Mungu wangu! Kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa!
@mwajumalamdhani5872 жыл бұрын
Wanawekwa hapo ndani kujifunza kuigiza kama mapepo ili wakienda kanisani watu waamini kuwa nikweli ana towa mapepo Allah nijalie mwesho mwem yarab
@fahadykajugus2 жыл бұрын
Sahihi
@fahadykajugus2 жыл бұрын
Kbisa
@ntakirutimanaali68852 жыл бұрын
Amin
@sikujuakimi12422 жыл бұрын
Wanadamu mshike elimu usimuache tunafundishwa na watumishi tunasoma biblia bado mungu wa kweli hatujamjua hata tumeanza kuabudu sanamu simama hapo ulipo tuache kutangatanga tutaangamia kwa kukosa maarifa mungu simama na afrika Ipone asante serikari sana kwa kuliona hili
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Wapendwa tujitahidi kujiombe wenyewe tusitegemee sana kuombewa hizi nyakati za mwisho baadhi ya watu wanajifanya wachungaji kumbe wapotoshaji Mungu atupe maalifa na atuongoze vema
@Kristina-fb4jq2 жыл бұрын
Kweli kabisa!!! I wish watu wengi wangejaribu kufahamu na kuelewa kiundani kuhusu mambo ya kiroho wao wenyewe na sio kutegemea watu
@angeljoseph9222 жыл бұрын
Mambo mengine unaweza hisi maagizo kumbe ni kweli,,,watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@خسنموس2 жыл бұрын
SUBHANALLAH!! Huyu mama zumaradi sio mchungji wakaida atakua aliwatumia km msukulo wake kujipatia utajiri..Dunia iko sawa ila binadamu wamebadilika roho km za wanyama.
@hamoudcreator63432 жыл бұрын
Jamani WaTanzania. Tujitahidi KUSOMA na kujua Dini ya Haki.. Kwakweli Dunia imefikia kubaya😔😔😔
@minabuelysee82 жыл бұрын
Iyo kweli Dini ya kweli ni uislam
@lizmass34372 жыл бұрын
Dini ya haki ndio ngani? Wewe sema watu wamjua MUNGU Kwa sababu MUNGU sio dini
@lizmass34372 жыл бұрын
@@minabuelysee8 mawazo Yako wewe MUNGU sio dini
@madytwaa2 жыл бұрын
@@minabuelysee8 mm siwezi kuja kufikia uzombie huo wa kuabudu binadamu alhamdullah nipo huku kwenye dining ya haki🤲🤲😅😅😅
@lizmass34372 жыл бұрын
@crazy billionaire then tutakukosa mbinguni itakuwa huruma sana, kile kitu MUNGU hanataka tumwabudu Kwa kweli na tufanye yampendezayo
@FatimaFatima-wk1jk2 жыл бұрын
Nakushukuru mola wangu mlezi Kwa kuzaliwa katika uislam huku kwetu hatuna manabii wa uwongo wala hata tokea mtu akadanganya umma wa kiislam eti yeye ni mtume au Nabii sababu tuna jitambua YAARABI wape fahamu wenzetu nao wajitambue 🤲🤲
@carolinederi56902 жыл бұрын
Ata kwetu akuna dada hao atujui wana muabudu nani wanataja jina la Yesu bure lakini kiama ipo maan imeandikwa tusitaje jina la bwana bure
@josephmarwa72122 жыл бұрын
Hata ukristo Hauna mambo haya hata sisi wakristo
@alexambrose47222 жыл бұрын
Yes mi ni mkatolic lakini hatuna manabii wala mitume so cjui hawa mitume wamesoma bibilia gani?
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Huko Kuna uchawi na Faraq na blooji Elimu Dunia majini ni waislamu na mapepo 😈😈😈 Ni waislamu wafuga misukule nimesoma Elimu Dunia ya kiislamu
Karibuni katika dini ya haki , dini ya mitume wote, dini ya Uslamu mtaokoka hapa duniani na kesho Akhera.
