IWEJE MTU ALIYEOKOKA AIBIWE NYOTA YAKE NA WACHAWI•HII NDIYO SABABU NA NJIA YA KUJINASUA|Mch.Katekela

  Рет қаралды 8,247

PROMOVER TV

PROMOVER TV

11 күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 43
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 9 күн бұрын
Kweli kabisa! Mungu atusaidie sana. Na watumishi wa kike mwanzo hawataki kuambiwa kuhusu mavazi au mapambo. Wamekamatwa na shetani pakubwa na wasipotubu na kuacha, haijalishi watahubiria watu wengi vipi jehanamu ipo kwa ajili yao.
@JoyeuseNizigiyimana
@JoyeuseNizigiyimana 6 күн бұрын
Ubarikiw san Mutumish wa Mungu nilijifunz mengi kwahiy ushuhud yako, n nimengunduw mengi kuhus kanisa. Mungu asaidiy wacungaji
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 күн бұрын
Ushauri wangu mtumishi Amiel unatakiwa uanzishe program ya semina kwa wachungaji wa makanisa ili wazijue siri na mafumbo ya shetani. Pamoja na kufanya maombi maalum kwa wachungaji waliokamatwa na ibilisi kufunguliwa.
@annijulius4953
@annijulius4953 9 күн бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa siri hizi, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 9 күн бұрын
Amen Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo haya..zidi kubarikiwa.
@GroriminaVenance
@GroriminaVenance 9 күн бұрын
Mungu tusaidie
@user-ut1ls8fi8f
@user-ut1ls8fi8f 9 күн бұрын
Nakupenda kinoma natamani sana na wewe MTU WA Mungu mambo yanatisha sana tusaidie tufundishe TU tuambie tupone
@SHEDRACK-p8u
@SHEDRACK-p8u 9 күн бұрын
Amen unanibariki sana mtumishi.
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 9 күн бұрын
Asante mtumishi Mungu akuinue zaidi🙏
@tamarali8325
@tamarali8325 10 күн бұрын
Wa very powerful
@user-rj1ef6je8k
@user-rj1ef6je8k Күн бұрын
Ameen
@MCH.JAPHETHZACHARIAH
@MCH.JAPHETHZACHARIAH 8 күн бұрын
AMINA SANA LAZIMA SHETANI AACHEYE NYOTA ZA WATU KWA JINA LA YESU KRISTO.
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 9 күн бұрын
Ameen,God bless you Amiel and your family.Mwenyezi Mungu akulinde.
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 6 күн бұрын
Mungu atusaidie, mtumishi wa mungu
@annambembela6661
@annambembela6661 5 күн бұрын
God bless u pastor
@GroriminaVenance
@GroriminaVenance 9 күн бұрын
Ameeni
@HappyMbuyaOg
@HappyMbuyaOg 9 күн бұрын
Very true ubarikiwe sana
@saraphinalupenza7580
@saraphinalupenza7580 9 күн бұрын
Amen
@user-po2fw5yu7o
@user-po2fw5yu7o 8 күн бұрын
Mungu aendelee kukubariki Kazi ya Mungu isonge mbele
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri 4 күн бұрын
Waambie ukweli
@desderykarugaba1826
@desderykarugaba1826 5 күн бұрын
Mungu atusaidie
@RahimaShujaa
@RahimaShujaa 9 күн бұрын
AMEN
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 9 күн бұрын
MUNGU wambinguni atusaidiye sana ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU
@frankhayuma9557
@frankhayuma9557 9 күн бұрын
Baba katekela hakika napenda sana mafundisho yako, kiukweli Kuna ufahamu mkubwa sana napata kutoka kwako, MUNGU akubariki sana na kuachilia mafuta mabichi Kila Leo kwako, ili watu wengi waponywe
@nyangiboke
@nyangiboke 9 күн бұрын
Amen mtumishi unanibariki sana
@ChachaFashion-i3s
@ChachaFashion-i3s 8 күн бұрын
Amen nimekombolewa
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 3 күн бұрын
Wanao coment vibaya wanajiletea uharibifu usio kawia,
@RahelSalumu-pm9qx
@RahelSalumu-pm9qx 3 күн бұрын
Mchungaji je, watu hao maagenti wakifukuzwa kanisani kama mchungaji ameoneshws je, awafukuze au n vibaya kuwatimua kanisani
@patrickwasesa4495
@patrickwasesa4495 9 күн бұрын
Mungu azidi kukupa hekima nanguvu namaneno yanguvu ili kuliokoa kanisa
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 9 күн бұрын
👏👏
@ruthsungu7739
@ruthsungu7739 9 күн бұрын
Niombee sana katekela
@mamhungerhoda7940
@mamhungerhoda7940 9 күн бұрын
Tunajifunza kikubwa katika mafundisho yako mtumishi
@drmaryjohnmponda3484
@drmaryjohnmponda3484 9 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 9 күн бұрын
asante mtumishi
@JeremiaShimba-cq8mq
@JeremiaShimba-cq8mq 9 күн бұрын
Mh asee ni hatari BWANA atusaidiee
@ABDULKARIM-sx1tb
@ABDULKARIM-sx1tb 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂 jamani yaani mathayo 16.17
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 4 күн бұрын
Sasa wewe umeokoka,inawezekanaje na kukamatwa kwa Nyota yako, wakati unasema una Mungu?
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 3 күн бұрын
Tamani kujifunza zaidi
@BahatiMagesa-ui3jf
@BahatiMagesa-ui3jf 7 күн бұрын
Amen
@rebekaadorphine8296
@rebekaadorphine8296 8 күн бұрын
Amen
@Mtumishinuruisrael
@Mtumishinuruisrael 9 күн бұрын
Amen
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 9 күн бұрын
Amen
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,5 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 35 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 142 МЛН
Part 1_USHUHUDA WA SARA ALIYEKUWA MCHAWI MHARIBIFU WA MAKANISA
48:49
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
PROMOVER TV
Рет қаралды 4,1 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 6 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 49 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 41 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,5 МЛН