Mashallah walimu wetu allah awape kila la kher inshaallah
@saumbliz8983 Жыл бұрын
MashaAllah Allah azidi kuwapa hekma awafanyie wepesi InshaaAllah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@alyumaraos Жыл бұрын
A.alaikum leo nimefurahika sana kuliko siku zote kwa makafiri walivyomuona mtoto wa kiislam somo zuri kwa mwenye mazingatio mashallah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Maasha Allah kweli leo paliwaka moto.Hii sehemu ina watu wengi na wasikivu wenye kupenda kujifunza.
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Tena wao wauliza miracle ya prophet Mohammad saw na hio ndio fst miracle of our beloved prophet Mohammad saw
@alyumaraos Жыл бұрын
@@andallaathman3856 uko sawa kbsa kila muislam kahifadhi Quran hata kdg ila wao wako empty
@umdtv2749 Жыл бұрын
Wapendwa mmepotea kabisa. Kitabu akikutabiliwa mtume muhamadi akutabiliwa anakuja anasema yeye ni mtume wa mungu ndi kashushiwa quaran. Na quran yenyewe ndo ina jithibitisha ety ni kitabu kitakatifu dahh
@Hi_20206 Жыл бұрын
Asalaam mashekh wetu..free free palestine
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
Waalaykumu Ssalam Warakhmatullahi Wabarakatuh. 1. yapasa tuelewe na tufahamu na tuelewe kuwa ICJ ni mahakama kuu ya UN. UN ni institution ya kimagharibi, Israel ni kambi ya kijeshi ya kimagharibi. UN ndio chanzo ya haya matatizo, UN ndio ilitengeneza Israel saratani hii mbaya sana kwa ummah. 2. Tutarajie tutakayo tarajia ila tuelewe kuwa msaada wetu hutoka kwa Allah (swt) na hili litapatikana pindi tu tutakapo mtafuta mtawala mukhlis mwenye kumcha Allah (swt) na Mtume wake. Atakeye tetea Ummah wa kiislamu kwa kutuma jeshi lake kuikomboa ardhi ya waislamu. 3. Miito yetu tuelekeze kwa wanajeshi katika biladi zetu huku tukiwakumbusha uwajibi wao wa kunusuru Gaza. 4. Mfumo tawala ni mfumo wa kikafiri na hatutarajii lolote sisi kama ummah kutoka kwao maana wao hulenga namna wataangamiza Uislamu. Hii inayoendelea Gaza ni vita baina ya Ubepari (Capitalism) na Uislamu, tusidanganyike tukaona Ile vita ni baina ya Hamas na Israel au vita vya Israel na Gaza au palestine, au baina ya Yahudi na Waarabu. Hii ni vita baina ya ukafiri na Imani. 5. Tufanyeni kazi ya kurudisha maisha ya kiislamu, Khilafah. Ndio suluhisho kamili. #ArmiesToAqsa #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah @htkenya
@samxx411 Жыл бұрын
Inshallah kwa uwezo wa Allah watashinda
@mustafahaji263611 ай бұрын
Huyo mchungaji ako sawa kwa ukweli ukristo sio dini
@mwangimuhammad-sx9hb Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah...leo daawah imenoga sana Alhamdulillah
Allahu Akbar! Mashallah walimu wetu allah awape kila la kher inshaallah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin
@JamilaJumanne-u7q2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣mchungaj mwanamke kakiamsha😂
@b.funditv4781 Жыл бұрын
Mashaallah mashekhe wangu endeleeni kuwatoa watu kwenye giza nawapenda sana kwa ajili ya Allah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@malikdodo5190 Жыл бұрын
Mashaa Allah, leo muhadhara ni moto. Dada hatari
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Noma I'm ndani ya haqi,
@SaidiSalehe-p2u6 ай бұрын
Mashalaa shehe salimu natamani sikumoja uje Tanzania
@salimdaawah1236 ай бұрын
Inn shaa Allah hilo tutapanga
@guyogalora2736 Жыл бұрын
Masha Allah shukran jazeelan
@samxx411 Жыл бұрын
Sheikh Salim tupe part 2 ni nzuri sana hii
@JamilaJumanne-u7q2 ай бұрын
Kwakwel mwl huyu naomba sik moja nimuone tu kma ALLWAH akitaka🎉
@Adm9464 Жыл бұрын
Wallahi Uislamu ni Neema kubwa. The young Muslim child read the Koran off head without looking at the book. This adult Christian could not even say off head mwanzo moja moja mpaka tano
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Alhamdulillah for the neema of islam
@Sal.0 Жыл бұрын
SubhanAllah. Mtoto ka soma QURAN beautifully!