@bintisudi33692 жыл бұрын
True
@aminashughulishughuli56932 жыл бұрын
Kabisaaa dini ya haki uisilamu
@mamumiyaskitchenvlogs58582 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabbil Ala meen. Thanx Allah for Islam
@immaculatejohn99062 жыл бұрын
Nimekaribia kua muislamu kwakwel
@hemedykiboko26502 жыл бұрын
@@immaculatejohn9906 ❤️
@mwanalyimo24322 жыл бұрын
Tatizo watu wamekuwa kama makinda ya ndege yanaachama tu Yale, hawataki kusoma neno la Mungu, hayo ndio kinawapata
@Kristina-fb4jq2 жыл бұрын
This woman managed to establish a Cult 😄😄 What can I say? I think there is some saying that explains that we need to free our minds from what others tell us on how and why we are in this world but rather start experiencing and learning on our own Honestly!!! Tumeumbwa kwa msingi mkubwa wa fahamu.. kwanini udumaze fahamu ulobarikiwa kwa kufuata mkumbo na kuskiliza wengine wanasema nini kuhusu maisha, tena yako! Ishi, jifunze, connect with Nature!!! All the answers are there
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
Shida inaanzia utotoni. Kila kitu unaonyeshwa na kuiga. So ni kufuata mkumbo wa wazazi, marafiki na ndugu wanaokuzunguka na kusifiwa pale unapoendana nao. Ni ngumu kuja kupata ufahamu wa kujiangalia ndani, we ni nani hasa. Na ukifanikiwa kupata huo ufahamu unakuwa tofauti na jamii inayoluzunguka, wao tena ndo wanaanza kukuona umechizika.
@Kristina-fb4jq2 жыл бұрын
@@RuzoOwzy ni kweli kabisa unachosema Kama jinsi a few of us tumeweza kubreak free nina imani elimu inasaidia na sio hii ya darasani tu, elimu ya maisha asili we need to spread awareness
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
@@Kristina-fb4jq Yah. Elimu ya darasani inanafasi yake. Ila hiyo elimu ya kujitambua kinafsi, kiroho na kimwili, naona tumeyaachia makanisa na kuamini hakuna namna nyingine.
@evelyneniyonzima25252 жыл бұрын
Mungu asamehe watu wanajifanya kuwa watumishi wa Mungu kumbe la shatwani.haya Yote Mungu atawawulizz
@laurentraphael54702 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Hosea 4:6.
@yohanakobero33872 жыл бұрын
Ndugu wanaangamizwa sio wanaangamia.
@rossejoseph88682 жыл бұрын
Jamani watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa watu wamekuwa kama zombie huyo mama kwa kweli hastahili hata kuwa mchungaji huyo ni zaidi ya pepo anazozitoa
@rosejordan53912 жыл бұрын
Sema tu polis ilibidi wasambaze fimbo na uzombi wao ungeisha
@AminaAhmed9992 жыл бұрын
Tunamuomba Mungu Atuonyeshe haki kua ni haki na kuweza kuifwata. Na Atuonyeshe uovu kua ni uovu na kuweza kujiepusha. Ameen.
@finiasezra70722 жыл бұрын
Ukweli gani mnautaka tofauti na biblia?
@hansmswagara27892 жыл бұрын
@@finiasezra7072 bb ni uwongo mtupu
@justinemico18712 жыл бұрын
Safari bado inaendelea kwa kweli kufika nchi ya ahadi ni kazi.
