uwe mshiriki wakawaida tu na yesu anakupenda bado nafasiyako ipo
@user-yh5wy8lb5k
@user-yh5wy8lb5k 15 күн бұрын
Jamani muda wakusema mtu ni Bora uutumie kumuombea hakuna mtu anaye jua maisha ya mtu binafsi unaweza ukawa mkristo wa muda mrefu lakini mbinguni usiende kama mtu amemfata Mungu muombee na umtie moyo . Mungu ajafata wakamulifu Mungu anataka wenye dhambi ili watubu
@moseshaule586
@moseshaule586 22 күн бұрын
Karibu kwenye Ukristo.. kumbe alikuwa mwislamu..
@Sheba4651
@Sheba4651 20 күн бұрын
Kaja kwenye imani sahihi, hivyo alivyo. Mathayo 21:31.......makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
@issapandu1918
@issapandu1918 10 күн бұрын
Kiki tu izo kaja kuchuma hela alkua mkirsto toka awal
@salmamohammed2986
@salmamohammed2986 4 күн бұрын
Wengi wanakujudge na past yako but I don't.i always focus on future.I believe in you and the path you have chosen.dont give up.❤️❤️❤️❤️❤️
@RehemaChisonjela
@RehemaChisonjela 20 күн бұрын
Huwez jua Imani ya mtu na Mungu wake,ivi nyie walokole mnajionaga kina nani, kwani kahaba hatakiw kuokoka? Imani yako na matendo ndo yatakupeleka mbiguni, na sio kukosea watu,na kujifanya ww ni wa mbingun na wangine ni wapangaji, hakuna watu siwapendi Kama hao wanaojifanyaja kukosoa Imani ya mtu
@SamsonBupamba-oh3yl
@SamsonBupamba-oh3yl 21 күн бұрын
Servant of God never listen what people say, keep on doing what God told you to do for His kingdom.
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 18 күн бұрын
Mm nadhani huyu Irene Kwa maoni yangu ...ningetaka awe mwisilamu yaani vile atapendeza mtoto Masha Allah.....i say Allah ☝️ muumba mbingu na ardhi atakufanya uwe mzuriiiii ata kuliko vyenye uko ...karibu kwenye dini ya kislam irine Kisha tukupe jina la Khadija sivo utakavyo pendeza mwana
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 11 күн бұрын
Hakuna kupendeza nje ya Yesu acha uongo wa shetani chunguza mtu akimfuata Yesu na huyu SAW yupi anapendeza?ukiwa mkristo huwezi kuwa na sura ngumu ata siku moja
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 10 күн бұрын
@@ConfusedChicken-ze9fz pastors wanasilimu Kila uchao wakiwa waislamu....na ata ww Iko siku utakuwa mwislam
@hanifamziray277
@hanifamziray277 23 күн бұрын
Kumbe kope km chelewa.khaaaa ww nomaa
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 23 күн бұрын
Nyie waandishi wabaya sana.mama ajasema irene ni mdangaji.kamsikilizeni
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 20 күн бұрын
Yaani ukiingia kanisani tayari umekua mchungaji. Kanisa gani limekulea na kiongozi gani amekulea Maana mpaka uwekewe mikono na kupewa ridhaa kuwa kiongozi kuna hatua Au ndiyo njia ambayo nawewe umeona upitie kutaka ujipatie pesa , maana siku hizi watu wanaanzisha Makanisa yao binafsi Na kanisa lina kuwa kitega uchumi chake kila kitu kinakuwa cha kwake Labda kama ni kutaka kuwapiga watu pesa Unadhani kuwa Mchungaji ni kulala na kuamka mchungaji Wewe. Acheni upuuzi
@constancewakio604
@constancewakio604 23 күн бұрын
Irene keep following the steps of Jesus Christ he will make u become,,Jesus will transform you day by day dont be discouraged, hata biblia inasema wa kwanza atakua wa mwisho makahaba watatangulia mbinguni..trust the process..gal
@lwillasholastica5197
@lwillasholastica5197 22 күн бұрын
Exactly
@ismaildalong
@ismaildalong 2 күн бұрын
Jamani usimzarau mtu huwezi jua mungu anampango nae gani kikubwa kwa waumini wake wasikilize tu mafundisho wamuangalie mungu nasio irene
@azizayassin3623
@azizayassin3623 23 күн бұрын
Watu wakumbuke thambi uchafu wote yani ata uwe na dhambi zifike adi juu ya mawingu ukimrudia mungu anakusamehe dhambi anafuta mungu na sio mtu pangu pakavu wacheni kujifanya mmejitosha wakuomba ni mungu tu awoshwe na nani kunguni wewe muacheni dada wa watu tna mumkome❤❤❤ nyooooooo
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Asee nimeangalia tena hii video, huyo mama Mungu anamuona 😀
@DawsonDuma
@DawsonDuma 4 күн бұрын
Irene ! Uliyoyasema yote haupo sawa ila usikate tamaa Bwana Yesu atakufundisha endapo utakuwa mnyenyekevu kwake. Usijibizane na watu wanaokukatisha tamaa. Ukiona mtu anakwambia unachofanya ni dhambi basi weka kiu moyoni mwako ya kutamani kujifunza hilo, uwe mtu wa kumuuliza Bwana Yesu kila jambo yeye ni mwaminifu atakujibu tu. Nakutakia kila la heri.