@AshamMussa Жыл бұрын
Salim kiboko kwa makafiri mwisho hutuliaaaaaaa.
@shabanirukundo4272 Жыл бұрын
Sheikh wetu huyo mama kasema kweli kuhusu ukristo nijina lakupanga
@habimanayasin4223 Жыл бұрын
Sauti ya huyo mtoto ManshAllah
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
MashaAllah tabarkallah,, Safi Sana!
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
Mzee hataki Bibilia isomwe kuonyesha Waisrael baadae wakalaaniwa na Mungu
Mtu ukiwa na uwezo wa haqi lazima tukue wajasiri, kaa Ali.
@Fabgenius04 Жыл бұрын
WALLAHY Nawapenda sanaaa kwa ajili ya ALLAH. Sheikh Ali the No nonsense harsh n comical one , Sheikh Hassan " SAA NGAPI " n The One n Only Sheikh Salim " THE FACT REMAINS " . ALLAH ATAWALIPA JANNATUL FIRDAUS AL U3LYAA IN SHAA ALLAH.
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
@AbdikadirOsman-e2j Жыл бұрын
JazakhAllah kherr ABDIKADIR OSAMA KUtoka Nakuru
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Masha Allah
@Adm9464 Жыл бұрын
Everyone of them has to go to research. They are never prepared. It’s very sad
@kennedymanyonge6170 Жыл бұрын
Salale 😂😂😂 watu wangu wanaangamia kwa kukosa elimu ......
@loner_wolf Жыл бұрын
Huyu dada atakuwa anamsumbua hata mumewe nyumbani....kanaongea kama radio khaaa😅😅😅
@salimdaawah123 Жыл бұрын
🤣😂🤣😂🤣🤣🤣
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Yaani dawa ikifika mwisho mwisho ndiyo inabamba mpka natamani kuwe kuna mda mzuri iwe na party 2
@Hi_20206 Жыл бұрын
Nakuambiaaa😂😂😂😂tamu ajabu
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Asalam aleikum mashekhe wety Allah awahifadhi nyote inshaAllah
Wanawake wote munaosikiliza hii mjadala nawasihi msikuwe kama huyu mwanamke 😅
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Wa aleykum Salam masha Allah ma Andiko Yako wazi nihao wenyewe washindwe kufata mashkhe wetu Allah awape afya na umr mref awajaliye djana firidhaus Amiin 🤝🤝 mukono kwam Kono Hadi peponi
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin sote waisilamu Allah atupe jannatul firdaus
@Sal.0 Жыл бұрын
AllahuAkbar! Leo masomo kutoka Ma Ustadi wetu, Ma Simba 🦁, yali kuwa ni Makali! TabarakAllah Team na Helpers wetu wengine pamoja na Cameraman! Soon, Palestine will be Free of Europeans who are calling themselves 'jews'! Hii STORYBOOK ya WaZungu, cha Biblia, iko na Matatizo mengi sana! Free Palestina!
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
History book ya wazungu na Quran yako inathibitisha kuwa Kuna maandiko yaliyotangulia Qur'an.Nadhani huelewi Qur'an yako inavyosema. Palestine must be set free from Hamas
@Sal.0 Жыл бұрын
@@NathanielNathan-m4o Ai, Boi wa WaZUNGU, makende kavu Nathaniel, ame RUHUSIWA ku nena leo, na Ma BOSS wake! Wewe endelea ku ramba Mikundu za @ WaZungu, wewe Mtumwa!