@gladnesssidiu49222 жыл бұрын
Mjue sana Mungu upate kuwa na amani Sasa watu wavivu kumtafuta Mungu wanawatafuta wanadamu matoleo yake ni kuburuzwa,,,, huyu mama anaroho ya Yezebeli kwa mnaojua neno mtanielewa vizuri maana ya Yezebeli ni mzinzi mharibifu mchawi mpenda madaraka mharibu kanisa Kwa hiyo Kumjua Mungu inahitaji kujitoa haswaa soma biblia usisubiri kusimuliwa, omba, mkristo kamili anatakiwa awe mwombaji sio kila kitu uombewe, funga kama ikiwezekana, Wakristo tuache kuwekeza imani zetu kwa watu bali imani zetu Tuziweke kwa Bwana. Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana
@mwlramah2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sanaaaa
@saidmkumbi86222 жыл бұрын
Uko sahihi yizaber wapili
@carrenkapia78412 жыл бұрын
Dada nmekuelewa Sana pitia peps kwa mangi nakuja kulipa, wakristu tuache uvivu tusome biblia tulijue neno tuspende miujiza ya wanadam
@gladnesssidiu49222 жыл бұрын
@@mwlramah amen barikiwa pia sana
@gladnesssidiu49222 жыл бұрын
@@saidmkumbi8622 yaani inasikitisha sana kuona watu kuangamia Mungu atupe masikio na macho ya rohoni tujue kuchuja mema na mabaya
@bintikigoma2 жыл бұрын
Kuitazama mpaka Mwisho uone Maajabu ya Mfalme Zumaridi toa maon yako Comment like na Share
@aisatahaisatah26122 жыл бұрын
Subhana Allah
@samidquiz63162 жыл бұрын
Sema alhamdulilah kwakuwa ww ni muislamu
@mohammedmatumla5382 жыл бұрын
Mwisho wa aibu ni fedheha, mwenye macho aambiwi ona ✍️
@mosesmzakwe77742 жыл бұрын
Polisi punguzeni Ujinga. Mumemkamata MTU kwa ushahidi harafu mnasema ushahidi ukikamilika. Pumbavu sana nyie. Pigeni huyo zamaradi mpaka anyeeee.
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Pumbavu mwenyewe wewe umesomea police watu wameyaibua ayo wamesaidia ndg zetu unawafundisha chakufanya ivi kwanini msiwalamu majirani wauyo mjinga sikuzote hawakutoa tarfa kila kosa ni police wangepambana nao wakafa bado mgesema wauwaji muwakome police mkiona hawatendi sawa kawakamateni nyie 😌
@edinawilliam29432 жыл бұрын
Wakikamatwa watu mnadai ushaidi niwauwongo acheni wakamirshe ushaidi wanaotaka wenyewe kama unaona police wajinga mpeleke wewe mahakamani na ukatoeushaidi unaojua wewe kilakosa police undg zenu wakipotea ni police kumbe wengine wapo sehem tu achenikukaaa kilasiku mnawapamakasiriko yenu police mnakeraaaaaa wapeni ata pongezi wakifanya kz vzr
@blueberrypotatogames79502 жыл бұрын
Atawageuza mapepu na wenyewe. Sedan uyo mchungaji
@ashaamini83842 жыл бұрын
Uyo mama jamn sio mtu mzuri watoto wawenzio ukawafanye ivo alafu anajiita mfalme subuhana allah
@rhdimpoz60192 жыл бұрын
innalillah wainnalillah rajion
@ramlamburi97432 жыл бұрын
Mbona vioja 😂😂😂, ahsante Mungu kwa kunifanya kuwa muislam.
@winfordmwangonda53752 жыл бұрын
Ningekuwa ni polisi ningewachapa bakora hawa vijana wanaojifanya wehu
@treshazgodfather92192 жыл бұрын
Ndo dawa yao😀😀😀😀😀😀😀😂Kichapo cha kwenda
@esabelfadhili84322 жыл бұрын
Kabisaaaa yaniiii akili zingewakaa sawa ningetandikaaaaa
@gracedanfrod23182 жыл бұрын
Yaani mimi nimepata dhambi🔫🔫🔫
@AminaAhmed9992 жыл бұрын
Tafadhqlini rudini kwa dini za mitume ambayo Mwenyezi Mungu Amechagulia wanadamu wote.