@frankmganda2424
@frankmganda2424 19 сағат бұрын
Kweli
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 23 күн бұрын
Ila kwako hapana dadaaa. Naenda kafundishweee!!!. Kwa utumishi Bado sana sanasa.
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Kamfundishe ww uliokoka enzi za Yesu kabla hajaondoka kwnda mbinguni.
@tinertv1382
@tinertv1382 22 күн бұрын
Ierne hongera sana hilo ulilofanya ni sahihi mtafute Baba wa KIROHO Uanze mafundisho ya kkukulia wokovu!usihukumu hichi ndio kipindi sahihi kwako kuutafita uso wa Mungu ulipotokewa hatukuwepo usivunjike moyo
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 16 күн бұрын
Uko vizuri dada... 😂😂😂 Mpe vidonge vyake huyooo... 😂😂😂
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 15 күн бұрын
Mnatuchezea sana Ukristo
@dorahisinika7576
@dorahisinika7576 12 күн бұрын
Mama yupo sahihi 💯% Irene Tulia..Uchungaji sio lelemama... tumechoka kushuhudia jina la Kristo linatukanwa..,linadhalilishwa.linadharaulika mbele ya macho na masikio yetu😢
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 23 күн бұрын
Wewe irene bado, siku ukiokoka watu wote watajua ila kwa sasa bado. Alafu acha kuzipotosha njia za Mungu. Njia za Mungu ni dhahiri ziko wazi ukizipita unabadilika katika kila kitu katika maisha yako. So be calm and keep reading and studing, then God will consider you as his servant
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Kwamba unataka kujua kwamba ameokoka aende chato amfufue magufuli ndio mtasema ameokoka kweli, yan mnakera sana nyie watu.. mdada wa watu kaamua kutulia bado mwamsimanga khaaaaa!
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 23 күн бұрын
Akiongeza bidii katika kutenda mema Mungu anaweza kumsamehe na kumuokoa lakini akifanya utani na mizaha Mungu atachukia kwasababu ataendelea kulipotosha neno lake. Ndio maana tunasema afundishwe kwanza ili aelewe, vinginevyo atahubiri ubatili na atazidi kuwafanya watu wawe kama yeye. Kwani alivyo mwalimu ndivyo alivyo mwanafunzi wake.
@amoschacha2885
@amoschacha2885 16 күн бұрын
Ndo maana tunasema ukristo sio dini ya Mungu Kila mtu anajipangia tu mambo haya kwenye uislam hayapo Mimi nilikuwa mkristo ila kwa mambo yalivyokuwa yakiendelea kanisani nikaamua kubadili din Yan ukristo jaman daah
@obednyagani506
@obednyagani506 16 күн бұрын
Dada uko vizuri upande wangu nasema pambana fungus kanisa
@MarthaChuwa-o6b
@MarthaChuwa-o6b 10 күн бұрын
Nakupenda sana dada Irene Kaza buti mwanangu MUNGU ANAKUJUWA ZAIDI ya hao
@FloraSlivester
@FloraSlivester 23 күн бұрын
Ilene Mimi nakupenda Sana ila jifunze kunyenyea na na usipende kujibu pia kabla ujaongea chochote muulize roho hili akufundishe yeye
@daudimichael7338
@daudimichael7338 23 күн бұрын
Umesema kweli, wa kujihesabia haki wapo wengi tu, lakini hawana mbingu. Kwahiyo wasikusumbue, kaa na Mungu wako aliyekuita, utasikia Rohoni mwako akikufundisha yeye mwenyewe.
