Pole Kwa walim na wanafunz mung awatie moyo wanafunz wot pia na wazaz wa marehem bwan ametoa na bwan ametwaa Jin la bwan lihimidiw amin
@bostonnyatuo86753 жыл бұрын
Poleni sana wapendwa kwa msiba wa mwanafunzi Frasins Mwakayoka nimeumia sana kwa kusikia kifo chake.Mungu awe faraja yenu.
@nurdinmfamau34933 жыл бұрын
Yapo Mambo Mengi Yakujifunza. Moja Nakubwa Ni Tujitahidi Kumuabudu MOLA Kwakadri Ya Imani Yadini Yako. Bila Umri Namuda Kwamaana Muda Mwingi Nikujitahidi Kwaibada Kwanini Twasema Nahatumaanishi Yakuwa Sisi Niwacha MUNGU Lakini Kiilivyo Ukweli Nikwamba Hakuna Namna Yakuukimbia Umauti Isipokuwa Namna Yakujiandaa Naumauti. Nahakuna Maandalizi Zaidi Yakufanya Ibada. Kwasababu Hakichagui' Hakina Taarifa" Wala Muda Maalumu. ILLAH KARIM Atusaidie Sisi Najamaa Zetu Namarafiki Juu Yakukumbuka Umauti. Pamoja Namipango Yetu. Kifo Nacho Kinamipango Yake. WABILLAH TAUFIQ
@rechoinnosent55783 жыл бұрын
Jmna inaumiza sana
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Inauma sana
@ngoshatv14382 жыл бұрын
Base
@mwamuyerajab27672 жыл бұрын
Rip
@lsacklsack7 ай бұрын
Inauma sana jamani kweli umaut tuna tembeya nao inalilah wa inalilah rajun
@magesagamba27493 жыл бұрын
Inauma Sana😭 poleni Sana,hapa kunafundisho juu yakuwa tayari muda wotewote kuwa na Mungu wetu
@raymondlaurent94033 жыл бұрын
Tunakushukuru Mungu si kwa kumtwaa Francisco Mwakajoka, bali KWA kumleta kwetu na kuendelea kutupa Fundisho kubwa kupitia Fumbo la kifo. Pumzika Francis.. mwenyezi Mungu akufanye Uwe kasisi wake Uko Mbinguni
@sylviatesha46633 жыл бұрын
Hakika katuachia ujumbe.
@VanisyJonathan8 ай бұрын
Hii ni ixara kwamb dunian sisi ni wapitaji tu haijalishi una umri mdogo kiasi gan kikubwa ni kuwa tayar any time,poleni sana😭😭😭 na Mungu awatie nguvu
@burtonlwenje18513 жыл бұрын
Mungu mwingi wa rehema awafariji wanaigamba sote pamoja nafamilia Walimu na wanafunzi wote .mwanga wa milele umpe Ebwana.
@edwinalexander11703 жыл бұрын
Dah inahuzunisha sana, RIP Francis poleni sana wanafamilia
@joycemlwale54223 жыл бұрын
Imeniuma nalia jmani huyu alikuwa Padre wetu...mtarajiwa....Mungu ampokee kwenye mji wake wa milele.