@mchungajijovin66952 жыл бұрын
Ukweli ulivyo Shetani amepofusha ufahamu wa watu hapa duniani,ikiwa watu wanawatukuza watu badala ya Mungu ,ushaur ni vyema Zumaridi na wengine wanaojiita watumishi wa Mungu serikali ifunge huduma hizo.
@fortunatamasigati36542 жыл бұрын
Mwenyezi mungu tusaidie😭😭😭
@mohamedidangeni3462 жыл бұрын
Ukweli upo wazi,kunadini mtu akijiita Mungu viongozi wakubwa waiyo dini awanauwezo wakumuoji,uo uungu umeupataje,wanamuacha afanye anavyotaka.mfano Kenya Kuna Mungu wanyonyi na watu wanamuabudu
@nizamsoffe13312 жыл бұрын
@@mohamedidangeni346 she came, she saw then she conquer. 😂
@amaninaupendo.35392 жыл бұрын
Majanga haya. Mungu aturehem. Amen.
@florahthamson82572 жыл бұрын
Na hiyo mapepo mbona wamevaa sare kama walipangwa? Jaman Mungu atusaidie
@mr.machange13772 жыл бұрын
Mnakosea sana kumwita MCHUNGAJI ile hali hata yeye hajiiti mchungaji kwanin mmwite mchungaji
@hammerymachogu38852 жыл бұрын
Jamn hao wat wameshaharibiwa ufahamu ili wamtumikie hyo malikia wa kuzimu anayejita mtumishi wa Mungu, kuna shemj yet nae alishakimbia mji wake anatumikishwa huko, dunia imeisha
@hamedmohammed89122 жыл бұрын
Naiona neema kubwa ya mimi kua muislamu. Namshukuru Allah kw kuniongoza kwenye njia sahihi
@Chapesamedia2 жыл бұрын
Huyu mama anaakili sana hata wakimfunga nina imani watoto wake watasoma vizuri dini zingine nazo kila miaka 10 kunaibuka wanabii wa mpya wa uwongo dahh bado hamjuwi kama ni biashara
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Wakiambiwa wabishi mana dini hi kila siku mana bee na kuimba basi wana kua kweli kumbe wanadanganywa na kunufaisha hao wezi tu mtu kujita na bee mana bee ni wa kale sio sasa na leo huyu ajita mungu kweli mtu na akili yako unaamini unarukaruka au ni majini hawa Mbona wako hv
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Hivi kila mmoja anasikgizia yesu kila atakae taka kufanya maovu lazima ambiwe ni wa yesu jamani muogope ni mungu mtakufa huo na bee isa bin mariam naona anasingiziwa tu wala yy hayumo kabisa na mashetani watakuja kujibu kwa mungu wanaonjita miungu duniani shenzy
@vincentcharles43852 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 Usiongelee dini,ongelea watu fulani,maana hata dini yako kuna watu wananufaika kwa njia tofauti pengine hata kwa mwamvuli wa Muhammad,hivyo keep hold on your iman and let others believe what they believe,after all hizi dini za wakolini zisitugombanishe kikubwa upendo.