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
@@Sal.0 soma Quran yako sura 5:48 hizo line za mwanzo uelewe zinasemaje.Usijaze matusi Kwa akili jaza maandiko
@Sal.0 Жыл бұрын
@@NathanielNathan-m4o Nyamaza wewe, KaNyaani waku fugwa na WaZungu!
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
@@Sal.0 Again when mohamed was in doubt he was told to go and ask those who have been reading the scripture BEFORE HIM🤣.Read sura Yunus 94. 10:94 Mohamed aliambiwa akaulize wapi? Soma Quran acha kuongea vitu huelewi
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm Жыл бұрын
Jazaka llah kher
@mamawamoya3344 Жыл бұрын
Ma sha Allah
@wadimtwana7286 Жыл бұрын
Waislam wenzangu tunapokutana na wake zetu tusiwarukie kama baskel
@Adm9464 Жыл бұрын
Pastor ya huyu dada amekimbia mbio
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Assalamu Alaykum. 1:23 hapo hata wewe umeudhika sheikh salim na vurugu analoleta mwenzako. Pole sana
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤
@abdallasuleiman8785 Жыл бұрын
😂😂😂Eti "ushanijibu" tulia hapo daawa sio kwa ajili yako pekee wacha wengine wafaidike.
@BashirMahero Жыл бұрын
Ambia hiyo kafiri itoke hapo
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Wakristo waache mchezo, Habari za mdomo wapeleke, kanisani, hapo ni vitabu tu.
@NathanielNathan-m4o Жыл бұрын
Mnalenga wenye kutojua maandiko mbona msimtafute Ndacha😂
@BashirMahero Жыл бұрын
Asante bro ❤❤❤napenda hiyo
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Allahu Akbar
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
❤Mashaa ALLAH ❤ Kila leo hakweshi kasheshe.
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Leo mchungaji amechemka
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
h123 kazi yao ni sadaka na miujiza gushi tu, Bali hawana mda wa kujifunza vitabu
@AshamMussa Жыл бұрын
Huyu hana dini bibilia anatumia ya kazi gani?
@Hi_20206 Жыл бұрын
Jamani😂😂😂😂amechanganyikiwa kwelikweli
@abdallahalbaity361 Жыл бұрын
Mzee piya @ 1:17 asome Quraan chapter 3 vrs 110. Ye are the best community that hath been raised up for mankind. Ye enjoin right conduct and forbid indecency; and ye believe in Allah. And if the People of the Scripture had believed it had been better for them. Some of them are believers; but most of them are evil-livers.
@bahsansheikh6042 Жыл бұрын
Allah Akbar
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Siwezi😂😂😂😂
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Huwezi nini
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Banii israil walipelekewa mitume mingi kwa sababu ya ukaidi wao sio kwamba walikuwa wema sana walikuwa wakiua mitume sana, ndio walipelekewa mitume mingine. Kwa mfano ukiona madaktari wingi hospital yamaanisha wagonjwa ni wengi, na mahali walipelekewa mitume wengi yamaanisha waovu ni wengi
@Araphatswai Жыл бұрын
Allahu Akbar☝
@jumamsembe1213 Жыл бұрын
😂assalam aleikum warahmatullah wabarakatu
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Adm9464 Жыл бұрын
Sheikh Ali bado uko disrespectful. Please stop disrupting muhadara
@Hi_20206 Жыл бұрын
Leo amekuwa mzuri sana jamani..haja disrupt sana
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Wamchaganya masikini
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Na nini
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
Nikusema hayo yote
@josephinechaildofgod5371 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Chailofgod, maaana gani hapa
@NickM-pl6qqАй бұрын
1cor 11:3-5 wake wanaoubiri ni haki bali kua msimamizi wa kanisa ndo sio haki
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
😅😅😅😅Al-Habib Salim Wa'ALLAHY una hikma na busara katika kuamiliana na hawa jamaa na namna yakumvuta ajifungue Ujinga alionao akidhani ndio kujua. ❤Mashaa ALLAH ❤ ALLAH akuzidishie na kukufanyia wepesi palipo na uzito....... MCHUNGANI HOI BIN TAABAN😅😅😅😅
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Aamiin amiin amiin kufikisha daawah inahitaji hikma na subra Allah atuongoze
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 Evy'ALLAH
@SamirSanta-z2o Жыл бұрын
Ally usiingilie mhadhara unaharibu
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Kaa uko na ubaya na ali umpigie, muache asema kweli
@AshamMussa Жыл бұрын
Neno tohara iko na bibilia maana take hawaijui hawajiulizi hilineno ni la kiislamu?