@halimamasai22343 жыл бұрын
Poleni sana wana familia na wanafunzi wote inasikitisha sana lakini ndo mipango ya mungu cha muhimu ni maombi kwa kijana wetu mungu awape nguvu wazazi wake
@zulfakajanja11702 жыл бұрын
Poleni Sana wafiwa wote mhngu amlaze pema peponi eeh yarabi utujahalie mwishomwema waja wako
@sharmelasaif473 жыл бұрын
Maskini pole sana wanafunzi hasa wewe uliokua wataniana nae nakukaa nae dawati moja lazima uuumie sana mwanangu
@modestajackson94253 жыл бұрын
Polen Jaman Mungu ampokee na apumzishe roho yake mahali pema 😭😭😭😭 🙏🙏🙏❣️
@mtatirosolo4213 жыл бұрын
Polen xan kwa msiba wagafla nami pia n mwanafuz w kidato cha tatu nimesikitika tumempoteza mwenzetu n huzun! (bwana ametoa~bwana ametwaa~jina lake lihimidiwe amin) nawaomba wanafunz wanafunz wenzang tujipe moyo kipindi hiki kigumu cha majonz niko Mwanza ilemela
@Happizo6 ай бұрын
Wewe ni mwanafunzi unafanya nini huku KZbin
@andrewpeter8232 жыл бұрын
Poleni sana kwakipindi hiki kigimu mungu awatie nguvu ndugu na family kwaujumla
@maryjaselly77723 жыл бұрын
ee mungu Tulindie watoto wetu ma shuleni duu Imeniuma sana shetani alijua kesho yake yaani Katunyongea mtoto jamani tena huko Chooni Hakufai Wazazi we zangu Tukumbuke kuwaweka watoto wetu mikononi mwanangu Jehovah
@elizaibrahim28352 жыл бұрын
Munguwatotowetu.. Tunawawekamikononimwako.. Pole. Mamamzazi
@priscajohn60903 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa wote! Inaumiza sana hasa kwa mzazi
@happynessmassawe47213 жыл бұрын
Du inauma sana kiukweli amenimwaga machozi. Mungu amlaze mahali pema peponi
@rehemaathuman66693 жыл бұрын
Mungu mkali jamani roho Inauma Sana ,,,,ni kijana ambae alikuwa na ndoto kubwa janani kumbe mungu nae kaweka mipange yake ,,fransi ndoto zako zitatimia uko uwendapo utakuwa pastar mzuli kwenye ufalme wa mungu ,,na utojutia kuwepo uko maana utokuwa na mawazo wa strees Tena ,,,,japo uliowaacha na kuskia ndo tutapa shida pare tunapokukumbuka
@AgnessmichaelJilya8 ай бұрын
Duh poleeeee xaana Mungu awatie nguv wot marafik zak piah na walimuu 😭😭😭😭ni uzun kubwa
@taiceedward81673 жыл бұрын
Poleni sana wazazi wanafamilia wa wigamba sekondari ndugu jamaa na marafiki wote...R.i.p Francisco Mwakajoka
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Unajua sijaelewa kwahoyo mtoto huyu kafaje ni usrikina sumu au ni vopi
@NeemaSamwel-k9u5 ай бұрын
Mungu amlaze pema peponi🙏🙏🙏🙏🙏
@carollinenassoro22612 жыл бұрын
Daah sawa francee nakumbuka tulionana jioni amby kesho yak ndo ilikuw siku ya kifo chako kesh ako ulikuwa ukinielekeza jinsi ya kutembea na ukanambh utaanguka jithd uwe unatembea vzr as si ungesema rafiki angu kam ndo ulikuwa unaniaga daaah😭😭😭😭ndakukumbuka daimaaaa
@linahsemindu42613 жыл бұрын
Dah nashindwa hata Cha kusema huruma Sana watt wanavyolia 😭😭😭😭pumzika kwa Aman mwanangu
@priscamonyo8893 жыл бұрын
Daaah Mungu awe pamoja na wazazi wa mtoto awatie nguvu poleni sana walimu na wanafunzi bwana ametoa bwana ametwaa jna la bwana lii imidiwee Aminaaaa🙏🙏🙏🙏
@rahmaabdulla49493 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa wote, ilachooni sikuzuri hatakidogo madudu yana kaaa sana vyooni ndiomana tunatakiwa tukiingia tusome dua nakutoka pia toseme Ili Mungu atukinge nayo
@cathyimma77973 жыл бұрын
Dah R.I.P mwanangu sote tu njia moja tangulia baba hii imenipa huzuni nmekumbuka watoto wangu wawili wamenitoka mmoja mwaka jana mmoja mwaka huu eeh MUNGU watie nguvu wanafunzi hawa na wazazi wa marehem piah🙏 ilaze roho ya marehem mahala pema peponi Amen
@zuweinaalhabsya87733 жыл бұрын
Pole Sana dear Mungu akupe subra
@mjukuuumachoz15993 жыл бұрын
Pole sana😢
@cathyimma77973 жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 asante my nishapoa
@cathyimma77973 жыл бұрын
@@mjukuuumachoz1599 asante sana
@zuweinaalhabsya87733 жыл бұрын
@@cathyimma7797 ❤️❤️
@kaziamyself68303 жыл бұрын
Yani France nimeongea nawewe baada ya wiki mdogo wangu naambiwa umetutoka kweli inauma bora ungeumwa hii ghafla inauma sana 😭😭😭😭
@elshamakomba46332 жыл бұрын
Mungu ailaze Roho take Manali Pema pake
@ayubukamwera14742 жыл бұрын
Daa poleni sana wazazi pamoja na familia na wanafunzi na Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema amen
@elizabethkhayasi84223 жыл бұрын
Uchungu Sana Sasa hivi nashindwa kuyazuia machozi 😭😭😭😭😭 Rip Francis May you dance with the angles. Eeehh mwenyezi Mungu watie nguvu wanafunzi Hawa.