@unknownafrica55682 жыл бұрын
@@vincentcharles4385 ulifikiri kunijibu muhamad ndio umejibu isa min mariam ni na bee wa mmungu kama mana bee wote na nkiongelea hicho ujue nimemanisha huyo anavyo muharibia masih kua yy ana hubiri vitendo vya na be na kahubiri hv kufika kuimba kuvaa suti wapi hiyo isa ni mtume wa mungu aliteremshwa kwa wana esrael walipo kufuru na isa alimuabudu mungu na kusujudu na sio dini ya wakoloni kama unavyo fikiri dini ni ya mwenyezi mungu alie umba ardhi na Mbinga isio na nguzo isa na muhamad (saw) ni kitu kimoja ila makafiri wakatoa isa ibada isio takiwa wakati yy hakufanya hivyo wamechukua kutoka kwa wazungu kuimba na wanawake kupiga kelele barabarani kibiashar isa hajaimba alisujudu na kutawadha na kufumika kichwa mzungu hana nabee na shanga mnatenganisha mitume wa mmungu katokea dini hi na mitume wote ni wametokea huko kwa muhamd saw) dini ni ya mmungu mkoloni anadini yake ya kibiashara fuatilia utagundua yote kama hao wanawake mana bee au kila kukicha mana bee wa uongo wapumbavu ndio wanawamini
@vincentcharles43852 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 Kumtaja Muhammad sio kwa nia mbaya,point ni kwamba ume generalize dini na sio mtu aliyefanya kitu fulani,hivyo siwezi kuukosoa uislam kwakuwa kikundi fulani kinatumia mwavuli wa kiislam kuteka watu,kuuwa watu kwa kuwa uislamu haupo hivyo,lakini pia suala la dini ni imani ya mtu,hakuna aliyeenda kwa Mungu akarudi na kutoa ushuhuda wawote,hivyo imani yako na matendo ndo kitu muhim.
@jeniffermasha25402 жыл бұрын
Kabisa ndiye yezebeli muuaji wa manabii wa Mungu,,tuweni macho wakristo kwani watu Hawa Ni jasiri Sana kuongea uongo kwao Sio Shira,,tuutazame wokovu wa kweli ulio katika Kristo Yesu
@Shalomgospelsgdtv2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@NellyWaKidato2 жыл бұрын
Ndio Maana Hata Habari Za Kusali Sishobokei Naamini Katika #Mungu Na Si Vinginevyo
@rehemaseif17852 жыл бұрын
Innalillah wainnailayh rajiu'un.
@saiditwalibu52442 жыл бұрын
Kwa wakiristo nikawaida tu kwao Binaadamu mwenzao kumwita Mungu, hakuna cha ajabu hapa,,
@ilovejesus6662 жыл бұрын
Wana chukua watoto wakiwa wadogo wanawashulutisha kwenye mambo Yao ili baadae wawe watoaji ushuhuda wengine wajifanye vilema wengine vipofu wengine wajifanye maiti yani ukafiri kazi
@kijanamatata71352 жыл бұрын
Hii movie Kali sana aseee, ina episode ngapi??
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Kitu gani hiki jamani???
@URTVISION2 жыл бұрын
Mapepo na mizimu yalipuka kwa huyu mungu feki, miungu feki hua zinaambatana na mapepo.. Ni Yesu pekee yake anaweza kuokoa roho zao yangu na yakoo..