@MARIAMUBAJUTA
@MARIAMUBAJUTA 22 күн бұрын
Nyimbo za Dunia zipo Irene, tujifunze zaidi dini
@bahatimaselo8528
@bahatimaselo8528 18 күн бұрын
Unahitaji msaada wa kukuzwa kiimani na watakaokukuza kiimani Kama watakuwa WAPENDA kujaza matumbo yao utalishwa chakula kisicho kizuri kwahiyo tafta watumishi wa Mungu wanaohubiri neno la kweli la kuokoa utajipatia chakula Cha uzima na hata milele na utakuwa mtu wa tofauti sana. Kubali kufundishwa
@NicholausMziray
@NicholausMziray 22 күн бұрын
Amina mamaang
@user-hn6kv6xe7m
@user-hn6kv6xe7m 9 күн бұрын
😂😂😂 haya Tena mpokeeni mchungaji huyo mwenzangu.na kesho atajitangaza mtume 😂😂😂
@moseskisingi7696
@moseskisingi7696 14 күн бұрын
Irene acha Sanaa hiyo mama yupo sahihi.
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 23 күн бұрын
EBANA MAMA WA KWANZA KUONGEA 😍;;SISTA NAE ANAJIBU UTUMBO TU
@JulianaSinka
@JulianaSinka 23 күн бұрын
Sema mama tunashindwa kuelewa kwanini dini ya kikristo nidini ya kuchezewa nakila mtu Kila Mtu afungue kanisa kupotosha watu hao ndiyo manabii wauongo 😏
@cliffdenis144
@cliffdenis144 20 күн бұрын
Dada yangu unaitaji msada bado plz dada yangu wasikilize waliokutangulia katika Imani plz jamani jifunze kwanza jamani plz
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 20 күн бұрын
Holy Spirit help you Irene
@rehemamwaitenda1872
@rehemamwaitenda1872 23 күн бұрын
We mama na wewe ni hopeless, kama ungekuwa na hekima ungemuita sirini umuelekeze. Halafu kila mtu Mungu anamuita kumtumikia Kwa namna yake. Tuacheni kuhukumiana makahaba watakuja kututangulia kuingia katika ufalme wa Mungu.
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 23 күн бұрын
@@rehemamwaitenda1872 Ndugu sikiliza nikujulishe hakuna kumtumikia Mungu kwa namna tofauti bali ni kuacha dhambi na kuyafanya mapenzi ya Mungu. Watu wengi wamejidanganya na kutaja Yesu kwa mihemko wakijua wameokoka, lakini wakovu ni kitendo cha kuacha mambo mabaya na kuanza kutenda mema ndipo Mungu atakuamini na wanadamu pia. Kwasababu hiyo mchungaji ni mtu anayepinga mabaya na kuwaeleza watu kutenda mema.
@rehemamwaitenda1872
@rehemamwaitenda1872 23 күн бұрын
Nimetoka huko alikotoka Irene naelewa, lakini Kwa sasa sipo vile nilivyokuwa, ni hatua nyingi nimepitia
@rehemamwaitenda1872
@rehemamwaitenda1872 23 күн бұрын
Sitegemei unielewe, kama kwako ni hekima siwezi pia kukuhukumu kwa hicho unachokiamini. Cha muhimu ni kwamba sipendi kuwanyoshea watu vibaya. Ninachoamini ni kwamba kama Bwana Yesu ndiye aliyemuita ndiye atakaye mchonga ipasavyo na atakavyo yeye. Siyo Kwa njia ya kuaibishana kwenye mitandao ya kijamii.