@lastkinglastking33263 жыл бұрын
Kwa Mungu tumetoka na kwake tutalejea Pole sana ndugu zangu
@olphamoraa66833 жыл бұрын
Pole sana wanafunzi,walimu na wazazi inauma kwa kweli 😭😭😭😭😭
@hajamaonlinetv65083 жыл бұрын
Dah! Inauma kwel. Poleni sana wafiwa
@subirajohn7283 жыл бұрын
Poleni sana watoto Mwenyezimungu awafariji watoto wetu kwa kumpoteza rafiki yenu mwanafunzi mwenzenu! R.I.P Francisco Emmanuel!
@rachelthomas18663 жыл бұрын
Pole sana!! ndugu ndugu na jamaa mifikwa na msiba!!mungu alitwaa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe!😭
@charlesmyamba85313 жыл бұрын
Poleni Sana wanafunzi wote huko aliko mungu amlaze pema Francisco ..
@angellephard72633 жыл бұрын
Du Pole sana wana family RIP France
@nophatngogo16202 жыл бұрын
JE UNAFAHAM Njia Rahisi Ya Kuondoa changamoto ya kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo ndani ya siku 7 tu! Hakuna kitu kinakera kwa mwanaume kama kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo Tatizo hili limewafanya wanaume wengi kushindwa kufurahia maisha Ya ndoa na kuaibika kwa wenza wao Mbaya Zaidi limewaondolea amani na ujasili kwenye mahusiano yao Cha kusikitisha zaidi endapo tatizo hili usipolitibu mapema linaweza kukuondolea uwezo wa kushiriki tendo la ndoa milele.na mahusiano yako kuharibika kabisa Habari mbaya zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio. Kama na wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo Basi Nina habari Nzuri kwako. Nimekuandalia PROGRAM Maalum BURE, itakayokuelekeza hatua kwa hatua … Namna sahihi ya kuondoa tatizo hilo bila kutumia madawa yenye madhara Kupata PROGRAM yako BURE save namba yangu 0627970873(AFYA_HEALTH_CARE) kisha ntumie ujumbe (NGUVU) Kwenda whatsApp kisha nitakutumia PROGRAM yako BURE. N.B: Ujumbe hautokuwepo Online Muda wote Chukua hatua kabla ujumbe huu KARIBUNI SANA🤝🤝💪
@mudhilshaibu18953 жыл бұрын
Inauma xna hakika mungu amlaze mahala pema pepon amina
@deboraagizo28772 жыл бұрын
Polen na msiba mmeonesha upendo wenu Kwa franc lakini mungu amempenda Zaid bwana ametoa na bwana ametoa jina la bwana ribalikiwe amin
@bernardmaganga15723 жыл бұрын
polen sana inauma sana kumpoteza mwanafunz mwenzenu, bwana ametoa bwana ametwaa jina lake litukuzwe
@selinaselin89283 жыл бұрын
Nikiangalia hii na mm nakumbuka chuoni ivoivo du😥😭😭😢mungu atawatia nguvu kipindi hichi kugumu wazazi,walimu,na wanafunzi pia
@fainajaffary40703 жыл бұрын
Ilikuwaje
@januaryyolam14073 жыл бұрын
kwakweli inaumasana napiya mungu awalinde nakuwapa moyo wafiwawote meke nivituvingi vyakujifunza kwayote tunayoyaona okay God bless my family
@PHILDERMISSIONPHILDERMISSION8 ай бұрын