@allypapaa4892 жыл бұрын
Kwenda mbinguni ni kazi kweli kweli
@pendoemmanuel88812 жыл бұрын
Nikikoswa bando huwa Sina Raha. Maana bando ndiyo Raha yangu. Inanipa utamu Kama huu. Ni kucheka tu japo mengine yanaumiza
@fatmakombo75842 жыл бұрын
Ina lilahi waina ilaihi rajiun Tufike mda tumuogope mungu Jamani
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Waombewe akili zao zirudi kwa jina la Yesu Kristo
@ummukulthumsaid61582 жыл бұрын
Waombewe nini wana akili hao wanajidai tu uvivu wa kufanya kazi na kutaka vya bwerere
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
@@ummukulthumsaid6158 usinichekeshe Mimi, as asante
@adammj62582 жыл бұрын
Tatizo hapo wanafanya hayo yote kwa jina hilo hilo la Yesu na wanaamini wako sahihi,ni utafute jina lingine
@unknownafrica55682 жыл бұрын
@@adammj6258 wanamsingizia isa bin mariam kwa mambo ya ushetani
@adammj62582 жыл бұрын
@@unknownafrica5568 huo ni ubaya na utawarudia siku ya qiyama
@halimajamaniamekuwamndeme96172 жыл бұрын
Mungu wangu, is two Mitch, siku hizi kila koma maksnisa, mtu akijisikia kufungua ksnisa anafungua mungu tusaidie,
Misukule hiyo jamani mmh Kwa Mungu kila goti litapigwa Ohoo Lord have mercy of us 🙏
@serafinamalecela47282 жыл бұрын
Jaman duniani kunamambo ya ajabu sana kwann amefanya hivoo kwa binadamu wenzie kuwafanya kama mizukaaa😔😔😔
@thebosslady90012 жыл бұрын
Baade yakiwatoka wakiangalia hii video hawakuja kuamin km ni wao maskin inatia huruma sana binadamu mwenzio kumfanya zombi
@lolyngoty45732 жыл бұрын
😅😅😅😅😅uwiii nakufa eti mazombi jmn 😅😅😅 kumbe wakiombewa tena wanakanyagwa 😅🤲 jmn mwanza wasukuma vp lkn mbona ivo eeh nsije nkawa zombie na mm bure 🚶♀️🏃♀️😅
@katekupaza93852 жыл бұрын
@Christina, Ndio hapo sasa, watu wanakua hawawezi kujaribu kutafuta, kujifunza, na kuyajua mambo ya kiroho wao wenyewe kama wao... Navyoona ni kwasababu watu wamekariri wanachokiamin, na kukariri inaleta hofu ya kukiachia... Sasa watu hawathubutu ku-question kile wanachokiamini., maana ili uweze ku-question jambo lolote, inabidi ukae pembeni kidogo ya hilo jambo ili uweze kuli-observe vizuri, na hapo ndio utapata chance ya kulijua vizuri kwa undani na kwa ukweli, na baada ya hapo ndio utapata uwezo wa kuamua. Kwasabu ukikaa pembeni na ku-observe, unapata chance ya kuiona kweli kwenye jambo fulani na kufanya maamuzi sahihi... Tatizo ni kwamba watu wame-cling kwenye wanachoamini kwa hofu kwamba wasikipoteze na kuangamia...
@waukweelinikkon65552 жыл бұрын
Daaaah sijui hata nacheka nini haki,kama misukule vile🤣🤣🤣🤣🤣
@gladysalbinus76462 жыл бұрын
Wonders never end😄😄🙏🙏
@sofisayed47682 жыл бұрын
Frimason mungu akushindeni na akushindilieni
@singinggirl65542 жыл бұрын
Hao wanao piga kelele ndio wanaigiza kanisa ili wengine washawishike waende kwenye maombi ni huongo mtupu Muombeni mwenyz mungu ndio kila kitu jamanii na humjibu kila mja kwa wakati wake.
@maryndewele61872 жыл бұрын
Huyu ni mfalme wa giza kwa kweli mungu atusaidie
@elizabethnaih54552 жыл бұрын
Ukishangaa ya Kenya njoo uwone ya Tanzania,.
@erickmeshac31352 жыл бұрын
🤣🤣🤣 hakika Tanzania kwa mazingaumbwe mmebobea kutuliko Kenya 🇰🇪
@jumahamis2272 жыл бұрын
Kenya hakufai zaidi we mtu kamsulubu mwenzake kama yesu msalabani 😆.
@erickmeshac31352 жыл бұрын
@@jumahamis227 🤣🤣🤣ila Tanzania kwa hili shikamooni
@hassanwanje96142 жыл бұрын
Mashaka haya sjui ibada gan
@fazeelshomary27042 жыл бұрын
Aisee, kwa hiyo hawa wanaopiga makelele na kurukaruka ni vipi?
