WAKRISTO WAJITOKEZA KUONA QURAN KWA MARA YA KWANZA

  Рет қаралды 29,049

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

‪@StraightPathDawah‬ Tunafikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani. Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

Пікірлер: 85
@alyumar4657
@alyumar4657 Жыл бұрын
A.alaikum sheikh ramadhan tunakufatilia sana kutoka pemba tuko pamoja na Allah akupe maisha mazur hapa dunian na kesho Akhera Ameeen
@rabiba
@rabiba Жыл бұрын
MashaAllah shaikh ramadhan na shaikh Yusuf Allah awape nguvu na afya na hikma na uwezo na subra ya kuiendeleza daawa na awajaalie IKHLASW...amiin
@mutomubaya
@mutomubaya Жыл бұрын
Pongezi Sheikh Mwalimu kwa kuelimisha watu waujue Uislamu. Allah awaongoze wapate watu wengi wanaojua kuelimisha wajue Nguzò za Uislamu na Wajue TAWHID na Nguzo za IMAAN na Wajue KUSOMA QUR'AN nk. Kuhusu mafundisho ya Ukristo wanapotoshwa kwanza kuhusu Mungu. Mungu ni mmoja pekee. Hakuna Mungu wawìli wala watatu. Na Mwenyezi Mungu pekee ndiye Mola wa Ulimwengu. Tusidanganyane. Hana Mama wala Mwana....Allah Amesema katika Quran, Hakuzaa wala Hakuzaliwa na hakuna anayefanana naye hata mmoja.
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Safi kuona mzee Yusuf karudi uwanjani. MashaAllah.
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mungu awajaze kheir KAZI nzuri musife moyo Allah atawafadhili insha'Allah
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Kwisha ❤❤❤strong Islam we go, wataingia makundi kwa makundi
@kijakaparare2074
@kijakaparare2074 Жыл бұрын
Maashaallah mashallah shekhe mungu awape afya njema na awakinge na kila husda za wanaadam na awfungulieni milango ya ridhik isiyo na kikomo 🤲🤲🤲🤲
@SuzyMukhawana
@SuzyMukhawana Жыл бұрын
Inshallah, my the grace of Allah be with you
@hamisijm8437
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Assalahm alahykum warahmatullah . Masha allahy masheikh wetu kwa madili ya mazuri ya mafundisho
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Waislamu ni masuulia mbele ya Allah maana wengi hawajui uislamu
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Assallam aleikum Alhamdullillahi Rabbil alamin kywaona tena mashekhe wetu Allah atie barka katika kazi hii mnayofanya kwa ajili yake Amiin
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Mashallah masheikh Allah awalinde na hassad na awalipe kheir dunia na akhira
@amirasman8044
@amirasman8044 Жыл бұрын
JazaaAllah Khairan kwa kazi nzuri bro
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Alhamdullillah, Allah atuhifadhi waja wake.
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 8 ай бұрын
Wallah natamani sana kufanya kazi kama hii Allah anipe tawfiq Insha Allah
@jabirmohamudey1770
@jabirmohamudey1770 Жыл бұрын
Tunafuatilia kutoka Mandera, kenya
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Salam alakumu mashala mungu amulidi kwakilajabo
@ramadhanisalum3548
@ramadhanisalum3548 Жыл бұрын
Assallam alleykum kiukwel nmefurah sana kuona ndugu yng unawapa elimu ndugu zetu kibinidamu
@AngoSheriff-be5mq
@AngoSheriff-be5mq Жыл бұрын
Great job barakallahfikum
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Жыл бұрын
Mashaa Allah kwa kweli watu wanahitaji daawa
@sabrinabache5201
@sabrinabache5201 Жыл бұрын
MASHAALLHA shekh mwenyezi mungu awalipe Kila lenye kheri INSHALLAH
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 Жыл бұрын
Mashallah mashallah 💞
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan kwa kuwaelewesha kuwa Islam ni dini ya watu wote kwani hata huku South Africa walikuwa hawajajuwa walikuwa wanasema eti dini ya wahindi ila wameanza kujuwa na wengi wanasilimu
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 11 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka llah ndugu wape daawah upate ujira kw Allah
@asharamdan363
@asharamdan363 Жыл бұрын
mashallaaah ❤ ❤❤mashallaaah
@nuurhassan605
@nuurhassan605 Жыл бұрын
Mashaallah allhamdulilah jazakallah khaer
@NoorMwenda
@NoorMwenda Жыл бұрын
Good job 👍
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Bismillah mashallah mashallah ❤❤
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Kazi nzur walimu wetu Allah awaongezee elimu
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x 5 ай бұрын
Masha Allah mafundisho ya kueleweka MUNGU awalipe kheri hapa duniani na kesho akhera
@sweetylove9918
@sweetylove9918 Жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah awazidishie kazi nzuri sana
@MIRIAMADAM-h6g
@MIRIAMADAM-h6g Жыл бұрын
Mashaallah jazakaalkher
@benin9773
@benin9773 Жыл бұрын
kutumia synagogue kama msikiti ya mayahudi sio sawa kwa sababu ukiangalia aya 40 ya SURAH HAJJ imegawanya msikiti na mahala pa kuabudia mayahudi .Ni my opinion sh.ramadhan ! Jazakallahu khayran
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Watu wazuri ma sha Allah Allah awaogoze waone haki nakuifuata
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Жыл бұрын
Assalam alaikum, shukran sana masheikh,kwa kweli mnajitolea sana,Jazakum-Allah -lkhair
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
M.A ustadh mungu akuzidishie elimu yako
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Жыл бұрын
May Allaah guide that boy Aameeen
@swalehdiesel8340
@swalehdiesel8340 Жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatullahi Tala wabarakatoh....sheikh Mimi natizama show nyingi za watu wanao silimu hadi zile za nchi za nje,kama vile uengereza Kuna ndungu wanao towa dawah kwa wa christo na wanapewa Quran tukufu ya kingereza Bure ili wasome na waijue.....kwa maoni ya Mimi naona ni Bora kama kunge kuwa na uwezo wa kupeana Quran....
@zainababdulrahmankarisa6273
@zainababdulrahmankarisa6273 Жыл бұрын
mashaallah AllAH awazidishie twazidi kuelimika
@khadijaali2173
@khadijaali2173 Жыл бұрын
wa kwanza leo😊
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Mashallah
@tahlil2015
@tahlil2015 Жыл бұрын
Mashaa Allah🎉!!
@Marim-qp8gs
@Marim-qp8gs 10 ай бұрын
BarakaAllah
@ibrahimdahablemedia
@ibrahimdahablemedia Жыл бұрын
أحبكم في الله
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Mashaallah
@MustakimaMuhammad-fy5ij
@MustakimaMuhammad-fy5ij 9 ай бұрын
Aa ramadhan zidi kutuilimisha jazaa yako kwa mngu
@nasramusaro
@nasramusaro Жыл бұрын
Mashaa Allah
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Maa shaa Allah ❤
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Жыл бұрын
Maa shaa Allaah
@hassadube225
@hassadube225 Жыл бұрын
Mash Allah
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Жыл бұрын
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Sinagogi ni msikiti.Yesu Hana dini Yeye ni njia wakristo uingia Kanisa na Sio msikitini
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 7 ай бұрын
Dini.nimuongozo.wewe.kamahunaDini.pekeyako..sisiWaislam..tunamuongozo.
@swalehdiesel8340
@swalehdiesel8340 Жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatullahi Tala wabarakatoh....my brothers your doing a great job May ALLAH (s.w.t) bless you all.... Masha ALLAH
@ernestndayizeye6805
@ernestndayizeye6805 Жыл бұрын
Pipipk
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Nahakina shaka ndani yake, na hakijahacha kitu.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hoja zenu ni dhaifu sana
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 Жыл бұрын
Watu Wangu wanaangamizwa Kwa kukoza maarifa
@sumayananabintmusa4442
@sumayananabintmusa4442 Жыл бұрын
😂😂😂😂mwevi akisoma jamani😂😂😂😂😂
@seventeen3779
@seventeen3779 Жыл бұрын
Sheikh kijana ame kuomba koran ili afaidike nayo ukam jibu vibaya sometyms kwa social ungem pea
@magiekim6385
@magiekim6385 Жыл бұрын
Mshikiti ya wayahundi bona ushitwabie ya washilamu kwa hivyo bila shaka alikuwa myaudi
@jumahamad9463
@jumahamad9463 Жыл бұрын
WATU GANI UNUNA SHEIKH AU NIWALE WANAOPOKEA SADAKA AWATAKI KUSIKIA UKWELI ZAIDI KATIKA MAANDEKO ? ? ?
@jumahamad9463
@jumahamad9463 Жыл бұрын
MAANDIKO
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Жыл бұрын
😂kwa kweli
@AhmedMwaipopomazinge
@AhmedMwaipopomazinge Жыл бұрын
MUMEGUNDULIWA >>>>>> Waislamu sasa wamebadilisha mbinu >>>>>>kzbin.info/www/bejne/i3KnmJRnbZKib80
@aloycelucas1823
@aloycelucas1823 Жыл бұрын
Neno sinagogi lilikuwepo kabla ya neno msikiti, na wakati wa sinagogi nilikuwa hakuna uislam na hata wakati wa YESU uislam ulikuwa Bado kuwepo kwasababu muislam wa kwanza ni mtume wenu Muhammad hivyo uislam ni upinzani tu wa kupinga ukristo ambao ndio kweli na uzima wa milele
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 9 ай бұрын
Tufuate maandiko au tufuate mawazo yako.
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 3 ай бұрын
@@Motheking-ps2tl😊kaaaaaz kweli kwel
@ramadhankamau
@ramadhankamau Жыл бұрын
Walimu wangu waislamu kuna ex imam anashambulia waislamu sana, hana elimu kuhusu dini yake kwani msikanye awachane na waislamu kabisa huyu kafiri
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Poa.
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Kwanini uwambii majini ni waisilamu?
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Uliskia wapi
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Hawajauliza afadhali wewe ushajua
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Yani nao ni kama watu, wapo waislaamu na wasio kuwa waislaamu, wema, waovu, washirikina , machizi na kadhaalika
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Mapepo ni wakristo
@HisMajesty64
@HisMajesty64 Жыл бұрын
Majini tuliwaona Shakahola😅
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah 🥰
@mwanajumakilua7174
@mwanajumakilua7174 Жыл бұрын
Ma shaa Allah ❤❤❤❤❤
@maalimhassanali2327
@maalimhassanali2327 Жыл бұрын
Masha allah
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Mashallah
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Maa shaa Allah ❤
WANA KIJIJI WASHANGAA KUSIKIA YESU /ISA (AS) NI MUISLAMU
1:47:15
Straight Path Dawah
Рет қаралды 29 М.
Кровавый лидер #сталин #китай #мао
00:55
Послезавтра
Рет қаралды 3,5 МЛН
Сигма бой не стал морожкой
00:30
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 10 МЛН
KUITWA PASTOR SIO KAZI RAHISI 😂 || ALIYEDAI KUWA PASTOR APATA DOSE YAKE
1:02:30
MKRISTO AKIRI KUWA ANA DHAMBI ZA KUWACHUKIA WAISLAMU
1:05:07
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
Lava Lava Katika Mashindano Ya Kusoma Quran part 1
9:40
Lava Lava
Рет қаралды 386 М.