Mungu awe pamoja nanyi katika hicho kipindi kigumu
@waheedhamad45583 жыл бұрын
Daah kiukweli inaumiza mnoo.Rest in peace a faithfull stident franciss
@honorathakiluku77223 жыл бұрын
Nimejikuta nalia japo simjui aisee rest in peace Francis mwendo umeumaliza mtoto wetu
@fauxyahasan54402 жыл бұрын
Pole saana wenzangu
@CarolyneNerima11 ай бұрын
Poleni sana Mungu amueke mahali pema peponi 😢
@emmanuelmwakifuna62373 жыл бұрын
Rest easy uncle. Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza. Amen
@sarahsimon70413 жыл бұрын
Do you know him
@JanipharKiwali10 ай бұрын
Mungu alaze roho Yake mahali pema pepon
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Pole Kwa wazazi na walimu na wanafunzi
@rayanamrsshariff57773 жыл бұрын
Poleni Sana yaani Hawa vijana wanajua kujieleza
@suzanjohn36542 жыл бұрын
Poleni sana😭😭😭😭😭😭Mungu amlaze mahari pema peponi
@habibashila56293 жыл бұрын
Aisee inauma sana jaman polen wafiwa 😭😭
@barakamkongwi65532 жыл бұрын
Pole dada mpango wa mungu
@sharinv88643 жыл бұрын
So sad kwakweli nimeumia ingawa simjuwi mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
@priestkingagrey3 жыл бұрын
Tumrudie Mungu aliyetuumba maana wakati hautoshi kwakweli...tumtukuze katika maisha yetu tusidharau neno la Mungu bali tulisikie na kulitenda...sawa tunafanya kazi,biashara, tunasoma na tunatafuta pesa lakini tusimsahau Mungu kwamaana yeye ndo kila kitu maishani mwetu...
@Siasahussein8 ай бұрын
Poleni sana.mungu awaited nguvu
@winifridalugalila34862 жыл бұрын
Mungu ni mwema azidi kuwatia nguvu wanafunz
@elinahjoseph30853 жыл бұрын
Shetan ni mpumbavu sana kwan lkn eeeh mungu wasaidie na kuwatetea watoto wetu shetan asipate nafasi kwao
@moraa1332 жыл бұрын
Pole na mungu atawarundia
@lucykillenga17602 жыл бұрын
Jaman pollen sana mungu awatie nguvu
@joshuamwanilwa75623 жыл бұрын
Poleni sana wanafunzi walimu na wazang Mungu awasaidiye sana
@saadalacha45412 жыл бұрын
Innallillah wainnaillaih rajuun polen Sanaa Jmn
@zuhurabakari72172 жыл бұрын
Poleni wanafunzi kazi yamungu kikubwa tumuombeedua,
@collins58492 жыл бұрын
Poleni sana,,,, aky inauma
@stellahmelkiony88903 жыл бұрын
Daa nimelia mnoo rip mtt wangu .simjui ilanimeumia sanaa
@ashaathuman14723 жыл бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu
@fauziawaziri27293 жыл бұрын
poleni sana ndugu jamaa na malafiki na walimu
@aishaomar96213 жыл бұрын
Poleni sana Mungu amrehemu
@winfridathomas93253 жыл бұрын
inatia uchungu sana japo safari ya wote maan unaona km story tu mtu anasimulia kumbe RIP ninda mdg wetu mwendo umeumaliza ndoto imezima km mshumaa😭😭🤚tutaonana baadae.