@sarahomary36152 жыл бұрын
Wameingiwa na mapepo walivyoingia hapo nyumbani kwa huyo mmama
@josephmarwa72122 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@josephmarwa72122 жыл бұрын
Yaaani
@festohaule44002 жыл бұрын
Dili hizi zililetwa tu..Pole sana Tanzania pole kitovu changu..
@abdiaziz2212 жыл бұрын
Alhamdulilah kwa uislamu.
@latifamohammed612 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@rithamsuva3892 жыл бұрын
Sio Mchungaji bwana huyo ni mfalme na haamini Mungu wala yesu maana yeye mwenyewe anajiita Mungu
@abdallahabibu83402 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@salmaathuman91562 жыл бұрын
Ukimtegemea sana mungu na kimwamini Wala hizi laana hazikuafuti maana mungu anakulinda na ushetani kama huo
@rithadonatus81102 жыл бұрын
Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maharifa
@mudrickabdallah72512 жыл бұрын
Sawa kusoma hamjui basi ata picha hamuoni??? Nashkuru mungu sana nimekua mwenye bahati kuzaliwa muislam
@rabsontryphon92542 жыл бұрын
Acha zako unamaanisha uko uchafu hakuna? Bora ayo uliyoona fungua akili yako mzee acha udini ata uko kuna wachawi wakubwa wana mandondocha ndan balaa🤫
@margaretmwandila20862 жыл бұрын
MUNGU WA DUNIA,NABINADAHAMU,WANAMFATA KWERI?JAMANI WATANZANIA TWENDENI TUKAMUOGOPE MUNGU,WITH GOD NOTHING IS IMPOSSIBLE,UMASKINI USITUFANYE KUMCHUKIZA MUNGU WAMBINGUNI,
@witnessmarley53912 жыл бұрын
Afrika shida Sana...hatuna maarifa
@sarahtaste28762 жыл бұрын
Nimecheka sana watu wazima hovyo sana wangenaswa vibao akili zikae sawa kwanza pumbavu
@allyahmushi1252 жыл бұрын
Hahhahaa kabisa
@ramamabinda50632 жыл бұрын
Daah aisee nmecheka sana. Kumbe Kuna wapumbav wengi sana
@subirajohn7282 жыл бұрын
Maajabu ya dunia jamani!
@judithkatoto33162 жыл бұрын
Shetani huy mama polisi wachukue sheria
@caroally51512 жыл бұрын
Kwanza picha linaanza nyumba imeandikwa mfalme wawafalme Mungu aturehemu
@shammxtv56082 жыл бұрын
Keshawageuza mataila😂😂😂
@samiajabu22562 жыл бұрын
Hili sakata limemsadia dada hapa naishi nae alipoteza mtoto toka mwaka jana mwezi wa 3 kaja kupatikana humo alikuwa kafungiwa tena mtoto alikuwa mkubwa miaka 9 walimchukuwa nje akiwa anacheza na wenzie.hakika mungu nimwema .anakabidhiwa mtoto akaambiwa asali saana.
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Subhannallah, 😂😂😂 Innalilah wainailah rajiun
@loveelooh19642 жыл бұрын
Subuwana la ndo nini
@temuramadhani5134Ай бұрын
Dini zingine na Imani zingine za kipumbavu
@adventurewithsaddam6172 жыл бұрын
They should try this nonsense of zombie apocalypse acts with our Kenyan General Service Unit (GSU).
@columbus20842 жыл бұрын
So GSU will act out of professionalism?
@williamsville34932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@salimkombo11642 жыл бұрын
Wangejuwa hawajui ile kichapo wangepata mungu ndio anajuwa
@momobakari96802 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jumahamis2272 жыл бұрын
Askari wakenya nuksi kwanza wangerushwa kwenye karandinga kama style ya Erick omondi ile 😂.
@zanzibarsmzenji2 жыл бұрын
Kazi nzuri ,bongo zombies live na sio fake . Mlikua muwapige mikwaju tu.