@bahatimaselo8528
@bahatimaselo8528 18 күн бұрын
Wewe unahitaji elimu ya kiroho maana bado una malelia ya kiroho Inapaswa ukae chini utulie na ndipo Mungu aseme na wewe ndgu yangu, usijue kumtaja Mungu ndo umekuwa mkristo hapana.
@user-tr9ht8ro7y
@user-tr9ht8ro7y 16 күн бұрын
Kwanini umuhukumu we unakipimo?
@graceshauri2613
@graceshauri2613 21 күн бұрын
Mhubiri 3:11 Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho .....Kutakuwa kunasauti nyingi ila ipo iliyokuu ambayo ni yaRoho wa Mungu kwa iyo usizibe sikio.I appreciate for your best decision mydr❤
@joycegeorge-mf5kn
@joycegeorge-mf5kn 21 күн бұрын
Hayo unayoongea yapo nje ya point. Point kweli umeokoka na Yesu anakupenda lakin kubali kukaa chini ufundishwe
@mmakojunior9494
@mmakojunior9494 20 күн бұрын
Nataka uniombee mbo''ooo yng inarukaruka
@SébastienKayisire
@SébastienKayisire 8 күн бұрын
Mimi namupenda Irene uwoya kwa sababu marehemu mume wake Ndikumana Katauti alikuwa mchezaji wa Rayon sport ya Rwanda ila hata mimi sibaliane na Irene uwoya kukuwa mchungaji sio kulamuka tu asubuyi unakuwa mchungaji acha masiala kwa mambo ya MUNGU
@Mosesswalehe
@Mosesswalehe 4 күн бұрын
Wewe acha kumzihaki mungu unapaswa ukae kwanza ufundishwe , toa makope hayo kwanza
@kyusa7002
@kyusa7002 23 күн бұрын
Kabisa kwanza akasomee uchungaji pili after izo tattoo
@AidanoAlmas
@AidanoAlmas 23 күн бұрын
Uchungaji n wito sio shule.. wap ulisikia mtume paulo alikua na degree ya utume? Msikurupuke kuhukumu muwe mnapima na hoja zenyewe.
@MedardBenedictoRwabutondogoro
@MedardBenedictoRwabutondogoro 21 күн бұрын
Shetani anatenda na anazidi kututesa wanadamu sasa ona shetani kapitia kwa kahaba irene ili awateke wafuasi wake. Utakuwaje mchungaji wa mungu na huku una makope ya bandia ya watu waliokwisha kufa,kucha za miguu na mikono bandia na umejipiga machata mwili mzima kama joka chatu. Shetani madam ushindwe na uungue kwa moto wa radi ya damu ya yesu kristo
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 22 күн бұрын
IRENE UWOYAA ,SIYO KWAMBA ANAYE KUONYA ANAJIONA MTAKATIFU , BALI UNAPASWA KUWA MNYENYEKEVU KUBALI KUFUNDISHWAA, UKRISTO WA KWENDA MBINGUNI .... UNAUTARATIBU .... MZURI SANAA NA UNAHITAJI UJAE NENO VYEMAA MNOO NA ROHO MTAKATIFU KWA WINGI
@user-pj3eb2bo4o
@user-pj3eb2bo4o 23 күн бұрын
Ashindwe huyu kweli amekuwa malaya sasa hana soko umesema ukweli
@fadhilikayange6876
@fadhilikayange6876 3 сағат бұрын
Ni Bora ungekaa kimya... Ni Bora ukachukua USHAURI uliopewa na huyo mama...
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 18 күн бұрын
Ila watu mbona dini 😢yenu ipo kama mpira kila mtu mchungaji 😢so wote mtakuwa wachungaji je mnao wachunga watakuwepo kweli punguzeni jaman kila mtu mchungaji mchungaji ss na yule aliye sema kufanya mapenzi na mke wako ni Zambi ss mhmmmm au bas
@HassaniUlenge-j5j
@HassaniUlenge-j5j 8 күн бұрын
Irene kubali Dada yetu usiende kwenye ukristo kwa muktadha wa kutafuta pesa na si kwa uongofu wa roho na mwili
@user-be7ql8lh2f
@user-be7ql8lh2f 22 күн бұрын
Wakwanza atakua wa mwisho imeandilwa irene mungu amekuita usirudi nyuma usiangalie watu wanasema nini pambana vita nikali
@zachbula624
@zachbula624 15 күн бұрын
Hakuna mtu unayeweza kumkuta anafanya dhambi ukamwambia aache na akakuelewa.... Mama yuko smart hajapinda sema wewe unatumia ujanja ujanja kujilinda na kumjibu mama... Acha mbambamba.... Hujaokoka na usijilinganishe na Yesu wewe.
