Wale waliobeba mabango nao Mungu awasamehe. Barikiwa baba Mchungaji🙏
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
BWANA YESU NAKUSHUKURU KWA MSAMAHA YA DHAMBI ZETU WOTE TULIZOZITENDA KWA KUWA HATUJUI TUYATENDAYO. AMEN KUBWAAAA
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Asante YESU kwa ajiri ya mtumishi huyu.
@reginamarwa8636 Жыл бұрын
Aminaaaaaaa na hiyo ndio maana halisi ya ukristuuuuuuuuuu
@tonnyford5782 Жыл бұрын
Endelea kula sadaka Sasa ulilia kwel😡
@janemyinga2575 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kutoa msamaha kwa wote wasamehe bure
@lucianagodson437 Жыл бұрын
Acha roho ya Hila na wivu kwa watumishi wa Mungu
@sophiamahenge8716 Жыл бұрын
Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo
@irenebeichumila6555 Жыл бұрын
Kila moja atakula kwa kalama yake..pesa ni hiyo hiyo sema ina majina tofauti kila sehemu...
@abimaelkilasi2946 Жыл бұрын
Mmmh
@hilaliusjohn8386 Жыл бұрын
Ndugu yangu achana na mitandao wewe gonga injili ya Mungu tu! Kusemwa utasemwa utasemwa lazima ubadilike kiroho nasio kimwili maneno yako hayasaidiii hata kidogo