Mash ALLAH alhamdulilah Neema ALLAH awape kila LA kheri ndugu zangu Mash ALLAH kijana wetu anasoma vizuri kabisa Mash ALLAH ❤️❤️❤️
@salimdaawah1234 ай бұрын
Masha Allah ndio walimu hawa wa kesho inn shaa Allah
@Nora-v1m3p4 ай бұрын
Kazi nzuri walim wangu wataelewa in sha Allah
@salimdaawah1234 ай бұрын
Inn shaa Allah
@faridbashuu4 ай бұрын
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Mchungaji Mr. Wambua ni Mtu mzuri Sana Hana Jazba anafurahisha Sana 😂😂😂 Barakallahu Feekum Nyotee
@salimdaawah1234 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ataelewa tu inn shaa Allah
@SakubuBakari4 ай бұрын
Asalam alaikhum warahmatullahi wabarakatuhu, 😂😂😂😂 yaani Sheikh SAALIM wee kiboko yaao kabisa 😅😅😅, yaani unampeleka shule Mchungaji hadi anachanganyikiwa na maandiko ya kitabu Chao 😅😅 haadi haamini kuyasikia hayo mpaka anashuudia kwa kuangalia na macho yake 😂😂😂😂
@salimdaawah1234 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah
@hythamhashiem44584 ай бұрын
ماشاء الله Kazi mzuri sana mungu akubaarik wewe na wenzako
@salimdaawah1234 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@F.j8413 күн бұрын
Nina hakika asli mia mia wakristo wanapata elimu mpya mpya kw mihadhara ya kiislam.. Ustadh salim Allah akupe afya njema na akhera akupe jannat firdaus
@salimdaawah12313 күн бұрын
Ameen ameen ameen sote
@josemu8704 ай бұрын
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana
@salimdaawah1234 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@NiyibiziIsaWangyu4 ай бұрын
Kumbe kama Yezu alikuja Kwa mission ya kufia dhambi za watu alipoulizwa atowe ishara hangetanguliza kuwatukana kizazi kibaya na cha zina na anajuwa anakuja kuwakombowa tena kama Ni hivyo inaonekana Mungu ,Yezu na shetani waliigiza tena Mungu ikiwa wakristu wanaamini walipata uokovu kupitia kifo cha Yezu Kwa Nini Kwa uwezo wa Mungu hangetamka neno tu watu waokolewe bila kufanya hiyo njia ya kutaka kuokowa watu Kwa kumuuwa MJA wake kifo cha uzalili!!! Maana yake wakristu wanachosubiri Ni kuingia paradise hata wafanye madhambi aina yoyote hawataulizwa na ikiwa wataulizwa kifo cha Yesu hakisaidie chochote kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe
@NathanielNathan-m4o4 ай бұрын
Kuelewa kwako tofauti,tuliokolewa na dhambi na ni jukumu lako kujiepusha na dhambi. Ukichezea tope,mzazi wako akuoshe akuvalishe mavazi safi utakimbilia tena Kwa matope ukajichafue tena? Utajaribu usichafuke.Tafakari haya ndugu
@salimdaawah1234 ай бұрын
Ukristo hufuatwa na watu wasiotaka kutumia akili
@loner_wolf4 ай бұрын
Huyu mchungaji atasilimu siku moja .....ni mtu anatafuta ukweli .
@mwangimuhammad-sx9hb4 ай бұрын
Maa Shaa Allah... Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu...Allah awalipe jannatul firdaus
Mimi Hata siwajali hao wanao tu control nnavo juwa na tawaliwa na ALLAH
@ZakiyaAnwar-w1r4 ай бұрын
MashaAllah Allah barik
@MashoAbdi-m6n4 ай бұрын
MashaAllah
@HusseinAli-ki2vc4 ай бұрын
Allah awajalie
@salimdaawah1234 ай бұрын
Aameen ameen ameen sote
@mahmudmugarura21754 ай бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@Sal.04 ай бұрын
😮Ai, huyu Wambua Kichwa Ngumu, ame rudi?? Na ni Pasta? Kwani hajui maana ya CONTRADICTION?? Na huyo Mswahili yesu, ali kuwa na ugonjwa gani, mpaka akafaa?? Na Biblia ime JAA na Uwongo wa kila aina! TabarakAllah Team.
@Alithoya-qr7di4 ай бұрын
Huyu Akili ilioshwa na Clorox 😂😂
@Sal.04 ай бұрын
@@Alithoya-qr7di 😅😅. Hako sawa huyu jamaa! Sijui kama ni Mkimbizi kutoka Mathare Hosi??
@NathanielNathan-m4o4 ай бұрын
Quran yako inathibitisha Uhalisia wa maandiko yaliyokuja kabla ya Quran.Wacha kukariri Quran soma uelewe