@deborasigalla8190
@deborasigalla8190 22 күн бұрын
Mungu yuko pamoja na ww
@prophetislael5265
@prophetislael5265 23 күн бұрын
Jaman wokovu ni mtu na Mungu sio mtu na watu jaman msihukumu msije mkahukumiwa
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE 22 күн бұрын
Nyie ndo mnapotosha watu . Waambieni watu ukweli. Red is red black is black. Hakuna compromise kwenye wokovu. Na unajiita profet😢. Kajifunze vizuri kuhusu kujitwika msalaba. Leo mkisemwa kidogo mnaruka insta live. Watu walichemshwa kwenye mafuta wengne walichinjwa kwa sabb ya wokovu. Leo hamtaki kuguswa na mnakosea. Yesu mwenyew alinyamaza kimyaaa hadi mauti ya msalaba. Mnasomaga biblia gn???
@deborasigalla8190
@deborasigalla8190 22 күн бұрын
We mwenyewe sio.Mungu mpk uhukumu ulijua umepata kondoo wa kwenda nae kuzimu Jack kasema aaaka
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 23 күн бұрын
Mungu hajalibiwi hata sasa anaweza akatoa majibu ya maswali ya uwoya.maana mungu wetu ni mwaminifu,atakupa unachostaili,
@aishamohamedi362
@aishamohamedi362 18 күн бұрын
Ss maisha yakiwa magumu unakuwa mchungaji upo na utani kweli bas ata mm nasubiri uchungaji 😢na 🐑 wangu unaleta utani kwenye din na Iman za watu mhmmm au bas 😢
@tinertv1382
@tinertv1382 22 күн бұрын
Mtumidhi wa Mungu acha kuhukumu!wewe nani alivyoitwa ulikuwepo!avha povu kukutoka ,hekima yako ingefaa ingemtafuta kuliko kuropoka !povu linakutoka kwa mitandao !unamfundisha Mungu wewe ndio uliemuokoa?au ulizaliwa tu ukaokoka njia za Mungu sio zako!usimsaidie Mungu kazi!pambana na familia yako nawe mwenyewe sio kujiona wewe mtakatifu!
@graceswai8769
@graceswai8769 22 күн бұрын
Hakuna aliyejihesabia haki ila matendo yako hayafanani na mtu aliywokoka ww nibarua unasomwa na watu wote matendo yako hayafanani na mtumishi wa Mungu
@redtk2971
@redtk2971 23 күн бұрын
MJINI HAPA KANISA HILO GERESHA TU KUNA MICHEZO KIBAO MICHAFU IKIWEMO MADAWA YA KULEVYA WA TANZANIA AKILI FINYU HAMUWEZI SHITUKA
@idrssakhajenje6082
@idrssakhajenje6082 23 күн бұрын
Una ushahidi
@redtk2971
@redtk2971 23 күн бұрын
@@idrssakhajenje6082 90%
@neemakawogo5479
@neemakawogo5479 20 күн бұрын
Lakini tuweni wakweli ni wapi Irene kasema ni mchungaji mbn mnachafua wenzenu hivo sijapenda sana muacheni jmn mwenzenu ajifunze taratibu
@happymushi2219
@happymushi2219 22 күн бұрын
Irene bado Sana kwa ufundishwe kukulia wokovu- na acha kujichanganya- hutuambii kitu hapo
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq 8 күн бұрын
Irene ACHA kujifanya unaijua Maneno ya Mungu Sana!Tunayafahamu kuzidi wewe,sikia unachoshauriwa!Huwezi kuuambia umma wa watanzania kuwa Kwa muda mfupi huu ulipotoka kwenye uigizaji tayari unatosha kujiandaa na kuandaliwa kuwa pastor,mambo hayaendi hivyo.ungetuambia unaenda kwenye baa kuhubiri walevi,tungekuelewa,unaenda kula chakula,kunywa soda?mtu uliyetoka kwenye mambo ya Dunia?ACHA kujihesabia haki Tena usiwe mjuaji.