@lizndunchez720 Жыл бұрын
Unajua nyinyi shida yenu n kua mnatka kua perfect kuliko wakristo nyinyi kaa n dini yenu ssi wakristo tukae n ytu sku z mwisho tutajua nani wanasema ukweli kuna wakristo lkni utapta wafanyi kma wakristo wezao nkuna waisalamu pia wafnyi kma waisalamu wegne lkni nyinyi mkristo moja akifnya ivi mnasema wakristo wte
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Nyinyi au wewe pili sisi tunasoma vitabu vinasemaje sio wakristo wanasemaje ukweli wauma but ndio ukweli
@umdtv2749 Жыл бұрын
Quaran ni kitabu kinacho jithibitisha chenyewe kuwa kimetokana kwa Mungu. Hakikutabiliwa na nabii yoyote. Muhammad Naye anajithibitisha mwenyewe akutabiliwa na nabii yoyote wala nini. Wakat mungu alipotaka kumteremsha nabii yoyote, uyo nabii alitabiliwa kwanza ndio akashushwa tunaona mfano yesu,daudi, Suleiman wote awa walitabiliwa kabla ya kuja kwao ila mtume muhamadi yeye ndo akutabiliwa. Mungu wa kwenye quaran alisajhau kumshusha nabii wa kumtabili mtume muhamadi. Na je hakujua kama tutakuja kuwa na wasiwasi nae. Mfano mimi leo nikaja nikasema nimeleta kitabu kitakatifu ambacho kimeandikwa na Mungu alafu ukikisoma kitabu hiko kinajithibitisha kuwa kimeletwa na mungu. Unazani nani atakae amini acheni upuuzi
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Wewe una uongo sana nipe andiko wapi Musa,Daudi, Suleiman alitabiriwa kabla kuja kwao
@umdtv2749 Жыл бұрын
@@salimdaawah123naomba nikuulize swali kati ya yesu na muhamadi nani alie leta andiko la kweli. Kwann yesu atabiriwe ila muhamadi asitabiliwe na mungu. Kumbe ata maandiko hausomi nani alietabiliwa atakuja kuwa mfalme. Ila muhamadi akutabiliwa kuwa ataleta kitabu kitakatifu
@umdtv2749 Жыл бұрын
@@salimdaawah123 na alie tabiliwa kuwa ataletwa mtu atakae watoa waislael kutoka misri kwenda kaanani ni nani. Yaan leo mtu ashushiwe kitabu kitakatifu bila kutabiliwa na mungu hahaha 😂😂😂😂 Ndugu zangu mmepotea
@alyumaraos Жыл бұрын
@@umdtv2749 yesu kaletwa kwa waisrail ww humo unajipendekeza t
@loner_wolf Жыл бұрын
Fungua akili , usijidefend na kujilimit ktk imani ......Quraan iko straight haina shaka ndani yake .......
@kariukigicheru1913 Жыл бұрын
Jamaa mwenyewe amechanganyikiwa halafu mnanchanganya zaidi 😅😅😅wrong interpretation of the word
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Njoo unakaribishwa ulete interpretation za kanisani