BMG TV: Mwanzo mwisho, nyumbani kwa Mfalme Zumaridi

  Рет қаралды 22,970

BMG ONLINE TV

BMG ONLINE TV

Күн бұрын

BMG Media- Pamoja Daima!
Tovuti www.bmgblog.co...
Facebook / bmghabari
Twitter / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

Пікірлер: 38
@EstelJoseph
@EstelJoseph Жыл бұрын
Hakia mungu wapumbavu wanatengenezewa pepo ya zumalid emungu eemungu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Usihukumu
@noellamabumbwa8901
@noellamabumbwa8901 4 ай бұрын
Mukutane na Yesu Kristo
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Siku ya kiama ama?
@neemasele7896
@neemasele7896 Жыл бұрын
Mungu akuogezee
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 4 ай бұрын
Serikali ito wanyanganya kweli nakudai palikua pametengwa sehem yaikulu badae pia utaleta shida na viongozi wadini kidogo wakupoteze kama sio mungu kua ndani yako
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Hahaha kwamba Ikulu
@ZizuMi-uh1rn
@ZizuMi-uh1rn Жыл бұрын
Kwamiujiza ya uyo mama mi nisingeweza kuingia umo ndani
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 4 ай бұрын
Uliona nini na wewe mpaka uwe na mashaka nipe siri yaunabii
@SiwemaMohammed-dr1vk
@SiwemaMohammed-dr1vk Жыл бұрын
Amina
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Жыл бұрын
Mwanza wapo matajiri wengi wakimzidi Mfalme Zumaridi pesa kwa mbali sana lakini hakuna hata tajiri mmoja mwenye ngome kubwa na nzuri kama hii ya Mfalme Zumaridi.
@NeemaOiso
@NeemaOiso Жыл бұрын
Majanga ayo
@yohanajoshua7881
@yohanajoshua7881 3 ай бұрын
Wewe zumalidi ni muongo, iyoo ni Roho ya ibilisii, Wapi kwenye Biblia wamemruhusu mwanamke kuhubiri, jamani tokeni kwa uyoo Mtaangamia nyotee, someni jamani Biblia 1 timotheo 2:12 Harafu someni tena 1Wakolinto 14:34-40, hilo nineno je wapi mungu akabadilika, Mungu ni Yule Yule leoa jana hata milele, Katika jina la YESU Kristo, zumalidi sio Roho wa Mungu, Hakika Mungu ajipingi kwenye neno lake
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 ай бұрын
Barikiwa
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 3 ай бұрын
Hii pesa kasitoa wapi hii dunia ni atari sana
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 ай бұрын
Itakuwa ni michango na nguvu za wajenzi wa kanisa lake
@leahmwenisongole-yp7id
@leahmwenisongole-yp7id 9 ай бұрын
Kuna mfalme zaidi ya Mungu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 9 ай бұрын
mungu baba chini ya jua?
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 24 күн бұрын
Huyu mama yupo firimasoni waache ushilikina
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 23 күн бұрын
Ushahidi?
@ryanepraphaditomsely6932
@ryanepraphaditomsely6932 Ай бұрын
Uyo jama aliyekuaa aanakuelekeza akili ake mbovu piaaa
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 25 күн бұрын
Kwa nini?
@goodytairo2672
@goodytairo2672 3 ай бұрын
Picha linaanza tokea lini mwanamke akaitwa mfalme
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 ай бұрын
Inabidi wakueleze vizuri
@ombendaud5938
@ombendaud5938 4 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifi yaani elimu sahihi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Waombeeni sana
@VictorBulugu
@VictorBulugu Жыл бұрын
Amakweli hii ni ngome ya mfalme
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Kabisa
@Asma-ff3bj
@Asma-ff3bj 9 ай бұрын
Acheni kufuru nyie watu hakuna mfalme zaidi ya mungu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 9 ай бұрын
Mungu
@EstelJoseph
@EstelJoseph Жыл бұрын
Huyu zumalid atakuja kuwambia hyo nipepo mazali kashajiita mungu atakuja kuwageuza midukule awahfath kwenye ngome yake tena wezumalidi ukome kujiitamung wakat kila mwezi unaingia kwenye siku zako mbwa weee
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Tumuombee
@emmanueljackson5445
@emmanueljackson5445 4 ай бұрын
Iyo ni muungu sio MUNGU apo ni tofaut....kama ni muungu sawa lakn sio MUNGU.....Tena uyo naona zambi yake imetengwa peke Ake Kwa wino wa karimu ya chumba....ni swala la muda na nyakati....binadsmu ni kumbe kidg na dhaifu Sana Kwa MUNGU wa mbinguni
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Barikiwa
@angelinamichael7675
@angelinamichael7675 Жыл бұрын
ZUMARIDI ni MUNGU
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 4 ай бұрын
Mimi kama naanza kumwamini zumaridi
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Ulikuwa humwamini?
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 4 ай бұрын
Ulikuwa humwamini?
BMG TV: Mfalme Zumaridi afunguka mbele ya waandishi wa habari #01
10:20
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
Serikali yalifunga Kanisa la Mfalme Zumaridi "waumini Never Ever"
9:52
BMG TV: Mtoto Yunis mama yake warejea nyumbani, huduma yaanza
49:58
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 56 М.
DRONE:MUONEKANO WA JUU NYUMBA YA ANAYEJIITA 'MFALME' ZUMARIDI
5:35
BMG TV: Mapya yaibuka sakata la Kisiwa, Mlima kuuzwa Mwanza
17:40
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 32 М.
BMG TV: Shuhuda za ajabu, wamepona kwa Sala na Maji ya mtoto mdogo Yunis
1:05:11
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН