Naipatje namba yak mkuu nahtaje kupata gharam za mashine nifanye huduma hyo
@athumanhassani Жыл бұрын
Boss muko wap kiwanda cheng niko arusha
@YonasKatabaz5 ай бұрын
Niko arusha natamani biashara ya mifuko na vifungashio ila mtaji sinaa
@WisdomSichula-s6y Жыл бұрын
Nauliza mifuko y salfet sio plastic
@hisanmwakijungu105 жыл бұрын
daaah mpKa raha,, this is Tanzania,, tumeweza
@PauloNdundulu-xt1li9 ай бұрын
Samahan hamtengenez mifuko ile ya kuwekea mahing ambayo ukihifadhi mahind huwek dawa kweny mahind unayapepet t na kuwek ktk mifuko na kuufunga vizur
@samdelilatz23223 жыл бұрын
Mwananchi digital unaeza Nipa connection ya kupata mzigo kwenye hicho kiwanda /mawasiliano nao
@Bakarimwemduani2 ай бұрын
Namna yakupata mifuko inakuaje
@LaurentKimaro8 ай бұрын
Je nikihitaji kwa bei ya kununua kiwandani kwa bei ya jumla ni shingapi
@PauloMwilapwa-hb6wv Жыл бұрын
Ahsante Kwa elimu Mimi ni walala WA kuuza vifungashio naomb mawasiliano nije kujumua mzigo??
@cathelinevenance66513 ай бұрын
Naomba unisaidie mawasaliano yako name natamani kuuza ila sijui naanzia wap
@georgemsemwa17102 жыл бұрын
Nahitaji namba yasimu
@kacherosimba57625 жыл бұрын
Hata Kenya mifuko yao iko kama hiyo
@mohamedkwiga68705 жыл бұрын
inachanika haraka hivo 😄
@ElizabethKubila7 ай бұрын
Mifuko hiyo naipataje nipo Kigoma ,kasulu
@justinewilfred59512 жыл бұрын
nataman nijue upatikanaji wa material pamoja na bei
@SsamweliKipingi Жыл бұрын
Namb zenu
@machimushukran37423 жыл бұрын
Naipataje nipo geia
@JANEKAMBENGA-to1sn Жыл бұрын
Napataje mzigo,na Bei zipoje
@fimbohamisi92037 ай бұрын
Mnapatikana wap
@charlesmarwa91084 жыл бұрын
Naitaji
@abdalahsalimu68914 жыл бұрын
Naweza pata vipi hizo jora za kutengenezea Mifuko na nishingapi kwa jora
@machimushukran37423 жыл бұрын
Namba kuuza mifuko jumla
@azizkassim93175 жыл бұрын
nilikuw naitaji mawasiliano ili niweze kupat furusa ya kuwa naagiza mzigo moja kwa moja kutoka kiwandani kwenu
@fatinaabdul23923 жыл бұрын
Mambo. Ulipata mawasiliano nao?
@homeboybeyondtheborders49355 жыл бұрын
Tumia fursa kaka
@athumanhassani Жыл бұрын
Hichi kiwanda muko wap nahitaji kufanya biashara nanyiye naomba malekeazo mim niko arush maeneo ya tengeru
@sarahkendrick83565 жыл бұрын
Kwasiku unaweza kutengeneza tan ngap au ni zakuuza tuu uko mkoan kwako?
@witnessissac91065 жыл бұрын
Naombeni Namba mm agent nipo Shinyanga pleaz
@cookcave76485 жыл бұрын
Agents wa nini @witness issac
@sheikhmvanokiloba32283 жыл бұрын
Nami naomba mawasiliano nanyi tufanye biashara!
@KastonHSanga Жыл бұрын
Nawezaje kukupata, nina nia ya kuwa na kuwa na kiwanda cha vifungashio hivo
@kennybenny76515 жыл бұрын
nikitaka kuiuza apa dukani kwangu naipataje
@julianamichael18484 жыл бұрын
Mawasiliano tunakupataje
@limolimo47015 жыл бұрын
ok mkuu
@monicajuly15195 жыл бұрын
0764187712 arusha mpo sehem gani nataka kuja
@jacquelinepallanjo29885 жыл бұрын
Jamani mm nahitaji machine
@hbnemesihbnemesitesha77355 жыл бұрын
Nitaipataj mifuko nip mpwapwa
@kamilusmgaya48065 жыл бұрын
Inauzweje
@rehemabonza45295 жыл бұрын
Mimi nahitaji kitambaa nishone mwenyewe nitapataje Niko moshi, Mimi mjasiriamali mdogo
@shawejimaarufu31025 жыл бұрын
Nice
@officialshabashytrader80854 жыл бұрын
Mifuko hiyo inapatokanaje ...nipo Zanzibar 0773520677
@ninjaboy37085 жыл бұрын
Kiwanda kipo wap ??? Nina hitaji hio
@enelinampango59955 жыл бұрын
kipo moshi
@enelinampango59955 жыл бұрын
Ninja Boy
@MagretMtitu7 ай бұрын
Naombeni namba yake jamani niweze kuwasiliana nae kuhusu upatikanaji wa mashine
@saidkatembwe29963 жыл бұрын
nahitaji kujumua Belo la viroba vya kubebea Mahindra nataka kufanya biashara je niwe na shngp nipo mbeya naitwa said daimoni katembwe 0767997162 au 0784997161 naomba nijibiwe tafadhar
@noahmsalege5077 Жыл бұрын
Broo vp
@damaskimati42805 жыл бұрын
Naomba kufanamu je inaoza?
@ramadhanimussa8825 жыл бұрын
Hilo nalo Neno Jee inaoza ? Kaka umeuliza swali la Msingi Mno
@janesuma21935 жыл бұрын
Damas Kimati hii sizan kama inaoza mana ina uplastik flan hivi
@ramadhanimussa8825 жыл бұрын
@@janesuma2193 Inatumia Malighafi ya Chupa za Palastiki zinasagwa kisha hutengenezwa uzi mdogo mdogo unaoitwa polistar . Kisha Wanatengeneza Mifuko hiyo. Ukweli ni kwamba Mifuko hiyo haiozi wala Mabaki Yake hayarejelezwi na wala si Rafiki wa mazingira.
@janesuma21935 жыл бұрын
Ramadhani Mussa nakubaliana na wewe ninayo nimenunua kariakoo uwez amin haiyoz ndio mana nikashangaa mbona serekali bado itaipiga marufuku
@uswizinyanginywa24985 жыл бұрын
@@janesuma2193 hii ndio TZ wamepga marufuku Rambo wanatengeneza mifuko ya purastiki tena ambayo nayo haiozi cku chache tena watapga marufuku lengo nikututia hasara wafanyabiashara wote kwa ujumura. Au wanazo wenyewe hizo mari ghafi wanataka wauze??