@officialkamdudu2 жыл бұрын
tia bakora hao mapepo wa michongo mbona watatulia tu ? sema serikali inachelewa sana kuchukua hatua maana huyu kafirat amefanya ujinga mwingi sana na serikali iko kimya tu
@Inspiringagenerationofwinners2 жыл бұрын
Huyu Mama Wanamuonea wivu kwa mafanikio yake makubwa. amesaidia watanzania wengi ndio maana wanampenda na kumfuata sana. mungu wake atampigania. mambo ya aina hii ndiyo inafanya Afrika ishikilie mkia kwenye maendeleo. achecni huyu mama hajamdhuru yeyote
@harounali90572 жыл бұрын
Wange kuwa wa Islam wange pigwa risasi na kuambiwa magaidi.
@gloriakatikiro59452 жыл бұрын
Unapuyanga sasa
@judithkatoto33162 жыл бұрын
Mchawi huy mama jamni mungu fanya jambo kwa mwanza Hy mama ni shetani muuhaji mkubwa
@trio99112 жыл бұрын
All of us are dead 😂😂
@loner_wolf2 жыл бұрын
Human being is simple as bob marley said , educating him and him become like educated ..... Sasa huyu mama cjui kawadanganya nn hawa watu hata wamtumikie hiv na kumuacha mungu muumba wa vyote
@francinenahimana72892 жыл бұрын
watu wamesha geuka zombi mungu wangu
@padorsmart62492 жыл бұрын
Kweli kihama tulizoea kuona kwenye muvi hayo mazombi
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Kumbe Vibwetere bado wapo. Mambo ya ndani mnaoazi nzito hongereni
@sarahmunga58852 жыл бұрын
Afro sinema continues after break.. 🤣🤣🤣
@aishaalbalushaishabalush82912 жыл бұрын
sema sahiv tanzania hakuna rais wala amri kali ya serkal hao wote walitakiwa kutiwa ndani nahuyo mwanamke nasio kuwabembeleza hivi awwn jeshi ya police haiwez washika kwa kuwaonea hilo nikosa la jinai jamani serkal ya samia kuweni wakali katka mambo yote yakijinai sasa hao watoto wadogo jamani nyiye inchi yenu imeshikwa na laana kubwa sana
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Subhannahllah
@rosetembe37852 жыл бұрын
😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂😁 ndo Nini Sasa,njaaa zitatuua waTanzania but wanafurahisha etiiii,hacheni watu waenjoy jamani,mazombi😂🤣😂🤣😂🤣Afisaa aliyevaa shati la blue anajikaza tu anatamani akimbie etii,anajuta kuingia akiiiii mazombi wamechachamaaa etiii
@hussenihusseni27612 жыл бұрын
Ndio hao wakristo wanaamin mambo hayo wajionee wenyewe walivo wabishi et wakiamin wakina mwaposa ni watu kweli Sasa ni waulize Kuna tofaut gan ya zumalad na mwamposa achen ujinga kuwen na akili lakin imeandikwa wajinga ndio waliwao
@elizabethchaula60682 жыл бұрын
Huo sio ukristo
@lupaprince12292 жыл бұрын
Hayo siyo mapepo mtangazaji, hawa ni watu waliojiondoa ufahamu, hapo ukimzaba mmoja kofi la maana, wote watatembea vizuri.
@barakajpilly69002 жыл бұрын
bongo movie sok lenu linachukuliwa uku😂🤣🙌
@AminaAhmed9992 жыл бұрын
Suluhisho za matatizo zote hizi ni kumuabudu Mungu pekee na kujiepusha na ushirikina zote
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
Jifunze quran kwa hukmu gusa picha yang hapo kama hautojl
@jescamartine80652 жыл бұрын
,😂😂😂😂😂😂 ngoja nicheke kama mazuri maana nivichekesho tuu eeeh mungu wanusuru Hawa watu hawajui walitendalo