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
Innalillah wainnah illah lajoun daaaa nimelia mno pole sna WAnafunzi
@benardtimothy87192 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba huwo
@phibijuilus77483 жыл бұрын
poleni sana wazazi
@nasraabdallah8503 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥pole sn wanafunz pia nafamily nzima jmn imeniuma
@lenathalukonge773 жыл бұрын
Poleni sana Mungu awatie nguvu
@neemaruben54273 жыл бұрын
Nguvu za giza bado zinatutesa binadamu Kuna mkasa mmoja wa mtu mchawi alitoa ushuuda alivyo jitoa uchawin alisema Hawa watu wanaokufa galfa ndio wanawachukuwa kwa mwaka wanachukua watu elfu10....dah inauma Sana jmn😭😭😭😭😭😭😭😭r.i.p
@lilyrose79832 жыл бұрын
Huo mkasa uko chanel ipi?Hebu nijuze niusikilize
@neemaruben54272 жыл бұрын
@@lilyrose7983 andika tu simkumbuki Chanel gn Ila andika mama aliekuwa mchawi ajitoa utaiyona mweusi ivi Kuna part 1 mpk part3 niliskitika Sana na Kuna ya mkaka
@lovenessitiku62933 жыл бұрын
Eeeh mungu wangu wewe umetuumba sisi kwa makusudi yko umpokee uyo kijana aliyekuwa anahofu na mungu amewazidi hta watu wenye umri mkubwa kwakweli inauma sana jaman daaah
@latifahmoses40013 жыл бұрын
Polee wanafamilia wotee wa marehem jmn mungu awatie nguvu😭😭😭😭😭😭😭😭
@code_rapper63173 жыл бұрын
NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUDA WAKO HILI KUTAZAMA NYIMBO YANGU YA WEKA HILI KUIPATA BOFYA PICHA YANGU KUSHOTO NAAMINI MTAUPENDA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marthahozza29643 жыл бұрын
We mpuuzi hapa unatangaza nn sasa unaona msiba
@rafaelidavid71632 жыл бұрын
Mwanafunzi anapokuwa shule yupo chini ya walimu wake kwahiyo anapopata tatizo litatuliwe sio mpaka mzazi apigiwe simu aje kutatua tatizo la mwanae .
@mecksondeoneclassic86353 жыл бұрын
Polen sana wanafunzi na walim wa shule ya sekondary Wigamba
@amosjdstivejd69763 жыл бұрын
Poreni sana wanafunzi Wa WIGAMBA S.C poren wazaz na ndgu na Jamaa kwa ujumla kwa kuondokewa na kijana wenu mpendwa.
@rukyarukya22303 жыл бұрын
Innallillah wainnaillah rajiun.poleen san Familiy ndug wanafunzi
@laymashabani8323 жыл бұрын
Poleni sana ila mngeweka ata picha yake uyo malehemu ili tumjue yaani tunasikia maneno tuuu ata muusika atumuoni bana sasa ndo nini 😭😭😭😭
@elizabethmlengela64753 жыл бұрын
Eeeh Mungu tusaidie. Dunia imeisha jmn
@paulinagasper31053 жыл бұрын
RPT mungu ametwaa Kuna lake lihimidiwe 😭😭😭😭😭
@imanmodern3 жыл бұрын
😭😭😭😭 Inauma sana jamani mweeh kifo kibaya
@leunorahkagia91373 жыл бұрын
Pole sana wanafuzi na walimu
@florencemakari90112 жыл бұрын
Poleni kwa msiba niuchungu
@isayamalekela88843 жыл бұрын
R.I.P France poleni sana nduguzetu wigamba 😢😢
@francismoshy32863 жыл бұрын
Pole sana kwa wanafunzi na wazazi wa wajina wangu Francis
@agnesmbone2923 жыл бұрын
Poleni mungu na awatie nguvu
@atanastv7292 жыл бұрын
Poleni sana wanafunzi wa shule iyo ya secondary
@mercyraphael83873 жыл бұрын
Soon painful when a young soul leaves....my dear condolences to the family of the believed .......take hearts...God has reasons for everything...
@janetnyabende2172 жыл бұрын
So painful rip
@hildaminja51483 жыл бұрын
Poleni sana sana. Huzuni kubwa kwa kweli. Mwl Hilda Shoo nn kilitokea??
@zarimumtausi2163 жыл бұрын
Inauma sana mungu awatie nguvu
@magrethmpeka64712 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya huyo kijana mahali pema
@watisonywatisony7659 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@trizah4822 жыл бұрын
Aki ni ujungu ata wanafunzi wameumia🥺😭😭😭😭😭😭😭😭
@WachajiWaForo2 жыл бұрын
Inauma sana poleni sana wapendwa.. kweli kifo ni popote na Wala hakina taarifa