@kyusa7002
@kyusa7002 23 күн бұрын
Kaaa nawatumishi wa mungu wakubwa pia soma sana Bible utajua mungu anafundisha nn achen kulitaja Jina la bwana bureee
@azizayassin3623
@azizayassin3623 23 күн бұрын
Wape wapiga bidi nop wacha ajisomee mwenye kuliko kukaa juu ya kitu kungoja kusomewa ex
@josephmusagasa
@josephmusagasa 19 күн бұрын
Huyu uwoya ni real yezebeli
@prophetessmarylight434
@prophetessmarylight434 22 күн бұрын
Wewe dada wacha aje kama Mungu alivyo mwita .....Mungu aliemgeuza mwanzo atamsaidia . Usihukumu ?
@HawaMkesela
@HawaMkesela 18 күн бұрын
Mnatoa sana sadaka ndio maana soko limeamia kanisan. Kakosa soko huku kahamia huko. Mungu hajalibiwi wewe.
@kurwa2lubuva128
@kurwa2lubuva128 21 күн бұрын
Bado sanaaaa
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 23 күн бұрын
Nyie watumwa wa shetani acheni kucheza na neno la mungu mtakufa Kwa upanga wa moto wa yesu acheni ujinga weni
@erickmisongo182
@erickmisongo182 22 күн бұрын
Sio wote wanao kimbilia uchungaji na kuanzisha makanisa wamepewa maono na Bwana wengine wameona wakianzisha watapiga hela na kuwa matajiri
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 21 күн бұрын
Kwa hayo ndio mahubiri ataenda ambia watu kanisani!😂😂😂
@user-zj9op4fb7w
@user-zj9op4fb7w 8 күн бұрын
Jamani mbona huna hekima mama? Kama amekurupuka ongea kwa upole..mshauri..kwa upole.sio unamtukana Irene...watu wataokokaje kwa stahili...mnatukana watu ...
@ANNETWAGI-hg9fc
@ANNETWAGI-hg9fc 23 күн бұрын
Huwezi tumikiya wafalme wawili amuwa kimoja dada akuna maigizo ucungaji ukateuliwa nakanisagani hujakuwa hâta mulokole wewe tayari mucungaji ndani ya Mungu hakuna maigizo dada utakufabule Mungu hazihakuwi.
@MasanjaMkama-bd9rc
@MasanjaMkama-bd9rc 20 күн бұрын
Kwel kbs bdo hajabadilka yuko vile vile anaigza movie za mapnz bdo inaitwa mzan wa MAPENZ
@MichaelJudo
@MichaelJudo 2 күн бұрын
Dad tunakupenda lakini msifanye makanisa kam pango la wanyaganyaji kwa nn,wokovu ni gharam sana sio kam mnavyoona hivyo pata misingi kwanza ya huo wokovu alafu upige maombi mengi sana mmeziona pesa huku kwa yesu hakuna pesa ujue hlo
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 19 күн бұрын
SAAFI MUNGU HAANGALII TU MOYO ANAANGALIA NA MWILI WAKO. 1 WAKORITHO 6: 19-20 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; 20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu. Eti ushukumu wakati bible imasema turekebishane na tuuseme uovu 2 TIMOTHEO 3 16Kwani kila neno la Maandiko, mtu aliloambiwa na Mungu, linafaa, litufundishe, lituonyeshe ubaya wetu, liitulize mioyo
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 20 күн бұрын
mpk machangudoa sasa wachungaji, tutaona mengi mwakaa huu ngoja tusubir 😂😂😂
MCHUNGAJI HANANJA AMTOLEA UVIVU IRENE UWOYA KUVAA VAZI LA KANZU
4:43
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 910 М.
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD 2
42:15
Irene Uwoya
Рет қаралды 44 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН