WEWE NDIO MNAFIKI UNAICHUKIA SIMBA BURE UNATESEKA WAKATI WALIOSABABISHA VURUGU HIZO WANAJULIKANANA HALAFU MTU ASIYE JUA TARATIBU ZA MPIRA UANAKUJA NA MAHABA YAKO .
@OS-pf6op8 күн бұрын
Wewe huelewi, sheria inawataka Simba walipe! Pili hata kama waarabu walianzisha fujo nyinyi si ndio mliendeleza na ndio mliong'oa viti vingi zaidi!
@juliusjkalela91648 күн бұрын
Wewe kama hujui kaa kimya maana waarabu wameanzisha ndio ila baada ya kua waarabu wanang'oa viti wanawarushia af na wanasimba wakawa wanang'oa viti wanawarudishia huo n ujinga
@anthonymilinga86968 күн бұрын
@@juliusjkalela9164 Watanzania sikumoja mtakuja lawitiwa na watu wakuja kwakukosa kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe. Mtu wa kuja anaonekana wamaana kuliko mzawa huu ushenzi sijui utaisha lini. Kuna mchezaji anaonekana anakimbia nnje ya uwanja anaenda kupiga mtu nnje ya uwanja hamuongelei hilo mnaongelea mashabiki wa simba tuuu usenge mtupu huuu.
@twahakabajemi97167 күн бұрын
Uwanja si una camera?
@amsiabbas38098 күн бұрын
Samahani sana Yani mnacho fananisha Nyumba yakupanga na Uwanja wamichezo nivitu viwili tofauti kabisa Swala la Uwanjani linahusu shirikisho lasoka tu hata Swala la vurugu nishirikisho lasoka tu angekufa Mtu au kaumia Mtu ndio Swala la Kiserikali
@deniskinabo82797 күн бұрын
Kwani uwanja mliingia mkataba wa kukodisha na shirikisho? Hayo ya shirikisho yanahusiana na utomvu wa kinidhamu wa kimpira, ila uharibifu wa mali ni kati ya mkodishaji na mkodiahwaji. Shirikisho halina pesa liliyoweka kutunguneza uwanja
@mkwenyaliganga8 күн бұрын
Picha zinaongea😅😅😅
@piusngasa42018 күн бұрын
Ww mtangazaji bwege Sana ,bado unaishi kwenye utumwa wa waarabu
@suleimanmwenyemvua9958 күн бұрын
Simba walianza kwa kuwamwagia maji waarabu walipokuwa wanashuka jukwaani..
@SamsonLukas-l5x8 күн бұрын
Nifitina izo wameshindwa kusimamia kazizao za seriali wanaamia kwenye mpila
@LucaCharles-uf9tw8 күн бұрын
Kumbe haka kajaa nako kana Unafiki flani Kwa mbaaaali
@HenryKimaro7 күн бұрын
Kwani huo uwanja unatolewa Bure ?
@yusufufikiri50057 күн бұрын
KWANI MMEAMBIWA SIMBA WAMEKATAA KULIPA NYIE MATAKO AU MNASHOBOKA TU WASENGE NYIE
@LaurenceAgustino-v9x8 күн бұрын
Simba imeonewa kwa sababu walio anzisha vurugu wanajulikana muache kutoka maamuzi kwa upendeleo.
@yusufufikiri50057 күн бұрын
NYIE WASENGE TU
@mangashajunior2428 күн бұрын
Tatizo mtazamo walipaswa wazuiwe wasissfiri mpaka walipe uharibifu...
@LaurenceAgustino-v9x8 күн бұрын
Acha uongo uchache wawageni syo sababu ya kusema simba walipe cha kuangaliwa nani ni chanzo cha vurugu kama. Watu walisukumana katika harakati ya kuta kujiokoa waka vunja viti walipe mkiongea uwingi wa watu maana hata wasiyo mashabiki wa simba wawarabu walipe maana vingine vimevunjika kwa kua ngukiwa na watu wakulipa ulio anzisha vurugu.
@OmaryIssa-j3o8 күн бұрын
Wachambuz wa bongo wanafiki mahaba yanawasumbua mashabik wa simba wameng'oa viti acheni usela mavi
@HemediMandai8 күн бұрын
Simba matajili tutalipa acheni unafki mashabiki wa yanga wamereta ubaya sie tumewapa ubwela
@paitomsuva38178 күн бұрын
Wachambuzi na waandishi wa habari wa Tanzania Wengi wao ni wanafiki na wanazi. Yanga wamefanyiwa vurugu kule Congo ila hakuna mwandishi wa habari wa kule aliyeripot habari Yao. Huku ni ujinga mtupu
@filbertsungura55368 күн бұрын
Acheni uongo na ww pia mtangazaji unaonekana mchochezi kwani sisi hatuoni
@SHABANIHALADI7 күн бұрын
Apologies nimekuelewa mpangaji ndio awajibike
@anithawidambe75438 күн бұрын
Warabu ndy wamefanya vurugu kutaka kumpiga refa
@deniskinabo82797 күн бұрын
Sasa kama aliyepigwa ni refa, nyie iluwahusu vipi hadi mngoe viti vya kodi zetu, au yule refa ni mwanachama wenu mlikuwa mnamtetea😂😂😂😂😂?
@Mwagito3988 күн бұрын
Vyombo havijasema kwa sababu ya uchawa. Kuweni wakweli, Wageni walikuwa wangapi? Viti vilivyoharibiwa ni zaidi ya 250. Simba lazma walipe.
@hassanlikwenangu84718 күн бұрын
Tuambie wewe wageni walikuwa wangapi? Kisha tuambie mgeni mmoja ana uwezo wa kuvunja viti vingapi?
@LinusKyando8 күн бұрын
VIDEO HAMJAWAONA MASHABIKI WA SIMBA? ACHENI UNAFIKI
@EssauRudibuka-t6q8 күн бұрын
sio kuwaona cctv camera ziko hewani na kunautopolo washapakatwa rokapu taari kulipa viti,, ni yanga ndio wamehusika